KIFO CHA MAULANA: 'JEHOVA' WANYONYI AFARIKI, 6 June 2016

  Рет қаралды 142,275

KTN News Kenya

KTN News Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 266
@isaaclangat568
@isaaclangat568 Жыл бұрын
Am here again after watching Yesu wa Tongaren 😆
@welmah5809
@welmah5809 Жыл бұрын
🤣🤣sure the world is funny
@francisekadeli3660
@francisekadeli3660 Жыл бұрын
😂😂😂
@fabicshofficial
@fabicshofficial Жыл бұрын
Tupo wengi
@jackmedia12
@jackmedia12 Жыл бұрын
Me too
@justineabarasa672
@justineabarasa672 Жыл бұрын
Haha 😃
@aliroro9344
@aliroro9344 11 ай бұрын
Yani Hii Dini ya ukrsto ina Aibu sanaa , Sasa uyuu eti mungu, yesu nae mungu, uku nao wegine Malaika , Iblis mwenyewe ajawai jiita mungu Duh Leo mwanadamu ajita mungu.
@petermlay104
@petermlay104 7 жыл бұрын
amekwenda kumuona mungu wa kweli. Ni mm from TZ
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 4 жыл бұрын
Shikamoo
@williamwekesa6109
@williamwekesa6109 Жыл бұрын
Luhya my people, yesu wa tongaren, yohana mbatizaji, Jehovah wanyonyi
@sitibora4942
@sitibora4942 8 жыл бұрын
inshaallah uchomwe hadi mivuzi mbwa wewe huogopi Mungu wako pumbavuuuu na nyinyi washenzi wengine rudini kwa Mungu wenu mbwa nyinyi
@mwanakijacho640
@mwanakijacho640 6 жыл бұрын
😂
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 5 жыл бұрын
Waombee usitukane looh hawajui wanachofanya!
@vevonicabirage1215
@vevonicabirage1215 5 жыл бұрын
hata wewe nna mashaka na mungu unae mwabudu si kwa matusi hayo
@stevek8318
@stevek8318 4 жыл бұрын
Hata wewe na wanyonyi mko sawa. Humuogopi Mungu kwa matusi yako.
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 4 жыл бұрын
Mbilika laicheka chungu eti ni nyeusi wakati vyote motoni
@Osmanmkomwa91
@Osmanmkomwa91 5 жыл бұрын
Allah awaongoze maana mnakufuru huyo si mungu
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
ivi watu nao wanaamini mungu gani sura mbaya hivyo sifa ya mungu hazai wala hajazaliwa halali hali cha kula hafanani na mutu yeyote na wala sio mwanamke na wala sio mwanaume hanamfano wowote badilikeni someni kuruan kitabu kitukufu mtaelewa kila kitu
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 5 жыл бұрын
Umenichekesha ulivyosema SURA MBAYA! 😂😂
@frankdanford8245
@frankdanford8245 5 жыл бұрын
😁😁😁😂😂😁😁😁😀 bwana swaleh eti mungu gani sura mbaya hivyo
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 5 жыл бұрын
Shuweha Haruna Omari Ikwena Koran siyo kitabu cha Mungu!!Ni kitabu cha Shetani (Allah)na malaika zake ni majini (Mashetani).
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 5 жыл бұрын
@@daviddavid-gq8zp Na wewe ni Nani? Ikiwa unaita watu mashetani basi na wewe ndio Nani? Chunga ulimi utakutupa pabaya
@christopherotieno8004
@christopherotieno8004 5 жыл бұрын
I need some popcorns as I watch this!!!!!
@MohamedYuss
@MohamedYuss 5 жыл бұрын
Christopher Otieno haha 😂 probably...
@juliolondon312
@juliolondon312 3 жыл бұрын
i know Im kinda off topic but does anybody know a good website to stream new tv shows online ?
