KIMEUMANA😲 OBINNA ACHILIA DEM WA FACEBOOK, I AM READY TO REFUND EVERYTHING ,BURUNDIAN ARTIST FRO ASK

  Рет қаралды 24,884

𝑾𝒂𝒏𝒈𝒂𝒚𝒂 𝑪𝒍𝒂𝒔𝒔𝒊𝒄 𝑻𝒗

𝑾𝒂𝒏𝒈𝒂𝒚𝒂 𝑪𝒍𝒂𝒔𝒔𝒊𝒄 𝑻𝒗

Күн бұрын

obinna#news #trending #obinnalive #demwafacebook #wangayaclassictv #kenyaartist#

Пікірлер: 398
@wangaya225
@wangaya225 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/mJPFY2t_fqiFhrMsi=6N4L4wPCOPTe9ml9 Bebii Aimbiwa wimbo kali ❤
@Winns-lw5ff
@Winns-lw5ff Ай бұрын
Wachaneni..Burundi Kuna wasichana warembo enda ukaoe uko pls hatukutaki pls
@CarolyneMasibo-m6o
@CarolyneMasibo-m6o Ай бұрын
Aende Burundi atafute Kienyeji ajioshee kama vile Obina amejioshea.
@MargaretOmondi-pf3uz
@MargaretOmondi-pf3uz Ай бұрын
Wa kenya sio mchezo, wakipendana wame amua hata uje na ndege msimamo yao ni moja Obina + Dwfb = MARRIAGE Direct as Kenya is Marwa ❤
@nicholasmbembe7821
@nicholasmbembe7821 Ай бұрын
Sasa naona ukibaki Kenya, bcoz dwf humpati...
@BridgitAyuma-q8v
@BridgitAyuma-q8v Ай бұрын
Hahaha 😂😂😂😂sitaki kucheka juu mlingojea oga awaoshee ndio mtokelezee mbona hamkumtafuta wakati alikua kienyeji sai sio kienyeji tena
@njenaosh
@njenaosh Ай бұрын
Zima hiyo kitu .. bebii is taken...
@estherkanamba9263
@estherkanamba9263 Ай бұрын
Ishindwe katika jina la yesu😢
@Happy2bless
@Happy2bless Ай бұрын
Komaaaaaa,,,,,why btwn our happiness you are passing around
@MishaOkondo
@MishaOkondo Ай бұрын
Kha haaaa
@nicholasmbembe7821
@nicholasmbembe7821 Ай бұрын
Huu ndio wakati Obina avishe huyu dada pete......anyamazishe hizi bwekha.....
@doreendolly192
@doreendolly192 Ай бұрын
Patia huyu mtu location ya samaki samaki 😂😂 hatutaki mchezo in our in-laws relationship
@wahesh254
@wahesh254 Ай бұрын
Bebiii is going nowhere alaaah
@LydiaNamukhosi
@LydiaNamukhosi Ай бұрын
Atoe billion 2 ampee obina basi,kwa wazazi billion 3 utaenda naye burundi
@gracekhola7639
@gracekhola7639 Ай бұрын
My girl amefika final walai wenye wivu hawana bahati 🤣🤣🤣🤣 Obinna sasa tujue msimamo or girl anaenda Burundi 😂😂😂❤❤❤
@gertrudekilonzo4767
@gertrudekilonzo4767 Ай бұрын
😂😂hapo sasa😂😂
@mungualiyehaiaktienguvuver6257
@mungualiyehaiaktienguvuver6257 Ай бұрын
Hakuna vile ataenda Burundi our girl should be within
@gracekhola7639
@gracekhola7639 Ай бұрын
@@mungualiyehaiaktienguvuver6257so we need to see the seriousness of shemko or ELSE 🤣🤣🤣👍
@Naliakatv-t9s
@Naliakatv-t9s Ай бұрын
Sasa obbina uwa anasema hana mahusiano naye akiolewa shida iko wapi 😊
@gracekhola7639
@gracekhola7639 Ай бұрын
@@Naliakatv-t9s thanks ikiwa ni hivo then mtoto wetu aende Burundi 🥰🥰🥰
@sophiamwaura736
@sophiamwaura736 Ай бұрын
sasa hii ni ma whatt???where were these pipos before obinna found this gal???
@SarahMulyungi
@SarahMulyungi Ай бұрын
We endelea kubweka lakini ujue at any given time bebi will choose obina over any other man
@clairemuga5356
@clairemuga5356 Ай бұрын
Since omosh alisema hii ya obina na dwf ni kipindi basi huyu achukue dwf
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul Ай бұрын
Ukweli juu Obinna Ako after nyash
@DamarisKerubo-r1h
@DamarisKerubo-r1h Ай бұрын
BEBI HAS TO FOCUS 10 TIMES AT THIS CRITICAL MOMENT THE WAY OBINNA WARNED...SHE HAS NOT TRAVELLED ABROAD...EXPECT MORE TO COME....LET HER NOT LOOSE FOCUS
@mumjuli
@mumjuli Ай бұрын
He has come in peace.
@fridahnzilani4413
@fridahnzilani4413 Ай бұрын
Tafuta kienyeji uoshe🎉🎉🎉🎉🎉
@Judith_Bett.
@Judith_Bett. Ай бұрын
True....Ameoshewa Na Nani ? Huyu anafuata nyota
@Judith_Bett.
@Judith_Bett. Ай бұрын
Bebii Chunga Nyota yako....isiibiwe. Stick to Obinna
@PurityMwendwa-z5l
@PurityMwendwa-z5l Ай бұрын
Wewe gwasana na bebii na gold yake
@milli33-wn6ns
@milli33-wn6ns Ай бұрын
This is serous 🤔 wee rudi Burundi tutakusalimia vi noma
@MondeKerry
@MondeKerry Ай бұрын
Mwambie atajua hajui hii ni kenya atasalimiwa vilivyo
@leahkikuvi9795
@leahkikuvi9795 Ай бұрын
OBINA fanyisha Ile buduki kazi Sasa,,,wasidhanie ulikua umeenda Gun shooting for fan,,,huyu amekuja sana,😂😂😂
@lillianmoraa1304
@lillianmoraa1304 Ай бұрын
Hii nayo nimecheka
@bettywafula8239
@bettywafula8239 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@emmasila2054
@emmasila2054 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@puritymumbi2107
@puritymumbi2107 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@emmydiana1857
@emmydiana1857 Ай бұрын
😅😅
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 Ай бұрын
Kumbukeni yakwamba,mwanamke nikama mbegu acheni Dem wafb aende burundi
@christinekarisa9409
@christinekarisa9409 Ай бұрын
True
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul Ай бұрын
Ungeenda kwa Obinna kwanza usikie maoni yake before ukuje mtandao
@MartinOtieno-y1b
@MartinOtieno-y1b 8 күн бұрын
Ww ni mjinga sana Rudi Burundi machie bebii bebii wake bna kumbafu
@maryjemutai9784
@maryjemutai9784 Ай бұрын
I understand the meaning of short training.
@EUNICENAFULASIMIYU
@EUNICENAFULASIMIYU Ай бұрын
Ako wapi nyako asikie hii nakwambia tumengoja diamond pia akuje my Oga be strong Tunakutambuwa wewe❤
@FaithNakitari
@FaithNakitari Ай бұрын
Huyu ni eagle ya kuchukua vifaranga kutoka Kenya...NO WAY.... please kachezee mbali sana,
@Melvin.0Melissa
@Melvin.0Melissa Ай бұрын
Uku n wapi 😮😮😮huyu achinjwe December 😏 🙄 🎉🎉
@RuthKangu
@RuthKangu Ай бұрын
Ghai waaaaa 😂😂😂 iwe mboga Dec 😂😂😂
@dableeemammio5946
@dableeemammio5946 Ай бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂
@GjjhHhgh
@GjjhHhgh Ай бұрын
Mwambie aende kwa wazazi wa dm wa Facebook aone kama atapewa kuliko kubwekabweka hapa
@mercykajuju2235
@mercykajuju2235 Ай бұрын
No KENYA has refused.....huyu animal looks suspicious. No no no....this gal is not going out of this country.
