Рет қаралды 86
Je, Umekuwa ukitamani kushiriki mbio yaani marathon?
Kidete Ujenzi Marathon sasa Imewadia kwaajili yako. Ni mbio zilizoandaliwa na Kanisa Katoliki Kigango cha Kidete-Kigamboni, ili kuhamasisha uchangiaji wa ujenzi wa kanisa la Kigango hicho.
Ili kushiriki, jisajili sasa kwa gharama Tsh. 30,000/= ili uweze kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango unaoendelea.
Waweza kutuma mchango wako huo kwa kutumia TIGOLIPA NAMBA 22708739, Kwa jina la "Kanisa Kidete Ujenzi Marathon"
Mbio hizi za hisani, Kidete Ujenzi Marathon, zimedhaminiwa na @tigo_Tanzania, #NEFS Clearing and Forwarding, @khakiMedia, @climaxmotors na @Channel ten