KING WA MADEM (MY FRIEND) |29|

  Рет қаралды 50,106

BHAILAM

BHAILAM

Күн бұрын

#Bhailam
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Пікірлер: 167
@FilmawardTv
@FilmawardTv 8 күн бұрын
THE BIG BRAIN BHAILAM, TALEND MAN MWENYEZIMUNGU HAKUONGOZE AMEENA MAANA TUNAELIMIKA NA KUBURUDIKA
@AbdoulNasserMwiru
@AbdoulNasserMwiru 8 күн бұрын
Bhailam ni ville uku Germany hawajui kiswahili ninge faa promo ya filamu hiyi ni nzuli mnoo ina somo upande wote wa kimaisha ahsante sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Mungu Akubariki
@AmbroseMamole
@AmbroseMamole 8 күн бұрын
Wakwanza kutoka Kenya.Good work Bhailam!!
@FannyMugisha
@FannyMugisha 8 күн бұрын
Rechooo unahakiri nyigi sana Wauwa yako❤❤❤❤❤❤❤
@AlineIradukunda-bs6mt
@AlineIradukunda-bs6mt 8 күн бұрын
yan mariam wew umejiingizak mumatatiz pekeyak maan tabia ya mtu sio rahis kuibadil 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@liylahahmed829
@liylahahmed829 8 күн бұрын
Balaaaa zitooo kijogoooo Bwana Ahmed kafikwaaa😂😂😂
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 8 күн бұрын
Wakwanza mimi 😁🙄. This is first love from Mozambique ❤🇲🇿
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 8 күн бұрын
Kaz nzuli sna 😍🌄🇹🇿
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa 8 күн бұрын
😂😂😂unajisifu kumuuwa baba wa mwenzio ungoj na ww kufa
@samwelmathew1935
@samwelmathew1935 8 күн бұрын
WA kwanza bailam unatisha saana❤❤❤❤
@KhadijaSalim-xt9sb
@KhadijaSalim-xt9sb 8 күн бұрын
😂😂😂yani Hamza una kabwa badili ujitetee we waeka kofia vizuri 😅😅😅
@JembetemoJemo
@JembetemoJemo 8 күн бұрын
love from kenya watoto wa kasongo mko wapi😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi like za bhailam
@SeleIddi-gj9fu
@SeleIddi-gj9fu 8 күн бұрын
Sabra you're so quick . Masoud kwishahabari. Niko London Bailam keep it up there broo.
@JuliusJembelayexu-dh5mm
@JuliusJembelayexu-dh5mm 7 күн бұрын
Pole xana Mzee massud lakn uxmwamin hyo yaan mpaka mdogo wako amekuambia lakn utafakar kwann aliniambia
@Nojabz
@Nojabz 8 күн бұрын
Safi sn, ila musisahau kutuombeya sisi wa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 jamani 😢😢
@PaschalmardadiMaridadi
@PaschalmardadiMaridadi 6 күн бұрын
Polen sanaa ndugu zeth
@FilmawardTv
@FilmawardTv 8 күн бұрын
HIVI HUYU MASOUD UNAJUA ANATIA HASIRA SANA JAMANI KHAAA😂😂😂
@John_von27
@John_von27 8 күн бұрын
I love your movies.Why can't you not just keep in making more episode
@MeshackMochama
@MeshackMochama 8 күн бұрын
Sijawai omba Iikes lkn leo nipewe plz
@hamisihamisi6596
@hamisihamisi6596 8 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@MousaAmos
@MousaAmos 8 күн бұрын
Tunao mpenda mungu tujuane kwa like🎉🎉
@pwiziBarbarecia
@pwiziBarbarecia 8 күн бұрын
Mzee vip ww chez navingin Apana MUNGU wey vip ukitak kujuw wanaompenda MUNGU ukitak kuwajuw nend mskitini utawaona nasio kwaupuuzi wa izo like zakoo weee vip mweny ndo mnaleta lanaaa duniani MUNGU na like wapi na wapi lkn aaaaaah kuwa seriuos bs brooo
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 7 күн бұрын