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul Ай бұрын
Obinna ata oa nyash, so baby ukipata mtu anakipenda kaa na yeye. Obinna mkaetu kwa commedia
@christinekarisa9409
@christinekarisa9409 Ай бұрын
True
@omanmudhaibi-b2q
@omanmudhaibi-b2q Ай бұрын
Uyu amekam sana harudishwe kwao mwizi wa nyota
@naniskagwiria
@naniskagwiria Ай бұрын
Mwambie aende pale samakisamaki ata wakuta wote
@christine4072
@christine4072 Ай бұрын
Huyu hata hana qualities zenye dem wa fb upenda kwa mwanaume
@liliancherop5227
@liliancherop5227 Ай бұрын
Wee endelea kuota ukitoka usingizi uende Burundi 🇧🇮 😅😅😅
@Brenda-xl2ow
@Brenda-xl2ow Ай бұрын
Ndoto ya mchana
@WinnieMwaurah-y8k
@WinnieMwaurah-y8k Ай бұрын
Hii kuonyesha msichanmzuri kama dwf,,,,na alafu ushinde ukimkejeli hana nyash humtaki,,,ni kuhatarisha love life yake
@JuliJuli-o8c
@JuliJuli-o8c Ай бұрын
Ww Rudi Burundi kwenu update kienyeji pia ww umwoshe venye obinna ameosha wake
@dableeemammio5946
@dableeemammio5946 Ай бұрын
wueh samahani kaka hapa sasa dame wa fb amekuongezea kwa list ya kimbikimbi kaspool .na umbea wa weekly show nmhii...eti umtolee wimbo nangojea tu kicheko cha dwfc..alishaaimbia na Bebi...leo nampost aiii...asi mtu ataq Madam twenty twenty justin syiokau
@veronicaatieno8580
@veronicaatieno8580 Ай бұрын
Wenye wivu wajinyonge , obinna a protect dem wa Facebook kabisaa,juu hii sasa imekuwa too much,wazazi wake waweke kwa maombi ,huyu mtu ako na bad intension
@Brenda-xl2ow
@Brenda-xl2ow Ай бұрын
Anataka kuiba nyota yake
@veronicaatieno8580
@veronicaatieno8580 Ай бұрын
@@Brenda-xl2ow exactly
@ziporaa8570
@ziporaa8570 Ай бұрын
😂😂amekanyaga pabaya wakenya hawataki hiyo mchezo😂​@@Brenda-xl2ow
@janekeru4678
@janekeru4678 23 күн бұрын
Mothers in laws tuko ndani kijana wa Burundi wazazi wa Kenya tumekataa na Dem wa facebook tumepee oga obinna
@mariengajane2673
@mariengajane2673 Ай бұрын
Natamani weekly show Wednesday achambwe vipasvyo
@MonicahJepkemboi-y9k
@MonicahJepkemboi-y9k 15 күн бұрын
Rudi kwenyu Burundi my friend
@AaBb-p7s
@AaBb-p7s Ай бұрын
MUNGU na fanye.kazi yake, mm hata Sina say hapo langu jicho
@milcahmuyama
@milcahmuyama Ай бұрын
I'm a Ugandan but I don't allow DWF to go with that guy😢my question is alikuwa wapi? Ndo aone Obina amemgarisha sasa wanajitokeza😮 Wacheni wivu.I really like Obina God bless you 🙏
@assassin1668
@assassin1668 Ай бұрын
Obina chomoa hiyo kitu...huyu msenge amekuja sana.....bure kabisa
@GraxyNyakindu
@GraxyNyakindu Ай бұрын
Wacha tungoje hio comeback weekly show
@SarahNdege-wb7zd
@SarahNdege-wb7zd Ай бұрын
Labda tumpee Alicia Kanini
@eunicekariuki1646
@eunicekariuki1646 Ай бұрын
Tulimalizana na yule wa kutoa baloons kwa mapua sahii tuko international😂😂
@beninakhayeshe
@beninakhayeshe Ай бұрын
We burundian mimi niko hapa wahana na dem wa fb
@elizabethwadenya5936
@elizabethwadenya5936 Ай бұрын
Mwambie aende samaki samaki aomgee na obinna
@Faridah-et9xv
@Faridah-et9xv Ай бұрын
Obinna cio bebii,bebii ndio wa kuamua
@Sharonbianca
@Sharonbianca Ай бұрын
yaan munangojea muoshewe aafu munajitokeza surely so sad 😔,,, Dem wa Facebook usijaribu huyu amekuja ku9ba nyota yako wala siy9 mapenz stick with obinna amekusupport sana wallah usimu heart break woiyee 😢
@MaxSupper-u5b
@MaxSupper-u5b Ай бұрын
Let them met.
@ShaniqwaLopez
@ShaniqwaLopez Ай бұрын
Alaah obinna tosha
@PrizzyKazzy
@PrizzyKazzy Ай бұрын
Uko tu hapa Ati utarejesha mpaka airtime
@ViolaKirui-r6h
@ViolaKirui-r6h Ай бұрын
Kwani Burundi hamuna wanawake ndiyo ukuje Kenya kwera uko mtoto wetu ayendi mahali
@SarahNdege-wb7zd
@SarahNdege-wb7zd Ай бұрын
Ama tumpee Alicia Kanini
@vonialiune9668
@vonialiune9668 Ай бұрын
Upuzi where were you. Olewako fb
@NancyMoraa-bu7dh
@NancyMoraa-bu7dh Ай бұрын
Toa wimbo kali sana ukimwimbia dem wa Facebook ikizidi nataka kumpost views tutaamua kama online in-laws
@nellyKhavele
@nellyKhavele Ай бұрын
We are Standing for Dem wa FB even in Prayers . Huyu hawezi ruka ruka kutoka Burundi kuja kutuaribia our wedding programme!! Obina mashemji tupo . We love you Mr Obina shemeji ni mmoja Obina hooooyeeee.
@marymayoli5873
@marymayoli5873 Ай бұрын
This is total nonsense. Where was he before our Bebi (Obinna) put her on stage of true limelight? Disappear.
@abigaelwanyonyi7434
@abigaelwanyonyi7434 13 күн бұрын
😅😅😅😅😅huyu aende Burundi akwereee bnaaa hata haendani na mtoto wetu aiii atafutie kwao
@carolynewafula-w3c
@carolynewafula-w3c Ай бұрын
Akubali kwamba amependwa na Obinna,hiyo itakuwa kumnyang'anya mwingine.akubali kwamba n wa mwenyewe na yy alishachelewa.
@emilymaina5642
@emilymaina5642 Ай бұрын
Huyu mtu ni mwerefu kweli😊
@raandit471
@raandit471 Ай бұрын
Yaani huyu jamaa ameshindwa na hao wasichana wa Tutsi warembo kupindukia wa kwao? Aletee Obish mmoja waexchange😊.
@ChristineWambua-vm6mb
@ChristineWambua-vm6mb Ай бұрын
Kwani uko Burundi akuna vienyenji kwenda huko na ukome hii relationship kabisaa na sio tafathali
@lynneaseya1375
@lynneaseya1375 17 күн бұрын
Nyota ya bebii wa Obina hupati ngoooo..... Obina don't allow this guy even to move close to dwf. Hiyo pesa yake arudinayo Burundi, atafute kienyeji yake aoshee watoto wake.
@mercymcute
@mercymcute Ай бұрын
Aend3 kumtoa kafara ya hi2o vitu atakuwa amelipa obinaa mbona akumwona time alikuwa kieny3ji😅😅😅😅😅😅😅😅bebii ruun for ur life we dont want peace we want problems guys mnipitie nitawapitia pia❤❤❤❤❤😊😊
@MillyChiragah
@MillyChiragah Ай бұрын
Heri anayo kupenda kutoka moyoni kuliko anayeangalia makalio
@evalinekemunto48
@evalinekemunto48 Ай бұрын
Mwambie ako na mimba❤
@immaculatemushira8192
@immaculatemushira8192 Ай бұрын
😂😂😂 atasema ata adopt mtoto
@nellyKhavele
@nellyKhavele Ай бұрын
Dem wa FB na Obina Wana endana .😊😊
@maurinekagonya8768
@maurinekagonya8768 Ай бұрын
Tell him to wake up aache kudream bado nimchana
@Sarahnkari
@Sarahnkari Ай бұрын
Dem wetu hakuna mahali anaenda period
@DominicMurithi-in4rn
@DominicMurithi-in4rn Ай бұрын
Dwf,,ulitushow huangalii sura ni pesa,?tuonyeshe sasa😅😅
@MaryNthambi-g6k
@MaryNthambi-g6k Ай бұрын
huko kwenyu burudi hukuona hata umeona huku kenya....am sorry we don't need shem from far what we need is we are satisfied with obina....am sorry go back with your money...
@StellaAyasi
@StellaAyasi Ай бұрын
Weeee,,bebii wa bebii aende Burundi never,
@lizelizabeth6467
@lizelizabeth6467 Ай бұрын
I mean no harm mara ya mwisho kuvisit doctor ilikua lini?
@Anastasianjeri-p2j
@Anastasianjeri-p2j Ай бұрын
WADAU WENGI NAJUA HAWAJATAYALISHA CHRISTMAS MULO DOO HUU APA NAYU NAYU
@WamaithaNdichu
@WamaithaNdichu Ай бұрын
Eti...😂no wonder Obina is doing shooting training.Your first client is here.
@susanchelagat7927
@susanchelagat7927 Ай бұрын
😂😂😂
@LevinaMukoswa
@LevinaMukoswa Ай бұрын
😅😅😅😅​@@susanchelagat7927
@SusanAmela-n5s
@SusanAmela-n5s Ай бұрын
Wangaya classic mmesinya na huyu muburundi sasa
@nellyjepkurgat
@nellyjepkurgat Ай бұрын
Ndoto ya mchana Kwa kichana wa burudini ....utarudi tu hivo hivo vile ulikucha 😂😂😂😂
@sylviavish
@sylviavish Ай бұрын
So far so good wamejitokeza wagapi😂😂😂😂
@22_favouredQueen
@22_favouredQueen Ай бұрын
Bebii na bebii wa bebii waungane wakule hii pesa
@LUCYWAMUYU-nn9qb
@LUCYWAMUYU-nn9qb Ай бұрын
Ni kama ndoto ni kama video ati Bebi ache gold wake aende Kwa Mtu hajui.Haiya nimesikia na nyinyi
@elizabethnyawir413
@elizabethnyawir413 Ай бұрын
Mambo imechemka I lack words.
@dorcasnyambura5573
@dorcasnyambura5573 Ай бұрын
Weeh
@EdnahNyamira-rm9lu
@EdnahNyamira-rm9lu Ай бұрын
Who is this guy passing in between our obinnas lover😏
@BirungiMaxjentrix-tv1ew
@BirungiMaxjentrix-tv1ew Ай бұрын
Aiiii iwezekani bro ulikuwa wapi
@elizabethnyawir413
@elizabethnyawir413 Ай бұрын
Wako Kisumu sahii atampata wapi Obinna ako rada.
