KINGWENDU NA DAIMONDI PLATINAM WAINGIA STUDIO UTACHEKA SANA HII

  Рет қаралды 1,656,448

KINGWENDU OG TV

KINGWENDU OG TV

Күн бұрын

Пікірлер: 429
@lavenderpauline4958
@lavenderpauline4958 Жыл бұрын
Eeeiiy king na simba.....wacha nijiangalie nisitoke na Kinyesi mkononi....mob love from Kenya
@ole_bamuriat3
@ole_bamuriat3 5 ай бұрын
Kingwendu anaogopa ndege.
@GabrieiPaul
@GabrieiPaul 11 ай бұрын
Hongera kingwend uko vizur❤❤❤❤❤
@kingwenduogtv
@kingwenduogtv 11 ай бұрын
Asante
@ccdiscoverymedia
@ccdiscoverymedia Жыл бұрын
Nimejaribu kujizuia lakini hii yako ni talanta baba.Wewe kingwendu unatosha kuwa rap muscian.Much love from Nairobi,Kenya 🇰🇪
@JeoBanda
@JeoBanda Жыл бұрын
ZayAwe
@lavenderpauline4958
@lavenderpauline4958 Жыл бұрын
Ulikua unajizuia nini kaka
@ccdiscoverymedia
@ccdiscoverymedia Жыл бұрын
@@lavenderpauline4958 kicheko
@Saiddoti
@Saiddoti 2 ай бұрын
Wauke malumbo upovizuri sana 🎉❤❤❤pigakazi najuwa wachawi watapinda roho
@sharifmugaga
@sharifmugaga Жыл бұрын
Unanifurahisha sana!big up jaaja kingwendu! sharif kutoka Kampala Uganda
@SkyDeeKing
@SkyDeeKing 7 ай бұрын
Nyota ndogo ngoma nzuri sana nimependa sana hizo melody ujumbe pia umefika sehemu husika kikamilifu.
@davidtovesi3650
@davidtovesi3650 Жыл бұрын
Kazi njema,,Wakenya tunaipenda
@princebikulo
@princebikulo Жыл бұрын
wasafi kazi njema kushirikiana na bazee ya mungine 👍👍👍👍👍💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🤣😂🤣🤣😂😂
@BenBiggy10
@BenBiggy10 Жыл бұрын
Love kutoka MOmbasani mzee, ulituchekesha na bado watuchekesha. Kwa maisha marefu mzee endelea na kazi...
@Hassan-cc3rz
@Hassan-cc3rz Жыл бұрын
Ben
@BenBiggy10
@BenBiggy10 Жыл бұрын
@@Hassan-cc3rz yes?
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Nimecheka mpk mbavu zinaniuma😂😂😂😂😂😂😂Kingwendu🙋🏽‍♀️❤️🥰
@NaomiLukasi
@NaomiLukasi 4 ай бұрын
pascko ❤❤😊😢😅❤ hktk
@JaphetMuhima
@JaphetMuhima 8 ай бұрын
Mzee kigwendu namkubali kishenzi iko vizuri
@mrabaali9448
@mrabaali9448 Жыл бұрын
Napenda bonge la kolabo lenu na Mond,halafu mond nakukubali wapenda watu wako..,much love from Kenya Mombasa.
@AgnesMatt-cn8ul
@AgnesMatt-cn8ul Жыл бұрын
Questions
@princeahmed5795
@princeahmed5795 Жыл бұрын
Watu wake ni mzee Abdul, hampendi, apenda marafiki zake
@9TRILLION254
@9TRILLION254 Жыл бұрын
Nice song ningependa nikutane diamond na kingwendu
@ramad3086
@ramad3086 Жыл бұрын
Noma san mmetisha niite rama d🔥🔥🔥🔥
@jazzniga
@jazzniga 8 ай бұрын
Mondi tunasubiri iyo mimi nipo Congo
@elizabert2591
@elizabert2591 Жыл бұрын
Jamani uyu si yule pacha wa mondi jamani khaaaa
@KennyMusokela
@KennyMusokela 8 ай бұрын
UmwA rayvann
@DalmasOchieng-gn7tx
@DalmasOchieng-gn7tx 6 ай бұрын
Looking clossely. Huyu sio Diamond
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 6 ай бұрын
Nyie mm nampend san huy mkaka an sijuw hat nielezeeje et jmn heb nshaurin nfanyej please 😪😪😪💖💖💖💕💕💕
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 6 ай бұрын
Nisaidien hata nimuon 2 please 😪😪😪💖💖💖💕💕💕Nitashukuru Sana yaanii🙏🙏🙏
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 6 ай бұрын
Kingwenduu ww unanfurahsha san kwa kwel na vi2ko vyak upew maua yako please... Live long life kama namba za nidaaa....💕💕💕 Hakikaa ukifa huoz na ukioz unuk
@PetroMonyi-fd9qj
@PetroMonyi-fd9qj 6 ай бұрын
Mwambiie ukwl wako akigoma hata me ntkupenda
@PetroMonyi-fd9qj
@PetroMonyi-fd9qj 6 ай бұрын
Yupo maeeneo gani
@juliusmachaku
@juliusmachaku 4 ай бұрын
If​@@Lulumassawe001
@thuriyab348
@thuriyab348 Жыл бұрын
Salam Toka Oman mm napenda daymond Allah akufifadhi inshallah
@Burundianhustler
@Burundianhustler Жыл бұрын
Unanifurahisha sana 💚💚 tangu utototoni mwangu
@DavidGodfrey-gb4si
@DavidGodfrey-gb4si 5 ай бұрын
Mbna mm cjaonaaalchofraixhakingwendu
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 Жыл бұрын
😂😂😂huyu mzee kingwendu anafurahisha endelea kupambna!!! mungu mkubwa ipo cku itakua fedha
@dadcomedians7707
@dadcomedians7707 8 ай бұрын
Nakubal xn baba kingwendu apo japo kuwa umri umeenda ww nategea nikiwa kenya 🇰🇪 mombasa
@alfanharun4142
@alfanharun4142 Жыл бұрын
Producer is awesome...that beat sio mchezo.
