Mbona yuko vizuri huyu msimuliaji,tumzoee huyu pia
@reubenmaghati17374 жыл бұрын
Si ndo ushangae hawa watu , mshikaji kajitajidi sana.
@striderderulo44074 жыл бұрын
Mungu kakupa uandishi na mtiga abdallah kapewa usimuliaji mungu si mchoyo kagawa kwa kila mmoja sawa ko nafasi ya mtiga mwachie mtiga na nafas yako ni yako tu mungu si zwalimu gonga like kama tumeelewana✌️ mtiga 4l!fe
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
Bring back MTIGA, had nimeamua kuweka pause kwanz ili nicomment, yan story hata haishawish kuendelea kusikiliza wala hutaman kuirudia, MRUDISHENI MTIGA
@daudhabona88974 жыл бұрын
Ananias Edgar ndio kibokoo. Mpeni kazi huyuu. Mtakubaliii. Kama unajua kazi yake gonga like.
@ibrahrich48074 жыл бұрын
Hila huyu jamaaa yko vzr sana blessed sana unaweza kazi hiyo
@salumualoyce56203 ай бұрын
Ulimtabiria mema na kweli sasa hv watu wote waliompinga wanamwita Genius. 12 Sept 2024.
@musalucas11924 жыл бұрын
kama una hakik hii story angepita mtiga abdal mjukuu wa nderangusho story ingekuw no1 on trending like apa
@franknhonyangi21354 жыл бұрын
Achen moment za kisenge amjui uyu ndo anayetengeneza izo story za mtiga wenu Achen mambo yenu big up bro mdogo mdogo 2 utafika Kama umewaweza kwenye kuandika uko kwingine achana nako ila umezingua kidogo siwez kukutukana kwa sababu ww ndo fundi mwenyewe
@hamisrahul60674 жыл бұрын
Aise tunamtaka @mtiga abdallah the real deal
@rainakibiki33704 жыл бұрын
Hawajui huyu ndio alikuwa anamwandikia mtiga
@husseinomary44664 жыл бұрын
Unaweza kuandika stor nabado usiweze kuiwakilisha kwenye hadhira kwa ladha inayotakiwa,, abaki kuandika kwenye simulizi akae mtiga ndo inanoga
@amilymgalamo74724 жыл бұрын
problem sio mwandishi tatizo sisi mashabiki tunataka hile voice yenye ushawishi wa kuisikiliza story mtiga upo wapi
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Duuh kama uneshtuka kusikia sauti hii gonga like! Mtiga Abdallah bring him Back
@gasparmargwe53414 жыл бұрын
Nimeboweka sn
@yusuphcharles14974 жыл бұрын
Sijaipenda
@hannojuliasi53484 жыл бұрын
Huyo hafai kabisa anamaliza MB zangu2
@abdallabakar58414 жыл бұрын
Anaboa yani ayupokabisa mbonanamnafeli wadau
@shukuruizrael20584 жыл бұрын
Story book tunamtaka Mtiga abdala
@catherinemutindi50312 жыл бұрын
Kenya tunakupata sawasawa.barikiwa ndugu kazi njema.
@mwalongojames15074 жыл бұрын
Mwanzo mgumu Sanaa usikate tamaa ndugu yangu Tutakuelewa Tu🙏
@ktmediatv4 жыл бұрын
Washamuelewa
@emxsimba40253 жыл бұрын
Best comment ever 💪
@januarylyambuzi17182 жыл бұрын
hii comment nadhani ni bora kuliko comment zote kwenye #TheStoryBook
@bienfaitamani95134 жыл бұрын
Nawafwata kutoka Congo ,Mtiga ipo wapi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@stanslauschatata34834 жыл бұрын
Mwaka mpya, the story teller mpya!🙌🙌🙌
@johnsahani98924 жыл бұрын
Mtiga wap jaman mbona mnafeli sanaaaa wasafi 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😫😫😫😫😫😫😫😴😴😴😴😴😴😴😴
@historianyeusi95244 жыл бұрын
Jamal wew baki kweny kuandika story tuu na si kusimulia story..
@catherinedavidy90174 жыл бұрын
Kelele ya kwanza kwa jamal ake, msimzibie mwenzenu liziki, huwezi kusikiliza sepa, love you jamal
@happinesslema72642 жыл бұрын
Ni kwel kabisa wanadamu tumekua ajabu ,unamwinua mtu mmoja tu kana kwamba ataishi milele na hii hupelekea mtu kufa na sanaa yake
@stanslauschatata34834 жыл бұрын
Oooh kumbe leo enginear jamar april ameamua aruke nayo mwenyew tuu!🙌🙌🙌
@joackimmbanguka63044 жыл бұрын
Nilivyo kata ghafla mmh Kama umeme aisee baada ya kusikia saut different na mtiga,,,now I have been addicted to the voice of mtiga abdalla
@mussaamiry98234 жыл бұрын
Mbona msimuliaji yuko vzuri sana,,, acheni kukosoa kazi za watu kama nyie mnajua nendeni wafasi mkaombe kazi
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Jamal Mustafa/ Jamal April. Ww unapendeza kwenye uandishi zaidi ila hata kyhadithia pia uko fresh haikuwa mbaya sana.
