WOTE WANAOKUBALI HII MOVIE KAMA MIMI BASI BONYEZA like twende sawa
@zainaabdallah8093 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@user-xv9me9lm6g3 ай бұрын
Umemtoa wapi chendu kwa chumvi nyengi
@Mr.kapuyenge3 ай бұрын
@@user-xv9me9lm6g KWA CHUMVI NYINGI
@alvinemuyambo3 ай бұрын
moto moto 😅😅😅
@Mr.kapuyenge3 ай бұрын
@@user-xv9me9lm6gnae yupo kwenye list😂
@MissShuuh3 ай бұрын
Ila mfinanga anajua kuigiza sanah nampenda wallah
@user-ku3ud4qb7c3 ай бұрын
Wallah🎉🎉🎉He is our star🎉🎉🎉
@saumbliz89833 ай бұрын
Sanaaa
@RizikiZiki3 ай бұрын
Mmmmh yuko vizuri sana mpaka naraha yani
@user-mk1lj1vz3u3 ай бұрын
Sana hata Mimi nampendaga sana
@raajofficiall70293 ай бұрын
Doctor amejua Sana kucheza iko kipande
@kiongozifelix3 ай бұрын
Nani mwingine anavutiwa na Sonia, huyu dada ni mrembo wiiiih❤❤❤
@gagalinodenatrick16523 ай бұрын
Mie jicho lake tu
@user-ux2jm5zr5n3 ай бұрын
Sijawahi pata like hata sikumoj jaman nipen hata 5 tu
@DragonKing-bb4zr3 ай бұрын
Kama unamkubali doko weka like hapa...oyah weh oyah weh
@gibsonombati95463 ай бұрын
Vipara hatuchekeshi😂😂
@MFINANGA7353 ай бұрын
NIPO HAPA KUJIBU MASWALI YENU NDUGU ZETU ❤
@AnnaTillo-gb1pj3 ай бұрын
Mbona mnachelewesha sana
@RizikiZiki3 ай бұрын
Unaongeaga ivo lakini badae ukiuluzwa hujibu maswali sasa inafaidagani kuuliza usijibiwe
@DoriceMfinanga3 ай бұрын
Mfinanga
@user-gt6qt6yu8b3 ай бұрын
Mimi sikuulizi ila nakusifia Tu Mfinanga unajua Sana bro nakupenda bure
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI3 ай бұрын
Unajua sana broo
@SleepyArcade-yq5wi3 ай бұрын
Tunaishi kiuchoyo uchoyo tu hata like mnaninyima kweli
@kiongozifelix3 ай бұрын
Niliona hii TikTok ikabidi nianze na episode 1. ❤❤❤
@naomianya3 ай бұрын
Same here
@cosmawekesa78593 ай бұрын
Same here
@ashakimaya65273 ай бұрын
Kama mimi hapa tuko pamoja❤❤❤
@user-gt6qt6yu8b3 ай бұрын
Pongezi San kwenu na pia nmpongeze aliyeimba hiyo nyimbo ya kikongwe yupo vzur san
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI3 ай бұрын
Kwel kabisa anajua sana
@gagalinodenatrick16523 ай бұрын
Bonge moja la nyimbo
@user-gt6qt6yu8b3 ай бұрын
@@gagalinodenatrick1652 San my dear
@AffectionateArcticFox-xe9iy3 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉kikonguwe kinazinguwa ahhh ila tuliya kitatuliya tu 😂😂😂🎉
@Theswaatv3 ай бұрын
IPI NI BEST SCENE KAT YA HIZI. 1.KANISANI . 2.DOKO,BIBI NA MACHAWA, 3.WANARUDI KUZIKA.DOKO,BIB,MJOMB
@sadaraonesmo3 ай бұрын
2
@UswegeSalu3 ай бұрын
2
@SalomeNzobe3 ай бұрын
2
@NancyAmbogo3 ай бұрын
Hii.
