Рет қаралды 33,600
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha KCA Sammy Cullin Maina aliyetoweka wakati wa maandamano mapema mwezi juni amepatikana akiwa ameuwawa. Sammy amekuwa akitafutwa mitandaoni kama mmoja wa waandamanaji. Familia yake ikithibitisha alipatikana kasarani, japo kitendawili kimeendelea kugubika sababu ya kifo chake