Kingwendu unamwambia mganga abarikiwe?🤣🤣 Best actor ever. Love from Kenya
@kingwenduogtv8 ай бұрын
Asante
@evalineegesa2071 Жыл бұрын
Peana sim 2😅😅😅😅
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Hakuna kitu ya mganga huwa ni free
@BertinMurhabazi9 ай бұрын
Baba uko vizuri sana sana kingwendu from Congo
@kingwenduogtv9 ай бұрын
Asante
@McT-q6i2 ай бұрын
Maisha haya so poa wanaotajirika wengi wao washirikina
@MmungaMbele-u1o2 ай бұрын
Uko sawa mzee kutoka USA
@StevenMwarigha5 ай бұрын
Allah huyu mganga au mtabiri.,mganga mwenye mavazi meupe Bado sinaona,.naona kama mtabiri.😂😢😅😮😊
@ZakayoSanga-jk5du Жыл бұрын
🔊kingwendu nakukubali xana
@festomnyalu48337 ай бұрын
😂😂😂mama zomboko
@DaudiHongoli2 ай бұрын
Umetishaa sanaa
@josekinyamagoa-sv4jh2 ай бұрын
Kingwet kwenye kuliwa apo ndo shida.
@luobae4128 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kazi nzuri
@حسنا-ض3ز6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kiduchu
@wycliffemokua7639 Жыл бұрын
Unashobokea hadi jini Kingwendu? We ni moto kweli😂😂😂😂
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Hali ya maisha ni uchawi tosha
@hellen9467 Жыл бұрын
Much love kigwendu watching from Kenya
@Danicloud100Ай бұрын
Wacha niweke mkeka yangu wasiniibie nikue maskini zaidi 😂
@smnewsdaily Жыл бұрын
Mama samia suluu apendi hivo 🤣🤣🤣🤣🤣
@JudithGalogalo Жыл бұрын
😂❤❤❤wanimaliza
@SaumuKszungu3 ай бұрын
Good
@fredymdulingwa2004 Жыл бұрын
Maisha ni kupambana sio uchawi utapotea by Fredy vunjabei madaba ... mdulingwa
@danielsmavai3746 Жыл бұрын
Mm sinaga izo 😂😂nikiomoka lazma nikitafute😂😂😂
@PrinceByarugaba4 ай бұрын
Eti kaja kwel 😂😂😂
@MashaKeis4 ай бұрын
henu henu 😁😁😁😁
@PiusMugambi-b4r Жыл бұрын
Safi Sana from kenya
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Jamani uyu baba kingwendu jamani Sia staffu Sasa jamani ..Yani kingwendu Kweli Noman
@shukranikayange22754 ай бұрын
Watuuu
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Aki wewe ati samia hapendi ivo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nicholaussylivester91023 ай бұрын
Kwani samia ndio mdudu gani
@petermeritei5647 Жыл бұрын
Hatoi ulimi kama tabia yake 😂😂❤❤
@stevebiko2536 ай бұрын
Mbona mtaalamu mwenyewe maskini
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Hahahahaaa mama Samia hapendi tabia hiyo
@AlhajijumaJuma Жыл бұрын
❤❤❤❤from kenya but Tz 🇹🇿 nd hom😮😂😂😂😂
@HappyClogShoes-hp9ho5 ай бұрын
Saf😂😂😂😂😂
@EveKemunto Жыл бұрын
Ukweli kingwendu❤❤❤
@AlhajijumaJuma Жыл бұрын
😂😂😂😂broo kingwend Sawa tu
@richardamswetyjesus8017 Жыл бұрын
Hatari sana hiyo, njooni kwa Yesu mwokozi
@frowinmgimba8513 Жыл бұрын
Jini nitalipelekea moto😂😂
@geeva99 Жыл бұрын
Hapa picha limeungua, niliunga mkono jini kupelekewa moto, sasa tena limeyeyuka
@jumakandy2075 Жыл бұрын
Safi sana kingwendu 👑👑
@lilguiltyodinga6627 Жыл бұрын
Nitampelekea moto!!!!
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
Kingwendu una watoto na wakwe kwel🤣🤣
@assfzainab912 Жыл бұрын
😂😂😂
@directorflamegrill6500 Жыл бұрын
Ati jamani watuuu 😂😂😂... si uliyataka
@mwizerwamario3 ай бұрын
We will miss brother rip Allah bless you
@JeffarSani Жыл бұрын
Kingwendu bado uko vizur😅
@samkibomusic3872 Жыл бұрын
Hahahahaha
@champeemoshibm1605 Жыл бұрын
😎🤩
@salminhustler962 Жыл бұрын
Kingwendu the best comedian hakuna duniani
@ZamzamNyakowa8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Jamn
@StevenMwarigha5 ай бұрын
Kwani whatdisi tena
@stevebiko2536 ай бұрын
Unataka kuniingiza Kwa mamabo ya kishirikina weye!
@FurahaKasebele Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃jaman kikwendu utatuvunja mbavu
@justinhabonimana3890 Жыл бұрын
Ngie ndo mnaeneza ushoga😅😅😅
@سعدياقوت-ت2خ Жыл бұрын
😂😂😂 mpe kiduchu😅😅😅
@nana9mq7hl9s Жыл бұрын
Untk umpelekee moto jn
@georgenyagwa689 Жыл бұрын
Kigwendu mnyama kweli🔥🔥🔥
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Ghai so funny🤣🤣🤣
@animtres Жыл бұрын
😂😂kingwendu huoni kama akina Mondi na konde boy watakuwa na tatizo na wewe ukiwaita free masoni?
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Ukolo huo master legend Kingwendu ,,,,scene ya mwisho unaweza Zani unafundisha ila umezingua,, kila neno au tendo unalo tenda kuna mtu atalishika na kutenda positively or negatively.....so angalia content unayo iweka kwa platform ,,,we ni Legend so make it great,,,coz we respect u.
@elraysugarboymasb9535 Жыл бұрын
We pimbi vp🌚 Kwan kunani apo apo mbona kitu safi tu wenzako tumeinjoy 😅, amna baya uko mwanzo mwisho scene zote smart to🙌 na km ww una bifu na mzee ngwendurire basi kuwa straight usipindishe maneno man Naona Kama ww umetokea upande wa pili 😂
@kendinancy5420 Жыл бұрын
Hamna mchezo tu humu😂
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
@@elraysugarboymasb9535 nisamehe rafki Angu sikujua kama we ni sugar boy.
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
The issue Ni kwamba u can't understand
@lilguiltyodinga6627 Жыл бұрын
We enjoyed and that's it Ukitaka kufunzwa nenda shuleni