Рет қаралды 140,340
Polisi wameshindwa kuelezea ilipo faili ya mwanahabari wa KTN Mohammed Ali siku moja tu baada ya kumfikisha kotini. Haya yamejiri mapema hii leo baada ya mawakili wake kufika katika kituo cha Central kuandikisha taarifa kuhusiana na kesi inayomkali Ali.