Chanjo: Newcastle after 1 month pea gumboro. After Newcastle vaccine , blend(aloe Vera, pilipili, matawi ya pawpaw, ginger) weka kwa maji kuku wanywe weekly. Itasaidia kuboost immunity.
@ruthwattsofficial2613Ай бұрын
Aloe vera na pili pili kwa maji more often. Na ka vaccine once a while zitakuwa poa then don't mix new kuku ukileta first treat it b4 u mix na wengine. Anyway sorry thou
@sharonmwika8293Ай бұрын
kumbe cb alikula kuku.... poleni. jambo linginge, tafakari hio mbolea ulinunua, huenda iliingia na kaugonjwa pia, dont just rule it out, juu iko open na kuku huenda walichezesha one legi huko,
@Ruganzu.Ай бұрын
I dont know how this works but growing up I'd see during such outbreaks, they'd crash pepper (pilipili) and have it mixed with water and placed where kukus zingekunywa, it was working like magic.
@LilkirimiАй бұрын
After kuzipea ndawa mnaeza zipea maji enye ime katakatiwa aloe vera huku ndani...
@collins-gАй бұрын
Learning process, yote ni maendeleo
@wandiaflorence7712Ай бұрын
Jasper , please ,Aloevera ,I had that problem, today ,they're doing good, maigoya as well. Pole.
@noahson7164Ай бұрын
No give up murume, you can begin a venture but take a year to get profit
@rlh-tzАй бұрын
uliwapa chanjo zote tangu wakiwa vifaranga?
@kijanamnatty7693Ай бұрын
This could be Newcastle, usifungulie the chicken its contagious even from nyooni
@solomonkibuchi194Ай бұрын
Bro, Newcastle na gumboro ndio hiyo sasa. Treat before zikule na zenye zilikuwa zinaishi na hako kameenda uzi-isolate
@EastAfricalive974Ай бұрын
Sometimes kunakuwanga na outbreak
@sharonmwika8293Ай бұрын
na ile ya curlykit, ukipikia adui hatarudi tena ;)
@dybconceptsАй бұрын
kuwa unazipea antibiotic ya watu kwa maji, aloe vera na pilipili
@NancyWanja-kz8ivАй бұрын
Tafuteni kwa shamba huko kwa mashimo.
@BoilingPointKEАй бұрын
Ukitaka kuku kineyeji enda kitui ,
@PothAnusuАй бұрын
Call me murume or visit Anusu poth Induraji
@tonywasike2106Ай бұрын
zika hio kuku kwa garden - hio ni mbolea murume
@alekinjagi07Ай бұрын
kuku tumia aloe vera bro
@gitgenKEАй бұрын
I see you know, umesahao pepper mix ndani yake
@rasantoo5915Ай бұрын
Tuko ndikni👊👊
@rophusmsinga6749Ай бұрын
Io ni kideri uliuziwa kuku zenye ugonjwa
@solomonkibuchi194Ай бұрын
Sibi angekula hiyo kitu
@EastAfricalive974Ай бұрын
Ifanyiwe Cpr😂😂
@LilkirimiАй бұрын
First on scene
@newtonyoung3298Ай бұрын
Nunulia kuku Vetoxy 500 murume
@newtonyoung3298Ай бұрын
Ni viral infection
@Mwariamtalk001Ай бұрын
Ama ni kihuruto
@PothAnusuАй бұрын
Really. Nitafute
@sharonmwika8293Ай бұрын
hio sio cosdiosiss ama nyokaumaosis
@johnnywan.Ай бұрын
Always ensure your chicken are vaccinated from unnecessary viruses.
@AntonykirimiАй бұрын
Tupo site
@joshuadennis8018Ай бұрын
Niko na jogoo terrorist na ni mkubwa
@alicemutua2388Ай бұрын
First thing usilete kuku mgeni kwa kuku zako
@sliemtechkenyaАй бұрын
Yesh... Ukileta mgeni anaingia quarantine for a few days