Kifo cha Kenei: Kinoti aibua mapya

  Рет қаралды 123,195

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@marymnyasa238
@marymnyasa238 4 жыл бұрын
😭😭😭, ooooh God, plz give strength to the family especially the wife. For the killers, jueni kwamba Mungu halali wala hasinzii
@citymwacheo4497
@citymwacheo4497 4 жыл бұрын
Kenya ukijua sana unaondolewa mungu ataaadhibu wahusika damu itawaandama tu
@barbarakatsivoawere3804
@barbarakatsivoawere3804 4 жыл бұрын
No sin goes unpunished, it visits generation and generation
@ahilmoti9824
@ahilmoti9824 4 жыл бұрын
Kinoti we'll done job
@harunyusuf4229
@harunyusuf4229 4 жыл бұрын
God is a fair judge.
@felister2457
@felister2457 2 жыл бұрын
and it's now the time for people to be exposed!!livondo go go go !!
@anawa4326
@anawa4326 4 жыл бұрын
Very sad indeed ☹️
@viviannegesh5228
@viviannegesh5228 4 жыл бұрын
That why I always say hawa mapolitian kuuwa mtu ni haraka sana, but mmesahau ati kuna MUNGU mbinguni, namkageukia MUNGU dio mpate msaada wa shetani, ssa abieni shetani awamalizie corona virus na hizo locusts, mtajua hamjui, na bado hamjaona mambo mtayaona, you may think mambo iko tu sawa but nikubaya na kutahalibika zaidi, only GOD will safe wale wanamheshimu MUNGU na niwachache zaidi.
@amilahally2438
@amilahally2438 4 жыл бұрын
We miss u JICHO PEVU Ungekuwa ushatutolea kila kitu saa hizi ya MSANDO ya Governor wa nyeri ya KENEI please come back MUHAMMED ALI. OR NIJE UNIFUNZE JINSI YA KUFANYA UPEKUZI
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 жыл бұрын
Aaaih asha join matepeli !
@nyamburanjenga936
@nyamburanjenga936 4 жыл бұрын
Praying for our officer Mr Kinoti, good job well done, , take care they might be after you now, God forbid!!!
@linahkery676
@linahkery676 4 жыл бұрын
Yes mr kinoti go ahead na utaje wote bila uoga usiajie hapo please
@happytimes9747
@happytimes9747 4 жыл бұрын
Mbele ni yakwako nyuma ni yetu rest in peace babaa untill we meet again
@janekhayega7316
@janekhayega7316 4 жыл бұрын
God hv mercy on ua world
@puritycherop
@puritycherop 4 жыл бұрын
This Kenyaa😭😭😭😭Mungu aingilie kati
@caroljebet8053
@caroljebet8053 4 жыл бұрын
Ruto Ruto just because you must be the president am sorry for u remember Biwuot total man
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 4 жыл бұрын
Ruto nicolas ruto biwuot
@naummanyim6718
@naummanyim6718 4 жыл бұрын
stupid why mention Ruto here?
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 4 жыл бұрын
@@naummanyim6718 was it my office or yours or rutos?. Blind love poor snowflakes.
@florencemuchiri606
@florencemuchiri606 4 жыл бұрын
@naum manyim Mbona matusi??? uko na votes ngapi za kupea Ruttoh 2022??? na ukweli usemwe, kwa office yake hao suspects walikua wanafanya nini??? na Ruttoh alisema echesa alikaa kwa office yake 23mnts yet CCTV inaonyesha ni 1:23mnts wacha matusi, tútiendagîrio guoya mûndûú abai
@lucasmwaura7865
@lucasmwaura7865 4 жыл бұрын
Mercy si hii Kenya watu wanachukia ukweli ama nijuu wanamwonanga kwa kanisa kila Sunday Na biblia.sijui ama watu wengine akili zao hua zimejaa mavi ama nivipofu!!!!.I wish jicho pevu was still a reporter atoe hii story vizuri.soo sad for stupid Kenyans
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Kinoti we r praying 4 u also coz now ower leaders everything is going far now
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Pole sana kwa Familia Yake,Mungu awape Subra,Ukweli Ushaonekana but ndio basi .
@julietnekesa8448
@julietnekesa8448 4 жыл бұрын
Bibi wa kenei mungu anakujua my sister omba mungu but siwesi ongea kenei rest in peace n kilio Kenya lkn tufanye aje
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Mungu ndiye hakimu jamani
@bintimohammed3233
@bintimohammed3233 4 жыл бұрын
Kabisa Allahu ahkama hakimin
@kennedyndege8431
@kennedyndege8431 4 жыл бұрын
Is so painful to hear that information we need action to be taken immediately.
