Kama hii ni finally Sasa tutakua tunanjoy Nini Lafikizanguni ambao hamjafulahia kikojgwe Bibi kufikia mwisho tujuane kupitia like
@deherlkaplondalinkon68772 ай бұрын
Good in acting but poor in finishing aistaili iishe vle imeisha
@JustusOngiroАй бұрын
Was amazing
@hassanmoh66012 ай бұрын
Kama na wewe ni mfuatiliaji wa kikongwe kuanzia EP 1 mpka finally gonga like za kutosha apa♥️♥️♥️
@user-uy1fs2ls6b2 ай бұрын
❤
@zachariamakale2 ай бұрын
Kwanini hautaki like
@MwaishambaKipanga-bu9sz2 ай бұрын
Daaah saf doko Ii nyimbo inaitwaje
@joshuaonyango87062 ай бұрын
iendelee bwana, tumeachwa kwa taharuki
@deomaiko5321Ай бұрын
Deo kutoka makonglos chuny naikubali mdo utam umekolea❤❤
@immaculatenkirote40762 ай бұрын
Naomba season 2 ya kikongwe mjamaliza vizuri natamani kumwona kikongwe na mfinanga wakielewana kidogo ❤ iyo mapenzi yote haiwezi isha ivyo kama unaitisha season 2 gonga like
@nkurikiyearodiedavid62552 ай бұрын
Natamani kikongwe afungwe akafie jera kweli
@joelnyaga19852 ай бұрын
season two ikunje
@user-wu7we9gt1v2 ай бұрын
Sawa bibi chaka umetisha mama wetu
@user-zk5tq2ni6bАй бұрын
Kwwli imeisha vibaya sn
@Enocky-pv5ui2 ай бұрын
Jamani ss tunataka hii nyimbo ambayo imetumika tunatamani tumspoti huyo kaimba nyimbo🎉🎉🎉🎉 tunatalajiwa kuona kanzi nzuri kuzidi hii❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Mwanah-cg3ie2 ай бұрын
Wakwaza Leo jmn ahsante Sana timu zimaa ya kikongwe❤❤
@JackneyMsoma2 ай бұрын
Dah kazi nzuri sana mfinanga
@msomalisony2012 ай бұрын
MAMBO VIPI SONIA APA NISEME ASANTENI SANA KWA KUWA NASI TOKA KIKONGWE SEHEMU YA KWANZA MBAKA SASA KIKONGWE SEHEMU YA MWISHO TUNAWAPENDA SANA PIA NAWAPENDA MASHABIKI WANGU MIMI SONIA
@ayoubucharles41492 ай бұрын
Sonia❤❤❤❤ Umetisha sana lakini una macho mazuri kama NYANYA chungu Ukimwangalia mfinanga kama anataka kukimbia Basi sawa hongera sana Sonia ❤❤ jina zuri halafu mwenyewe mzuri Lakini???? Haijaisha Mwisho wa Sonia haujaonekana Mwisho wa kikongwe haujaonekana It means that haijaisha twambieni Tusubir season 2 au ndo m atuacha hivi hivi Movie tamu sana Majibu tafadhal
@othmankombo2 ай бұрын
❤
@othmankombo2 ай бұрын
haujafariki lakini?❤
@oman1oman1792 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤na sisi pia twakupenda unafanya vizuri sehemu yako manshallaah tabarakallaah
@SarahMugisha-bh8yu2 ай бұрын
Love u soso
@user-mb7vv8lw8e2 ай бұрын
Thank you Doku for this nice movie we have being together from beginning up to the end we enjoyed this,on behalf of my fellow malawian l'm wishing you all the best ntill next series again
@josemangula88062 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza naomba like zang please please please
@nzigiyimpainnocent87382 ай бұрын
GONGENI LIKE MNAO TAKA [ DOKO ] ATUPE [[ KIKONGWE SEASON 2 ] ]
@winnymbula2 ай бұрын
Sad story 😢😢😢😢😢 pole finanga Na Sonia Kwa kweli hii movie mumeteseka Sana...Doko ongera Sana nikija Tanzania nitakutafuta Winnie form kenya.... kikogwe congratulations umekua fuzo Kwa wakogwe wegine
@delickmarco39452 ай бұрын
Hongera Sana doko kwa movie nzr Kama hii imetufunza mengi
@Hassanhussein1-t2 ай бұрын
Bro umechelewecha from somalia 🇸🇴
@neemaalphoince12092 ай бұрын
asanten kwa kazi nzur mwisho wakikongwe ndo mwanza wakaz zingine nzur
@samiuhassan81532 ай бұрын
Fist coment
@amanchuphichuphi47252 ай бұрын
Big up bro doko wapi like za mfinanga
@bramwelsituma63752 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪,,kazi nzuri mfinanga, tunakupenda sana,God bless you ❤🎉.