@wahidymrosso76004 жыл бұрын
Mtinga ndo kazi yakee hao wengine bdo sna km munatusikilza na munaona comment zetu plz tunamuitj mtinga
@scco104 жыл бұрын
Abaki kwenye uandishi
@Respicius4 жыл бұрын
Sasa kama hujui huyo ndo mtayalishaji na muhandishi wa hayo yote
@chellishikizitto79604 жыл бұрын
Respicius Revelian Chief kuandika na kusimulia ni vitu viwili tofauti... Mtiga hana mpinzani
@johnsilima67894 жыл бұрын
Kwel kabsa kila mtu ana kipaji chake
@MM-Advanced4 жыл бұрын
Mbona hata huyu yuko vzr tuu!
@FinleyMwakyusa8 ай бұрын
Wote wanajua san tuu great respect kwaooo
@rehemasalum25314 жыл бұрын
Mtiga jamani baby leo cjaridhika kabisa where are you my heart touchable voice
@augustmj45734 жыл бұрын
Kwa hii comment mtiga lazm arudi😂😂😂
@agathathobias86904 жыл бұрын
Rehema salum kwel umejilipua
@victorvancharlz91254 жыл бұрын
Jamal uko vizur na sijaona mapungufu yako... Wanaokuponda wanahitaji muda kidogo kukuzoea... Kwa anaefuatili the story book anajua mchango wako kwa Ntiga..
@dreambeesafricalimited48314 жыл бұрын
97% wote mnamtaka mtiga...pengine 1.Tunaishi kwa mazoea Au 2.Mtiga is the best Mi nafikiri tumpe mda jamaa mana hata mtiga naye alianza kama huyu kwa tunaomjua ujuzi unapatikana ukifanya kazi kwa mda
@ZaituniRashidi-ry9vz Жыл бұрын
Kwanza Jamal ndo mwanzilish wa kusimulia story kwenye hk kipnd tang Wasaf inaanzishwa huyo mtiga aliletwa mara moja tu itakua mnaomtaka huyo mtiga ni wagen wa hik kipind
@jumaamsaga86514 жыл бұрын
Mnazingua hadi trending mumekosa aje mtiga sasa hizi ingekuwa 5 on trending
@plastidiacasmiry22342 жыл бұрын
Thanks "The storybook",I was partially about that!
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Yupo vizuri mbona jamani
@faylema95344 жыл бұрын
Thanks to my lovely pastor who teaches and narrate all most common stories in the old & new testament I was empty I learn it by force After sometimes I found it was so helpful Though am not righteous but I know lot in the bible Cheers to him where ever he is.👏👏
@mfaumehassan44244 жыл бұрын
story nzuri snaa hakika inatubariki snaaa na pia ubarikiwe na ww pia
@staralive92602 жыл бұрын
Binadamu ndivyo tulivyo!! Tunabadilika sana kiakili. Watu wa Babeli ni mfano wa binadamu wa sasa.
@FungamtmaMadonya Жыл бұрын
Je unayo stories books ya mwanamalonde
@willsonjuma60154 жыл бұрын
hiii kaz n ngumu jamaa anaandaa anaiandka story then anasimulia ninyi mnamtukana kisa mtiga kwan uyu ndo kamfukuza mtiga wasaf ama ebu achen fitna au jamaa anachanganya na kihaya au kinyakyusa acheni izo so fresh
@christopherfadhili53124 жыл бұрын
Yani mtinga naomba urudie hii story huyuu Hamnakituu kabixa ahaaaa@wasafi man boa
@fashion_killer_up69594 жыл бұрын
Mko vzr sn mungu awabariki kwa elimu hii mnayotupa
@abelmange54304 жыл бұрын
Where is Mtigaaa Abdallah...Yaan cjafaidi kabisa hii story Leo... gonga like twende Sawa
@michaelkornel58094 жыл бұрын
Hii story irudiwe na mtiga huyo bado sanaa mnatokosea sanaa Wasafi
@shabanimchemba75044 жыл бұрын
From kusini mwa tz newala💥🔥🔥
@dankoko79593 жыл бұрын
Am addicted to this chanel,,av learned alot since nigundue the storybook on star tv
@dicksonabdon93744 жыл бұрын
HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA KEEP IT UP BRO UKO VIZURI ENDELEA KUBORESHA NAIONA TOFAUTI KATI YA STORY ULIOSIMULIA KWA MARA YA KWANZA na hii ya leo keep growing bro. " mti wenye matunda hupigwa mawe"
@abuubakarimtange46012 жыл бұрын
You said the truth leo jamali ni bora kuliko hao wote
@sofialinus91534 жыл бұрын
Kaka nakupenda buree uko vizuri umeeleweka, midume mi zima inalilia sauti hovyo kweliii
@sulaimanikhalfani2824 жыл бұрын
MTIGA ABDALLAH WE NEED U
@scco104 жыл бұрын
Kwer mtigaa
@collins84374 жыл бұрын
Yes we need him pls
@sixteenonline98114 жыл бұрын
Nakubali keep it up .Watu wanakatisha sana tamaa .Ukiwasikiliza watu hufiki popote .Kipaji unacho kaka songa mbele .
