KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
MSITU WA KIFO FULL MOVIE
1:15:47
WIKI BAADA YA KIFO full movie final
4:46:08
BD556+ Smoke Silencer.Who needs this for Christmas? #toys #gelblasters #gelblasterguns #airsoft
00:37
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
KIPESILE FULL MOVIE | 1 - 10 |
Рет қаралды 203,799
Facebook
Twitter
Жүктеу
1
Жазылу 152 М.
Adery Masta
Күн бұрын
Пікірлер: 92
@MosesTharanju-yo4nj
Ай бұрын
Kipesile Iko sawa but mwamaliza vipi bila kutuonyesha kilichofatia ,fafanua zaindi mpaka tujue wenyewe hii ni mwisho yaelekea , 🔥from Kenyan
@aderymasta
Ай бұрын
Habari iyo haijaisha ... Angalia mwendelezo kuanzia episode 11 Ipo hapa hapa kwenye KZbin channel ya Adery Masta
@DavidKasangaki-y5m
Күн бұрын
Ila kipesile ana akili yaku wakomesha watu kweli movie nzuri sana nawa fata kutoka congo 🇨🇩🎉
@Newtonwafula-g3s
Ай бұрын
tunawashukuru sana kazi yenu natoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KumbukoAlcon
14 күн бұрын
Poleni hii muvi ninzuri sana twaomba ziendelee zaidi
@aderymasta
14 күн бұрын
Ipo endeleaaa kutazama kuanzia 11 - 18 hapahapa katika channel ya Adery Masta
@DianaMisuko
5 күн бұрын
Love more this movie❤ VB Kenya
@RoseMaya-n7t
Ай бұрын
Kazi nzuri kinoma
@Saidmlako336
25 күн бұрын
Kazi nzuri kabisa...
@MissGee001
Ай бұрын
Mob love from kenya❤❤ the film was exceptional. Eagerly waiting for sec 2 or espode 11
@aderymasta
Ай бұрын
Episode 11 & 12 out now kindly watch them
@EricElias-m4m
Ай бұрын
Wekeni mwendelezo bhana
@MaicoKadoloma-h5i
Ай бұрын
Mbona ya 11 ss itakuwa noma
@oswardjaphal-cd6np
Ай бұрын
Wakwanza leo
@AbdallaomaryAli
Ай бұрын
leo Nimetokeya wa kwanz npen lik zangu japo jamaa anacheleweshaa kukutumiyaa epsod
@MwanakuuBege
5 күн бұрын
Hii movie tamu sana lakin mbona kambe imefanana n Maneno ya kuambiwa kuuliza tu😂😂😂😂😂❤
@FelisterMulwa-n4z
Ай бұрын
Nice naipeda
@JaneKemunto-v6v
23 күн бұрын
Na nko na swali,,kipesile ni Dem ama ni boy juu sielewi
@jentrixgongai2483
8 күн бұрын
Nimei❤
@khadijachama6269
Ай бұрын
Tunasubir muendelezo unatuletea full 1-10 jamani adery masta
@Chebet-q8n
Ай бұрын
Ako twasubiri kwa hamu na hamu
@TeamBabajoan
Ай бұрын
Hapo mwanzo nilishindwa kumtambua huyo nyoka kama ni Shani...
@janephaphaatemba4917
Ай бұрын
Na vyenye naimbia mtoto wa mwarabu kipesile paka analala alfa mnatufanyia hivi
@JassyNamkoly
Ай бұрын
𝑈𝑚𝑒𝑗𝑢𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑒𝑠ℎ𝑎😅 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑎𝑘𝑢𝑜𝑛𝑎 𝑢𝑛𝑎𝑣𝑜𝑖𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑤𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑟𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑖𝑝𝑒𝑠𝑖𝑙𝑒 𝑛𝑎𝑙𝑒𝑡𝑎 𝑚𝑎𝑏𝑎𝑙𝑎𝑎 𝑤𝑒𝑒𝑒😅
@janephaphaatemba4917
Ай бұрын
@@JassyNamkoly walai alfu mnatupea vitu vya kurudia hapa
@Family-i2d
Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@RoseMaya-n7t
Ай бұрын
Hahaha😂😂
@JonesBuni
25 күн бұрын
P@@JassyNamkoly
@BestaKondowe
20 сағат бұрын
Movies nzuri huyo kipesile ni mtoto wakike au wakiume ? ❤❤❤❤
@MwanaidiKishara-z3h
15 күн бұрын
Asa uo mchang umemruhus vip Andoke nao ungemnawish mikon maji hat vumb asingebeba😂😂😂
@benjaminlonji8989
23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂!!!!Baba mudogo!!! Londoni!!!!😂😂😂😂😂😂😅😅
@AlexMwoshi
23 күн бұрын
very nice story am following you from eldoret kenya 🎉🎉
@CharlesShatimba
12 күн бұрын
Tupo wote nyumbani
@FlagDaCutee
16 күн бұрын
weldone
@kinjekitilew
Ай бұрын
Hii movie nimemukubali kipesile nayule mzee alie fiwa na babaake kioesile
@asuminimtulia568
21 күн бұрын
Eti pens ya wastaaf jamn😂😂😂hii muvi mmeweza
@dada7969
Ай бұрын
Adery unatuvuruga sasa si ungeeka ya 11 mpk 20 jaman😂😂
@FredyMwasumbwe-h3b
Ай бұрын
Ndo mwisho au
@PhilipoNyoni-i8f
12 күн бұрын
Movie nzuri sana😅😅
@MirriamMusyoka-v6s
13 күн бұрын
Hii iposawa lakini huyu mtoto kipesile nimnoma Sana.
@ElieAsmanisafari
12 күн бұрын
Kipesile haunaatiya ila ningekuona ningekilombakwaile puissances
@BrendaMogambi
Ай бұрын
Wanaoingia kwa comment wapi wenzangu
@fatmakapire
9 күн бұрын
Daah ninoma san❤❤❤
@AnnaMelickzedeck
Ай бұрын
Kipesile ni noma😂
@Newtonwafula-g3s
Ай бұрын
tuko pamoja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cheiknamouna2058
Ай бұрын
Unaturudisha nyuma Jaman ujue Tuko bize yanayojiri kwenye daftari la kujiandikisha ujue 😂😂
@IsaacMikizi-ms1nz
Ай бұрын
Courage
@kinjekitilew
Ай бұрын
Hii movie alie zingua nihuyu jama alie tumwa mkoba alafu anajifanya analia kisa dadaake
@monicaSamson-mc9ph
21 күн бұрын
Yaan Mimi kanikera mpk bas demu tyu kafanya dada ake amebaki msukule
@Farida-uz3vr
Ай бұрын
Kipesile muendelezo
@PRINCE_MARVEL07
Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Mygirl_1032
Ай бұрын
Wanane Leo nipeni link zangu nawapenda Sana kwa kazi nzuri from kenya
@IddyMohamedi-w7i
Ай бұрын
Sijapenda Sas unamaanisha season 1 ndo imeisha pafupi hivo Daaaah Inauma sanaaa Aiseeeee
@EliudGabriel
17 күн бұрын
Toen muendelezo bac
@aderymasta
17 күн бұрын
Muendelezo upo andika KIPESILE 11 ..... Zipo Hadi 16 kwenye channel hii ya Adery Masta
@linetambasa9844
Ай бұрын
Acha nikujibu,anaongea na nyoka 😅😅😅
@GHgh-hq3zj
Ай бұрын
😂😂😂❤❤
@Dadadinah
Ай бұрын
😂😂😂 hapakalik wingi linanuka uvundo wachawi ongeni sikuwanga tu
@OengaMildred
Ай бұрын
Wow 🥰 Hira naogoba sana😂😂😂 Hira ingefika hata 15 adeary
@EzraSaasita
25 күн бұрын
Lake
@deborahmidiburo3541
Ай бұрын
Tuendelee
@mildredaoko7782
Ай бұрын
Next 🥰🥰
@daisyzd1
29 күн бұрын
fiti sana
@kinjekitilew
Ай бұрын
Da mutu anaambiwe usilie yeye analia anaambiwa tena analia tena haaaa aise sema kwasababu ndio bongo na movie zake
@MaryamuJuma-y8i
Ай бұрын
Sijapenda
@user-jm8870
Ай бұрын
Sasa bona mkatufanyia hivi marudio😢😢😢
@DicksonSadam-jf4nk
Ай бұрын
Kipesle nomaaaah😢😢😂😂😂😅
@MwajabuMsangi-p3x
Ай бұрын
Tumechoka kusubiri jamani ya 11 bhna 😢
@Davidjackison-d3k
22 күн бұрын
Anamjua kama chizi ndiyo maana akuwa na mashaka
@NeshNesh-qu4ig
Ай бұрын
Aki na venye nimesububiri muendelezo wa 11
@kinjekitilew
Ай бұрын
Buda kaharisha sana sana
@AmadiMichael-n8g
10 күн бұрын
Hatari😢
@JacklineChales-n6h
Ай бұрын
Mnazingua
@PstRobertmuliro
16 күн бұрын
❤
@jacrisy0939
Ай бұрын
Hapa kazingua ata poteza mashabiki sasa ivi kwanini msiwe kama chumvi nyingi anamqliza yote au dubu tz
@DerickdaudDerickdaud
Ай бұрын
Wapili naomba like 🎉🎉🎉🎉🎉
@Chebet-q8n
Ай бұрын
Aki tunasubiri muendelezo WA 11
@danielmokua8645
3 күн бұрын
Nimetazama hii filamu nikilia😢
@favyofficials6347
25 күн бұрын
English version please
@AdamFungo
28 күн бұрын
Apo wameziingua
@LorineAbuko
Ай бұрын
Episode 11 please
@amelinamwaduga9724
9 күн бұрын
Hivi Kipesile ni He or She?
