Shekh Ali Abubak. Fawallah nakupenda kwaajili ya Allah.
@maawymuhammad6779 Жыл бұрын
Na sisi vile vile hatutaki mwezi wa kushauriana twataka mwezi wa kuonekana قال رسول الله صلى الله عليه وسلم صومو لرؤيته وأفطرو لرؤيته فإن غم عليكم فأكملو العدة ثلاثين
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Nakutambua ustadh tukiwa Qubaa
@shuaibsaid515 Жыл бұрын
Masha Allah ujumbe umefika.
@maawymuhammad6779 Жыл бұрын
Nyinyi mawahabi mlipewa na nani kazi ya kufuata mwezi wa suudiyah. Hatutaki mwezi wa kushauriana twataka mwezi wa kuonekana!!!!!