Shahbal is the man and very humble. Hawa wengine porojo.
@mohamedsaleem80683 жыл бұрын
Ali Mbogo all the way tuko pamoja...👏
@alfanm.82213 жыл бұрын
Hapo sasa ali mbogo🔥🔥
@aliamirbakar55803 жыл бұрын
Mbongo ndugiangu hakuna mahali utaenda mbele ya hawa miti we huna mpango we Ali mbogo urongo mwingi na bwana Hassan Karanga we pia taaaban kibiri ndio chako na kujigamba no way for u Mr Hassan karai
@westboyz67293 жыл бұрын
Weuh abaki tu mp acha suleiman achukue ugava
@saidibaya53273 жыл бұрын
Wajichokesha Aliie mbogo hauna kitu unafanya
@ramadhanabdallah2533 жыл бұрын
Seneta for abdulnasir na ugavana tunampa shahbal,mbogo potelea mwituni kajipange huko
@sohrabtajadin34023 жыл бұрын
Kwanza wasafishe mavi mitaani.
@aliboss27363 жыл бұрын
Ssa Sarai ww wamuongelea joho wakati ata asimami tena haha kweli ww ni Sinia badala ya sarai
@aminatsumamakanga79083 жыл бұрын
Mimi ni ngetaka mtangaze junnet hafai kuitwa muislamu anaita watu ubwa na haifai mja kuita mwenzake hayawani na waislamu museme msinyamaze mtaenda ulizwa kesho kiyama mbonamlinyamaza?huyu mja mwenzetu ana haribu imani yauislamu;lulu Hassan ww ni muislamu amke usimame useme na ukataze waja kuitana wanyama tetea nafsi yako uko nanafasi yakujulisha waja
@johnmusyoka37463 жыл бұрын
All juu
@jamalkhedira23983 жыл бұрын
They are not serious..Jicho pevu would be a serious candidate