KIJANA WA KITANZANIA AKISOMA QURAAN.MASHA ALLAH.-2

  Рет қаралды 273,922

RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL

RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 328
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 4 жыл бұрын
Maa Sha Allah Mwenyeez Mungu Azid Kukupa Uwezo Wa Kuhifadhi Mwenyeez Mungu Akupe Umri Mrefu Allah Akutie Nguvu Akunusuru Na Vishawishi Vibaya Ushawishike Kwa Mazuri Allah Akuhifadhi Duniani Mpaka Kesho Akhera
@halimamshami3279
@halimamshami3279 5 жыл бұрын
MashaaAllah yaa rabby waongoze watoto wetu kwenye muongozooo sahihii wakukujua ya rabby
@saumutsumo9760
@saumutsumo9760 3 жыл бұрын
Mashaa Allah, Mola akuifadhi babaa akupe elmu zaidi ya hapa, twakuomba Yaa Allah uwajaalie watto wetu wawe miongoni Mwa wake wako wema.. Aamin.
@rehemaidd772
@rehemaidd772 3 жыл бұрын
Allah amuhifadhi mtoto mzuri akupee umri mrefu sheikh wetu wa Kesho, mashallah
@sangashaban8773
@sangashaban8773 4 жыл бұрын
Maashaallah tabaraakallah
@halimahassan8633
@halimahassan8633 5 жыл бұрын
mashaallah mungu akuongoze n akuzidishie umri hil uwafunze n wengine
@hamiyarsaid2751
@hamiyarsaid2751 5 жыл бұрын
Masha Allah Allah akulinde wewe pamoja wazazi wako na pamoja na wazee wakuu akulinde na huenda na mitihani ya dunia Allah nakukinge kutokana na quran àkujaaliye nuru katika maisha yako Amiii Amiin
@lailahaillallah4020
@lailahaillallah4020 6 жыл бұрын
Maashaallah mungu..azi..kukuongezea...ktk..kisomo..chako...lnnshaalla?👐👐
@abdrahmansaid7594
@abdrahmansaid7594 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuhifadh mwisho uwe mwema wako
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 7 жыл бұрын
maashallah anas Allah akuhifadh na akupe nguvu uhifadh juzuu thelathin nakupenda xana kwa ajili ya Allah mdogo wangu
@zuwenajuma4409
@zuwenajuma4409 6 жыл бұрын
Manshaallah Allah akujaalie mwisho mwema
@mamusele7386
@mamusele7386 6 жыл бұрын
maashaallah .allah akujalie.elim.ya juu zaid ..uislamu raha tup.chakula cha moyo .ni kiruan
@nuruyusuf3388
@nuruyusuf3388 Жыл бұрын
Allah akulinde na mashetani wa kike na kiume na wanadamu wabaya ln shaa Allah
@aishamashaka483
@aishamashaka483 5 жыл бұрын
Mashallaaaaah Allah akupemaisha marefu
@tatusalimmwazizi1160
@tatusalimmwazizi1160 5 жыл бұрын
Ma shaa Allah tabaraka llah, Allah akuepushe na hasad
@abdallamohd1937
@abdallamohd1937 6 жыл бұрын
Mashallah mdogo wangu najua ww n kpaj umebarkiwa na Mwenyez Mungu, Mwenyez Mungu akupe umr mrefu akukulnde na mahacd maana una neema kubwa 🤲🤲🤲🤲🤲
@yusraibrahim4015
@yusraibrahim4015 5 жыл бұрын
Maashaallwa mungu akubariki uzidi kujua aamiin
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 5 жыл бұрын
Man'sha Allah man'sha Allahu tabark Allah Allah Ghaz'wajallah akudhidishie hifadhi 💕 ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Manshallah jazakallah Allah Akulinde wenye hasid
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 4 жыл бұрын
Yarabi Zidi Kimjaalia Mja Wako Hy Mdogo Kumpa Ufahamu Wa Kuhifadhi Qur ani Yarabi Mjaze Nuru Njema Yarabi Umpe Yenye Kheri Nayy Yarabi Umjaalie Mazuri Yamfae Hp Duniani Mpaka Kesho Kiyama
@fatmamwasabu1992
@fatmamwasabu1992 6 жыл бұрын
Mashaa allaah nataman na mwnang aje kua mama huyu jaman
@Sifa-fm3qy
@Sifa-fm3qy 7 жыл бұрын
masha'allah,allah awalipe kwakazi mnayofanya
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah
@aidamzuri8270
@aidamzuri8270 5 жыл бұрын
Nataman angekuwa mdog wang Jamn Masha Allah
@allykumbwax4413
@allykumbwax4413 6 жыл бұрын