@felister2457
@felister2457 2 жыл бұрын
There we go mimi bado niko hapa nikingoja livodo
@magdalinenekesa8550
@magdalinenekesa8550 4 жыл бұрын
Kinoti,rosary ya mama maria unayosoma itakuonyesha muuwaji aliuwa huo askari zidikuomba damu nizito kuliko maji watapatikana.
@richardkoech8951
@richardkoech8951 5 ай бұрын
I am still questioning why Dci Kinoti have never been prosecuted.
@davidmz4601
@davidmz4601 4 жыл бұрын
Mahustler wa Ruto wako wapi? Am eager to know vile watamtetea...
@victorsudi2687
@victorsudi2687 4 жыл бұрын
Good job kinoti
@christabelathiambo3038
@christabelathiambo3038 4 жыл бұрын
Wewe ruto mungu anakuona
@hanifaali9526
@hanifaali9526 4 жыл бұрын
Amesahau kulikua na Toto man sasa yuko wapi.
@miriammuthoka8721
@miriammuthoka8721 4 жыл бұрын
😭😭😭😭Malipo ni hapa duniani tu.
@erickjuma7643
@erickjuma7643 4 жыл бұрын
Look the way Kinoti is demonstrating haha
@rosemarykaloki7639
@rosemarykaloki7639 4 жыл бұрын
Sarah Cohen is watching this also and laughing....and telling her head I can septic you like I did to cohen
@jeninahkaroli837
@jeninahkaroli837 4 жыл бұрын
Alipata nini hee alitoka bure mungu alali rip
@عبداللهالعازمي-ع3ش
@عبداللهالعازمي-ع3ش 4 жыл бұрын
Ina uma sana😭😭
@sarahmunga5885
@sarahmunga5885 4 жыл бұрын
Aki mimi siwezi chagua luto why why why this aki whyy
@christabelathiambo3038
@christabelathiambo3038 4 жыл бұрын
Sarah Munga ruto ni shetani Jacob mshado kenei na wanaficha ukweli lakini mungu alali Utajuwa mungu upo
@b.9811
@b.9811 4 жыл бұрын
Very sad The wife might know thru dreams Who killed the husbands Kama prayer worrior Lakini this Time round Wenye wanafanya hivyo Let them go mad
@amilahally2438
@amilahally2438 4 жыл бұрын
True the wife pray had na atowe sadaka akusudie aliemuuwa wawe wazimu haki hailali
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
RUTO MUST RESIGN
@ersimon9689
@ersimon9689 4 жыл бұрын
FBI Kenya...DCI u closing in on the suspects...good progress report!
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 жыл бұрын
Ukiona wabunge wa Rift valley wame nyamaza na vile wanamidomo mkubwa jua haya muaji yanamhusu Ruto lau angelikua ameua kwa office ya Raila hatunge lala jamaa wana midomo za kunuka
@goodboy6720
@goodboy6720 4 жыл бұрын
Do what uwhat but ruto is our president
@Kituimoses
@Kituimoses 4 жыл бұрын
Medical detectives
@leahmbayar1577
@leahmbayar1577 4 жыл бұрын
Kinoti do your level best we need to know keneis killers.
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 жыл бұрын
Mnajua washa kujifanya si boss wake kwani nani anaweza maliza security guy wa dp kama siyo inside game!
@janetwambuawambua3000
@janetwambuawambua3000 4 жыл бұрын
Msando mkauwa huyu ni mwingine jaman
@nancymochache6661
@nancymochache6661 4 жыл бұрын
However killed him will killed the same not revenging but only God knows 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
@marywambui5251
@marywambui5251 4 жыл бұрын
What a wicked nation 😢😢killing it's a hobby to this nation ..may the killers knows no peace
@marykalei8139
@marykalei8139 4 жыл бұрын
Mwenye alikuua akufuate na family yake yote rip
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 347 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,6 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 9 МЛН
MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha
7:53
Ushahidi wa CCTV waonyesha Kenei akiwa na Rashid Echesa
4:18
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 292 М.
Wakenya wanahadi Ijumaa kutoa maoni kuhusu mswada wa miaka saba ya rais
2:27
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 28 МЛН
Waume Bwege? Wanawake Voi Walalama Hawatimizi Majukumu
2:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 158 М.
Sgt. Kipyegon Kenei's last steps retraced
4:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 296 М.
SABABU ZA VIJANA KUPENDA MISHANGAZI HIZI HAPA
7:57
Wasafi Media
Рет қаралды 4,9 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 347 М.