@mosesomwando4301
@mosesomwando4301 Жыл бұрын
Man ngwash baby nango baby nango 🔥🔥🔥🔥😂😂😂
@Saiddoti
@Saiddoti 2 ай бұрын
Diamond nakupa bigup haulage majigambo kama wasanii wengine wanajisikia sana lakini wewe haunaga hizo mungu akubariki sana kwa kuwasaidiawasanii wachaga kwa kuwajengea uwezo
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds 7 ай бұрын
😂😂😂kingwendu njoo nikupe Siri Kuna kitu unacho kaka😮😮
@JosephKenga-u8s
@JosephKenga-u8s 4 ай бұрын
Namkubali huyu ni comedian afrika Rasharkin mngongwe
@Banokillertv
@Banokillertv 2 ай бұрын
Nicheke mieee😂😂😂 😂😂😂 acha niwape mahuwa yahoo🎉🎉🎉🎉🎉
@JenidanielDaniel
@JenidanielDaniel 4 ай бұрын
Aisee king nimekuoenda San jaman❤❤❤🎉🎉🎉😅
@farijalahjuma8912
@farijalahjuma8912 8 ай бұрын
Much love.. Kingwendu nakutambua
@RafytonRafyRafy-mk5rf
@RafytonRafyRafy-mk5rf 10 ай бұрын
Bro unaweza wivu kando 🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗💓
@AdamsWaiberi
@AdamsWaiberi Жыл бұрын
Apo sawa baba uko juuu❤❤ salute from apa Kenya marigat
@EmmliyJedi
@EmmliyJedi 5 ай бұрын
😂😂😂😂diamond a good man .uwec mkozoa bana.achaimba kama wewe.mpe sound.na tune.
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc Жыл бұрын
Sasa hawa wasindikizaji fujo za nini siwatulie jamani sipendagi mashauzi kama hivi 🤣🤣🤣🤣
@feisalkiptookurgat3629
@feisalkiptookurgat3629 Жыл бұрын
Baba bado unawezaaa tupe ucheshi baba
@Rehema-u8r
@Rehema-u8r Жыл бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤mmaweza kweli
@phylicegaj8523
@phylicegaj8523 Жыл бұрын
🔥🔥 more love...from +254 Naivasha Kenya
@Zorobwoy
@Zorobwoy 19 күн бұрын
Wow nakusaka
@abdillahijumamzee4579
@abdillahijumamzee4579 Жыл бұрын
nakubali kingwendu na simba Sasa bado utoe nyimbo na zuchu
@yahyamohd2573
@yahyamohd2573 Жыл бұрын
Kasameh kwenda ulaya kwa woga bora atoe wimbo daa
@joelyngomuo7441
@joelyngomuo7441 7 ай бұрын
Mondi wa michongo😄😄😄😄Ila kingwendu ni mfalme wa vituko na vichekesho 😄😄😄😄
@princeahmed5795
@princeahmed5795 Жыл бұрын
Hio gari nyingine mpe mzee abdul jamani diamond
@shadrackladislaus3878
@shadrackladislaus3878 Жыл бұрын
Kingwendu so fire, u wone proud🔥🔥👏👏
@fabianbrian8256
@fabianbrian8256 Жыл бұрын
Naisha kingwendu niasha 😅😅😅😅😅😅😅
@gerryprinceke9237
@gerryprinceke9237 Жыл бұрын
Kali hiyo mgotee pacha mondi
@JacobMwendwa-g2v
@JacobMwendwa-g2v 10 ай бұрын
Huyu c mond original nimatopee😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Yaani Jina Diamond Kwa kweli ni biaahara tosha sema watu hawajui duuh, kkkk Kingwendo eti nachana kama Mwana FA
@BenBiggy10
@BenBiggy10 Жыл бұрын
uyo jamaa ana ac kama Dai ameshinda hahahahahaha...