Nani hampendi mungu wewe pumba usitaje mungu kwenye ushoga wako kenge maji
@MousaAmos
@MousaAmos 7 күн бұрын
@@fatumakidoa4006 syo vita na hukulaziwishwa kuptia comment yang jieshim dada ang
@MousaAmos
@MousaAmos 7 күн бұрын
@@pwiziBarbarecia kila mtu ana mtazamo wake na mtazamo wako umekupelekea uko
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 7 күн бұрын
@@MousaAmos koma like waenda kupika au 🤣🤣🤣
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 8 күн бұрын
Nice movie 🎥❤❤
@aishaomar9621
@aishaomar9621 8 күн бұрын
Sheikh masoud chafanywa kama zombie😂😂😂recho muuwaji 😢 Fetty kajichanganya bhailam kubadilika itamchukuwa mda😅😅
@MariaTsuma
@MariaTsuma 8 күн бұрын
Kazi nzuri bhailam much love from Kenya 🇰🇪
@MonicaJerald-z7l
@MonicaJerald-z7l 8 күн бұрын
Nimesubir kidogo nikupigie bhailam😂😂😂
@mwanahamisisadiki4892
@mwanahamisisadiki4892 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@TerryAnn2022
@TerryAnn2022 8 күн бұрын
Mtu amekukosea na unamwita mume wangu,,,😂😂😂😂🎉uku Kenya aaargh,,,, ata kwa Raha hakuna Cha mme wangu😅
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 күн бұрын
Acha kuchoma ww😂😂😂
@rizikisam6481
@rizikisam6481 8 күн бұрын
😂😂😂😂 recho kuja uku ni tatizo 😢😢
@jmwa
@jmwa 8 күн бұрын
Fanya mpango wa ako ka mzizi kaka nichafue mtaani kama Baltazar tu
@DolphineIngosi-v4k
@DolphineIngosi-v4k 8 күн бұрын
Msiba wakujitakia hauna kilio utalia sana sheikh masoud😭😭😭
@humphreyhonest5593
@humphreyhonest5593 8 күн бұрын
Nipen like zangu🔥🔥🔥
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 8 күн бұрын
Wakwanza naombn like Zang 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@MaurineNyaboke-el6sx
@MaurineNyaboke-el6sx 8 күн бұрын
Kazi nzuri bhailam❤
@nairatomar9389
@nairatomar9389 8 күн бұрын
Tunakupenda San huku Zanzibar kz zako zko poaaa sana❤🎉🎉🎉
@salamamaulid8532
@salamamaulid8532 8 күн бұрын
Nimekua wa kwanza naomba like 5 tafadhar kwaajil ya ahmed
@MagdalenaPaul-h1k
@MagdalenaPaul-h1k 8 күн бұрын
Hahahaaaaa fetty atakua amemmisi kelvin maana sio kwa matukio hayo kwa kijogoo
@adamelly6051
@adamelly6051 8 күн бұрын
Wangapi wanaona kijogoo ndo atakuja kummaliza rechoo
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 8 күн бұрын
😂 mapema Leo kazi nzuri sana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 8 күн бұрын
Shehe Masoudi nabado hujaliya sulijifanya cizi mapenzi nabado hujaliya Recho aca tama Kijogo ni Mariyamu wevipi kuharibu familiya zawenzio
@fatuma6011
@fatuma6011 8 күн бұрын
Masoud huna lolote Recheal alikumaliza kitambo 😂😂😂😂
@OmanOman-hj7tv
@OmanOman-hj7tv 7 күн бұрын
Yani reckon alitamani kucheka😂😂😂😂😂
@AlanMvula-v8k
@AlanMvula-v8k 8 күн бұрын
Wakwanza Leo 🥰🥰🥰
@LuqmaanRamadhan
@LuqmaanRamadhan 8 күн бұрын
Sure Bhailam.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 8 күн бұрын
Funzo kwawenyendoa yani muangalie namsikizee vixurii huyu bhaillam hafai kua mume mana hajatulia
@gadafimuemede2985
@gadafimuemede2985 8 күн бұрын
Sucesso para sempre 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MamaEspe-p4s