@ramadhanboi64854 жыл бұрын
Kila mtu analalamika mtiga yuko wapi ,mtiga yuko wapi jamani story nzurii tumpe sifa zake nae like zake ziko wapi
@salimually94654 жыл бұрын
Kweli man mtiga ndio mkali wa simulizi uyo mseke kama anahubiri
@chordyvipers93224 жыл бұрын
Mtangaazaji mpaka raha keep it up
@aljuniormandro28394 жыл бұрын
JAMALI NAKUOMBA UBAKI KWENYE UWANDISHI2 KAKA ILA KWENYE USIMULIZI MUACHIE MWANAO MTIGA KAK🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@scco104 жыл бұрын
Uko Sawa bakisa nakusaport Hilo hapa mtiga Abdallah yaan umevuruga mzee mrudishen
@suleimanimg96964 жыл бұрын
Kak....Cjakuelew...kusimuliaa story n kipajii....Samahan
@happylaizer9654 жыл бұрын
Hujuuuuuuuuuui kusimulia ucrudieeeee
@videozaaj10694 жыл бұрын
Na hiyo saut si ya jamal mbna.. Sijui wamemtoa wapi daah
@hosseamelikioli94104 жыл бұрын
Sure
@halimasssomar87934 жыл бұрын
Watu Bana..ooo sauti sauti..ivi amuelewi story acheni kuishi kimazoea..mlo mzoea pia ni binadamu Leo yupo kesho ayupo.. itakuwaje...
@husseinomary44664 жыл бұрын
Mnataka turudi kwa ananias Edgar mnaanza kufeli tunamtaka mtiga hao wengine pelekeni kwenye mipasho
@luckyyusto81594 жыл бұрын
We jamal kazi yako ni utunzi bro acha tamaa yatakushinda
Leo mmechapia sana,,baada tyu yakuskia hii saut nimeacha kuskiliza,,story hazinog bila Mtiga.
@paulnyanda95724 жыл бұрын
Ambao tunasikiliza huku tunasoma comments za watu wanavyodisi sauti jamal like
@marwawambura28803 жыл бұрын
mtangazaji katudanganya Mungu aliwatawanya kwa lugha na siokuwepo kwa wazungu na Weusi Jamaal Mustafa amedanganya Sana wazungu hawakupatikana kwa njia hiyo mbali njia ya kutengenenzwa tu kuwa binadamu wakisasa kamailivyo kwa kuku wa kisasa au ngombe wakisasa nao kutokana na damu ya watu Weusi walitengenenzwa kuwa binadamu wa kisasa Watu wasiogope kusema ukweli na huo ndiyo ukweli.
@mubarakamuba3764 жыл бұрын
Uyu jamaa ata aendi n beat, hii n kaz y *mtiga abdallah*
@jei_maimu69574 жыл бұрын
NI MWENDO WA STORY TUU..NASIKILIZA UJUMBE,AIJALISHI MSIMULIAJI NANII..MBONA INAKOLEAA TU
@idarousphotography33024 жыл бұрын
SEMA KWA ANAVYOSOMA HII SRORY NI KM ANAPITA NJIA ZA MTIGA HIVI YANI KM KARECORD THEN KAFATISHAA """ KAMA UMEGUNDUA GONGA LIKE""""
@Mabegi_nafuu4 жыл бұрын
Idarous photography uyu jmaa ndio anaandika stor zote afu anasoma Mtiga
@idarousphotography33024 жыл бұрын
Tom Beats namjuwa
@donkohraymond56894 жыл бұрын
Safii umejitahid kaka
@dogolakejamalapril75894 жыл бұрын
MNAOMTAKA MTIGA ABDALLAH MTAZOEA TU MSIJALI SHIDA NI MAZOEA YANA TANU ILA MWANA NAE YUKO VIZURI CHA MSINGI MSIKILIZENI VIZURI TU🙏🙏🙏
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Kabisa. Maana akibaki mtangazaji mmoja wengine watafanya nn tumpe nafasi nae maana nae anahitaji sapoti ili atimize malengo yake na asaidie familia yake
@dogolakejamalapril75894 жыл бұрын
@@rusakanyohenry6932 wabongo bhan ndo tulivo mtu asiende hata likizo
@nassorhemedy39564 жыл бұрын
Mnazngua wasaf uyo jmaa hatufai mtiga ndio kilakitu mm nilivomskia huyotu sjaendelea kamwe kuskiliza mtiga come back braza
@gfrhajji52334 жыл бұрын
You guys, simulizi ni sauti na tunajikusanya hapa kwa ajili ya Mtiga sasa hawa form one mnatuletea mtapiteza raia. Hima arudi Mtiga.