@mualimoulissesmanuel-27062 ай бұрын
Mimi ndio wakwanza naombeni like zangu
@theinsider072 ай бұрын
Good work guys, waiting for new things
@fhugghi41092 ай бұрын
Asanteeeeee sana Kwa kazi nzur 🌹🌹tunategemea sana kutuletea kazi zaidi 🎉🎉🎉🎉
@sonrose83182 ай бұрын
bado ijaisha iyoo kwasababu atujui Sonia kafa au ajafa na kikongwe vip kakamatwa na police au ameolewa na mfinanga daaa mnafer kumaliza
@joshuaonyango87062 ай бұрын
Ukweli haijaisha
@user-oi1ks3oi3h2 ай бұрын
Mimi kibinafsi napenda mfinanga sana ,he is so cute ,I like his character ❤❤❤
@user-lf5ud8vb5j2 ай бұрын
Nimewayi nipeni like zangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩😅😢
@ShukuluKiteme-wh8qt2 ай бұрын
Pamoja sana❤❤❤❤👊
@namaduangaarmando26872 ай бұрын
This is one of the best bongo series in 2024. Love from Mozambique ❤❤❤❤❤❤
@Beiyaduba20022 ай бұрын
Unafanya vizuri sana family yangu doko
@liliankerubo37842 ай бұрын
Much love from kenya
@NewGangstarOficial2 ай бұрын
Mimi ni wakwaza por favor minhas likes🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-uc4dx5lr9s2 ай бұрын
Vile nlkua naidubria much love mfinanga❤
@OZWIMsabato2 ай бұрын
Hogelen kwakaz nzuuuur . Mnajua kaz maan kumufurahish mtu nikaz ngumu. Nawap❤
@user-mn3kn6hr1m2 ай бұрын
I salute you DOKO👩🎤,,,Kweli wewe no muigizaji,,,, If the best actor is to be selected in the whole world, you will be the best of all. You are such a talent actor,,,Uigizaji wako ni halisi,,,Keep the good work,,, Eagerly waiting for season 2.
@FidiaMutoniwase2 ай бұрын
Doko tunakupenda unajua sana kutoka 🇧🇮🇧🇮
@neemaalphoince12092 ай бұрын
mfinanga da lachel da gres kaka doko kamote mjomba na wengine woote nawapenda mnooo
@izakiel722 ай бұрын
Hadisi nzuri Sana.... Hongera❤
@user-gt6qt6yu8b2 ай бұрын
Mmemaliza vzuri San meeleweka pongezi kwenu Doko Bibi usimuache Fanya nae kazi anakipaji Sana pia Mfinanga nakukubali San
@RobertKatana-ii9eq2 ай бұрын
Doko na kukubali Sana broo hogera karibu Kenya
@M.CDangoteM.CDangote-bd5fm2 ай бұрын
imeweza bloody Doko
@user-hm5ze9sz2v2 ай бұрын
Shukran sana doko nimekuw nawe mwanzo mpk mwisho kaz nzur ❤❤❤
@user-qg8td9mr1w2 ай бұрын
Mimi Léo wakwa nza naomba muni ❤❤
@user-he4mw7nr6r2 ай бұрын
Namba Moja naomba likes zangu🎉🎉
@mohamedrajabu90552 ай бұрын
Oya mnachelewa kutoa kazi mnazingiwa
@Saaa2352 ай бұрын
Mwisho wa kazi mzuri ndio mwanzo wa kazi nyengine mzuri tunawakubali sana
@RehemaAmos-eh1cy2 ай бұрын
Kazi nzuriiiii mnooo
@user-tp4sy6ym7q2 ай бұрын
Doko nakuja wallpaper 🎉🎉🎉
@Makukamohamedi2 ай бұрын
Gooooooooooooood job we are 4evver
@hodamzungu41072 ай бұрын
nimewahi lakin sihitaji like
@user-nb6yh2bn9y2 ай бұрын
Sii unataka kijanja au
@sonrose83182 ай бұрын
oyaa doko nicheki nikupe story kalii sanaa
@user-xs6mr6zl9z2 ай бұрын
Doko hii movie ilikuwa tamu sana rafiki yangu toa kama ulivyo toa hii kichaa wangu
@user-ol5yl6fo4g2 ай бұрын
Good job mko sawa kabisa
@aidanpadon20112 ай бұрын
Kazi nzuri sana sanaa, yenye mvuto na yenye kuvuta hisia za wafuatiliaji, hongereni sana
@AsiaHassani-kf8ww2 ай бұрын
Kila moja n wakwwnza 😂😂😂😂❤
@user-et5xc1zi5v2 ай бұрын
Asanty tulikua twaingojea sana....
@Chrismamesofficiel2 ай бұрын
Nipeni like zangu jamani mimi wakwanza
@ggfwtgg16522 ай бұрын
Asante kwa kazi nzuri sana nyinyi wote wahusika mumedufulahisha sana 🙏 ❤❤
@RizikiZiki2 ай бұрын
Maskini mfinanga pole.sana kumpoteza kipenzi cako.sonia imeniuma sana maskini😢
@MsomaliBeka2 ай бұрын
Hii ni filamu bora na wala sio bora filam❤❤
@AssumaneMussa-zt3gd2 ай бұрын
Wallah wa Billah Nimifanyikia Kua WA Kwanza ... NAOMBENI like zenu jamani please
@YoungsHilary-xd2ml2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@neemaalphoince12092 ай бұрын
woow nimefrai kumuona dadaangu gres
@andrewkilave35322 ай бұрын
Basi kama mumemaliza tupie hiyo goma ya kikongwe jamani ni kali sana. ila wahusika wote humu ndani mmeitendea haki hii tamthilia yaani sijapenda iishe big up kwa woteeee nikisema nitaje jina moja moja sitamaliza aisee mimi ni muigizaji lakin humu ndani mmefanya zaidi ya maigizo🔥🔥🔥
@user-lo6sy9zz2f2 ай бұрын
Jinga hii badala isapoti Kaz wanadai like zenye hawaja zifanyia Kaz
@user-ef5zy5vs5o2 ай бұрын
😅😅
@halimamlala2 ай бұрын
😂😂😂
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Ata kama mimi niwa mwisho nipeni basi ata like 👍 zenu za upendo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mauagakii2 ай бұрын
Kazi nzuri sana doko hongera sana team mfinanga ❤❤❤
@FernandoMakalabo2 ай бұрын
Wakwanza mimi leo kutoka Msumbiji nipeni like zangu team DOKO
@billabong_del_sol_272 ай бұрын
Makumazan AkA * DOKO* hongera saana for the big intertainment .. like for like Wenye Vipara Hatuchekeshii..🎉 gonga like👍🏿
@SeiphMkwizu-iz8ed2 ай бұрын
Jaman mbona imeisha mapema iv
@elinamwakyusaaiseeniatalis34622 ай бұрын
Kazi nzur jamani ongereni
@InnocentNdayi-cn3vk2 ай бұрын
Wakumi na moja jamani nimetoka.mbali🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲
@evelnjuma18342 ай бұрын
Wow nzuri sana ❤🇹🇿
@johwizboi42102 ай бұрын
Atimae tumemaliza kikongwe 🎉🎉🎉🎉 hatari sana Doko
@lendesndezwenayo2 ай бұрын
Kusema ukweri , mumeweza katika hii sanamu , kuanzia mwanzo adi mwisho , film was fire 🔥, like fans we are waiting for next coming films by this same actors and actress
