Alafu mwananchi, chini mwananchi juu mnyama wa porini. 😂😂😂😂😂😂
@donaldtadeodontado99912 жыл бұрын
Wasukuma hawaaa kabisa
@NicholasMaure-r4sАй бұрын
Kwa laa sango😂😂😂😂😂😂😂😂 aaaataaaari
@zuberhamran81242 жыл бұрын
noma sana mwambaa
@joleal79412 жыл бұрын
Ona jinsi anakapua macho kingwendu kwa wanawake🤣🤣🤣
@bahatigraymond49502 жыл бұрын
😆😆😆😆😂😂😂Aaaaa weeee bwana sikuwez
@adamdaudi61912 жыл бұрын
Wanawake wana mbinu😆😆😆
@hamisigege59462 жыл бұрын
Nipe ddko uone maish🤣🤣🤣😅
@victorkipkorir21202 жыл бұрын
iko safi sana
@karanidicky44892 жыл бұрын
Mzee nani.? Nipe dadako uone maisha..😆😆😆🇰🇪
@DamianiItandulaАй бұрын
Muvi za kibongo pasua kichwa
@SimonMwita-k8sКүн бұрын
Wanawake wasukuma wazuri ila wa madawa kwa wanaume wao
@hamisisalimu69082 жыл бұрын
Kingwendu usitumie neno "Rangi ya mtume"
@vincentmwasi2143Ай бұрын
Piga full movie nakuamini
@obedogeto15472 жыл бұрын
Inaweza nayo waa inateza kingw'endu
@anthonyguto1622 жыл бұрын
Kingwendu aki wewe yule mkali kwa kukatia.Leo umekamatwa🤣
@davidmomanyi89232 жыл бұрын
Kingwendu my best comedian
@cizajackson86632 жыл бұрын
Heeeeeyyyy salima mlembo hhh handsome boy yani
@dreamhello38872 жыл бұрын
nipe dadako uone maisha🤣🤣🤣🤣
@miswaleheshauri6052 жыл бұрын
Wee hii kali kweli
@dulaseif50012 жыл бұрын
Balaa duiano
@masanjajirani53062 жыл бұрын
Kingwendulile😂😂😂🤣🤣🤣🤪
@josephatabery97212 жыл бұрын
Kidengwu
@jaymooo100 Жыл бұрын
Tanzanian women are arguably the best in East Africa!
@Davidonyango-qx9et26 күн бұрын
Beauty is in the eye of the beholder
@rogersmokaya31262 жыл бұрын
yeeee,'beb Nang'oooo.
@majidhamis94732 жыл бұрын
Tamaa ni mbaya na Tena mke wa mtu sumu wanaume tuache tamaa
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Una uwaru😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hamisigege59462 жыл бұрын
Nipe ddko uone maishaa🤣🤣😅😅
@miswaleheshauri6052 жыл бұрын
Mtu wako nami mtu wangu hhh
@HardtoneStudioKahama2 жыл бұрын
Nimecheka sana,,mdhamini wa mama ushauri
@eliuthamangula35222 жыл бұрын
hahahahaha
@Mtktnstrends2 жыл бұрын
Kutoka Kenya, tunawavulia kofia. Hii nayo, imeweza!
@Fechasharon2 жыл бұрын
Asante
@chesatvkenyatrendingnews11882 жыл бұрын
Jamani leo kawezwa
@Zaikadena2 жыл бұрын
Hhhhh nina ugwaduu
@achawanunetv11672 жыл бұрын
Alie cheza hivi ni Chesco Maarufu kama Mr Big Big yani nyie mliiga kwake
@Fechasharon2 жыл бұрын
Sawa
@geraldchristopher38352 жыл бұрын
Hahahaaa
@consolatamusilijoseph...2 жыл бұрын
Noma
@mawazosengerema89312 жыл бұрын
Jamaa kaja kivingine kabsa
@mkatungu74572 жыл бұрын
Sisi baadhi ya Waafrica hatujikibali weusi wetu mtu utakujakuona wewe mweupe mzuri. Mweusi anapewa nafasi ya mwisho yaani ni maajabu. Kingwendu unasifia mwanamke ana rangi ya mtumie ni sawa Hilary badilisheni mesomo sema tu mwanamke mzuri mweupe mweupe na akiwa mweusi sema mwanamke mzuri mweusi na sio kuweka mataba. Mimi mweusi lakini na sura bomba. Nasifiwa saaana.
@Ali-nl2du2 жыл бұрын
Kweli, tatizo hili tunalo watu weusi wengi. Si wa africa tu, hata wenzetu waliokuwa watumwa in the Americas. Hatujithamini kabisa, ukoloni ndio umetuathiri hivi. Tungelitawaliwa na weusi wenzetu basi tungeupenda weusi wetu. Lakini waliotutawala walikuwa weupe (waarabu na wazungu), ndio maana mpaka leo tunawaona wao ni bora kuliko sisi. Mimi nimechanganya damu, muafrika upande wa baba na muarabu upande wa mama, lakini nauthamini uafrika wangu sana na masuala ya weupe hayanishughulishi kabisa. Kwa sababu najiamini na naikubali rangi yangu ambayo mungu ndio amenipangia. Sibabaishwi na maoni ya jamii kuhusu rangi na kabila. Jipende na jithamini nafsi yako kwanza ndio watu watakupenda na kukuthamini. Kama si hivyo utabakia mtumwa wa fikra maisha yako yote.
@najmaaa65482 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kali xna
@Robertsong-zy3ni2 жыл бұрын
Good talent
@saimonjoseph95742 жыл бұрын
ahaaaa
@cosmasmanda26382 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@alimungamunga22772 жыл бұрын
Hahaha
@omarhome22602 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@asmaajuma33282 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zuleikhaahmed72202 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@buranawadh3202 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijasaleh8982 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DancunMutinyuАй бұрын
Hi
@domielg9632 жыл бұрын
😆😆😆
@angelbwija95472 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lizzybahati37392 жыл бұрын
🤣🤣🤣🧚♂️🧚♂️
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Anna 😅😅😅
@josephjose36302 жыл бұрын
Jo
@kanyamagaraabdallah83002 жыл бұрын
kingwendu yiko musafi yiko na siyasa yire za Nyerere amesoma ju ukiwona nibaba mukubwa rakini - est tres sagesse et rpopre de ses vatements
@mohammedalnabahan.41272 жыл бұрын
Kikwendu saivi hachekeshi tena kwani kabadilisha sauti manjonjo mengi, hamna kitu tena saivi
@drdavidomuswahiliofficiel86452 жыл бұрын
😂😂😂Diamond platnumz acheka sana baada yakuiona iyi video ebu na wewe bonyeza apachini ujioneye👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/jZOqhKZneKuXm7M