@MamaEspe-p4s 8 күн бұрын
Movie nzuri san 🎉🎉🎉
@ZuwenaBadru
@ZuwenaBadru 7 күн бұрын
Tunaomuona mariyam analia kwa sababu ya mume wake bhailam gonga like hapo🎉🎉
@nurafedrick378
@nurafedrick378 8 күн бұрын
Huyuuu sio dadamtuuu ama akili yangu.masood unachezewaa mchexooo mwisho watakufungaaa mana wanajua wanachofanyaa
@MeschackNapoléon
@MeschackNapoléon 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ahmedmohammed9394
@ahmedmohammed9394 8 күн бұрын
Bhailam simbaa is on 🔥🔥🔥🔥👍 Like kwake please ❤
@mussamakuru1254
@mussamakuru1254 8 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@StellaNyawira-ky1sd
@StellaNyawira-ky1sd 7 күн бұрын
Bailam ako poa
@ALPHONCETZZ
@ALPHONCETZZ 5 күн бұрын
Bailam imuvi nzuli sana ikiweze kanapiga adiepsodi100 ilitumili kivieiti kaka
@mosesmangasini4068
@mosesmangasini4068 8 күн бұрын
Hakika bhailam Simba imekuwa mwalimu mzuri kwetu mashabiki zako kaka unajitahidi kuandika
@PaschalmardadiMaridadi
@PaschalmardadiMaridadi 6 күн бұрын
Unafahmu mapenz yalimfanya simba akacha zari kwa wema akawa dowa 😂😂😂😂😂😂huu msitar nimeuelewa😂😂😂😂
@JacksonFaustine-be1gk
@JacksonFaustine-be1gk 8 күн бұрын
Wapili leo
@LegenderPaco-officiel
@LegenderPaco-officiel 8 күн бұрын
Simba bahilam Simba
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 8 күн бұрын
Watu mko chapu sana😂😂
@MunezeroCynthia-sn7vq
@MunezeroCynthia-sn7vq 8 күн бұрын
Tumushkuru Allah kwakila jambo from burundi
@BrianbBashir-y1o
@BrianbBashir-y1o 8 күн бұрын
Bhailam unapenda kumteza hyo dada xn
@NathanLuchiri
@NathanLuchiri 8 күн бұрын
From Kenya good work bhailam
@SalimMandar
@SalimMandar 8 күн бұрын
Wakwanzaaaa mnipe like zangu💥💥🥳🥳
@StephineKhaoya
@StephineKhaoya 8 күн бұрын
Good work
@ringicnation3722
@ringicnation3722 8 күн бұрын
Favourite
@WitnessSamwel-w1u
@WitnessSamwel-w1u 7 күн бұрын
Nicee moviee❤
@HassanMkude
@HassanMkude 8 күн бұрын
Nimekuwa wakwanza leo dondosha like wanang wanao mkubali bhailam
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 8 күн бұрын
❤❤❤❤waaa recheal we nimnyama hatar
@CALEBSIMIYU-mb8nv
@CALEBSIMIYU-mb8nv 8 күн бұрын
Likes ya bhailam leo msiniangushe kumi3❤❤
@newtonsilivand4485
@newtonsilivand4485 8 күн бұрын
Move Kali Sana
@jacobchoru8606
@jacobchoru8606 8 күн бұрын
Kijana uko sawa nakutambua sana keep doing what you are doing tupo nyuma yako kutoka KENYA
@NtacobanzizaLeatitiazilfa
@NtacobanzizaLeatitiazilfa 8 күн бұрын
Ila sheh masud Wana juwa kukuchanganya kabisa utalia sana t
@Deog-gi5po
@Deog-gi5po 8 күн бұрын
Tupo na wewe mpaka kistuli akuue😅😂😂😂
@Jamila_1996
@Jamila_1996 7 күн бұрын
Eti we si ndondocha weee😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 күн бұрын
Yani ni maigizo tu humu ila mume wa tabia kama za kijogoo ni presha,kisukari,pumu,vidonda vya tumbo na kila aina ya maradhi😂😂😂
@jumaothman9449
@jumaothman9449 8 күн бұрын
Feti ni mzuri sana mashaallah
@Momo3w_momo3w
@Momo3w_momo3w 8 күн бұрын
Wareteeeeee❤❤
@lylyChloé
@lylyChloé 8 күн бұрын
Ila jmn ninacho ona bwana Hamza inaoneka hata maisha ya kawaida ni mpole sana hana mambo mengi