Masha Allah napendaga sana kukusikiliza na ndaendelea sana kuku siki Liza Allah akuzidishie mazuri duniani na akhera pamoja na wazazi wako na maustadhi wako walio Fanya mpaka Leo tuna kusikiliza
@azraakimbisa2676
@azraakimbisa2676 5 жыл бұрын
Mashaallh
@rashidfikra7532
@rashidfikra7532 5 жыл бұрын
Mahazi mazuri mashallah
@MwaidiAbdallah-g3g
@MwaidiAbdallah-g3g Жыл бұрын
Maaashaallah kijana mungu akuongoze
@Hayimano
@Hayimano 7 жыл бұрын
mashallah mwenyezimungu akufungulie kifua chako na akujaalie kila la kheri akuepushe na kila shari
@lelalela283
@lelalela283 4 жыл бұрын
Mashallah Masha Allah
@rahimuramadhani1781
@rahimuramadhani1781 6 жыл бұрын
mashaallah Allah atufanyie wepesi tuwapeleke watt wetu madrasa
@feynmamiy2809
@feynmamiy2809 5 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH amkuze kwenye maadili mema jamani HD raha mwenye mtoto huyu ampe malezi mema kijana mwema ALLAH akuwekee
@mgazamahala6302
@mgazamahala6302 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuongoza kijana uwe na mwisho mwema
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 6 жыл бұрын
MashaaAllah mungu atuongozee watoto wetu yaarab
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Ma sha allah alayk Allah akubariki na akuhifadhi
@hadijah2896
@hadijah2896 7 жыл бұрын
Maa shaa Allah! Allah amzidishie elimu na kumpatia mwisho mwema.
@kintucompanylimited6403
@kintucompanylimited6403 5 жыл бұрын
mashaallah Allah akufanyie wepesi mdogo wangu kipenzi na pia akufanyie akufulie kifua chako inshaaallah
@muminaabatika4812
@muminaabatika4812 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzidishe
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 жыл бұрын
yn naoma mungu mtt wangu nae aweka mtt huyu au kupita huyu
@jainaboman8952
@jainaboman8952 4 жыл бұрын
Mashallah Allah akuongoze zaidi
@shaabanmusa5127
@shaabanmusa5127 7 жыл бұрын
Masha Allah thummah Masha Allah, Allah amuongoze n awaongoze watoto wt ktk mcmamo huu lnsha Allah kheir
@rishedinjengite1177
@rishedinjengite1177 6 жыл бұрын
Mashaallah nakuomba m/mungu mjalie mwanangu nawe afikie hatua mzuri
@saumutsumo9760
@saumutsumo9760 3 жыл бұрын
Watto wetu wote wa kiislam inn shaa Allah
@fatmahusain3773
@fatmahusain3773 6 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah Mungu akinijaalia kupa mtoto nampeleka kwako sheikh Nurdini kishki kwani hata mm nimejifunza mingi Sana kupitia ww Sina Cha kukupa ila Allah atakulipa kwa kheri unayotupa SS na watoto wetu
@sokhnafall6044
@sokhnafall6044 7 жыл бұрын
ma shaa Allah tabarakallah Allah(S.W.T)akuzidishie ufahamu bbngu na akujaalie kila la kheri
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@abdanmiraji4662
@abdanmiraji4662 6 жыл бұрын
mashaallha mungu akuongoze Amin
@annasaid5413
@annasaid5413 7 жыл бұрын
mashaalah mtt mzur mungu akuongoze
@jumanneundi3775
@jumanneundi3775 4 жыл бұрын
Maaashaaallah,Allahummah baarikk
@mahanur4468
@mahanur4468 4 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah,Jazzaka Allahu kheyr 🙏🙏🙏
@munirahali3797
@munirahali3797 8 жыл бұрын
mashaallah mungu atupe nuru tuweze kuisoma quran
@aliali189
@aliali189 8 жыл бұрын
mungu ampe neema
@khamizkhadija1355
@khamizkhadija1355 8 жыл бұрын
MashaAllah like, my bro nashkuru alhamdulillah
@rashidkayamba8493
@rashidkayamba8493 8 жыл бұрын
dah nami nataman sana ila bas tu
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 жыл бұрын
Rashid Kayamba siujifunze kaka utajua kwauwezo w allahar
@allybagdady765
@allybagdady765 7 жыл бұрын
mashaallah. munguakuzidishie. amina
@jamilahkihange9391