@rainakibiki33704 жыл бұрын
Huyu ndio anamwandikia mtiga story
@gfrhajji52334 жыл бұрын
@@rainakibiki3370 abaki kwenye uanndishi
@kisasarob7514 жыл бұрын
Hahah wananchi duh mtiga asiumwe au....atarudi tu
@maezadam54924 жыл бұрын
Hahahaha
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Hawawezi kumrudisha mtiga kwasababu you are the what you read
@zubeirmohammedy68714 жыл бұрын
Hongera sana bro,cie tunaangalia vitu tunavyopenda mara nying ila hatuangalii vitu vyenye kujenga ktk fikr zetu,cidhn km kuna mtu mwanzo mpk mwisho ana mabaya 2.
@fayscott99954 жыл бұрын
Simulizi nzuri lakini msimuliaji hajategemewa na kila m2...we need MTIGA plz
@chizimndalu85374 жыл бұрын
Huyu jamaa amesimulia vizuri sana,kumshinda Mtiga ,sema sauti tu pekee inaboa.
@ayoubmwakitalima9554 жыл бұрын
Mtiga jmn where where
@nikodemoemilini88394 жыл бұрын
Kaka Jamaal Wewe Noma
@washingtonsefu7554 жыл бұрын
Kama una mupinga uyo jama gonga liker yako hapa kwaman hajuwi ata kusema hatumutaki hata mara moja uyo jama yuko na saut mbovu sn wenye wako pamoja na mm bas tushikamane kwa kupinga uyo jama
@nasirabdul24 жыл бұрын
Mzee huyu ndo muandishi wa uyo mtiga unaemtaka ww
@dayanaleo75374 жыл бұрын
Sauti anayo ila sio yakusinulia ni yakumbembelezea mkewake sisi hatutaki kubembelezwa tunataka kusimuliwa
@chafutatu41794 жыл бұрын
Tangaza ww kama unaweza mbwa ww
@happylaizer9654 жыл бұрын
@@nasirabdul2 kwa hiyo km ndio mwandishi wake hatumtaki hana saut
@washingtonsefu7554 жыл бұрын
Sema tu wame tukosea sn ndomn
@Lïghtdēsïgn-r7x8 ай бұрын
Naipenda sn sauti Yako mtiga Abdallah
@chrisskibaking81844 жыл бұрын
MUNGU ni balaaaa 😂😂😂😂😂 Kila mtu alipewa lugha yake dadeq
@mauakasheshela48284 жыл бұрын
Bro unajua ila huwez kumfikia Mtiga 👏👏👏👏
@iamstevenrungatv48054 жыл бұрын
Big up brother👍🏿🔥
@anordthadeo76164 жыл бұрын
Kusikia sauti tu mood imekata ya kusikiliza tena........ mtinga is the best acheni utani
@isacklaurent89484 жыл бұрын
ata angeanzaga huyu alaf mtinga aje mngemkataa pih sas iliyopo 2zoee 2 coz nae hyu atazoea atanoga msiwaze!😊😊😊
@minahsamiry44594 жыл бұрын
Saut hii hpn.... Sisikilizi tena the story book
@yessembwambo44404 жыл бұрын
Tunamtakaa Mtiga Abdallah Huyuu Jamaaa Anajua Aseh Then Huyuu Wa Leo Aendelee Kutaftaa Tu Story
@nichoojr.67474 жыл бұрын
Wasimuliaji wanaojiekewa Na wanaoelewa kazi yao ya usimulizi ni Wa3 Tu hapa bongo 1Mtiga 2ananius edger 3Skay Wengine mnaharibu Tu Ona hii ilikua nzuri sana Itabidi Arudie tena Mtiga Ili twende Sawa
@allyhussein8004 жыл бұрын
Mh! Wasafi hii mara yenu ya kwanza kuzingua jamn sasa huyu jamaa sauti yake mbon hatujaielewa mnafel ety
@florachrist96024 жыл бұрын
Nzur san uko vzr big up!
@bigjizee41304 жыл бұрын
Mtiga abdallah yuko wapi
@mctcher5244 жыл бұрын
All the way from kenya kama unakubali Mtija ndio mambo yote gonga like twende sawa