Kidis - Nyonda (Official Music Video)

  Рет қаралды 141,902

Kidis The Jembe

Kidis The Jembe

Күн бұрын

" NYONDA" Is A Swahili Song, Means My Lover.. Or Sweetheart A Gal Who I Used To Love And According To My Lifestyle Which I Was Poor Back Then She Did'nt Give Me A Chance To Be With Her.. After My Life Changed To Riches Now She Wants Me Back.. But Too Bad Have Found A New And Loving Partner ...!!! #JembeKikazi

Пікірлер: 237
@joyce9066
@joyce9066 3 ай бұрын
Nani aliba nyota yako bro
@dekaifranklins
@dekaifranklins 8 ай бұрын
2024 here..... Wewe nyonda... Mbona umenikumbuka 🎉
@SharikiSaidi
@SharikiSaidi 6 күн бұрын
Danlod
@dekaifranklins
@dekaifranklins 5 күн бұрын
@SharikiSaidi vipi kaka
@sumayyahkadzo
@sumayyahkadzo Жыл бұрын
Wewe 🎉🎉🎉❤
@Joramkatana
@Joramkatana Жыл бұрын
Ulijifanya wa mjini nikikuita huji mbona Leo umenikumbuka.
@Jimy-o3x
@Jimy-o3x Ай бұрын
Kidis the real jembe in coast keep it trend,will support you the artists teacher.
@emmabantonkenya
@emmabantonkenya 3 жыл бұрын
Mkali wa Jana Leo na kesho
@Dc-escapades
@Dc-escapades 8 жыл бұрын
This is my favorite song by Kidis.
@paulkamunyu5386
@paulkamunyu5386 Жыл бұрын
The only artist of our times left with content in the head
@mildredpapai4038
@mildredpapai4038 8 жыл бұрын
I've played this song for more than 10times whaaaa its dope good job kidis ya Allah akuzidishie
@davidkamotho3352
@davidkamotho3352 Ай бұрын
wakuu WA 2025 mkoo?
@Hirmizz
@Hirmizz 3 күн бұрын
Sauti ndio ulijaliwa zaidi
@jumamanyao881
@jumamanyao881 Жыл бұрын
Great song ❤❤
@majaliwamwachiugu2105
@majaliwamwachiugu2105 Ай бұрын
Wabongo waone huyu msanii wetu ndo wajue Kenya mziki upo elimu na mengineo
@Suleiman_Ali_336
@Suleiman_Ali_336 9 ай бұрын
Mombasa pendeni wasanii wenu acheni utiaji
@milicentaidah8322
@milicentaidah8322 Жыл бұрын
Heeee huu wimbo 🔥🔥💯
@alicejohn4745
@alicejohn4745 4 жыл бұрын
Kwa kweli hii nyimbo naipenda sana
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Asante Alice🥰
@palubizkulekule6112
@palubizkulekule6112 9 жыл бұрын
Una sauti na mistari mizuri saaana,mia mia nmeipenda nyonda,yule kwa video mrembo sana
@williammangale1768
@williammangale1768 8 ай бұрын
Bro uko poa kimziki Rudi kw mziki bro uko poa coast uko juu mm hua siskizi bits za Nairobi hakuna mziki 🤘
@aminamkuzi2965
@aminamkuzi2965 8 жыл бұрын
Masha allah yani mm kusema ukweli nazipenda sana nyimbo zako,kaka kidis big up kwa sana alafu ndio unazidi kwenda mbele video nimeipenda thank's
@oscartvonline2382
@oscartvonline2382 3 жыл бұрын
Kidis is one of the finest artists we've ever had in the 254. Sauti ya kinanda. I feel that the coast has the best artists in Kenya but are let down by their management. Otile, Masauti, Sudi Boy, etc are all from the coast and they took over.
@mameyebayole
@mameyebayole 10 ай бұрын
Uaacha miaaaa!, Daaah! 🔥🔥🔥🔥, moto sana aisee
@tekashicee4503
@tekashicee4503 6 күн бұрын
2025 still Kidis still on top🎉
@KidCrowder
@KidCrowder 4 жыл бұрын
Ngoma safi sana hii!! Kwani ulipotea kwa scene? leta zingine
@mathewmutuku7342
@mathewmutuku7342 7 ай бұрын
Nice one, huu ndio mziki unapaswa kuimbwa na kizazi cha Sasa, sio matusi
@suleimankabujah8023
@suleimankabujah8023 4 жыл бұрын
Ngoma ilisimama wima broo, hatingiki. Naikubali mpaka waleo.