@TinaBenedictor-l8w
Ай бұрын
Sasa ndo nin jaman sis tunasubil mwendelezo nyie mnatuletea epsode zilizopita kwanin lakin?.
@NeshNesh-qu4ig
Ай бұрын
Sijachelewa sana naomba likes zenu😢
@kinjekitilew
Ай бұрын
Unarusu vipi mutu azoe mchanga naandoke nao huku unamuona hatakama ni movie kwahapo sio kweri
@asuminimtulia568
21 күн бұрын
Hao wanaigiza tu nyuma ya camera mchanga anautupa
@hapapetu7018
5 күн бұрын
Sasa ndio mchezo ulivyo pangwa. Kama. Angalijua pale mchezo usingali endelea kutokujua. Pele ndio mchezo. Unaendelea
@peterkiama-es1wb
Ай бұрын
Tunasubiri mwedelezo Leo ama lini?
@stusaLuundo
Күн бұрын
Caton
@amoscheruiyot9963
Ай бұрын
Why repetition
1:15:47
MSITU WA KIFO FULL MOVIE
Masha burhan filmz
Рет қаралды 40 М.
4:46:08
WIKI BAADA YA KIFO full movie final
Adery Masta
Рет қаралды 204 М.
00:37
BD556+ Smoke Silencer.Who needs this for Christmas? #toys #gelblasters #gelblasterguns #airsoft
LKCJ
Рет қаралды 53 МЛН
00:58
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
HARD_MMA
Рет қаралды 2,5 МЛН
00:15
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
Денис Кукояка
Рет қаралды 2,4 МЛН
00:22
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
LeoNata Family
Рет қаралды 5 МЛН
26:45
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 39 | Love Story
DONTA TV
Рет қаралды 227 М.
28:36
KIPESILE | 11 |
Adery Masta
Рет қаралды 288 М.
20:20
MUUZA KANDORO- OFFICIAL FILM EP 10
JIKUBALI FILM
Рет қаралды 249
9:03
MWANAFUNZI MCHAWI |1|
CLAM VEVO
Рет қаралды 6 МЛН
2:10:32
PETE FULL
KIM VEVO
Рет қаралды 395 М.
1:16:23
SIKU YA KIFO CHANGU FULL MOVIE ( SEASON 1 )
Adery Masta
Рет қаралды 389 М.
2:04:25
MKUFU.full
Mg TV
Рет қаралды 192 М.
1:35:53
PASTA MCHAWI FULL MOVIE, FULL HD, SEASON ONE
ETUTU FILM TZ
Рет қаралды 41 М.
1:16:02
SHANI MWANAFUNZI MCHAWI SEASON 1 FULL MOVIE ( Mzee Msisiri & Adery Masta )
Adery Masta
Рет қаралды 457 М.
4:14:23
MWANAFUNZI WA AJABU Full Movie /Bongo Movie
BabaJoan
Рет қаралды 817 М.
00:37
BD556+ Smoke Silencer.Who needs this for Christmas? #toys #gelblasters #gelblasterguns #airsoft
LKCJ
Рет қаралды 53 МЛН