@hanifahkhamiss84853 ай бұрын
2
@ELIUDPHILIMON2003 ай бұрын
Movie nzur ila mnachelewa sana mpka tunasahau muwe mnawahisha kidgo
@HAWAMAULIDI-zl5xd3 ай бұрын
Ila bora hata wemetuwekea dakika nyingi
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI3 ай бұрын
Yes dakika za uhakika
@Mr.kapuyenge3 ай бұрын
Tawahisha mkuu usijali kwa Hilo👍👍
@Sifabi89243 ай бұрын
I'm from south Africa give me like
@Mr_Edalu3 ай бұрын
For what and for which😢
@givenrichard80943 ай бұрын
Doctor wa kupima Ukimwi kaupiga mwingi sana...Saaana.... Maua yake ....He is speaking wisely 🎉🎉
@user-kx7vd6zp2v3 ай бұрын
Dokta apewe maua yake❤❤❤❤❤
@mohammedkidody56183 ай бұрын
🎉❤
@user-sk4yh5kw9j3 ай бұрын
Wa mwisho bc mm nipeni zang kumi like😂😂😂😂
@thebeatshouse3 ай бұрын
Nyie wajamaa wote ni wamoto.....ila sonia kametia huruma kamevaa vzur sana uhusika wake kiufupi ni mtu alepewa jukum kubwa na amelivaa vzur hongera zake ❤❤❤❤❤
@ajmilatymwana14033 ай бұрын
Sonia mzuri maashallah mie mwanamke mwenzie lakini penye sifa mtu apewe❤❤❤
@kinyasigeneral70693 ай бұрын
Sonia hongera SANA una kipaji Cha hali ya juu kaza buti utafika mbali
@Lovenesszani3 ай бұрын
Hawa ma bordgud wa doko ni familia ya kicheche nn mbn wanaongea kama kichechee😂😂😂
@SumayMagunila-hh4jm3 ай бұрын
Kbsa saut zao
@marialuvinga8673 ай бұрын
Nani ameona vaz la kola la mchungaji 😂😂😂 sijui kajifunga lastik😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Mashallah chendu tena mashallah mpe kisa kidogo hawo mfinaga na soon kikomoo 😂😂😂heri yenu ishallah
@binbadru84083 ай бұрын
Kwangu mm huyo bb NI nyota wa mchezo
@BennykennyNyabutongo3 ай бұрын
Mbn move haieleweki mala kipand kinaanzia mbela mala iv havielewek mnazipangaje😊😅
@jaymapepefatma59363 ай бұрын
This is love from Mozambique 🇲🇿❤😊🎉
@zhaomanajer16443 ай бұрын
Wa kwanza kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu ❤
@amanchuphichuphi47253 ай бұрын
Safi Sana doko upo juu bro
@RizikiZiki3 ай бұрын
Masha Allah mfinanga amempata sonia amefezeheka ntafurai ukimuowa sonia maana ulimpenda kwazati 🎉🎉❤❤
@asminkigaile91293 ай бұрын
Jamani msikae muda mrafu sana
@StanleyStanleySamsoni3 ай бұрын
Duuuh kweli hiii movie tumeisubiri Sana mpaka nikasema ndo kwakheri haitaendelea Tena sema ipo vizury sana na hawatubanii kwenye dk hongereni sana wote😂😂😂
@StanleyaStella3 ай бұрын
Niambie Kaka angu
@Amina-Rshd3 ай бұрын
Mfina ukipnda wapnda kwel❤❤❤ nmeipenda iyo n imeenda🇰🇪🇸🇦
@user-ot3te6mj7b3 ай бұрын
😂😂😂 umeenda wp tulia kW waigur 😂😂
@user-ts8gp4nk4x3 ай бұрын
Sonia ukitoaga macho Aki hupendezagi ukipanuaga sasa pua chida😂😂😂 so nc
@Liliqn3 ай бұрын
😂😂😂
@user-ym2fk5ox8m3 ай бұрын
😂😂😂
@mohammedkidody56183 ай бұрын
😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Mfinanga kama mfinaga unajua san wallah mfinga ndyo mume wako soon kikomo acha kutoa macho ayo bas watu wana kusifia bore 😂😂😂😂
@kingofilms9553 ай бұрын
Kaka koka umeupiga mwingi sana kazi bola sana 👏👏👏
@aishaomar22873 ай бұрын
Ila huyu kikongwe bana😂😂😂😂ati anajihisi UTI asipomwona mfinanga😅😅😅 🙌 🙌 🙌...khaaaa!