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Shukran Sana Kamandaa
@Peter-v8l
@Peter-v8l 4 ай бұрын
Nimedonjo sababu ya ustadh maithe( umta254) like you broo
@danstonkisaka7173
@danstonkisaka7173 Жыл бұрын
This song reminds me of a Club in Voi called Sky Base back in days ....hii ngoma ndo ilkua imetoka ....kuhepesha mtoto wa Shule nkazama Naye Dundaa.....ustake jua vle kulienda
@lzalza8074
@lzalza8074 Жыл бұрын
Kaka kama kaka nko hapa nikisikiza tena 💃💃💃💃💃
@gracemjeni8687
@gracemjeni8687 5 жыл бұрын
Kazi nzuri kidis
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 5 жыл бұрын
Shukran saana Grace
@baariujoel4049
@baariujoel4049 5 жыл бұрын
Jembe LA majembe mwana
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 5 жыл бұрын
Oyooooooh
@beauty254...8
@beauty254...8 2 жыл бұрын
Who's here with me 🔥🔥💯💞✌️✌️
@DuncanKibet-wt9is
@DuncanKibet-wt9is 9 ай бұрын
Mm
@joeffreymusyoka5808
@joeffreymusyoka5808 4 жыл бұрын
naipeda sauti yako wallai kidis aki si ukam tutoe kagoma ak p lzz ..2020 still my fevourite
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Thanks Sana brother..kazi ifanyikeee
@joeffreymusyoka5808
@joeffreymusyoka5808 4 жыл бұрын
@@KidisSimbiga ndio naaza br just a direction alf hii sauti nataka itokeee ak av been ur fan since 2012
@isaacgichuki4044
@isaacgichuki4044 8 жыл бұрын
very underrated...endelea vivo hivo ...! ulenge juu kabisa.
@FredrickOgutu-v9w
@FredrickOgutu-v9w 22 күн бұрын
This song reminds me a lot , I just remember my late friend Odiwa Mourice who we used to sing this song .Rip my friend ❤❤❤
@youniyouni7633
@youniyouni7633 Жыл бұрын
Yap Yap ni fanyie nyingine zaidi iko tu fit ❤❤
@amidaamima9069
@amidaamima9069 4 жыл бұрын
hii kali babaa
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Thanks bruh
@selectorphil2043
@selectorphil2043 4 жыл бұрын
Like the way you dance holding the guitar bigup
@joycenyundo850
@joycenyundo850 5 жыл бұрын
Sichoki kuskiza big up jembeeee
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 5 жыл бұрын
Shukran saaaana
@kaylaavillia8788
@kaylaavillia8788 8 жыл бұрын
kidis na enjoy wimbo hapa Sweden big up ☝
@DuncanKibet-wt9is
@DuncanKibet-wt9is 9 ай бұрын
Tamuu hii🥳🥳🥳😋😋😋
@tommusyoki5564
@tommusyoki5564 8 жыл бұрын
kali sana..eeweh nyonda
@joeffreymusyoka5808
@joeffreymusyoka5808 4 жыл бұрын
kali bado niko dani 2021
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Yooooooh
@Joramkatana
@Joramkatana 6 жыл бұрын
Ulijifanya wa mjini nikikwita huji mbona umenikumba!! #THEJEMBE
@AbdallaBaya
@AbdallaBaya Ай бұрын
❤❤❤❤❤ old is gold ❤❤❤
@agnespembe5844
@agnespembe5844 3 жыл бұрын
😜😘😍🤪me narudi hizi enzi
@nellychokoletivlogs5485
@nellychokoletivlogs5485 4 жыл бұрын
Wacha mia
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Yeeeeeeah
@KenchezB-uu1wp
@KenchezB-uu1wp Ай бұрын
Great vibe🎉🎉❤
@goddesslynn
@goddesslynn 7 жыл бұрын
I can't get tired of this video,kidis,Kali Sana'a,nairudia Sana'a,am interested na ngoma zako sana,ningependa kuwa dancer kua mangoma zako please,I won't disappoint u,
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 7 жыл бұрын
Lynn Yvann Thanks so much Lynn
@goddesslynn
@goddesslynn 7 жыл бұрын
Kidis VEVO ....u welcome please think about it,ningependa sana kuwa dancer kua ngoma zako,please
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 7 жыл бұрын
Lynn Yvann Lemme check you dear
@goddesslynn
@goddesslynn 7 жыл бұрын
Kidis VEVO thanks a lot,will be waiting
@dalacmb9455
@dalacmb9455 Жыл бұрын
Kidis rudi kwa game
@monarm9363
@monarm9363 6 күн бұрын
Mbona yuko alirudi tokea kitambo huyo mzee baba the jembe huyu ni fire🔥🔥🔥🔥moto wa kuotea mbali
@puritykalama7631
@puritykalama7631 2 жыл бұрын
Utam mpaka bas tu big up the jembe yan ❤🌹❤❤
@jeff.musyoka7424
@jeff.musyoka7424 Жыл бұрын
2023 still here guys
@hmddhmdd1169
@hmddhmdd1169 2 жыл бұрын
Jamani nimekumbuka mbali
@WangoniMwachupa-n1w
@WangoniMwachupa-n1w 4 ай бұрын
Best job the jembe
@officialrinna
@officialrinna Жыл бұрын
kidis🔥 🔥
@Africansoundboy
@Africansoundboy Ай бұрын
A real blast from the past. These ate the guys who should have been flying the Kenyan flag musically 🎼 but we have to content with nonsense like Yesu nipe nyonyo, sijui mapangalee.
@royochieng6965
@royochieng6965 7 жыл бұрын
kazi moto kaka
@WamweaCate
@WamweaCate 9 ай бұрын
Tamu sanaaaaa ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AlekyzTheGreat55
@AlekyzTheGreat55 4 жыл бұрын
2020 still my favorite from the Jembe 🔥🔥
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Yoooooh 🙏
@jennymalemba3163
@jennymalemba3163 Жыл бұрын
2023 still my favorite
@danieln.9135
@danieln.9135 4 жыл бұрын
Love Kidis
@kinlarknafasi
@kinlarknafasi 9 жыл бұрын
Kinlark Nafasi waz hia..Kazi poa sanaa..
@SimonMutuma-w8n
@SimonMutuma-w8n 4 ай бұрын
Jembe✔️💪
@alexmwambegu6826
@alexmwambegu6826 8 жыл бұрын
ulijifanya wamjini sio,
@celestinezawadi2629
@celestinezawadi2629 9 жыл бұрын
nzuri sana kaka...
@SweetnessIbrahim-ww4qf
@SweetnessIbrahim-ww4qf Жыл бұрын
Mpenzi jamani🥵🥵😍🥰💕❤️❤️
@vincentongera70
@vincentongera70 8 ай бұрын
Tamu sana. 2024 This is a hit. Mob love from upcountry enjoying this song while on holiday in PrideInn Paradise Mombasa 🎉
@majiranitv3831
@majiranitv3831 9 жыл бұрын
nilikuwa nimengoja sana thanks bro
@divabaibe3094
@divabaibe3094 9 жыл бұрын
kabisa
@halimashangz4226
@halimashangz4226 6 жыл бұрын
HAHAHAHAAA NYONDA IMEKULA KWAKO...BIG UP KIDIS. A LESSON TO MY FELLOW LADIES
@kabujahsuleimanih5814
@kabujahsuleimanih5814 4 жыл бұрын
Kaka the Jembe, Jembe kweli.
@hkmeme5437
@hkmeme5437 6 жыл бұрын
Kidis we need more song like this usilale uko na talent jitaidi #KidisTheJembe
@radicalljinari3863
@radicalljinari3863 3 жыл бұрын
Kidis kiboko aisee..ma mum introduced me to his music manze.