@titusarthur9770
@titusarthur9770 3 жыл бұрын
@Julio London try FlixZone. You can find it on google =)
@troylorenzo6430
@troylorenzo6430 3 жыл бұрын
@Titus Arthur Yea, have been watching on Flixzone for since april myself :D
@juliolondon312
@juliolondon312 3 жыл бұрын
@Titus Arthur Thanks, I went there and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 5 жыл бұрын
*These are the army of the BEAST may the almighty guide you all to the right path!*
@aliroro9344
@aliroro9344 9 ай бұрын
Hawaa wamepotea zaidi ya Firauni alolaniwa na Allah SW.
@Albertmusita
@Albertmusita 5 жыл бұрын
wanyonyi, are you also a family member au??
@vijananarutomovement7625
@vijananarutomovement7625 2 жыл бұрын
I want to insist on mental health,check on people you know 😂😂😂
@juma_254
@juma_254 Жыл бұрын
"Na Mimi ni Robert wanyonyi"😂😂😂cold😂😂
@mourineikutwa4941
@mourineikutwa4941 4 жыл бұрын
Enyi Kizazi Kisiomjuwa Müngu Kuhukumu Nivyema Mchuwe Mungu Wa Kweli Mnapotoshwa Na Mwanadamy Mwengine
@jamalimtima6176
@jamalimtima6176 6 жыл бұрын
Imani hii na dhehebu hili la kikristo,limenipa majibu kuwa; ukristo si dini ya MUNGU.
@yohanamgege2781
@yohanamgege2781 5 жыл бұрын
Wewe kua naakili kaka je hujasoma maandiko kwamba siku zamwisho kutakua nyakatizahatali hatali zenyewe ndiyo hizi hata yesu alisema siku zamwisho watatokea manabi wa uongo sasa wewe ukiwa na wasiwasi na ukilisito endelea hivyohivyo laki ujue siku hizi tunaishi kwa imani imani hiyo inamtegemea Mungu na yesu wake na kuona haya na utaendelea kuona mengine zaidi ya haya maana ndizo siku za mwisho hizi na haya kama hujayachunguza yanaweza kukupotosha
@akanishabani5789
@akanishabani5789 5 жыл бұрын
Hata hapo ulipo ni shimoni.
@الشيخذوالقرنينعلي
@الشيخذوالقرنينعلي 7 жыл бұрын
Mungu gani ana kufa ?
@typical_africanfunnychanne4210
@typical_africanfunnychanne4210 4 жыл бұрын
Upuzi ambayo iko hii dunia 😅😅
@wezhc3013
@wezhc3013 3 жыл бұрын
May Allah protect and guide those people
@bonayahappi7956
@bonayahappi7956 Жыл бұрын
Who else, is, watching this, after, watching Jesus of tongaren 2023😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 hii dunia inaisha, aki. Watu wamepotea
@aminland8167
@aminland8167 5 жыл бұрын
Mungu gani anaowa anakula anakunya meno yametoka na amekufa awajaa naona wamechanganyikiwa wasubiri hukumu kutoka kwa mungu mwenyewe
@fahmiabubakar5654
@fahmiabubakar5654 5 жыл бұрын
Kuzaliwa mwislamu raha
@zanakarisa7319
@zanakarisa7319 3 жыл бұрын
Ya ALLAH wasamehe waja wako na uwaogoze 😭😭😭😭😭😭😭
@ibrahimkhadija5806
@ibrahimkhadija5806 5 жыл бұрын
( لَوْ أَرَدْنَا أَن نَّتَّخِذَ لَهْوًا لَّاتَّخَذْنَاهُ مِن لَّدُنَّا إِن كُنَّا فَاعِلِينَ )) Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.
