KISA MBOWE, BULAYA AMVAA LUGOLA - "NDIO ALILEWA AKAVUNJIKA" SPIKA AINGILIA KATI...

  Рет қаралды 61,760

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

KISA MBOWE, BULAYA AMVAA LUGOLA - "NDIO ALILEWA AKAVUNJIKA" SPIKA AINGILIA KATI...
WABUNGE wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wameendelea kujadili bajeti lkuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2020 / 2021 iliyowasilishwa bungeni juni 11, na waziri wa fedha, Dkt Philip Mpango..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 228
@johariismail2646
@johariismail2646 4 жыл бұрын
Usimfananishe Yesu na JPM. WEWE UNALILIA KURUDI BUNGENI.. 😭 UNABOA
@sospetermilobo
@sospetermilobo 4 жыл бұрын
Hahaaa nimekuelewa Me Spika kwamba unadili na ukweli like kwake jmaman
@ayubumagumu4386
@ayubumagumu4386 4 жыл бұрын
Hili bunge ni dhaifu sana
@castromaro3103
@castromaro3103 4 жыл бұрын
Tafafhali Yesu Kristu siyo wa kufananisha na mwanadamu
@jumamrope2395
@jumamrope2395 4 жыл бұрын
zee zima kazi ya kumkatikia mwanaume mwenzio viuno
@LydiaMaro
@LydiaMaro 4 жыл бұрын
YESU Hafananishwi!!
@bovethlucas851
@bovethlucas851 4 жыл бұрын
usimfanye Mungu shemeji ako utapigwa pigo ambalo hutasahau
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
I love when you handle justice even when you have to be against yourself
@neemamanjuu2037
@neemamanjuu2037 4 жыл бұрын
Yesu kristo anachukizwa Sana na watu wanaojitwalia utukufu
@reginas1832
@reginas1832 4 жыл бұрын
Huwezi kumfananisha Mwokozi YESU KRISTO WA NAZARETH na kitu chochote. Never. Mimi na familia yangu tunamlilia YESU.
@godifreypaul9409
@godifreypaul9409 4 жыл бұрын
Yesu ni nafsi ya 2 ya Mungu,hafananishwi na kitu chochote kile.Hivyo ukijisikia kumsifia mtu,Usitumie jina lipitalo majina yote,ili kuufurahisha moyo wako.
@barakamwamkinga4624
@barakamwamkinga4624 4 жыл бұрын
Yaani sifa zimewazidi mpaka mnamfananisha binadamu na Yesu Kristo kweli hii ni kumkufuru Mungu
@mosesshekalage597
@mosesshekalage597 4 жыл бұрын
Mzee unavuka mipaka sasa umfananishe magufuli na yesu kweli hii sio
@sekelawilliam3057
@sekelawilliam3057 4 жыл бұрын
Hiyo ni kufuru Sana, ndo Mana aling'olewa kitin
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 4 жыл бұрын
Hii inaitwa ile comedy ya kenya VIOJA MAHAKAMANI 😎😎
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Ulitaka kutuibia mamilioni Mhe. Magufuli akakukamata njiani, Nani kama Magufuli?
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Obedvjoseph
@Obedvjoseph 4 жыл бұрын
No Lugola umekosea,Yesu is more hundred percent than Magufuli
@sakandalinus3125
@sakandalinus3125 4 жыл бұрын
Kange ndugu yangu acha kumkufuru Roho Mtakatifu kwa kujifanya hujui kweli.Angalia sana maana wajiwekea haki mbele za macho yako lakini Mungu huangalia mioyo ya watu.Yesu atabaki kuwa Yesu tuu na hafananishwi na chochote juu, chini na hata baharini.Stop father , be careful with what you believe!
@mathewnguyaki
@mathewnguyaki 4 жыл бұрын
Speaker Ndugai unakosea Sana , lakin huwezi kuona Wala wabunge wa ccm kwasababu MUNGU AMEKUPA UPOFU ILI UANGAMIE.
@timothcosta7120
@timothcosta7120 4 жыл бұрын
Amen
@rashidsleman5545
@rashidsleman5545 4 жыл бұрын
Kenge huyo mtazameni sana
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Kwani hakulewa kweli mpaka akavunjika mguu Esther! Plse, be sincere!