@jamilahkihange9391 6 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah yarab awahifadhi inshaallah
@soframso529
@soframso529 6 жыл бұрын
Mashaallah mola hamuongezee iman kijana huyu
@shamilahussein4131
@shamilahussein4131 5 жыл бұрын
Allah A2pe vizazi bora wawez kumjuw m2me na din ye2 ya kislam,🤲
@khalidsalmin7682
@khalidsalmin7682 5 жыл бұрын
AMIN AMIN ALHAMDULILLAH
@ustazanzibartechnicalsuppo999
@ustazanzibartechnicalsuppo999 6 жыл бұрын
Mashallah mungu azidi kukuongoz katk njia njema
@googlegoogle3124
@googlegoogle3124 5 жыл бұрын
Mashaalah alah akupe taufik akuepushe na fitina za walimwengu
@hamidaabeid2265
@hamidaabeid2265 6 жыл бұрын
mashaallah allah azidi kukujaalia ktk elimu yako pia na mwalimu wako
@rehemamohammed401
@rehemamohammed401 6 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujaze kher mtoo uzd kuhifhad juzuu zte 30
@neemamohamedmaryakamaryaka4686
@neemamohamedmaryakamaryaka4686 6 жыл бұрын
Ma asha Allah . Allah akuifadhi na akuepusha na hasad zamajini nawatu aaaamin
@fauziamjengo2696
@fauziamjengo2696 6 жыл бұрын
mashaallh allh akujaalie umaliz mashaf yot
@rahmaninoh7434
@rahmaninoh7434 6 жыл бұрын
Mabrouk Allah akufanyie wepec kwa kila jambo
@azizamini3226
@azizamini3226 6 жыл бұрын
Mashaallah...M/Mungu akuzidishie elimu inshallah
@dkalhajijbmatatala9392
@dkalhajijbmatatala9392 7 жыл бұрын
MAA SHA ALLAH,, ALLAH AKUHIFADHI, INSHAALLAH AMIIIYN
@zaynabuselenga7400
@zaynabuselenga7400 6 жыл бұрын
ma sha Allah. Allah akupe umri mrf wenye faida
@mozaseif7299
@mozaseif7299 5 жыл бұрын
Mashallah mtt wangu Allah Allah akujaalie uwe futio yakuwafutia wazazi wako madhambi yao
@anwarzunaanwar2863
@anwarzunaanwar2863 6 жыл бұрын
Maashallah mdogo mungu akukinge na hasad
@salimkitego7103
@salimkitego7103 10 ай бұрын
Mashallah Allah amzidishie❤
@pembapemba215
@pembapemba215 5 жыл бұрын
Mashaallhaa mungu ukuzdshy
@abuhassan9552
@abuhassan9552 7 жыл бұрын
Mashaallah Allah atakuhufadhi na Akupe nuru zaidi na zaidi fiy dunya wal,akheyra
@ishakasharif9741
@ishakasharif9741 6 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishje
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 4 жыл бұрын
Allah Amjaalie Maalim Wake Uwajaalie Na Wazazi Wake Uwape Mwisho Mema Awajaalie Pepo Firdaus
@jokhasuleiman6431
@jokhasuleiman6431 6 жыл бұрын
Mashallah mungu awaongezee vipaji venu amin
@rizikihamad9892
@rizikihamad9892 5 жыл бұрын
Mungu akuongoze zaidi mashaallah
@halimamariri5699
@halimamariri5699 6 жыл бұрын
Ma Sha Allah ,,,,nc voice Allah akuliipe jazz njemaa
@alihemed7721
@alihemed7721 4 жыл бұрын
Maashaallha mashaallah mashaallah
@ampiyemwashinanga795
@ampiyemwashinanga795 6 жыл бұрын
Waooooo so nice my young brother may Allah be with you ameeeeeeen
@mwanashasseti6839
@mwanashasseti6839 5 жыл бұрын
Mashalla...mungu...akuzidishie..kuifadhi..quran
@HBaby-re7gq
@HBaby-re7gq 8 жыл бұрын
mashaallah Allah akuzidishie hio ilmu AMIN
@jamesmaleko593
@jamesmaleko593 5 жыл бұрын
Mash Allah Allah azidi kkulinda mja wake hili uje Kuwa kiongozi bora wa wasilam Amiin
@adachaadam3707
@adachaadam3707 4 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie kheri lnshallah Akupe umri mrefu ujefundisha wengine lnshaallah
@omadybinumady5427
@omadybinumady5427 5 жыл бұрын
MAshaaallah tabarakallah
@djbanjacusman5747
@djbanjacusman5747 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah 🥰 💯❤️
@kondokitambi5637
@kondokitambi5637 7 жыл бұрын
Allah akupe unachokitaka insaallah
@naimasafia7508
@naimasafia7508 7 жыл бұрын
Barak'Allahu fiq wa jazakumullahu kheir
