Рет қаралды 8,273
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Abdallah Abdulqadir Msikiti wa Nuruyakin tarehe 13/11/2020, mada inazungumzia rehma za Mtume kwa umma wake ni rehma gani ? tazama hadi mwisho upate kuelimika na tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.