KIJANA MAJALIWA ALIYEOKOA WATU KWENYE AJALI YA NDEGE, APIGIWA SHANGWE KUBWA BUNGENI

  Рет қаралды 98,299

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 165
@abasialimussa8493
@abasialimussa8493 2 жыл бұрын
Allah akiamua kukufungulia rizki hakuna wa kuipinga ❤️❤️❤️ Allah ampe afya njema apate kulitumikia taifa lake kwenye majukumu mbalimbali❤️❤️🇹🇿🇹🇿
@eliasingwangwa2455
@eliasingwangwa2455 2 жыл бұрын
Hongera San kijana kwa kujituma hata mm nimefrahi kwa wokozi ulioufanya kijana mungu akupe maisha marefu
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi inshallah
@mahamuduselemani4151
@mahamuduselemani4151 2 жыл бұрын
@@eliasingwangwa2455 up
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 2 жыл бұрын
Daah kweli wakati w Mungu ikifika wee mashaAllah Majaliwa alivyo ngaa kweli umasikini si kitu kizuri ,Majaliwa Mungu akuzidishie sana nimefurahi hadi basi 🥰
@Moregun619
@Moregun619 2 жыл бұрын
God's work!! Mwenyezi Mungu Amuongoze kwa Kila jambo na Amlinde usiku na mchana Shujaa huyu
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 2 жыл бұрын
Kila nikimuona Majaliwa machoz ya furaha lazma yanitoke💛💚💛💚 Mungu amuongoze cku zote 🙏
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 жыл бұрын
Nikimuona majaliwa namkumbuka Rubani jamani
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Hakika wallah nami nimefurahi wabunge kumuita majaliwa bungeni nilikua naisubiria kwa hamu sana
@emmanuelkurwa3096
@emmanuelkurwa3096 2 жыл бұрын
Big up speaker kwa kutambua wavuvi wengine
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
MUNGU alikupangia hakuna wakupangua 🥰🥰🥰 umelala Masikini umeamka tajiri 🤲🤲🤲 MUNGU azidi kukusimamia majaliwa wetu kijana shujaa kijana mpole mwadilifu baraka nyingi zikufikie Inshaallah
@shokbarka7308
@shokbarka7308 2 жыл бұрын
alhamdulillah mungu msimamie kijana huyu na wazazi wake Allah awape kila hitajio maisha yote
@omanruwi6400
@omanruwi6400 2 жыл бұрын
Ameena inshalla
@bybytata7456
@bybytata7456 2 жыл бұрын
Aaymin
@babybossfr
@babybossfr 2 жыл бұрын
AMEN 🙏.
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 2 жыл бұрын
Amina amina amina. Serikali Sasa nimeikubali. Ata vikiwezekana vijaana wote wavuvi kule Bukoba muwape mafunzo wote waingie Jeshini
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 2 жыл бұрын
TANZANIA 🇹🇿 MNA ROHO ZA UTU.. from 🇰🇪 kenya I salute you..MUNGU awabariki
@rukiasultan716
@rukiasultan716 2 жыл бұрын
Nyiee mwacheni Mungu aitwe Mungu Furaha naisikia mimi Mungu azidi kumuinua zaidi
@zaburonimeshacki5917
@zaburonimeshacki5917 2 жыл бұрын
Amen kijana majariwa kwa ujasili wako akika mung akisema ndio akuna binadam wa kupinga ubarikiwe Sana mung akuongezee miaka ya kuishi duniani
@celinaduka3346
@celinaduka3346 2 жыл бұрын
Hongera saana Majaliwa Mungu awe nawe akuepushe na mabaya nyote ...👏👏👏👏👏❤️❤️
@cachec7930
@cachec7930 2 жыл бұрын
Wakati wa mungu ni wakati sahihi hakuna wakupinga akikufungulia riziki👑
@Baba_Paroko
@Baba_Paroko 2 жыл бұрын
Heshimu kila mtuu, siku moja huwa inabadilisha kila kitu kwenye maisha ya mtuuu.
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 2 жыл бұрын
Kweli kabisa .sio siku Mungu akiamua kukuinua ni sekunde tu
@omanruwi6400
@omanruwi6400 2 жыл бұрын
Mashallah kijana anaonekana anaeshima mwenyezi mungu ampe maisha marefu arena moyo uwouwo
@shokbarka7308
@shokbarka7308 2 жыл бұрын
amiin yaarab alla amiin
@bybytata7456
@bybytata7456 2 жыл бұрын
Aaymin
@anitavictor7451
@anitavictor7451 2 жыл бұрын
Inasisimua Sana. Yaani nimefananisha na historian ya yusufu. Kwakweli Mungu akiamua kukuinua hakuna wakupiga
@giovannygracious3434
@giovannygracious3434 2 жыл бұрын
Mungu Ana njia nyingi za kumuinua mja wake... mwingine unalala ukiamka asubuh kumbe ndo siku yako ya mwisho ya uhai wako dunian... mwingne unaamka kumbe ndo siku yako ya kutajirika kwako na kuketishwa na wakuu...
