Mnajua nini bravoo ana akili sana ndo maana hamuelewi story zake yeye anatunga kutokana na uwezo wa akili na mawazo yake na anapenda alete vitu tofauti ila sasa watazamaji mmezoweya vitu vile vile(mapenzi,vichekesho,uchawi yani mumuone mwakatobe….)but ideas zipo nyingi sana mno kama mnatizama movies za njee huko lazima mtaelewa maana kuna movies usipo zianza mwanzo huwezi kuelewa mwisho all in all minakuelewa sana maana wewe ni genius na utafika mbali kwa uwezo wa Mungu
@bravoogenius7 ай бұрын
Nikweli, Asante sana kwa kufuatilia kazi zangu 🙌🏽
@Saikalyasi7 ай бұрын
Me mbna namuelewa sana
@bravoogenius7 ай бұрын
@@Saikalyasi Shukrani
@issaathuman24477 ай бұрын
Unishindi mimi navyomuelewa jamaa anajua sana sana
@ElvisSimba7 ай бұрын
Huyu ni Genius
@جونفيرالبروندي7 ай бұрын
Izi ndo 😢movie siyovitu visivyo eleweka apo poa kabisa❤
@bravoogenius7 ай бұрын
Twende nayo
@delovelygalHope7 ай бұрын
Kimemrambaa kwel 🙌🙌hii kitu ni hatarii mashemejii si watuu 😂😂😂
@bravoogenius7 ай бұрын
Daughter
@RAMADHANIOMARY-nj4vy7 ай бұрын
Braza huyo Dem yuko vizuri sana anafaa kabisa kufanya nae kazi
@Mwanah-cg3ie7 ай бұрын
Jumaa😂😂😂
@OmarAli-vj9kg7 ай бұрын
Kama unakubali kazi ya bravo acha like ili mwenyewe azione ❤❤🔥
Akiact huku Juma Jicho sauti yake inatoka vizuri sana
@liylahahmed8297 ай бұрын
Ila jumaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@yusuphmkomwa34277 ай бұрын
Makini sana kazi nzurii
@MarKarim-km2yh7 ай бұрын
Yaan hyu juma jicho akili mbovu 😂😂😂😂😂
@amanchuphichuphi47257 ай бұрын
Nakubsli sana kazi zako brBrooke
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukran sana
@WiliamLupenza-ww2gh7 ай бұрын
Uyoo Sheko mbona anajua
@romanabarua95457 ай бұрын
Much love Bravo
@ArafaAmirAmir-ci7ld7 ай бұрын
Bravo & Soph umu tu umu tu😂
@charmingcomedian7 ай бұрын
Wa kwanza leo wapi like zangu ata moja please
@AkiliAndreMaxPro4 ай бұрын
Ingénieur bravo à votre boulot
@goodluckmsuya1157 ай бұрын
Bravoo Genius umetisha
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukran sana
@bettynyasuguta58167 ай бұрын
Juma Jicho ameamua ni Okra water kwa wingi😂😂😂😂
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
Iyo kuku tena mbele ya gari vipi 😂
@shukurundume81817 ай бұрын
Ndo nimehanza kuifuatilia, hii ni kali ❤
@irenecuty14687 ай бұрын
Juma jicho na bamia😅😅😅
@mrben2277 ай бұрын
Kazi kubwa kaka ,mungu abariki kazi ya mikono yako
@bravoogenius7 ай бұрын
Ameen
@mkanyafamily7 ай бұрын
Congratulations bravo 🎉 100k nice job
@cixworldwide67457 ай бұрын
Nakitamramba Sana 😅😅😅
@FelistusKimanzi-f2g7 ай бұрын
Kazi njema
@SelemaniMdodo7 ай бұрын
Bro napenda sana kazi zako naomba unipe nafasi ya kufanya kazi na wewe nina kipaji cha kuigiza
@bravoogenius7 ай бұрын
Nicheki dm
@issaathuman24477 ай бұрын
Braaavoooo akili nyingi sana
@bravoogenius7 ай бұрын
Nakubali
@zerobrainTz7 ай бұрын
Bravo bro shida Moja ume kua baili San ndio mana una fanaya kaz mbovu sana sas wekeza kwenye kaz zako tuta acaha kufatia mana story nzur ila una feri Kuna sem mana daaaaaah
@gracekayumba-z9l7 ай бұрын
Anakosea wap
@Zix-yb1ci7 ай бұрын
Nakukubali bro kazi nzuri ❤🎉
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukran
@MR_RAMSATZ7 ай бұрын
Sandra nakukubali sanaa
@RickMe-hx1xn7 ай бұрын
Sana kabisa
@MayengDulu7 ай бұрын
Kama kawainda
@MsafiriHamisi-m1d7 ай бұрын
Bola kaka kuliko simba yetu mbovu
@ChrisNini-ot3bl7 ай бұрын
Kizuri Kisifiwe Hii Ndio Movie Sasa Yenye Ubunifu
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukrani
@RojastazeTaze-gw8qd7 ай бұрын
Juma chukua maua yako
@BarakaSenior7 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤
@EliacyTz-qj9uy7 ай бұрын
Sina ch kusem hich ndo unacho sitahili 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukrani
@Arrowacterscinemax7 ай бұрын
Bravooo Big 5
@bravoogenius7 ай бұрын
🙌🏽
@ashamwanganzi64007 ай бұрын
Daaah ila huyu Brother hata hajui kuchagua sanura is the beautiful san wallah❤❤❤❤❤
@bravoogenius7 ай бұрын
Anafeli au sio
@ashamwanganzi64007 ай бұрын
@@bravoogenius anazingua kiukwel
@AkexLamek-vv1cv7 ай бұрын
Kutoka Congo Lubumbashi hiyo story nikali sana ila hakikisha iwe ndefu kaka🎉🎉
@doriskahimba7 ай бұрын
Niwai na mm leo
@Ekerenga0457 ай бұрын
Nice work 👍
@AbdulMahmud-ut7ee7 ай бұрын
Bravo anajituma Sanaa
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukran sana
@ramadhanimziray46067 ай бұрын
Ila Juma jicho...😅😅😅😅😅
@MwinyiSalim-d4j7 ай бұрын
Iyo sauti yake kama oil chafu Sandra uko wapi
@RoseGaspar-vn4ms7 ай бұрын
Unyama sana
@bravoogenius7 ай бұрын
Nakubali
@LabanEmanuel5 ай бұрын
Sophia ❤ namupenda
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
Kama namuona vile juma jicho atakavyo mdai iyo 2000 uyo dada mmh sipati picha wakikutana maana sandra alisota nae sababu ya 9800 duh😂❤️
@MapenziChengo-c3e7 ай бұрын
Vp malkia sanura mbna watuchora bravoo😢
@geofreyukason7 ай бұрын
Black beauty Sophia❤
@ZolufaMas-ie4un6 ай бұрын
Juma ww 😂😂😂😂
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
Combination hiyi inabamba sana ❤
@bravoogenius7 ай бұрын
Tunaenda nayo
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
@@bravoogenius let’s gooo 💃🏻
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
@@bravoogenius let’s gooo 💃🏻
@jumasadiki1417 ай бұрын
Muweke na sandra ma sanura
@eliasmilingaofficialtz37057 ай бұрын
kwel
@deblacktz29817 ай бұрын
WAPI SHANGWE ZA 100K SUBSCRIBERS
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukran sana 🙌🏽
@LucasGabriel-o3p7v7 ай бұрын
Eeeeeeeh
@mahmoudnajad2177 ай бұрын
Kazi nzr Bravoo
@bravoogenius7 ай бұрын
Shukrani
@Abuuhamda2567 ай бұрын
Likes zenu bravoo
@AhmedChitema7 ай бұрын
❤❤nice drama
@bravoogenius7 ай бұрын
Thank you
@jubaidamiss24097 ай бұрын
Next ❤❤❤
@mariamomary60037 ай бұрын
Nampenda sana bravo kuna mwenye namba yake apo😅😅
@mpambanaji2557 ай бұрын
Mi nnayo 😁
@aljazzytechno7 ай бұрын
❤❤❤ jamani
@bravoogenius7 ай бұрын
❤❤❤
@FadhilFuraha7 ай бұрын
Genius Gin
@bravoogenius7 ай бұрын
Nakubali
@TinahOkia7 ай бұрын
Great🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉bravo
@esseesse23487 ай бұрын
Anajua San ila anatuachia move nusu nusu ila kal
@bravoogenius7 ай бұрын
Inaendelea hadi mwisho
@jumandhale60967 ай бұрын
Pamoja
@chandeemanuel63037 ай бұрын
Juma kapewa namba ya bajaji
@labunaabouna61227 ай бұрын
Nice
@bravoogenius7 ай бұрын
Thank you
@newgeneration27217 ай бұрын
Kama unamkubali juma gonga like
@kamarhelo7 ай бұрын
Apo kwa bamia smeua
@abrahamfelix957 ай бұрын
uyu dada alocheza kama shem wa bravo, ana sauti flani mchubuko
@jamessamwel94567 ай бұрын
K vant na konyag izo😂
@MariamOmary-tt3fo7 ай бұрын
Mbona CHIBU mwenyewe sasa hayupo na umemuweka kwenye cover tu 😢 au ndo kwenye episode zinazofata jaman 🤔
@bravoogenius7 ай бұрын
Yeah utamuona
@youngcheftheblessing2397 ай бұрын
Fanya pia na wewe Bravo uwepo kwenye channel ya Juma
@bravoogenius7 ай бұрын
Sawaa
@jamesmakaranga11707 ай бұрын
Tatzo lake huwa hazifiki mwisho
@HAWAMAULIDI-zl5xd7 ай бұрын
Zinafika siku hizi
@EricKambale-dl7pj7 ай бұрын
❤marahiyo sija chelewa naombeni like hata kumi ❤❤
@PascalIlunga-zs6xi7 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@honorebiyijimungu767 ай бұрын
Sandra yupo wapi?
@bravoogenius7 ай бұрын
Mlandizi
@bettynyasuguta58167 ай бұрын
Bravo hukutumalizia malkia Sanura why
@bravoogenius7 ай бұрын
Changamoto za kazi
@bettynyasuguta58167 ай бұрын
@@bravoogenius Naelewa bro anyway big up to amazing job you are doing