@TanashiaDominic-k2o
@TanashiaDominic-k2o Ай бұрын
Maajabu sasa nauyo ametokea wapi?
@carolgcarolg.4554
@carolgcarolg.4554 Ай бұрын
Tunataka tall dark and handsome. Wewe in short chocolate and ??so kanyanga kubwa kubwa kama murife ukiondokanga kwenu burudi
@immaculatemushira8192
@immaculatemushira8192 Ай бұрын
Weee
@WillySher
@WillySher Ай бұрын
Huyu anataka mtoto wetu kwenda kutoa kafara arudi kwao asituletee na mapetepete mapesa zake hizo, Kuna vienyeji huko kwao,mwambie tutamwandamia ashangae
@christine4072
@christine4072 Ай бұрын
Yes wameona nyota yake wanataka kuenda kuitumia kujifaidisha wao
@Brenda-xl2ow
@Brenda-xl2ow Ай бұрын
Huyu ni muiba nyota
@LydiahW_anja
@LydiahW_anja Ай бұрын
Hana mayai ya interview
@JulietSimion
@JulietSimion Ай бұрын
Upuzi huu
@jayne1906
@jayne1906 Ай бұрын
Weeeeee komaaaaa,ulikuwa wapi
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 Ай бұрын
Naona kuna nyama ya kutosha December apa,😮
@irenenjeru8805
@irenenjeru8805 Ай бұрын
Osha matako kwaza ulikua wapi wakati alikua ameparara kino
@JanetOnyari
@JanetOnyari Ай бұрын
Unataka kumsucrifice😅😅😅ile wako cheza kwingineko
@emmanuelmdawida504
@emmanuelmdawida504 Ай бұрын
Content without Obina and Demu wa Facebook can't work
@nonimburu3056
@nonimburu3056 Ай бұрын
This man is courtung trouble with team bebii!!! Where was he when our girl was struggling before Obinna discovered her? Keep of mr. Man
@RedemptaMuoka
@RedemptaMuoka Ай бұрын
Na ujue risasi ya matako haiponagi haraka aaaaya
@windrosechebet-w8h
@windrosechebet-w8h Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@linnetritah4522
@linnetritah4522 Ай бұрын
😂😂😂😂
@emmydiana1857
@emmydiana1857 Ай бұрын
Huyu arudi kwao Siri ni kufatuta kienyeji mmoja mwenye people hawamthamini then ajiosheee
@NixonMusyokakitosh
@NixonMusyokakitosh Ай бұрын
Uyu asalimiwe kidogo
@Chris.711
@Chris.711 Ай бұрын
Tunakupea.alicia kanini kaa ataki akanyange kubwa kubwa.
OBINNA SHOW LIVES; ORIGINAL-Dama wa Spares
1:45:23
Obinna TV Extra
Рет қаралды 137 М.
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,4 МЛН
这是自救的好办法 #路飞#海贼王
00:43
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 131 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 34 МЛН
OBINNA KWISHA🤔 AFTER A BURUNDIAN ARTIST COMING FOR DEM WA FACEBOOK WITH A HUG MONEY FOR DOWERY🫢
11:39
𝑾𝒂𝒏𝒈𝒂𝒚𝒂 𝑪𝒍𝒂𝒔𝒔𝒊𝒄 𝑻𝒗
Рет қаралды 29 М.
OBINNA SHOW LIVE: Ruto's Government - RICHARD ONYONKA
1:34:22
Obinna TV Extra
Рет қаралды 106 М.
Ada ako na Wivu Kweli?? Breezy Birthday Drama
14:27
The Obinnaz
Рет қаралды 104 М.
Dem Wa FB and Bebi wa Bebii (Oga Obinna ) Kisumu Hotel Tour
12:22
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 68 М.
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,4 МЛН