Рет қаралды 1,212
Fuatilia makala juu ya kilimo cha Alizeti kila siku za jumapili kupitia radio Access FM Mbeya.
Hapa tunazungumzia Magonjwa yanayosumbua zao la Alizeti na Tiba dhidi ya Magonjwa taja
Huu ni muendelezo wa makala za kuhakikisha Mkulima unapata taarifa sahihi za Kilimo cha Alizeti