Mgaya viewers wanapungua unapoteza mashabiki watu washazoea kuwaona kina kipara kina zumba kina mwasi unaweka watu tofauti unapoteza radha sio kwa ubaya yan masaa 19 unapata viewers 624 sio kweli ikiisha hii rudisha watu tulio wazoea hao waache waigize kule kule busati