@marysaituni4584
@marysaituni4584 2 жыл бұрын
Majaliwa umejaliwa.. mungu akuongoze popote uwendapo .🇰🇪🇰🇪
@bybytata7456
@bybytata7456 2 жыл бұрын
MashaaAllah Pongez kwa mama samia Allah amlipe khery
@banguha
@banguha 2 жыл бұрын
daaah jamn Mungu uyu hakika akitaka kukuheshimisha
@millicentochieng8554
@millicentochieng8554 2 жыл бұрын
Glory be to God ,Mungu akisema yes nani huyo aseme no!
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 жыл бұрын
Bravo Majaliwa na mama yake kwa malezi mazuri,baba nenda ukaishi vizuri na mkeo na watoto wako 7
@bintymohammedy5759
@bintymohammedy5759 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🇹🇿
@mariedelarie873
@mariedelarie873 2 жыл бұрын
Pwahaha 🤣🤣🤣🤣iyo kweli Léo inakuwa oh minjo njo baba yake majaliwa nyooo
@hellenmakwaya538
@hellenmakwaya538 2 жыл бұрын
😅😅😅😅kabisa yule baba yuwanikeeera
@bettykarume5619
@bettykarume5619 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@darvie7653
@darvie7653 2 жыл бұрын
Hongera sana kijana ,Asante mh Raisi kwa zawadii hyo juu yake
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 жыл бұрын
Kwa mola hamna kubwa.tusikate tamaa kamwe,MAA SHAA ALLAH HONGERA Majaliwa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Bismilah mashalaah Ka mungu aliweza kumuweka hapo basi naamini atafika mbali na yy akawe mlinzi mkubwa kwake majaliwa
@jumachangaluma2278
@jumachangaluma2278 2 жыл бұрын
Majaliwa ataendelea kujaliwa tu zaid
@FatimaFatima-wz2qt
@FatimaFatima-wz2qt 2 жыл бұрын
Alla amjaaliye kijanawetu majaliwa aweze kusonga mbelezaidi aminn
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 жыл бұрын
Safi sana hongera zake, ila mmesahau kumpa soksi, ameingia bungeni bila soksi na yuko na suti.
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Najuwa Leo yangu kesho yangu inajuwa Mungu pekee Mungu Yu mwema kabisa 🥰
@faithwambui407
@faithwambui407 2 жыл бұрын
Haya Majin yanayoanza na M.yana nyota mwaka huu.Majaaliwa mvuvi mzamiaji.Mandonga mtu kazi .yanga wala mihogo🤣🤣🤣🤣🤣
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 2 жыл бұрын
Majaliwa wetu mashalla kapendeza, Mungu akupe afya thabiti.
@sarahisaac2489
@sarahisaac2489 2 жыл бұрын
Lord's time is the best tym...ever....
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 2 жыл бұрын
Mungu anaona kuliko mwanadumu alimuona adi moyoni mwake ukawe mwema sana uko unakokwenda ukawe msaada kwa taifa
@aminasebarua5608
@aminasebarua5608 2 жыл бұрын
Yan nimefulah had machoz yananitoka kwa fulah mungu anaweza kukuinua mda wowote
@fatmaayubu2329
@fatmaayubu2329 2 жыл бұрын
Mpaka mwili unanisisimka hakika wakati wake MWENYEZI MUNGU ndio wakati sahihi Namuona mbali sana Kijana Majaliwa
@wazirikalingachannel6824
@wazirikalingachannel6824 2 жыл бұрын
Mm na usomi woteee bungeni naponaga kwenye TV😂😂
@suzansuzanei1143
@suzansuzanei1143 2 жыл бұрын
😅😅😅😅
@rukiabari9431
@rukiabari9431 2 жыл бұрын
✍️Hongera kwa Raisi kwa kumpa fursa ya kusoma kuzima moto na kumpa kazi badae ya kuhitimu
@violetkephas7038
@violetkephas7038 2 жыл бұрын
MAJALIWA suti imekaa BABA km una PHD❤️❤️❤️
@vailethmwashibanda2514
@vailethmwashibanda2514 2 жыл бұрын
Sana kapendeza
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 2 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa siku zote, na Akifungua milango hakuna wa kupinga. Kutoka chini unapandishwa juu kabisa, Mungu Aendeleye kuwa na wewe
@debrahmacharia8373
@debrahmacharia8373 2 жыл бұрын
Mungu ampe maisha marefu..Watching from kenya
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
MASHA.ALLAH.MUNGU.MKUBWA
@asmageleko4157
@asmageleko4157 2 жыл бұрын
Hongera sana majaliwa pamoja na hayo yote lakini MW/mungu alikuandikia bio bahati ulioipata sasa naamini utafanya kazi kwa bidii
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Majaliwa Mungu akusimamie bb unamadui wengi kikubwa kumtanguliza Mungu kwa kila hatuwa