@eeyohana1998
@eeyohana1998 Жыл бұрын
Mbona iyo studio Giza sana🤣🤣🤣🤣💥
@Purityna1986
@Purityna1986 Жыл бұрын
From Nairobi kingwedu Mt childhood comedian
@Fatmatiffany
@Fatmatiffany Жыл бұрын
Diamond wa mchongo huyoo😂😂😂😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 Жыл бұрын
Kingwendu anataka kolabo kwa nguvu zote labda Diamond atamsaidia baada ya kuona hii clip sasa. Hongera Ngwendulile
@anitarafa
@anitarafa Жыл бұрын
😊Tam tu saaaan niko Dubai mji wa madola
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪
@AbdulMussakabagambe-qd6lv
@AbdulMussakabagambe-qd6lv 4 ай бұрын
Kumbe kingwendu na hizo prukushani zako zote unaogopa kupanda ndege leo umeniweza jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@solangedhesi7813
@solangedhesi7813 11 ай бұрын
😂😂😂😂 ni balaa 😅
@charlyngoie5458
@charlyngoie5458 Жыл бұрын
Kingwendu baba ushakuzeeka waatiye vijana Hao🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@raurentkorosso2014
@raurentkorosso2014 Жыл бұрын
Monday gan huyu hajui hata kuimba unishoooo meingine bhana shida saaana
@migoboy569
@migoboy569 Жыл бұрын
Kingwendu comedy's mpaka kifooo
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
Kingwendu mungu akuweka.. kicheko dawa
@bakarizinga8556
@bakarizinga8556 Жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣hii colabo ni babukubwa
@princessa3060
@princessa3060 Жыл бұрын
Hilarious OMG 🤣🤣🤣🤣...keep the 🔥🔥🔥🔥 burning to the world baba ...mad 💞💞💞💞 frm Kenya
@kinoticlinton4006
@kinoticlinton4006 Жыл бұрын
C f f. Cc. C.
@wardaabdallah6499
@wardaabdallah6499 Жыл бұрын
Tunasuri kwa hamuuui🎉😂😂❤❤
@ErickReuben-sb3qq
@ErickReuben-sb3qq Жыл бұрын
K'ndu N nomaaaa♊
@bonisachubwa1046
@bonisachubwa1046 Жыл бұрын
😂😂😂huyu mzee kama ni Bangi kishavuta gunia zima 😂😂😂😂
@mariamjuma5957
@mariamjuma5957 Жыл бұрын
Sio gunia lori zima
@winrosemasinde2397
@winrosemasinde2397 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
Hahaha kali iyo
@ellymzera2457
@ellymzera2457 Жыл бұрын
😂😂😂
@matuanispecialofficial.3491
@matuanispecialofficial.3491 Жыл бұрын
😅
@issamkilikiti20
@issamkilikiti20 Жыл бұрын
Big up sana pg kz issa ktk moro
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Hahaha halloooooo,baby bang'o kingwendu
@Ericyckson
@Ericyckson Жыл бұрын
The first time i saw this man in DRC Congo i was so surprised kingwendu 🤣🤣🤦
@destinmrandonekingkivuruga5813
@destinmrandonekingkivuruga5813 Жыл бұрын
Wesh mkali mze kingwendu😅😅😅
@everlastingmiriam
@everlastingmiriam Жыл бұрын
Babe nang'ooo yeee ila kwa kweli 🤣🤭
@samlayniyonzima
@samlayniyonzima Жыл бұрын
vizur sana kuinua wazaman kweny gemu
@Oscarnixon-d8c
@Oscarnixon-d8c 10 ай бұрын
More love from Mombasa kilufi
@BensonMeja
@BensonMeja Жыл бұрын
Rapper from Tanzania ni wewe mzee wangu nakuaminia
@gaunyatony
@gaunyatony Жыл бұрын
Much love from south Africa 💕
@winrosemasinde2397
@winrosemasinde2397 Жыл бұрын
Kingwenduuu😂😂😂😂🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josiahonyiego7352
@josiahonyiego7352 Жыл бұрын
Salamu za kidharau hizo bana,never shake a hand while seated 😢Kenyan proverb.
