Kisa cha Nabii Ismail kweli hakijakamilika.ila nitajaribu kuangalia tena mara nyengine kama nikikipata kilichokamilika basi in shaa Alah nitakiweka.Allah akulipe kila la kheri..shukran
@amjaadn42776 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah sheikh kishki Allah akuhefathi akupe pepo ya juu na uzidi kutupa dawa yaAllah
@Nassor201211 жыл бұрын
Kisa cha Nabii Suleyman kipo in shaa Allah nafasi ikiruhusu weekend nitakiweka.Tuombeane uhai na uzima.shukran.
@Nassor201211 жыл бұрын
Aaamin yaa rabbi.kwa sote hiyo dua pamoja na waislamu wengine.shukran @Khadija Yussuf
@khadijayusuf706511 жыл бұрын
Subhaanaallah sikuwa na niya hiyo Allah Akbar tusidhaniane mabaya tunajitafutiya dhamba kwa thana subhanaallah mungu atuswahameh
@fidhatihassan37636 жыл бұрын
SHUKRAN JAZAKALLAHU KHER tunaombeni muendelezo
@RIHA-qb6mx11 жыл бұрын
mashallah Nassor Allah akulipe kheir kwa kazi yako, na amzidishie sheikh wetu kwa kuumpa afya njema na uzima ili tupate mengi kutoka kwake, nasisi atujaalie tuwe wasikilzaji wema na watekelezaji inshallah.
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Masha Allah
@wazirimussa75063 жыл бұрын
Kisa kizuri sana
@salmaali32937 жыл бұрын
Shukurani.kwamawaiza.mungu.akufanyi.wepesi
@shabanjuma59573 жыл бұрын
Kisachanabiiharuni
@ayubumwitawandwinikijanamc1755 жыл бұрын
Mashallah
@Nassor201211 жыл бұрын
Shukran na wewe.Pia unaweza kutufuatilia katika page yetu ya facebook kwa kupata mawaidha mbali mbali.shukran
@halimaaliy34988 жыл бұрын
mashallah
@Nassor201211 жыл бұрын
Allah anatukataza kuhukumu bila ya kuwa na ushahidi ndugu yangu.Nilichomwambia mimi kuwa anaweza kupata mawaidha kupitia katika page yetu ambayo imo ndani ya facebook.Wala hakukuwa na suala la kumpa username yangu.Na page yetu inaendeshwa na watu sio mtu katika kufikisha daawa.Nadhani umenifahamu na mimi.Ninakufahamisha tu.shukran
@husnakeziya77587 жыл бұрын
mashaallah
@mizirm24297 жыл бұрын
Safi
@Truthshallprevail129111 жыл бұрын
BarakaAllah feek akhi Nassor. Mwenyezi mungu amuzidishiye kila la kheri shehe wetu mupendwa Sh.Nurudeen Kishki. Mimi naombi ndugu we, nje unaweza kutuwekeya video zengine za Sheikh Nassor Bachu Rahimahullah? Jazakumullah khayran.
@Nassor201211 жыл бұрын
itafute page yetu katika facebook ambayo ni Raudhwatul ILMI au katika channel yetu pia ipo link ya facebook ambayo itakupeleka moja kwa moja katika page yetu.Ikiwa utakwama naomba uniambie.shukran
@robertlyimo43616 жыл бұрын
Naombeni ufafanuzi hapo ndugu zanguni hiyo tofauti ya historia inataja watu walewale lakini inatofautiana kidogo inatokana na nini?
@robertlyimo43616 жыл бұрын
Mbona Biblia yasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka na Si Ismail,Pia baada ya Ismail kuzaliwa aliyefata ni Isaka ndo naye akaja kumzaa Yakobo(Israel).
@abdallahsaid29211 жыл бұрын
khadija yusuf nakukosoa kwa nini waomba username ya FB ya mwanamume hiyo ni fitna na HARAM.Omba wa uploading zaidi uzidi kufaidika SIO kuomba username. Akikupa basi itakuwa sasa si da'awa tena itakuwa kutongozana...Mche Mungu ndungu yangu khadija.Nakufahamisha sio nakutukana...