@estherngolo453
@estherngolo453 2 жыл бұрын
Ndio kusikiliza ❤️❤️❤️
@SarahChizi
@SarahChizi 8 ай бұрын
One❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉💯💯🔥🔥👌
@malmalmathifa2272
@malmalmathifa2272 9 жыл бұрын
big up..you gat agood voice👌👌👌👌👌
@benardnzuki968
@benardnzuki968 Жыл бұрын
2023 still my favorite musician in Kenya despite having little support
@malikdedon8972
@malikdedon8972 9 жыл бұрын
Hujawai niangusha
@perisnyambu2588
@perisnyambu2588 4 жыл бұрын
My favourite musician....love your songs😍😍
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Aaaaaaaw thanks
@kinklan2020
@kinklan2020 8 жыл бұрын
kazi kali saaana kaka mkubwa. Mungu aendelee kukubariki
@shikoshiko3670
@shikoshiko3670 9 жыл бұрын
wow noma tena sana #mbichi na imeiva Irie
@denitobuffer9149
@denitobuffer9149 8 жыл бұрын
kazi safi sana
@rosekenya9338
@rosekenya9338 9 жыл бұрын
Awesome guy's keep it up
@zakarialubita7291
@zakarialubita7291 8 жыл бұрын
kali sana broza watesa
@lakutsakizamedia5144
@lakutsakizamedia5144 Жыл бұрын
Ulitisha that time n still rocking
@cliffombaye3959
@cliffombaye3959 8 жыл бұрын
love u kidis watching from texas more so i love this song na ile ya tothy
@jasminebaibe7355
@jasminebaibe7355 7 жыл бұрын
safii sana broo big up
@mkiawachui6449
@mkiawachui6449 2 жыл бұрын
Nakumbuka hio tym nikiwa shule nachelewa Dio niskize kidis
@KidCrowder
@KidCrowder 4 жыл бұрын
Bro....si ulibarikiwa na sauti
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 4 жыл бұрын
Shukran Sana brother
@mosesmotokaa8639
@mosesmotokaa8639 Жыл бұрын
Hapo sasa bro keep it up.
@babsheeomar751
@babsheeomar751 7 жыл бұрын
Hahahaa kuna kachumbary n kachurimba!!! Waah NYC 1 budah
@aliceayua338
@aliceayua338 2 жыл бұрын
Aki Kenya we've got talent walai ni management mbaya walai koz kama sio hao Hawa ma celeb wako wapi aki
@ahamdalharbi5271
@ahamdalharbi5271 8 жыл бұрын
duuh nomaa sauti tishoo asieeee yaani tamuuu mwaaa mzukaaa umetisha voice on point video thumbs song thumbs up
@glynnshunnylibas1948
@glynnshunnylibas1948 8 жыл бұрын
Nice song jembe kidis i like its
@nasrabakari6491
@nasrabakari6491 8 жыл бұрын
Nilisubiri sana hii video ,thanx kidiz nyumbani kuleeeeeee😙😙😙😙
@KidisSimbiga
@KidisSimbiga 8 жыл бұрын
Mbona poa tuu,karibu
@ItelPhone-v4m
@ItelPhone-v4m Жыл бұрын
napenda hii nyimbo nitapata je
@tirikifinest
@tirikifinest Жыл бұрын
Kidis you are the best
@joykatakana1099
@joykatakana1099 5 ай бұрын
Aki uko sawa broo
@nas1667
@nas1667 8 жыл бұрын
hili ni kibao aisee
@junewambua5365
@junewambua5365 10 ай бұрын
❤❤❤❤ goodvibes🎉🎉
@simonmkarekalama4949
@simonmkarekalama4949 8 жыл бұрын
Kazi safi sana Jembe
@jorambramuel3099
@jorambramuel3099 6 жыл бұрын
nice one bro
@khadijamnyazi134
@khadijamnyazi134 8 жыл бұрын
halaf hii uswahili kaka utakumada nika umeshika bakora, hahaha ts sooo sweeet, gud music dud vocal gud video, big up kwa sana
Dazlah ft Kidis - Inawauma (Official Video) {mashav-mashav.blogspot.com}
4:28
MASHAV-MASHAV MA-411
Рет қаралды 60 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Mapozi
5:15
Mbechezi Ibrahim
Рет қаралды 452 М.
CHIKUZEE  -  KICHUNA.
4:25
Balozi Teddy Mwanamgambo
Рет қаралды 603 М.
Eddy Kenzo - Sitya Loss (Official Music Video)
4:37
Eddy Kenzo
Рет қаралды 66 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 533 М.
KIZO B - ULINIBEEP (Final Video)
5:00
KIZO B
Рет қаралды 77 М.
Sauti Sol - Unconditionally Bae ft Alikiba (Official Music Video)
7:24
Kidis -  Penzi Langu [Kachiri Wangu] HD...SMS SKIZA  (1060284) To 811..
3:46
z.anto binti kiziwi
4:44
JOE0005
Рет қаралды 667 М.
KIDIS  -   VIROBOTO   ( Official Music Video )..SMS SKIZA 8081608 To 811..
4:47