@ibrahimkhadija5806
@ibrahimkhadija5806 5 жыл бұрын
Allah can never do such nonses
@rhiyahbaby304
@rhiyahbaby304 8 жыл бұрын
wanyonyi na wafuasi wake watakuwa kuni za babu yao firauni katika jahanamu. huo ni upuuzi mtupu
@sarahstephenofficial2648
@sarahstephenofficial2648 5 жыл бұрын
No one hv ever seen God in this life GOD IS THE LIVING LORD HE CAN'T DIE IN ANYWAY This wanyonyi I hv no wards for u
@canteienterprises9869
@canteienterprises9869 5 жыл бұрын
huyu ni mgonjwa wa kawaida..nashikwa na hasira juu ya hii nyani haina meno
@John-qr4kf
@John-qr4kf Жыл бұрын
Mungu baba na mwana ni waluhya,sasa tunangoja roho mtakatifu.
@MA-ht7po
@MA-ht7po 5 жыл бұрын
Si alisema ataishii milele?
@wereomusula2258
@wereomusula2258 5 жыл бұрын
Jameni mungu hukufa? Hee haya ni majabu. Poleni Sana murudieni mungu na muombe msamaha.
@ilovemyfamily8925
@ilovemyfamily8925 5 жыл бұрын
Wanyonyi umevunja record yani bado nashangaa kweli
@abdallahshaaban1539
@abdallahshaaban1539 7 жыл бұрын
Aaaaaaaah nabado mtazidi kuyaona mengi zaidi ya hayo ibilisi anazidi kuwapoteza pumbavu zenu Mara wakasema oooh tazama watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa mafirauni mengi humu duniani
@abelisimoni1748
@abelisimoni1748 Жыл бұрын
Who watches July 2023
@faithlagaka9805
@faithlagaka9805 7 жыл бұрын
sijui mnasoma bibilia gani hizo. wakati ni sasa tubuni open ua blind eyes u sinners. .No other gods apart from the Almighty Lord and the living one
@Mwendatezicomm
@Mwendatezicomm Жыл бұрын
Jehovah wanyonyi yupo wapi sasa ?
@zawadimoses7745
@zawadimoses7745 4 жыл бұрын
thankyou God
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 жыл бұрын
hii habari ingepata mohamd Ali, ungependa/enjoy.
@jumaramadhan8966
@jumaramadhan8966 5 жыл бұрын
True
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 4 жыл бұрын
Mnafaa kutuangwa makofi nyinyi wote tangu lini mungu alionekane na macho ya binadamu kwendeni nauko
@emmanuelalphaxard9276
@emmanuelalphaxard9276 5 жыл бұрын
Sijahukumu ila ishahukumiwa , ndimi bwana Mungu wako usiabudu miungu wengine ila mimi , mwisho wenu jehanum
@stevek8318
@stevek8318 4 жыл бұрын
Dentists volunteers needed, true evangelism also that they may Know God
@bernardoloo2023
@bernardoloo2023 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@halimajuma3077
@halimajuma3077 7 жыл бұрын
ambi langu kwa MUNGU niawatoehuko, binadamu munamuita MUNGU jamani tubuni, haiwezekani binadam aweMUNGU
@faithlagaka9805
@faithlagaka9805 7 жыл бұрын
why alizikwa Kwa siri na mavazi yake yananitisha
@peterotieno9248
@peterotieno9248 4 жыл бұрын
Oooh God Lord help your people...
@kenlubisia7045
@kenlubisia7045 5 жыл бұрын
Beyond madness 🤔, shindweee.....
@gwiternzleedrumee7699
@gwiternzleedrumee7699 Жыл бұрын
Na sai kumetokea Yesu
@milkamugomomugenimgomo6824
@milkamugomomugenimgomo6824 6 жыл бұрын
Hawa wamelaniwa utamwabudu binadamu mwenzako kivipi sasa mbona mungu kafa
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 6 жыл бұрын
Mashoga Wakubwa Nyie Kama Mungu Ni ahuyo Mzee Wenu Kheri Nkachomwe Lakini Siezi Kusujudia Binadamu Mwenzangu Pumbavuuhh
@drmsange652
@drmsange652 5 жыл бұрын
Duh,,hiyo kali innalillahi wainna ilaihi rajjiun
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 Жыл бұрын
Mungu Wanyonyi aliyezaliwa!!!?