@PurityNeema-v9o
@PurityNeema-v9o 8 күн бұрын
Ama aka Rachel kachawi kwelii? 😂😂😂
@NimbonaUdhaifa-jw2lo
@NimbonaUdhaifa-jw2lo 8 күн бұрын
Wamwisho kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 BJ ❤❤❤🎉🎉🎉
@MustaphaShaban-v6w
@MustaphaShaban-v6w 8 күн бұрын
Wa kwanza ❤
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 8 күн бұрын
Huyo mke wa kijogoo ni kama zuchu 😂😂
@sabokoMAILA
@sabokoMAILA 8 күн бұрын
Nilijua tu ugomvi lazima utokee 😂😂😂
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 8 күн бұрын
Ila masoudi Mapenzi yanakupeleka❤❤❤
@anitakerubo9429
@anitakerubo9429 6 күн бұрын
Masoudi yamekukuta na bado huoni😂😂😂😂
@JanethiJason
@JanethiJason 8 күн бұрын
Mariam utalia sana
@Emilymama2boys
@Emilymama2boys 8 күн бұрын
Mzee masudi wajicganganya ww😂
@HasaniNikumane
@HasaniNikumane 4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KimsitiThedon
@KimsitiThedon 8 күн бұрын
❤🎉 nakupenda sana ❤️
@MwangiwachiraMartin
@MwangiwachiraMartin 8 күн бұрын
Kali hii movie 🍿🎥
@MercieWahome
@MercieWahome 8 күн бұрын
Finally 🎉🎉🎉
@sadickmagono189
@sadickmagono189 8 күн бұрын
Ok
@BakariNgare-v8z
@BakariNgare-v8z 8 күн бұрын
Masudi amerudi kua mtoto mdogo kama sie yeye kwel mapenzi yana nguvu masudi ameuwa mdogo wake sababu ya mapenzi sa hii anajuta uyu masudi si ndie Alie kua shababi mbona kawa mpole
@humphreyhonest5593
@humphreyhonest5593 8 күн бұрын
WA Kwanza Leo
@AmbroseMamole
@AmbroseMamole 8 күн бұрын
Bailam hama mtaa dogo.Watakumaliza akina kistool.😂
@EstherMshana
@EstherMshana 8 күн бұрын
Bhailam jaman tumemiss naomi tunamuomba
@AlainTuriwa-t2l
@AlainTuriwa-t2l 8 күн бұрын
😅ndoo uzuliii
@arid-cr1pf
@arid-cr1pf 8 күн бұрын
Agi huyoo..hahaha
@franknyaganya1453
@franknyaganya1453 8 күн бұрын
Bailam huyo mwanamke niachie nampenda sana
@LeboiMeshack
@LeboiMeshack 8 күн бұрын
Wa kwanza
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 8 күн бұрын
Kimeumana 😂😂😂😂 Ahmed 😂😂😂
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 8 күн бұрын
Usitake kunambia recho uta muua mke wa bairam kisa roho yako mbaya
@Heiskmb
@Heiskmb 8 күн бұрын
Nc
@PatrickSimetikapolemba
@PatrickSimetikapolemba 7 күн бұрын
❤❤🎉🎉
@Kijavaa_jr
@Kijavaa_jr 8 күн бұрын
Nomaaaa sana
KING WA MADEM (MY FRIEND) |30|
25:18
BHAILAM
Рет қаралды 52 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
KING WA MADEM (MY FRIEND) |32|
24:20
BHAILAM
Рет қаралды 43 М.
LAST PUNCH episode 1 | Action movie
27:42
Meloflix Swahili Movies
Рет қаралды 8 М.
BLACK DAY  |1| #Kakoso
20:19
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 59 М.
KING WA MADEM (MY FRIEND) |31|
20:12
BHAILAM
Рет қаралды 49 М.
ASHURA KIUNO (( 6 ))
24:31
DOKO
Рет қаралды 45 М.
Gidi Na Ghost Asubuhi - Africa's Biggest Swahili Breakfast Show
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 320
SIRI YA HUBA S2  { 3 }
17:38
Rk Movies
Рет қаралды 288 М.
Buurta Dahabka ugu weyn ee aan Booqday - I visited the Biggest Gold Mountain in the Country
17:25
UMWAMPOSA
18:41
BHAILAM
Рет қаралды 62 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН