Sijaona aliposema vibaya juu ya serikali ya Magufuli. Mabadiliko ni jambo la kawaida na zuri
@Mmukunza3 күн бұрын
Brilliant chep we have lost. R.I.P Mafuru. Some of the things can be seen today-SGR, road network etc etc
@jedidahbintidaudi82416 күн бұрын
the guy was brilliant in general..banking sector was something he articulated so well.. mahn we lost a gem for sure
@hunyhuny89015 күн бұрын
Very smart indeed
@jedidahbintidaudi82415 күн бұрын
@@hunyhuny8901 no doubt my brother. what an asset. and they hide them only to be discovered when they pass on...
@zakiamseka96984 күн бұрын
Exactly
@nth35126 күн бұрын
Kweli aisee mlipambana, saivi tunaona sgr, umeme kiasi flani kuna improvements, ndege zipo hadi za mizigo, mwendokasi ndo izo zinaongezeka, barababara za zege zipo kwa maeneo mliyofanikiwa kufika. Yote kwa yote ni kumshukuru M/MUNGU
@safinayetublogyetu71588 жыл бұрын
magufuli hawezi mpata msajili wa hazina kama huyu kiukweli ni mtalamu sana
@thomasmhindi14697 жыл бұрын
Kuna watu wamesoma zaid yake usikarir
@hassanmfaume4522Күн бұрын
Wako wapi mbona hawalisaidii taifa upuuzi umewajaa kibao kichwani wengine wana vyeti hawana elimu lakini huyu alikuwa na cheti na akili mno tumempoteza mtu muhimu mno kwa taifa@@thomasmhindi1469
@Maulidism7 жыл бұрын
The big boss is systematic when it comes to changing the team, leo kapumzishwa ila kesho aweza kuwa bado msaada mahali pengine.
@atumwanjala28026 күн бұрын
Kauli yako Leo imethibitishwa kuwa ni kweli..Hakika amekuwa msaada sehemu nyingine
@patriciamaganga38915 күн бұрын
@@atumwanjala2802alikuwa…
@TM.Sullusi4 күн бұрын
Uliona mbali
@marcodominico95038 жыл бұрын
Mi sijaona alipokosea, pengine sio kweli kwamba alipishana na viongozi wake. Nafikiri haya ni mabadiliko ya kazi ya kawaida tu
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA6 күн бұрын
He was smart
@godlistenmringo83626 күн бұрын
Kichwa cha habari cha somo kimekuwa tofauti na content kaongelea vizuri sana uhalisia tuliotakiwa na tunaotakiwa kuukubali kama nchi.
@rashidsadick68448 жыл бұрын
kauli kupishana na mkubwa wako si vizuri jamani.
@legacytrainingservices5 күн бұрын
Vizuri ni nini? Kusifia kila kitu kinachosemwa na mkubwa hata kama anachosema sio uhalisia? Kuna nukuu moja ya aliyekuwa mtawala wa zamani wa Ufaransa Napoleon Bonaparte "The world suffers most not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people"
@yusufmohamed88746 күн бұрын
Big brain.. Rip
@alistar19035 күн бұрын
The guy was genius
@roselaurence1093Күн бұрын
Sure
@chrisb85415 күн бұрын
Content na heading ni vitu viwili tofauti ! Kwa wakati huo, aliongea pure facts zisizokuwa na chembe ya uchochezi !!
@johannesjoseph74965 күн бұрын
Hakuna haja ya kua na heading isiyo relevant,,inakushushia credibility
@alisteusarchard36566 күн бұрын
R.I.P MKUU
@lushiligolegwa40255 күн бұрын
Mtu makini sana RIP mwamba
@rashidmaulid73124 күн бұрын
Appreciated
@Mwambubamusadauden4 күн бұрын
Jamaa alikua anauelewa mpana sana
@franklwakatarevideos7 күн бұрын
RIP in Peace Sir
@KindubaShabani6 күн бұрын
Hana baya xf kabisa msomi wetu.mzarendo❤❤❤❤❤
@msowamhokole77148 күн бұрын
Rip my friend Laurence
@stanleymhozi75907 күн бұрын
Umzika kwaamani
@mohdmohd84286 күн бұрын
Kumbe mwamba alikuwa mtu na nusu🎉 R I P
@DorisNgimbwa7 күн бұрын
Pumzika kwa amani
@mungunimwemakilawakati12996 күн бұрын
JAMANI MWACHENI MAGUFULI APUMZIKE KWA AMANI!
@frankngowi77426 күн бұрын
Amani gani Kazi anayo
@HuseinJige3 күн бұрын
Nikweli baada ya hayo maojiano magufuli almfuta kazi
@MsAggie512 сағат бұрын
Lakini haingekuwa headline. Aliyoongea hawaendani na kufukuzwa kwake