@alfrednyambane4772
@alfrednyambane4772 2 жыл бұрын
Deuteronomy 18:20
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 жыл бұрын
basi wangesema wanazika mwili lakini roho inaishi
@bonifacekorir4393
@bonifacekorir4393 Жыл бұрын
May God send the holy fire fire fire to that place
@signtheblackrussian
@signtheblackrussian 2 жыл бұрын
That's what happens to devil worshippers... Shetani anajiita Mungu.. God is NOT mocked.. Mila zenu zitawaponza.... Mtakufa sanaaaa... 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@yohanamgege2781
@yohanamgege2781 5 жыл бұрын
Nyinyi wakenya mbona mnamzihaki Mungu wetu wakweli atawaazibu siku zamwisho
@tofikcool4857
@tofikcool4857 5 жыл бұрын
wakenya wapi corect ur statement msenge akose moja ututie paka cc
@gfcjbc7560
@gfcjbc7560 3 жыл бұрын
Kenya sihami nan mwingine anasoma comments
@sitibora4942
@sitibora4942 7 жыл бұрын
jamani Mungu anafuga Rasta 😂😂😂😂
@msoujood1320
@msoujood1320 5 жыл бұрын
😆😆😆
@maggiemandela3526
@maggiemandela3526 6 жыл бұрын
This is total madness
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
Huyo Mungu hakufariki, bali aliaga dunia.
@saidbakari7476
@saidbakari7476 4 жыл бұрын
KAMA NI MUNGU WAO NI SAHIHI KUZIKWA NA WAFUASI WAKE HATA MANABII WALIZIKWA NA WAFUASI WAO NA PIA NI SAHIHI KUSEMA HAJAFA KWANI MANENO YA MUNGU HUWA HAYAFI WAPO SAHIHI HATA YESU HAKUNA MTU YOYOTE WA KIZAZI CHA SASA ALIEMUONA LAKINI MANENO YAKE YAPO HAI MPAKA LEO NA HATA HUYO MUNGU YEHOVA WANYONYI AMEKUFA LAKINI KWA WAFUASI WAKE BADO YUPO HAI KWA MAANA YA MAAMRISHO YAKE.TATIZO SISI WAISLAM NA WAKRISTO TUNA TABIA YA KUDHARAU DINI NDOGONDOGO NA ZA KIJADI HASA SISI WAAFRIKA TUMEACHA DINI ZETU ZA KIMILA ZA KIAFRIKA TUMEKUMBATIA DINI ZA KULETEWA NA WAZUNGU NA WAARABU TUKAZIACHA MILA NA DINI ZETU ZA KIJADI.HAO WAFUASI WA YEHOVA WANYONYI WAPO SAHIHI ILITAKIWA WAKENYA WOTE WAJIUNGE NA HIYO DINI KWA SABABU NI DINI YA AMANI HALAFU MUNGU NI MWAFRIKA MWENZETU SERIKALI YA KENYA IWEKE KUMBUKUMBU YA HUYO MUNGU WETU NA WACHAPISHE VITABU VYENYE MAAMRISHO YAKE KAMA BIBLIA NA
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 5 жыл бұрын
Huyo jehova wanyonyi namjua kuwa ni baba ya yesu wa kuchonga kwa mbao !!Sio yule Yesu wa Nazareth
@bakariozias6612
@bakariozias6612 6 жыл бұрын
naulize kwanza wakenya kitabu chamadikoyake kinaitwa jina gani??
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 6 жыл бұрын
Masinga umbwe
@millicentkangethe6885
@millicentkangethe6885 3 жыл бұрын
Ningekua Mungu, wengine ningeanza kuwashughulikia mapema.