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
Ulikuepo ?
@sankeyjames6065
@sankeyjames6065 4 жыл бұрын
We toka hapo mwizi unawambia nn watanzania?
@mtolomi
@mtolomi 4 жыл бұрын
Naona watu washashtukia game, msifie bwana mkubwa utoboe. Hata mafisadi wanataka kutumia uchochoro huoo. Lakini swala la kufananisha binadamu na YESU daah, hii imezidi khaaaaa
@zuberimasoud4839
@zuberimasoud4839 4 жыл бұрын
nashukuru mh spka
@saidashaban3469
@saidashaban3469 4 жыл бұрын
Ungekuwa unaakili usingesaini wizi na hata hivyo nikwakuwa mnabebana Ila ilitakiwa uwe gerezan
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 4 жыл бұрын
Tushamsaau lugola aliyofanyia sirikali, we mbn n mwizi mkubwa wa serikali atuongei
@hashimumkunda6501
@hashimumkunda6501 4 жыл бұрын
Nyie baadhi ya wabunge wa CCM ambao mmevaa barakoa inamaana munapingana na rais wenu?. Kumbe nyinyi ndo wasaliti kwa rais wenu
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Asante Mhe.Spika kwa Majibu mazuri🤣🤣🤣🤣
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 4 жыл бұрын
jaman
@hurumamboya3072
@hurumamboya3072 4 жыл бұрын
Nchi hii vichaa ni wengi kuliko wenye akili timamu Ukamfananishe YESU na Raisi wa nchi mmmmmmh umechemka sana mzee wangu tubu kabisa unaweza kusababasha mapingo kwako na kwanchi kama viongozi wako watalifumbia macho hilo tubu na MUNGU atakusamehe
@adammjomba1554
@adammjomba1554 4 жыл бұрын
Amakweli waswahili walisema NYANI HALIONI KUNDULE Hivi kangilugola ni wakumtukana mbowe. Visa vingapi kangi lugola kavifanya amepokea Rushwa ametumbuliwa Anecheza dansa mbele ya maaskari Wake anaowaongoza Nani alimtukana Kangilugola , lakini Leo hii amejisahau ,kanakwamba haujafanya lolote kweli kabgiluloga ni NYANI ASIEONA KUNDULE ,
@alfredakabakama2010
@alfredakabakama2010 4 жыл бұрын
Kasifu unavyopenda lkn kulinganisha binadamu na Bwana wetu Yesu Kristo hapo umeenda mbali na kupitiliza
@alialibablly7010
@alialibablly7010 4 жыл бұрын
Makufuli kanivua uwaziri nani Kama Makufuli
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥👍👍👍👍
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 4 жыл бұрын
Mama kalale unajipya kweli japo unauma baambieeeee
@bebebebe5677
@bebebebe5677 4 жыл бұрын
Mm nashindwa kuelew wabung wa chadema wakitaka kuongea wanaambiwa mda mdogo lkn mbon wabung wa chama tawala wanaongea bila pingamiz waseng nyie
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Matusi si tija wala ustaarabu.
@jorataellolo2340
@jorataellolo2340 4 жыл бұрын
Akuna marefu yasiyokuwa na nncha and akuna mwanasiasa ambaye atafika mbinguni. No one
@adammwita3150
@adammwita3150 4 жыл бұрын
👍🙌
@msafirishangali8930
@msafirishangali8930 4 жыл бұрын
Natamani kuona unachambua na kujadili bajeti.
@emanuelswai6552
@emanuelswai6552 4 жыл бұрын
Mwenzio alilewa akavunjika mguu lakin ww ulisaini uwizi ukiwa na akili timamu
@awadhhamza9296
@awadhhamza9296 4 жыл бұрын
Ahahahaaa
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
#$#$$$$$$#$$$$$
@lidyamathayo8343
@lidyamathayo8343 4 жыл бұрын
Hata u huchunguzi wa awali was GEORGE FYLOD yalionshea kuwa George alikufa kwa Corona ,ndo awe Mbowe
@idifoncesanga1817
@idifoncesanga1817 4 жыл бұрын
Wembe ni ule ule ulio wanyoa kipind kile utaendelea tu kuwanyoa 🤣🤣🤣
@neemafanuel4583
@neemafanuel4583 4 жыл бұрын
Sasa huyu ndie alikuwa waziri wa mambo ya ndani!! Mh Magufuli alimulika akabaini alikosea sasa unampamba sana hd kufananishwa na Mungu!! Mnakosea bwana
@sarahkimboi2161
@sarahkimboi2161 4 жыл бұрын
Usivuke mipaka basi,YESU NI MUNGU, na alinganishwi na chochote.
@isangojambau1067
@isangojambau1067 4 жыл бұрын
Haufanani na unayoongea ni Bora ukaae wengine watoe michango yenyefaida kwanini unataja aliofanya vizuri magufuli taja yako mazuri uliowafanyia wananchi wa Tanzania...nani kama magufuli
@issamohamed9482
@issamohamed9482 4 жыл бұрын
Mbowe kuichafua serekali haiudhi Ila kusema ukweli kwamba mboe mlevi Hilo linauma sio ??
@jacksonolotu9318
@jacksonolotu9318 4 жыл бұрын
Hali ni mbaya hela hakuna una sh ngap kwenye akaunti yako
@letshikuku39
@letshikuku39 4 жыл бұрын
@@jacksonolotu9318 wewe kwani una sh ngapi. Mm nina laki 8 tu kwenye Tigo pesa. Kama hali ngumu ndio watu walewe kisha waseme wamevunjwa miguu. Waipake matope Tanzania. Haya mwenzangu una ngapi 😂😂😂😂
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
@@jacksonolotu9318 ulitaka selikari ukupatie hadi pesa??!!.
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
MTU akilewa anaimarisha uchumi kwa kulipa kodi, yule aliepiga dili ya idara ya zimamoto pesa zile za serikali, nyingi tu. Anajaribu kufunika.
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
Ulevi wa Mbowe ni binafsi, anatumia pesa yake, zile pesa za Zimamoto ni za serikali, nani pumbavu kati ya hawa 2?
@majimotomalole9812
@majimotomalole9812 4 жыл бұрын
Huna jipya mwibara kuna lami au changarawe ? Hivi kile chuo cha ufundi (veta)-kibara kilishia wapi au ndo ulishindwa kukitoa kwenye mikono ya kanisa
@majimotomalole9812
@majimotomalole9812 4 жыл бұрын
Hizo hadithi muda unakaribia ujazo mule wajukuu....😁😁😁😁😁mwibara kuna maendeleo gani
@christianappiahnkoah9607
@christianappiahnkoah9607 4 жыл бұрын
Together
@maryammohammad1148
@maryammohammad1148 4 жыл бұрын
Wewe acha maneno yako yesu hafananichwi na binadam yoyote yule
@a_melly
@a_melly 2 жыл бұрын
Kwani hii bunge ni ya kujadili watu binafsi na kufanya kampeini za majivuno.
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 4 жыл бұрын
Huyu ni spika kweli anaongoza bunge
@jacksonolotu9318
@jacksonolotu9318 4 жыл бұрын
Una sh ngap kwenye akaunti dada ? Hali sio hali kaeni kimya wapendwa
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 4 жыл бұрын
Mbona kitwanga alilewa akatumbuliwa kunamtu ali wapigia kelele
@rehemakisalambi9901
@rehemakisalambi9901 4 жыл бұрын
Hakusema kama amevamiwa kama alivyotaka kiki mbowe
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 4 жыл бұрын
Sema yaliofanyika jimboni kwako nasiokutoa sifa zilizopitiliza kiwango,,,
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 жыл бұрын
Kwani kitwanga alisema amevamiwa?shida inapokuja ni pale mlipompamba kwa kusema amevamiwa na kuvunjwa mguu kumbe alilewa!
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 4 жыл бұрын
Mh rais yuko vizuri maana anatumbua na majizi
@Juls7ur
@Juls7ur 4 жыл бұрын
sifia mpaka mwisho wa dunia bado wewe kangi ni jizi la ku temwa. acha kujisafisha kwa kutowa misifa. aibu kwa wewe kukosoa wengine.
@dianakimaro8269
@dianakimaro8269 4 жыл бұрын
Mwenye macho ambiwi tizama
@jawabuaminababakiria7119
@jawabuaminababakiria7119 4 жыл бұрын
yani kumsifia mtu sio mbaya ila ukizidi Mungu anachukia sana sasa wewe hata ubunge utakosa maana umemkosea Mungu kumpa sifa za Bwana wa majesh
@braysonmajani8129
@braysonmajani8129 4 жыл бұрын
Duh kweli kukosa akili Yani unamsema mbowe kavunjika mguu coz kalewa . Wewe ulisaini ujinga ukiwa naakili timamu .. Rais wangu nampenda sana lakini wewe . Hamnazo Apo mkichwa
@aishamrsmkunga2143
@aishamrsmkunga2143 4 жыл бұрын
Nyani aoni kundule
@geofreymsengi9971
@geofreymsengi9971 4 жыл бұрын
Chiz ww unaweza mfananisha binadamu na YESU kumbe hazikutoshi
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
Ndo maana alitumbuliwa, sasa nimemuelewa Magufuli, wenye akili ya kumfananisha mwanadamu na Bwana Yesu, alistahili kutumbuliwa.
@manjalethedon9925
@manjalethedon9925 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kazi ipo chako ni chako ni wapi hapo brother kangi umetisha sana
@delphinuskanyawela3818
@delphinuskanyawela3818 4 жыл бұрын
Spika kweli unatumika vibaya
@masanjamasunga6667
@masanjamasunga6667 4 жыл бұрын
Fisadmkubwa wew
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 жыл бұрын
Faru john kamtia aibu mbowe.mpaka anasema amevamiwa.
@solomonmwisala3197
@solomonmwisala3197 4 жыл бұрын
Hivi huyu bado yupo mwizi aludishe pesa yetu nashanga bado yupo poleni
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
Zile pesa za mkataba wa majengo ya zimamoto tukale.
@emmanuelamnaay3850
@emmanuelamnaay3850 4 жыл бұрын
Ungea tu lakini bunge lijalo hurudi.
@zuberimasoud4839
@zuberimasoud4839 4 жыл бұрын
hahahaha lema anatia uruma hana chakusema hasa akikumbuka kwamba kiongoz wake ni fala mlev asie jitambua 😀😀😀😀😀😀😀😀
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 4 жыл бұрын
ndugai umefeli kuliongozabunge
@brunomatalu6232
@brunomatalu6232 4 жыл бұрын
Kwa kuwa rais magufuli amechapa kazi nzuri sana minaona kuwe na tume huru ya uchaguzi, kwakuwa iliyopo inaonekana sio tume huru.
@chumilamanyama5078
@chumilamanyama5078 4 жыл бұрын
Huyu lugola naona anautani na yesu amekweli wajita wanashida ya matatizo hata kama mtu hajuwi kuandika utamkuta ana kalamu
@barakamwansasu6560
@barakamwansasu6560 4 жыл бұрын
Heshima ipi ya bunge hili? Bunge limekuwa Kama kijiwe cha wahuni. Huyu mzee sio kabisa
@alialibablly7010
@alialibablly7010 4 жыл бұрын
Kwani hamna uwezo upinzani mkasusia bunge Kama bunge halifuati kanuni
@lilymandari9872
@lilymandari9872 4 жыл бұрын
Ivi issue ya kulewa bd inazungumzuziwa sijui mbowe ndio wa kwanza kulewa !!!! Khaaaa
@dozertiger9352
@dozertiger9352 4 жыл бұрын
Ulitumbuliwa umekwishasahau???😂😂😂
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 4 жыл бұрын
Mtazania ana kaakwenyemaji siku 3 kisa pesa tu amsemi mna sifia tu
@gracesakila4395
@gracesakila4395 4 жыл бұрын
Matahira mengi sana nchi hiii eti ametupa kwani fedha ni ??zake
@eddiekajuna9160
@eddiekajuna9160 3 жыл бұрын
Magufuli katenda ila maneno ya Kangi yanaudhi na kudhihaki ukristu
@masanjamasunga6667
@masanjamasunga6667 4 жыл бұрын
Wee mwenyewe ulitumbuliwa
@davidchande
@davidchande 4 жыл бұрын
bwana yesu hafananishwi na mtu yeyote duniani koma
@juliananguma8981
@juliananguma8981 4 жыл бұрын
Mungu wa Israel tunaomba utusaidie kulinda utaifa wetu
@bonifacedaud8985
@bonifacedaud8985 4 жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Yesu
@paulinasteven6902
@paulinasteven6902 4 жыл бұрын
Ukweli anao mungu peke yake
@elianko8575
@elianko8575 4 жыл бұрын
Unakosea weww
@michaelmagoma546
@michaelmagoma546 4 жыл бұрын
Wewe ni Jizi tuu unatafuta huruma ya kupita kwenye kura za maoni Mamaee
@braysonmajani8129
@braysonmajani8129 4 жыл бұрын
Huna akili wewe we mwenyewe Usha nyolewa .
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
Stand for justice even when you have to be against yourself
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 4 жыл бұрын
Watanzania wepi?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Wewe nawe urudishe zile fedha za wananchi,,,,,!!!
@hassanmagwe4977
@hassanmagwe4977 4 жыл бұрын
mmmmmh!! Hili ndio bunge la kusifiana tu mwenzako alitumbuliwa akasifu akarudishwa na ww pambana mwizi ww
@bhelekiabhelekia6031
@bhelekiabhelekia6031 4 жыл бұрын
Tena ndo mnaongoza kwa mauaji
@alihusein1883
@alihusein1883 4 жыл бұрын
Mh spika kumbuka kunakufufuliwa angaliya haki
@jumakibanga2140
@jumakibanga2140 4 жыл бұрын
Kama mm ndiyo magufuli watu kama hawa nitakaa nao mbali maana hii ni kejeli siyo kusifu huku!
@MustafaAli-bs6mb
@MustafaAli-bs6mb 4 жыл бұрын
Jamani mbona tunasifu kupita kiasi magufuli ni binadamu yesu ni mtume wa mungu pia ni kufulu
@dani72130
@dani72130 4 жыл бұрын
Wakikosa ya kusema wanaanza kufuru.
@eliaallen7990
@eliaallen7990 4 жыл бұрын
Kama mbowe asingewanyima usingizi mngeongelea nini bunge la bajet mjadala umehamia kwa mbowe watakao wapigia kura wapo kwel maisoma wanafikiiiiiiii
@happymwanguo2521
@happymwanguo2521 4 жыл бұрын
Hovyoooo
@bakarimkoko4584
@bakarimkoko4584 4 жыл бұрын
Hakuna Kama baba wa TAIFA Magufuri
@geofreysinkala6239
@geofreysinkala6239 4 жыл бұрын
Acha kumfananisha magufuli na yesu
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 3 жыл бұрын
Hana jipya ila kujipendekeza
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
halafu ana watt huyu na wanamwita baba
@nassorondege4098
@nassorondege4098 4 жыл бұрын
Anatafuta huruma kwenye kura za maoni?
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 4 жыл бұрын
Lugola hurudi bungeni mwibala anachukua sipiliani msiba ww mpigaji tu huna chako kwenye kura za maoni uchaguzi ujao kenge ww unampa raisi sifa ambazo si zake hadi amekustukia mamlumu sana ndugai mtu anaongea utumbo kama huo unamsikiliza tu shame on you ngugai
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 4 жыл бұрын
Acheni maneno yenu ayo uyo n mwanaume kama mwanaume lzm awe ivo
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Sio kweli kwamba ukiwa mwanaume ndo unasimamia kila kitu, tunao mitaani sn lkn hawako hvyo.
@itazowanzagi5721
@itazowanzagi5721 4 жыл бұрын
Ettty wakiokuwa wanaiba rasilimali za taifa hahhhhhha kangiiiiiiii
@felixjunior4772
@felixjunior4772 4 жыл бұрын
Huyu huwa ni mnafiki saaana
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 жыл бұрын
Huna akili wewe,Magufuli sio mjinga kama wewe,acha kujipendekeza safari hii bunge utaangalizia kwenye tv
@allymasanilo1961
@allymasanilo1961 4 жыл бұрын
faru john
@elishamwaya4074
@elishamwaya4074 4 жыл бұрын
Mapambio ya ccm oyeeeèe
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 756 М.
Biden Drops Out of Election: A Look Back at 50-Year Career | WSJ
8:30
The Wall Street Journal
Рет қаралды 641 М.
The Day Ronaldinho Became a Barcelona Legend
15:14
BR7 Football
Рет қаралды 3,5 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
iLance7i
Рет қаралды 42 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН