Shukuran shekhe wetu kwa kutuelimisha inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera inshaallah 🤲🥰
@LatifahWanjiru-qb4me Жыл бұрын
Mashallah
@mwajumamagala41364 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema maana unafikisha kile alicho kutuma allah
@hawaiddi5140 Жыл бұрын
Manshaallah allah akuongezee uwezo katika elim yako asante pia kwa kituelimisha🙏🙏🙏🤲
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Wallah nililiya niliposikiya MTUME WETU MUHAMMAD swalalahu alayh wasalamu alipowausiya waja juu ya kuwahurumiya wanawake eti leo waja ambao wanajua alivyosema MTUME WETU MUHAMMAD swalalahu alayh wasalamu kuwadharau wanawake na kuwakejeli 😭😭