@tatujuma8781
@tatujuma8781 2 жыл бұрын
😀😀😀
@jacklineachiengowiti6607
@jacklineachiengowiti6607 4 жыл бұрын
Mshindwe kabisa mna habudu binadamu mwe zenyu
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 Жыл бұрын
Thankx be to God
@winfridahbulinya2328
@winfridahbulinya2328 5 жыл бұрын
May I not serve other gods, apart from the living God
@isamilabdi6330
@isamilabdi6330 6 жыл бұрын
Huu ni ujanga mzee ALIKUA MZINFU .ALIKUA ANAPEND SANA KUTOKANA.
@lawrencejuma3363
@lawrencejuma3363 5 жыл бұрын
These people are in real spiritual darkness and ignorance. Let the local pastors help them.
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
How did you come to that conclusion? These are peaceful people. They have never killed anyone. Which other local pastors are more local than these people?
@abbiecox1
@abbiecox1 7 жыл бұрын
ELIAB WEKESA ACHA UJINGA MOTO UNAKUNGOJA
@patriciawaisaac4885
@patriciawaisaac4885 5 жыл бұрын
Pole wanyonyi ulikuwa mungu wako binafsi
@rizikiprospa4069
@rizikiprospa4069 Жыл бұрын
anakufaje na yy ndie mungu muumba
@pamelanyakoa9878
@pamelanyakoa9878 5 жыл бұрын
Mungu wangu hatawai kufa
@eunicenelima9485
@eunicenelima9485 7 жыл бұрын
Oh my GOD mbona watu upotea wenzao waongoje ukumu wa mungu .
@Bhantobhonswe.
@Bhantobhonswe. 5 жыл бұрын
Tanzânia hapo mmeelewa nini hapa
@kelvinkajuna6689
@kelvinkajuna6689 5 жыл бұрын
Kwamba Kenya ni machizi
@jumaramadhan8966
@jumaramadhan8966 5 жыл бұрын
Sasa kama mungu alikufa hii dunia ingeendelea kweli..huyu jamaa na wafuasi wake ni stupid sana
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 5 жыл бұрын
Ktn tafadhali rudini huko mkachunguze washirika walienda wapi baada ya saitani kukufa
@isamilabdi6330
@isamilabdi6330 6 жыл бұрын
Alikua ANAPEND sana KUTOMBANA.
@omarhassan23
@omarhassan23 6 жыл бұрын
Isamil Abdi hahaha nimutiaji sana
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 6 жыл бұрын
Isamil Abdi sana
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 8 жыл бұрын
wah Dunia simama ni shuke
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 жыл бұрын
Yah! kufa utakufa tu.
@worldwide_254
@worldwide_254 Жыл бұрын
Huyo malaika wake mwenye hana meno za mbele akona kiherehere sana😂😂😂😂😂
@suleimanharoub4982
@suleimanharoub4982 3 жыл бұрын
Anadai kaumba mbingu na nchi sasa mbona ardhi imemsaliti? Mnakwama wapi wakenya mungu hafanyiwi dhihaka
@steveswakei9600
@steveswakei9600 8 жыл бұрын
this makes me really wonder just the level of foolishness with some humans.
@sadaamadan9968
@sadaamadan9968 7 жыл бұрын
Si la kushangaza hata firaoni alisema yeye ndio mungu na jehova alikufa so tubuuni
@hunchojack1039
@hunchojack1039 5 жыл бұрын
We na iyo mapengo yako mwambie arudishe Meno yako
@sallykalya9023
@sallykalya9023 5 жыл бұрын
Abubakar Mohamed Ata uyo mungu wao hana meno pia😂
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
I hope now u hv know who's God
@Victor-qu5nz
@Victor-qu5nz Жыл бұрын
Confusion...