@Theswaatv2 ай бұрын
Let's gooooooo
@CelineNyakoa-it7sd2 ай бұрын
Hongera sana Doko kazi yako safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-em1mg2ei7c2 ай бұрын
Sijawahi tuma meseji ila leo daa huyu doko mbaya kuliko wote walio cheza hili dude ukatae ukubali huo ndio ukweli jamaa anajua hadi anakera
@angorekahindi69532 ай бұрын
Mfinanga alipokua akipigwa uyu dem mwenye ameshikwa ame smile na alifaa kukasirika ju ameandamwa mikono iko nyuma story nitamu sana naitazama nkiwa kenya mombasa
@user-ql2yr4fj8h2 ай бұрын
Hongeren kwa Kazi nzuri sana Lakn daah mbn imewahi kuisha jamn hatuwez pata season 2 jmn
@NasraMnyupe2 ай бұрын
Shida wanachekewesha Sana Yani mpaka unasau jamani
@NaimaHamad-dv1ji2 ай бұрын
Wakwanza naoba like 200
@ZakariahakimJumaseleman2 ай бұрын
Wakwanza kama umependa liki elfu mja 1 ikae hap
@bembelezaMsazi2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤duh nilitamani iendelee tu maana haishi radha
@JeremiahKingoro2 ай бұрын
Mwambie doko hiyo move hajaisha
@matasakaclip79732 ай бұрын
Sio mbay DOKO haun baya ila bibi kikogwe alikuw atake kumuuw yul SONIA ndio MFINANGA aingie yey kati achomwe kisu lkn sio mbay broo🎉🎉🎉
@mosesjnr62262 ай бұрын
Like zangu zikam mm dio wakwanza Leo 🇰🇪
@dollar1052 ай бұрын
Io Wimbo ya kikongwe post kando tudownload 🎉#doko
@Zamzamo.2 ай бұрын
Nalia na movie
@SaidHamidu-fz4tk2 ай бұрын
Namba 2 like zang jamn kutoka mwarusembe
@AliKuola-zd3yb2 ай бұрын
Kazi nzuri guys, big up Doko family 🎉
@Nairoboss2 ай бұрын
Toa ya uchawi🎉
@sergesntunzwenimana2 ай бұрын
❤❤❤❤❤wakwanza naomba like kama unamupenda finanga❤❤❤
@arafaramadan62342 ай бұрын
Jmn Mfinanga 😢😢😭😭😭
@NsobiLema-wq9vh2 ай бұрын
Mmemuonea mfinanga tokaa anaanza nikulia tu mpak mwisho jamn
@TIMOCYBER2 ай бұрын
Asante kikongwe
@RajabuJuma-cp8sk2 ай бұрын
Mmeuwa sana
@WAKATI122 ай бұрын
Hongereni sana vijana
@viviannafula57402 ай бұрын
Aaaaah ebu leteni season. 2, hii haijaisha poa, jameni
@winnymbula2 ай бұрын
Nko hapa final shikamoo
@user-ll4mk5yk4k2 ай бұрын
Doko am from Kenya and am happy with your work congratulations bro 🎉❤
@eliasaugustino95332 ай бұрын
Kisu kimoja kinatumika kote, mmezingua
@valinemkanamkuverammbone-ci9ou2 ай бұрын
Wale wametizama kutoka manzoni adi apa mwisho pita apa kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪 🎉❤😊
@MaroFredson2 ай бұрын
Nimekuwa 1200 naombeni like hata 10000000
@hamzaamry62512 ай бұрын
Tulio ifatilia hii tamthilia tokea mwanzo mpaka leo hii imeisha like zenu kwa wingi hapa💪
@bdppmirdp68932 ай бұрын
Hii si tamthilia
@RoseMary-jw2im2 ай бұрын
Kweli ni kali nimeipenda sanaa..heti shikamoo babangu😅😅😅