@donisiapeter2396
@donisiapeter2396 2 жыл бұрын
Mungu akiamua kukukweza hakuna binadamu anaeweza kuzuia
@halimambaga61
@halimambaga61 2 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga Majaliwa Mungu akulinde siku zote
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 2 жыл бұрын
Hakika una Imani kakaangu maana siyowengi wenye Iman kama hiyo wengi hukimbiliya mifukon mwa marehem namajerhi
@dainajuma3068
@dainajuma3068 2 жыл бұрын
Allah akuongoze kwa kila hatua kwenye kitengo utakacho somea vijana ndo wakati wa kujifunza kutenda wema wakati wa majanga kama haya sio wengine wakiona ajari wanawaza kuiba simu na vipchi vya ela
@happinesskadelege3939
@happinesskadelege3939 2 жыл бұрын
Maskin acheni mungu aitwe mungu..nawakati wa mungu ukifika hakuna wakuweza sema hapana
@emmybange6215
@emmybange6215 2 жыл бұрын
Majaliwa huu ndio wakati ambao Mungu alikuandalia
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah Allah akipanga lake uwa kwa uwezo wke
@adijaibrahim5764
@adijaibrahim5764 2 жыл бұрын
Allah azidi kumupa afya azidi kusayidia tayifa lake
@robertabel6984
@robertabel6984 2 жыл бұрын
MAJA MUNYAMA HAHAHA NOMA SANA KAMANDA 100%%%%%HAKUNA WA KUPINGA JESHI🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@joycewanjiru2202
@joycewanjiru2202 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana young man
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
MUNGU wa wote 👌🏽👌🏽👌🏽🎺💪 MUNGU WA WATU WOTE
@violetpeter7677
@violetpeter7677 2 жыл бұрын
Mungu aktaka kupa haukuletei barua...ubarkiwe sn kaka 🙏
@magrethpeter9443
@magrethpeter9443 2 жыл бұрын
Mungu akipanga hakuna wakupinga
@alfanimussa8279
@alfanimussa8279 2 жыл бұрын
Du! kama ndoto majaliwa kufika bungeni hakika kilajambo nawakati wake allah nimuweza wakila jambo mwenyezimungu akuongoze nyema sana ndugu
@merinamwamwaja5481
@merinamwamwaja5481 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ana njia zake ya kumuinua mtu jamani ...Mungu akupe kukuinua mdogo Angu majaliwa
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 2 жыл бұрын
Me naona na jina linachangia
@agnesslucas4744
@agnesslucas4744 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana kijana mungu akutangulie katika Safari njema yamaisha
@darvie7653
@darvie7653 2 жыл бұрын
When Jesus say yes no body can say no !!? 🤗🙏😇☺️
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 2 жыл бұрын
Kuferi mtihani shuleni sio kuferi kimaisha mungu ndio mpango mzima
@stelamwakatulile2455
@stelamwakatulile2455 2 жыл бұрын
Wakati wa mungu ukifika umefika ata eweje nyota Yako itanyala tu
@boniphacepaul8149
@boniphacepaul8149 2 жыл бұрын
Cku zote hangaika unavyo jua lKin cku ya nafanikio ni moja2 kijan Kaz na malengo
@jennifergodfrey7145
@jennifergodfrey7145 2 жыл бұрын
Amakweli mungu awai wala achelewi hakika yeye ni ebeneza🙏🙏🙏
@eliuslimbutz6904
@eliuslimbutz6904 2 жыл бұрын
Kiukwel kabisa 👊👊👊🙏🙏majaliwa shujaa
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 2 жыл бұрын
Mungu niMwema Daima kwayotee
@neemaegnatio7725
@neemaegnatio7725 2 жыл бұрын
Nimefurahi sanaa mwenyewe kashaan,a kuelew maelekezo hakika atafika mbali sanaa
@aminasebarua5608
@aminasebarua5608 2 жыл бұрын
mungu nimwema
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 2 жыл бұрын
Majaliwa asingezimia angeweza kumuokoa rubani na hata wengi zaidi hongera kijana kwa ukasiri wako.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Nshomile ni Nshomile tu Majaliwa kesha kaa kama boss Binheni🤣
@salimashambi7047
@salimashambi7047 2 жыл бұрын
mungu akulinde
@annakisiga889
@annakisiga889 2 жыл бұрын
mungu alisema amesema. ni swala la mida tu
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 2 жыл бұрын
Majaliwa ndani ya suti! Kila la kheri shujaa wetu
@nicken3250
@nicken3250 2 жыл бұрын
Aisee..