@AhmedIbrahim-vo2om
@AhmedIbrahim-vo2om 6 жыл бұрын
Ako wapi basi
@xcross8537
@xcross8537 5 жыл бұрын
The old man was illiterate but he was the greatest manipulator ever.
@lawrencemukoyani4385
@lawrencemukoyani4385 Жыл бұрын
Too bad to the innocent followers who have been turned to cult. God forgive them 🙏
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 Жыл бұрын
Wanyonyi kwa wanyonyi! Duh
@erical8428
@erical8428 4 жыл бұрын
The level of brainwashing 🤯
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
End tines are near
@sitibora4942
@sitibora4942 8 жыл бұрын
polepole basi watoa nyute kwa micro
@benedictmhina8896
@benedictmhina8896 5 жыл бұрын
Mungu anamapengo hahahaha daah hatari sana.
@elizabethnthenge7533
@elizabethnthenge7533 4 жыл бұрын
My GOD is handsome, and awesome, not agly
@maryamkokani4683
@maryamkokani4683 8 жыл бұрын
God forgive them...coz they really don't know what they're doing.
@paulondiek8535
@paulondiek8535 8 жыл бұрын
Sure,sema ignorance.
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 4 жыл бұрын
Kumanyoko wewe mwanamke unaejiita Mungu, Wewe ni shetani wa mapengo.Mimi nàamin Mungu yupo na sio wewe Pumbavu Wewe mapengo unasema yesu haji? Yesu atakuja kila jicho litamuona, tena atakuja na mwaliko mkuu wa parapanda na Malaika. Shenzi wewe
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awasamehe hawajui walitendao
@KEVINNYONGESA-j7l
@KEVINNYONGESA-j7l Жыл бұрын
Awasamehe tu hawakijui wAkifanyau
@frankdanford8245
@frankdanford8245 5 жыл бұрын
Mungu gani wakupokezana madaraka huyo, kaondoka wanyonyi kamuachia umungu Elizabeth daaaah.😁😁😁😂😂😂😀
@magugum2492
@magugum2492 3 жыл бұрын
Kweli duniani kuna ujinga!!!
@claraaching8759
@claraaching8759 5 жыл бұрын
Mungu awasamehe na awabadilishe maana hawajui lolote walifanyalo
@ahmedsheikh8228
@ahmedsheikh8228 5 жыл бұрын
Hawa ni wa dini gani? Ajabu
@edwinelias8554
@edwinelias8554 3 жыл бұрын
Waisrael waliopotelea kenya chini ya jehova wa nyunyiii🤣🤣 kenya kuna vijimamboo sanaa
@elvinotema2393
@elvinotema2393 2 жыл бұрын
Bangi
@MA-ht7po
@MA-ht7po 5 жыл бұрын
Si alisema afii
1 Million People Think He’s Jesus Christ
20:30
Drew Binsky
Рет қаралды 1,5 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН
Подсадим людей на ставки | ЖБ | 3 серия | Сериал 2024
20:00
ПАЦАНСКИЕ ИСТОРИИ
Рет қаралды 530 М.
Mungu Mweusi
3:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 574 М.
Final Days of Che Guevara
51:34
Best Documentary
Рет қаралды 2 МЛН
Elizabeth Akata achukua usukani wa Jehova Wanyonyi
2:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 109 М.
'Malaika' mtu aliyempiga 'mungu' wake picha - Dawah kwa Jehova Wanyonyi (Part 2)
1:07:20
“Mungu” Mfu, Je Jehova Wanyonyi Yu Hai Au Alifariki?
3:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 165 М.
Mazishi Ya Ajabu Yaandaliwa Emuhaya, Kakamega
2:58
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 754 М.
Jehovah Wanyonyi adherents say they are not a cult
2:18
Nation
Рет қаралды 4,1 М.
OSC wohetwo maica njera  #Njerainĩciitũ
12:13
Inooro TV
Рет қаралды 131 М.
CNN goes inside Bashar al-Assad's garage full of luxury cars
10:44