@Supershopdubai-ck8td3 ай бұрын
Ilanashkulu kwadakika zakutosha from 🇧🇮💐🌹 tunakupenda san
Hii kali sana pia imechezwa kwa ujuzi sana. Hongera DOKO Bg up 💪
@user-lf3mj1sy2o3 ай бұрын
Courage sana Wazee wakazi sisi tuko Congo Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@stynoebondomwepu35823 ай бұрын
Kazi ni nzuri kabisa
@WivinaFrance-xn3mk3 ай бұрын
Nzr japo inachewa mpka radh inakosa
@WitnessProsper3 ай бұрын
Ni kwel inachelew xan pak had unaisahau
@NaimaJuma-kb8pb3 ай бұрын
Aweee mufinanga we kiboko 😂😂😂 naiona nikiwa kenya kazi nzuri sana❤❤
@richardelieza10013 ай бұрын
Leo mmenikosha kwenye dakika 👏👏👏👏🥀🥀🥀💥💥
@MoTalentTz3 ай бұрын
Chendu nae ndani 😂😂😂😂😂😂 kutoka kwa chumvi nyingi mpaka kwa doko
@hutahuta11703 ай бұрын
😂😂😂😂taniaaa uuuuuu mbona mna chelewesha
@EmilyMangu3 ай бұрын
Hatuna maswali bro job iko good
@user-jg1no4uw1t3 ай бұрын
Doko kwenye film ihi nakupa 100% ila tatinzo unagawiza kutowa film ndo tatinzo bro yangu kama nikuhigiza we noma Kwa halihii akika utakuja kupita wenye filams wengi na kwangambo yangu Tanzania nahamini sana nakupenda sana wachenza filams 5 tu basi nahaho 5 nawewe umo ndani bro bongezi sana 😂😂
@MasokaJiko3 ай бұрын
Kama wewe ni mshabiki wa kikongwe nipe like
@joynicecarol14803 ай бұрын
Nipeni likes from kenya
@zainaburamadhani96503 ай бұрын
😂😂😂chendu na uku yupo
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Chendu mchawi tun
@bramwelsituma63753 ай бұрын
Good job,,from kenya watching alive. ❤❤❤
@user-uu9rz3zm3c3 ай бұрын
Sheikh wa muchogo acha uongo allah awa ogoze dini siyo yaku chezeya
@magrethtuma58433 ай бұрын
Ndoman umeambiwa ni muigizaji
@user-uu9rz3zm3c3 ай бұрын
@@magrethtuma5843 sas kwenye dini hakuna ku igiza
@seankano3 ай бұрын
Sijui kwanini hii movie haijaisha,nimekuwa nikitafuta kuona sehemu iliyopita,lol
@MtalemwaElenest3 ай бұрын
Ngoma ipo sawa ih ila munachelewa sana jalib kuwah japo wik au wiki mbili
@KraudiusOswadi3 ай бұрын
Doko kazi zako nazielewa sana sana. Na kingine kinachonifurahisha ni dakika unazoziweka zinaridhisha hata mtazamaji anapata radha halisi ya movi si kama za wengine wanakuwa kama wanacheza tu eti epsodi inakuwa na dakika 10 haileti hata hamasa .Mungu azidi kukuongoza wewe na kundi lako.
@JanvierParametre3 ай бұрын
Kali like mtanipa ila ujuwe kwamba cha muhimu nikusapoti kazi ya hii myamba wanaupiga mwingi
@gibsonombati95463 ай бұрын
Nimengoja kuona sonia mikononi mwa mfinanga hongera mazee
@user-fr7ye5dg5i3 ай бұрын
🤣🤸❤😊
@mohamedwako24253 ай бұрын
Mnachelewa sana doko😢ebu mrusheni haraka episode 9
@alilumia95253 ай бұрын
Top more 🎉imenigusa hii part 8 bigup doko na mfinanga❤❤
@Winleizerabdy3 ай бұрын
Hii movie mwanzoni mlikuwa mnaleta mapema sikuisi mnazingua ila huyo ghoko jamani😂😂😂
@mateusluis72193 ай бұрын
Daah iiiih move imenigusa kwenye moyo wangu,, nipo Moçambique Embu nipeni like zangu please 🎉🎉🎉
@zainaabdallah8093 ай бұрын
Team furus team WiFi team kupambana team Doko tuliochelewa tusalimiane jamani nawapenda mno
@rafiasamata-id1vx3 ай бұрын
Hakika movie 🎥🎥 inatufurahisha sana
@user-hm8lp1ze1u3 ай бұрын
Wanaume wote wangekua kama mfinyanga mbingu ungekua yakwao hahahah
@nassororashidi333 ай бұрын
Nimeliona kanisa katoliki dodoma 😂
@mrkashindi9903 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Maua Halali yenu naipenda Sana kikongwe toeni episode nyingine bila kukawia
@user-yo6dy7kp2m3 ай бұрын
Nimbugila sio jasiri...huyo ndiye alimwita mwizi je ungeuwawa
@user-yi6ub2uq2i3 ай бұрын
Nakubali xan movie zenu much Love ♥️♥️♥️
@user-el6ev9dt5k3 ай бұрын
Kwahiyo ungemzika pekeako yaani ukakimbizane huko watu wakungoje,umekosa kumzika kwa bange zako😊
@ahmadichumbueni62613 ай бұрын
😂😂😂 nimecheka mwenyew kwa hii comment
@NeyJulliet3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉safiiiiii
@MiWeyWaUswahilini3543 ай бұрын
PROFESSOR mbona ukusema neno kuhusu Ukimwii😅 wa sonia
@FrpMobile-tc9er3 ай бұрын
Bomba ya movie
@Wastara-ot1lp3 ай бұрын
Mnachelewesha sana episode zinazofata
@Etissa.33 ай бұрын
😮Mfinanga katupa somo la penzi la dhati🎉 #from Kalemie 🇨🇩
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Chendu kama chendu kweli upo misikitn au unalako jambo mara ww mzee mfungo wa pipi
@user-xv9me9lm6g3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂amemwambia chumvi nyengi kwamba amealikwa kutoka kwengine hhhh kisa kidogo