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 2 жыл бұрын
Majaliwa kaupiga mwingiii' kishokaa
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 2 жыл бұрын
Kapendeza gafla
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
Alhamdulillahi yaa rabbi mlinde mja wako huyu
@babrashabanu7073
@babrashabanu7073 2 жыл бұрын
Ukisikia kupenya kwenye tundu la sindano ndio huko
@mebamonsta6693
@mebamonsta6693 2 жыл бұрын
Kweli riski nimahali popote, pongezi Kwa kijana huyu, muige mfano wake, siku zote usidharau mtu yeyote , inshallah akujalie mafanikio mema Kwa maisha yako yote nawazazi wako
@marysaituni4584
@marysaituni4584 2 жыл бұрын
God's time is the best.
@adamelinewinga5571
@adamelinewinga5571 2 жыл бұрын
Alaamutagulie Mtotouyu
@franckjumanne3017
@franckjumanne3017 2 жыл бұрын
Ianguke nyingine basi jamani
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
MashaAllah!!!❤🇹🇿
@ibrasabore3844
@ibrasabore3844 2 жыл бұрын
Mungu akujaalie pia huko ulikopelekwa ukaperfom vzr
@azizaudindo5486
@azizaudindo5486 2 жыл бұрын
Mashallah mungu amjalie imani zaidi
@catherineaugustine7124
@catherineaugustine7124 2 жыл бұрын
MUNGU AKULINDE NA KUKUTUNZA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO. MUNGU AKAWE PAMOJA NAWE
@teedullah5708
@teedullah5708 2 жыл бұрын
Mashallah a cheni munqu aitwe munqu jamani
@faithkapondo5383
@faithkapondo5383 2 жыл бұрын
Kapendeza jmn
@matatomlik1846
@matatomlik1846 2 жыл бұрын
Maashallah
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 жыл бұрын
Angesom huy mtu mzur sem ndo hivo 😔 ana huruma
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 2 жыл бұрын
From to mnyamaa to muheshimiwa😀😀😀😀
@shaibufadhili1192
@shaibufadhili1192 2 жыл бұрын
ndo uzuri wa majina pia unachangia lkn mtoto anapewa jina la tabu Mara shida Mara mateso ndo ukose kuteseka shenzi types
@nervenb2831
@nervenb2831 2 жыл бұрын
Alhamdulillah 😍😍
@machiyamalashi3089
@machiyamalashi3089 2 жыл бұрын
Majaliwa piga kazi nyota imeng'ara, achana na wanaojiita wakinakigogo wapotoshaji wa watanzania hata kwenye ukweli wao nikupinga tu
@fatmahamad6177
@fatmahamad6177 2 жыл бұрын
Mashallah
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 2 жыл бұрын
Kweli mungu akisema amesema
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 2 жыл бұрын
Naona waziri anampigia makofi baba yake adi raha Naona mm uku
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 жыл бұрын
Asante mungu
@suzannagibai213
@suzannagibai213 2 жыл бұрын
Kunywa maji ya Bender's ya Taifa kunafaida kubwa. Usiache kamwe uzarendo majaliwa
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 2 жыл бұрын
Maa sha allah
@faridamndeme9322
@faridamndeme9322 2 жыл бұрын
Amependeza kama mzoefu wa madaraka
@nakyurimwanza3901
@nakyurimwanza3901 2 жыл бұрын
Ok
@aminasalim8708
@aminasalim8708 2 жыл бұрын
Adi nimelia kwa furaha
@johndevi2153
@johndevi2153 2 жыл бұрын
Jaman mtuite na sisi tuna mazuri yetu au mnataka mpaka Mungu atuite😄😄
@esteralan5241
@esteralan5241 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 2 жыл бұрын
kwer majaliwa ila majina nayo yanasaidia watoto kuwa majaliwa sio mtoto una mwitia jina la shida tabu sijui nani jamani nitamwitia mwanangu majaliwa
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 138 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
MWAMPAMBA ASHINDA KWA KISHINDO KITI KITONGOJI CHA MBALIZI
4:18
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 12 МЛН
LIVE: MSAFARA WA RAIS SAMIA KUTOKEA AIRPORT KIA KUELEKEA ARUSHA
18:33
Новости дня | 27 ноября - дневной выпуск
11:34
Euronews по-русски
Рет қаралды 55 М.
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 138 МЛН