KIJANA MZALENDO AIVAA CCM NA SERIKALI JUU YA UCHAGUZI "WAMESHINDWA LEADERSHIP WANAOGOPA NINI...!!"

  Рет қаралды 10,385

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@EdwardKwiyanga-y7s
@EdwardKwiyanga-y7s 2 сағат бұрын
Hakika uzalendo wako unautendea haki xn ktk taifa letu mungu wa mbinguni akubark kwa utumishi wako
@JaphetyAliphonce
@JaphetyAliphonce 2 сағат бұрын
Mungu ayaona yote 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢eeeemungu tulindeeeeeee Amin amin
@josephjohn2114
@josephjohn2114 16 сағат бұрын
mimi nitashiriki uchaguzi siku tume ya uchaguzi haitateuliwa na rais na wasimamizi wa uchaguzi hawatakuwa watumishi wa serikali wala wateule wa rais na kwamba tume au msimamizi atakaye haribu uchaguzi atachukuliwa hatua kwa mjibu wa sheria. Kinachofanywa ssasa hivi sio uchaguzi ni uchafuzi.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 18 сағат бұрын
Kura imekuwa vita tumerudi nyuma
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 17 сағат бұрын
Tutarajie mateso tena ya myaka 5
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 сағат бұрын
MNAZUNGUKA tu chanzo cha uchafu kwenye uchaguzi ni kuruhusu Chama kimoja cha ccm kuratibu chaguzi zinazohusika vyama vingi lazima ccm ijipendelee zaidi ili kushinda
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 16 сағат бұрын
Kwakweli CCM FEKI, aibu tupu. Acheni wizi Acheni kuuwa watu. Laana juuuu yenu.
@NikasiMbuya
@NikasiMbuya 17 сағат бұрын
Tumtegemee mungu ndio mwamuzi wa haki
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 14 сағат бұрын
Umepotea! Mungu alishakupa nyenzo zote utakazofikiria, halafu unamrudia Mungu tena akusaidie!
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 5 сағат бұрын
Bila katiba ndugu zangu hakuna uchaguzi ni upuuzi unashindana mwenyewe kwa maigizo unasema eti umeshinda kwa asilimia tisini acheni utoto nyie ccm
@noelmakere1381
@noelmakere1381 Сағат бұрын
Kilio na vilio vya watu wengi esp waliouwawa na Damu zao kumwagika. Ktk hili Mungu hatamyamaza Damu itawalilia kwenye viti vyao na uzao wao hata hao ccm waliopita. Mungu ktk hili hatanyamza kamwe...ni laaana na laana Kwa vizazi vyao...
@LameckMbele
@LameckMbele 18 сағат бұрын
mm najarbu kutafuta nchi ya afrika yenye nafuu kdg siioni Tanzania yenyewe inaongoza barani afrika kwa kukosa demokrasia
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 18 сағат бұрын
Uyu jamaa anaongeagaaa facts sanaa japo n CCM,, anastahili mauwaaa yake
@AboubakarRashid
@AboubakarRashid 18 сағат бұрын
Yan knachokere wanatuletea watu hatuwatak je ss apo wanatengeneza aman au wanaondoa aman
@Lugiko-o2j
@Lugiko-o2j 11 сағат бұрын
Mimi sidhani kama itatokea niende kupiga Kura siku kukiwa na Katiba mpya inayofanana na Ile rasimu ya Mzee Waryioba nitakuwa msitari wa mbele kupiga kura.
@AzizaGubwe
@AzizaGubwe 13 сағат бұрын
Mimi nitashiriki uchaguzi Kama tamisemi itaondoka Tanzania na CCM yake
@HamisWawila
@HamisWawila Сағат бұрын
Sijawai kuona mpinzani anakubali matokeo ya uchanguzi kila mwaka mumeibiwa sasa iposiku hutakubali
@geraldleger5793
@geraldleger5793 6 сағат бұрын
Nisaidieni , KIAPO kina maana gani au kinasaidia Nini ?!
@HamisWawila
@HamisWawila Сағат бұрын
Ww kamauna kazi kale unatumalizia bando ww
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 18 сағат бұрын
Ulikuwa udhaifu wa kutengenezwa ili tuweza kuingiza wasiostahili.
@JosefuSwai
@JosefuSwai 18 сағат бұрын
Sasa nchimbi ndio nani katiba mpya ndio mwarubaini
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 16 сағат бұрын
Tutamkumbuka kikwete
@JosephuJosephu-o8r
@JosephuJosephu-o8r 47 минут бұрын
Watanzania. Wamekubali kutawaliwa na wakimbizi mkuu wa majeshi alishatoa angalizo polis wanahusika
@Nyanda506
@Nyanda506 12 сағат бұрын
Kikwete aliwezaje demokrasia si awashauri
@MethodJulius-fu9hf
@MethodJulius-fu9hf 11 сағат бұрын
Huyu naye angekua mzalendo angesema tu kwakifupi kuwa CCM imepoteza mvuto na wanachofanya ni kutulazimisha kujiweka madarakani kwamanufaa ya matumbo yao na familia zao ila sio uzalendo.
@speciozamato4336
@speciozamato4336 17 сағат бұрын
Mwenyekiti wa chama,. Asiwe mgombea Urais., Ajiuzulu uenyekiti wa chama,. Ndipo chama kitakuwa na wajibu zidi ya Raisi. Raisi Zuma wa Azania
@edistidiusmutalemwa5758
@edistidiusmutalemwa5758 4 сағат бұрын
Kijana unaongea ukweli , but it seems mambo mengine ya maccm na serikali yake huyajuhi. Mfn, unasema upande wa pili dhidi ya maccm haukuwa makini,kwani kanuni zilitolewa first na second draft. Kama wangeshiriki vizuri labda KANUNI zingekaa sawa. Kijana,toka lini maccm yameishapanga dhuluma na wizi wake yakarudi nyuma? Haya, pengine kweli tulizembea,mboni Nchimbi alivyojitokeza adhalani mbele ya vyombo vya habari kwamba katumwa na mwenyekiti wao kumsihi Mchengerwa aangalie upya mambo hayo. Lkn Mchengerwa aliibuka na kusema habadirishi chochote na ikawa hivyo,hadi tunashuhudia madudu haya kwenye uchaguzi! Kijana,paka katumwa tu mchawi ni binadamu! Kijana,haya 4R zako ziko wapi? Au na wenyewe unataka kuniambia upande wa pili dhidi ya maccm unazembea?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 сағат бұрын
Kijana nenda mirembe 😢😢😢😢wenzenu wamejipanga nyie kazi yenu KUBWEKA tu na MAPALOKO wenu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 16 сағат бұрын
Mzalendo mhuni tu huyo.
@binsherbal6089
@binsherbal6089 15 сағат бұрын
Muhuni ni wewe, mwenzio anatoa Hoja, jibu hoja zake Mbwa wewe, Chawa mkaa ndani ya chupi za watu.
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 13 сағат бұрын
Kama mama yako
@AndrewKisava
@AndrewKisava 5 сағат бұрын
Wewe ndo mhuni wa mitaa furani
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 18 сағат бұрын
Nkindikwa umeanza kujampa sasa
ALICHOSEMA ALIYEKUWA RC SIMIYU BAADA YA KUACHIWA 'KWA UNYENYEKEVU'...
2:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,5 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 139 МЛН
Новости дня | 29 ноября - утренний выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 473 М.