Mmh MUNGU NDO ANAJUA YALIYO SIRIN USIJAJI SAAANA EMBU ACHA MUNGU ASHUULIKIE
@MonicaMwoka18 күн бұрын
Yaani huyu dada ameshawishiwa labda atapata utajiri juma yuko sahihi huyu dada kuna kitu ukweli utajulikana
@AminaTanzania18 күн бұрын
Mungu kawasaidie hawa wario kamatwa baba kawafanye wepesi kama wametenda ww ndoo mwamzi ira kama firimasoni mungu pambana baba hawa watoke wafungwa jamani
@MonicaMwoka18 күн бұрын
Hicho kidada chenyewe kinaoneka hakijali ukweli utapatikana tu wakiminywa
@AminaTanzania18 күн бұрын
Kweri unaua mwanao kwajiri ya pesa za chifu
@kilogreek405018 күн бұрын
AWA WAMEMTOA KAFALA HUYU MTOTO DADA KUINGIA CHAMANI CHA FREEMASON😢
@AnnaMtewele-zd2bb19 күн бұрын
Mh ila we jojo ni mwanamke wa ajabu,unapata wapi nguvu juzi tu umezika mtoto wako.du mim ningeharisha tuuu kila siku
@MUDIKIDEVU-fl7ii16 күн бұрын
Mimi nilitaka sana aelezee jinsi ilivokua Mtoto aliuliwa yy akiwawapi yaan huyo anaeitwa Calvine mbona hajasemachochote....?
@SmilingCityMap-xb9md18 күн бұрын
Huyo mwanamke mmm wanawake wa siku za mwisho ni hatali kuliko shetani
@mariedelarie87319 күн бұрын
Huyo jojo izo nguvu za ku shoot makaburini kazitowa wapiiiii ?Mimi hata uko makaburini ningebebwa mgongoni ningeweza hata kutembea ila yeye na jilibabi zake kama hajafiwa duh
@RamadhaniKitala-gx6wc19 күн бұрын
Kila Moja ana moyo wake ila mimi nisingeweza
@Shuu.A18 күн бұрын
Ana roho ngumu mie hata hapo kwenye kaburi nisingeweza hata kuliona wee mtu kamtupa mtt kenda kwenye uzinzi hata habari hata
@JenifaAbasi-w1q18 күн бұрын
😮😮😮😮
@SHINELOVETV19 күн бұрын
Kila mwanadamu ana Siri yake juu ya mafanikio yake
@user-cn2no7xf2y19 күн бұрын
Kabsaa 😂
@MUDIKIDEVU-fl7ii16 күн бұрын
Umeongea kikubwa asieelewa basitena
@hassnsalim515618 күн бұрын
TAFUTENI PESA KWA JASHO SIO KWA MAIGIZO
@khadejakhadeja971319 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔
@Azde13119 күн бұрын
Hi
@BarbaraPatience-qt9cc19 күн бұрын
Huyu juma ni mjinga sana...sada watu wasifanye mambo yao kweli?
@Peterchila-un2lx19 күн бұрын
Huyu juma ni Nani mbona simjui na simfahamu
@rahema90718 күн бұрын
Kufiliwa na mtoto sio rahisi unaweza kashifu mtu kama hayaja kufika mm ni mwezi ss toka nizike mtoi wangu na.bado sina nguvu juma yupo sahihi
@MUDIKIDEVU-fl7ii16 күн бұрын
@@rahema907@kabisa Sasa hao mtoto kazikwa trh 26 trh 27 wanajimuvuzisha na video makaburini
@KasalamaAlly18 күн бұрын
Hivi kweli mmefiwa nyie?
@Peterchila-un2lx19 күн бұрын
Huyu juma lokole ni nanii mbona simjui na simfahamu