@MICHAELSICHELE
@MICHAELSICHELE Жыл бұрын
Assfg
@sinomiles
@sinomiles 11 ай бұрын
huyo wa shati nyeupe ameua, respct to Kingwendu
@priscamhandi1676
@priscamhandi1676 Жыл бұрын
Kingwendu ukiiimba unanimaliza mbavu zangu hiyo SAUTI daaah jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️🤣🤣🤣🤣🤣
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds 7 ай бұрын
Mmmmm wewe jaman
@brianuniquecop943
@brianuniquecop943 Жыл бұрын
Kigwendu kumbe waexa kuimba ..🤣🤣🤣🤣 tupe laha duniani🤣...Leo umesahau kusema bebi nangoo🤣🤣
@lusuwilonzowa9835
@lusuwilonzowa9835 Жыл бұрын
Mzee kingwendu we ni fireee
@josueirumva
@josueirumva 6 ай бұрын
Bwana kingwendo unaweza kbx
@NduluVictoria-yn5vs
@NduluVictoria-yn5vs 10 ай бұрын
Nzuri tu nyimbo ya baba.
@Burundianhustler
@Burundianhustler Жыл бұрын
I'm here following you daddy
@adelaidemary5514
@adelaidemary5514 10 ай бұрын
Watching from kenya❤❤❤❤❤
@matete900
@matete900 Жыл бұрын
Huyu ni rapa watoa macho waah😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪
@daxjayburundi
@daxjayburundi 8 ай бұрын
Kingwendo hapa burundi tunamupenda,kwasababu nidawa ya meno
@kakasaidi
@kakasaidi Жыл бұрын
Unarecodi 😂 😂 😂.. Kalulu wauwa
@JayjezzoWanzenge
@JayjezzoWanzenge 3 ай бұрын
Kingwendo nakubali muzehe Wang
@Wazimamoto
@Wazimamoto Жыл бұрын
we Mzee ww ni ☑️
@billyveritebuntu-pg6us
@billyveritebuntu-pg6us Жыл бұрын
One love from Burundi 🇧🇮🇧🇮✌️
@Mavicomedy
@Mavicomedy Жыл бұрын
Please we need your help bro and I love your video
@jeremyjj7457
@jeremyjj7457 Жыл бұрын
😆😆😆😆 chooni Tena alafu Hao madancers Weh! Kazi IPO hapa
@charlesamuli7425
@charlesamuli7425 Жыл бұрын
Hiyo track Kali Sana inataka seriousness pia Wana make sense kiasi
@thepatricksstories8272
@thepatricksstories8272 Жыл бұрын
Kali sana
@oscarkipkemoi2582
@oscarkipkemoi2582 Жыл бұрын
Kazi fiti mzae
@COLLOMUSIC-gv6en
@COLLOMUSIC-gv6en 22 күн бұрын
hadi lini huu wimbo bado upo studioni
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 9 ай бұрын
Ebwana kingwendu unajua ❤❤❤❤😂😂😂😂
@KwizeraNasrah-gi8xe
@KwizeraNasrah-gi8xe Жыл бұрын
Kingwend nakupend san baba yangu unatufuraish🤣🤣🤣🤣
@BMboss108
@BMboss108 10 ай бұрын
😅i wish the real diamond ataona na siku moja Kingwendu makes an appearance on one of his music videos..
@vincentgaka8302
@vincentgaka8302 21 күн бұрын
Keep up good work mzee
@winnyatieno2994
@winnyatieno2994 Жыл бұрын
😂kingwendu Noma
@floreanfrance5967
@floreanfrance5967 9 ай бұрын
Nakupenda sana ❤❤❤❤
@vinniechymall9801
@vinniechymall9801 Жыл бұрын
Naomba jina la wimbo huo aliouimba kingwendu
HB KINGWENDU AKATAA MIMBA EPS (1) KILICHOMKUTA UTACHEKA SANA HII
26:02
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 114 М.
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 2)
15:24
Steve Mweusi
Рет қаралды 2,9 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 48 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
KINGWENDU AMVUTISHA BANGE MTANGA UTACHEKA SANA HII
12:54
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 850 М.
MY DAUGHTER  | episode 1 & 2 |
27:46
CLAM VEVO
Рет қаралды 448 М.
KWELI KINGEREZA ILIKUJA NA MELI! BY: MCA TRICKY
10:08
Churchill Television
Рет қаралды 515 М.
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
KINGWENDU MWANAFUNZI MZEE UTACHEKA SANA HII
24:43
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 261 М.
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
CHEKESHA TV
Рет қаралды 284 М.
LEO STEVE NA NDARO MNIGERIA KAWAKOMESHA
9:01
MBAVUMBILI FAMILY
Рет қаралды 465 М.
PENZI LA JINI LATIFA (Part 01)
16:59
kicheche
Рет қаралды 3,8 МЛН