KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 25/ 06/ 2024

  Рет қаралды 2,967

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Күн бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 25/ 06/ 2024
UJUMBE WA LEO: NAMNA YA KUZILINDA NGUVU ZAKO ILI UWEZE KUZAA VITU VIKUBWA KIMAISHA
2 Samweli 17 : 1 - 2
Luka 1 : 34 - 35
Wafilipi 1 : 6
Mwanzo 15 : 13 14

2 Samweli 17 : 1 - 2
1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu kumi na mbili elfu, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi usiku huu;
2 nami nitamshambulia wakati atakaokuwa amechoka, na mikono yake imekuwa dhaifu, nami nitamtia hofu; na watu wote walio pamoja naye watakimbia; nami nitampiga mfalme peke yake;
Luka 1 : 34 - 35
34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Wafilipi 1 : 6
6 Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu;
Mwanzo 15 : 13 14
13 Bwana akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa muda wa miaka mia nne.
14 Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
Mhubiri: Mwl. Adrew Bartimayo
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
KZbin: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

Пікірлер: 7
@LilianMbangwa
@LilianMbangwa 3 ай бұрын
Ameeen Mungu akubariki mwalimu
@LovenessVeronica
@LovenessVeronica 3 ай бұрын
Amina sana 🙏🙏
@monikamadahamasanja2868
@monikamadahamasanja2868 3 ай бұрын
Ameen kubwa mno
@elizatete1452
@elizatete1452 3 ай бұрын
Ameeen 🙏
@mellissaking9762
@mellissaking9762 3 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@eglamatechi1302
@eglamatechi1302 3 ай бұрын
Amen
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 3 ай бұрын
Amen
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING)  26/ 06/ 2024
1:20:46
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 10 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 22 МЛН
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 194 М.
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA  FRIDAY PRAYERS (THE SCHOOL OF HEALING) 27/ 09/ 2024
3:23:38
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING)  24/ 06/ 2024
1:19:39
Tuesday Worship Moments Live with Dr. Sarah K & Shachah Team {13TH FEB 2024}
2:39:06
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 511 М.
REV ELIONA KIMARO - JITAFUTE MPAKA UJIPATE (OFFICIAL VIDEO)
59:55
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 47 М.
4. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
3:27:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 27 М.
KIPIMO CHA MUNGU KWA WATUMISHI WAKE
17:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 9 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: KIVUKO CHA FAMILIA/FAMILY FERRY
1:41:06
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 44 М.