Рет қаралды 22,991
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Tarehe 15/10/2010 . Sira ya Mtume Muhammad s.a.w , ndani ya sira hii kuna, Mtume wetu Muhammad alitoa khutba ya kuaga ni Khutba gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.