@leilamuhando3649
@leilamuhando3649 6 жыл бұрын
mashaa,Allah jadhakaallah kheri
@saumuhassan179
@saumuhassan179 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@lutfiakapotea284
@lutfiakapotea284 7 жыл бұрын
mashaallah m. mungu akuzdiahie elimu hii
@radhinibolakulikamalizuber7316
@radhinibolakulikamalizuber7316 5 жыл бұрын
مشالله تبارك الله خذك الله خير انشاء الله
@mrsdully1613
@mrsdully1613 8 жыл бұрын
mashaallah thuma mashaallah mola akuongozee
@waziriramadhani5140
@waziriramadhani5140 4 жыл бұрын
Maashaallah
@RahmaSenga
@RahmaSenga 7 ай бұрын
Masha Allah ❤
@guwileguwileyasini758
@guwileguwileyasini758 5 жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah
@zainabmkomwa3313
@zainabmkomwa3313 5 жыл бұрын
Mashaallah Allah azid kukuongoza
@saoda.11swada89
@saoda.11swada89 5 жыл бұрын
ALLAH atujalie watoto wema in sha ALLAH
@fetymohamedi2119
@fetymohamedi2119 6 жыл бұрын
Maashaallah penda sana ww
@kajoakother6041
@kajoakother6041 4 жыл бұрын
mashalla najiisi kama nipo mbinguni jinsi a navyo soma huyo
@saidihakiri4440
@saidihakiri4440 5 жыл бұрын
Mashalla allah bark
@fatumamaulidi7557
@fatumamaulidi7557 7 жыл бұрын
mwenyezi mungu akupe kila la kheirry inshaallah
@RRr-of9ps
@RRr-of9ps 3 жыл бұрын
Maashallah Maashallah maashalla
@ameshebashebaame939
@ameshebashebaame939 6 жыл бұрын
nzur sana
@zahhim3357
@zahhim3357 6 жыл бұрын
Allahubarik
@ismailtarimo9465
@ismailtarimo9465 7 жыл бұрын
Masha Allaah Allah amwoongoze" Aamin.
@peterrevocatus2407
@peterrevocatus2407 4 жыл бұрын
Hu
@الصالحيالصالحي-ل2ظ
@الصالحيالصالحي-ل2ظ Жыл бұрын
Mashaallh mashaallh ❤️❤️💕💕
@khadijamh6132
@khadijamh6132 4 жыл бұрын
Macha Allah Allah akbar..
@saidmohammed4842
@saidmohammed4842 7 жыл бұрын
Mashaallah Allah awalipe malipo mema inshaallah
@aminaamina-ky5qm
@aminaamina-ky5qm 7 жыл бұрын
Maashalwah
@binucali7293
@binucali7293 7 жыл бұрын
Masha allaah allayaxdaka
@sofiajamaa1405
@sofiajamaa1405 6 жыл бұрын
Allah akibaru
@mwanaidisimba8555
@mwanaidisimba8555 6 жыл бұрын
Mashaallh Allah akupe uhai mrefu
@jumahory5249
@jumahory5249 5 жыл бұрын
Said Mohammed ,hifadhisha na vijana wako isi we Anna's tu
@jumaslima7184
@jumaslima7184 5 жыл бұрын
I like your sound
@sarakuchanda6047
@sarakuchanda6047 5 жыл бұрын
Masha Allah masha Allah masha Allah
@jafaryhassan5302
@jafaryhassan5302 4 жыл бұрын
Mashaalllah kweli kijan
@saadakiyungi5664
@saadakiyungi5664 7 жыл бұрын
Mwenyezimungu akupe afya bora
@mickealmabery8410
@mickealmabery8410 7 жыл бұрын
Saada Kiyungi
@maina2924
@maina2924 7 жыл бұрын
Bravo Somalia may Allah make peace our country
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 7 жыл бұрын
HAmza Mohamed Ameen Ameen
@alatuubbinnassor6709
@alatuubbinnassor6709 6 жыл бұрын
IN Tanzania not somalia
@khatimtye7308
@khatimtye7308 6 жыл бұрын
Takbeeeeeeeeeer!!!!
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Maashaallahah
@khadijahka6011
@khadijahka6011 7 жыл бұрын
mungu akuzidishie amn
@maryanmaxmud3290
@maryanmaxmud3290 4 жыл бұрын
Maansha Allah
ANAS ABDUL HAAFIDH AKISOMA JUZUU AMMA KUTOKA DAR ES SALAAM TANZANIA
1:02:15
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 21 М.
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mshindi wa Kwanza  juzuu 30 - 2018 - Mbwana Dadi Tanzanian
8:53
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 78 М.
WATOTO WANAOMUIGA SH NURDIN KISHKI  3
27:57
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 192 М.
KIJANA MDOGO BIGWA WA QUR AN
7:35
Asadiqmedia
Рет қаралды 889 М.
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН