Alie muona shekhe Nurdin ana mchekea shekhe Ramadhan kwaraha anayoipata nani?wallah mtoto anatia raha uyu Mashaallah mashaallah ❤❤
@alhajjbashir5213 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah
@fatimamzigua83333 жыл бұрын
Mashalah walah 😘
@bebedi36033 жыл бұрын
Mashaallah
@zainabyussuf7383 жыл бұрын
Yaani mi nampenda hadi natamani nimuibe...hahahaa....huchoki kumskiliza wallah
@yasodishonest97923 жыл бұрын
@@zainabyussuf738 usimuibe utafungwa. tufanye dua2 mungu atupe watoto wema .maana watoto miaka hii mtiani madishi matupu😁
@alee42523 жыл бұрын
Mashallah huyo mtoto ni pacha wa kishk, mungu amuepushie na balaa pamoja na husda na allah amuhafidhi ameen.
@leonardofaruk10774 ай бұрын
Ameen
@laylasaid92203 жыл бұрын
MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla 💞♥️💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖❤️🧡💛💚💙💜💚MWENYZI MUNGU Amuhifidhi kwa kila hatua na ampe Afiya njema daima 💚💫💌
MaashaaAllah 🤲Yaa Rabbal-aalamiin mjaalie mtomto huyu ajekua sheikh mkubwa mwenye manufaa ktk jamii ya kiisilamu duniani na Aakhera wallah machozi yananilenga baada yakumsikia mtoto huyu Allah Amuhifadh kwa kilalenyekheri duniani na Aakhera ALLAHUMMA AAMIIN 🙏
@rahmaawadh45273 жыл бұрын
Amin Yarabi
@halimakhamisi87743 жыл бұрын
Mashaallaah. Tabaraka llaaah
@halima25493 жыл бұрын
MashaAllah nampenda huyu mtoto kwa ajili ya Allah..
@masoudhemed86153 жыл бұрын
Masha Allah
@subirarajabu5623 жыл бұрын
Mashaallah
@ngoteupinde17993 жыл бұрын
shekhe uyoumuwezi kiboko yako
@soiniyamohamed27852 жыл бұрын
@@masoudhemed8615 ppapPsz mm é
@charifnasser82662 жыл бұрын
Machallah nampenda huwo mtoto ata kubali kuja komoro kwa adjili ya danwa?
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
Masha Allah tabarakaallah Juzi nilioneshwa Na mudir Wangu hapa Oman aliniuliza anatokea wapi nilijiskia Raha nimejibu haraka akabaki ooh . Masha Allah. kaenda kuluonesha mamake kumbe hikikitoto Ni cha Kiswahili..! Allah amhifadhi Kwa Rehema zake🙏
@ivaniavianarodrigo72013 жыл бұрын
safi sana
@khadijaomari93443 жыл бұрын
amin
@yahyemohamed83093 жыл бұрын
MA sha Allah Tabaraka wataala
@saidomar68063 жыл бұрын
Hakika mashaallaah Tabarakaallah, Mola amjalie mtoto huyu azidi kuwa mwenye kufata njia alizorizia Allah na mtume Muhammad(S. a. w)
@najaatalbusaidi30873 жыл бұрын
Humtum
@mohammedmaulana52893 жыл бұрын
Mtoto Masha Allah anamuongozo wakipaji kizuri Allah amtilie Tawfiq,ila ajitahidi sana zaidi ya sana kujua kusoma Quran kitajwid kila herufu aipe haki yake ndio italeta maana zaidi,Allah atupe Muongozo Ameen.
@zulbbylukina58333 жыл бұрын
MashaAllah mwenyezi mungu amzidishie zaidi 😍 Nampenda sana huyu mtoto ananipa moyo sana InshaAllah na mimi nkijaaliwa mtoto awe kama Ramadhan Mubarak InshaAllah
@mwanahawaomarimashaka1973 жыл бұрын
Amiin
@dokasalim9433 жыл бұрын
Ameen thuma ameen dadangu 🤲🤲🤲✔️
@abeidngema94883 жыл бұрын
Hahtaji dua yke shekh Ramadhani aniombee jpo yko mbali
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Ameen
@himidali37033 жыл бұрын
Mashallah I wish I could marry you
@swaumumohammed57103 жыл бұрын
Shekhe wetu msomeshe uyo mtoto uwezo uwo unao au mchukue msimamie waislam wenzie tupo toa nambayasim tushilikiane inshaAllah
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Niukweli kabisa
@durakijumbe87563 жыл бұрын
Tàtizo inasemekana baba yake mtoto ni mbishi sana.
@skekifuhamisi67253 жыл бұрын
Allah amlinde huyo mtoto amueposhe na hasadi
@SurprisedHot-AirBalloons-uo3nu4 ай бұрын
MashaAllah taabarakallah
@SurprisedHot-AirBalloons-uo3nu4 ай бұрын
Allah akuifathi mwanangu
@bellynizigiyimana2603 жыл бұрын
Kutika Burundi tunamba mtuazime uyu mtoto ili aje kutupa daawah. Sheikh Ramadhan Allah akuongize akupe umri mrefu na akulinde na husda. Masha Allah
@nassibumsodoki45893 жыл бұрын
Mashallaah tabaaraqa llaah
@helenamusa4323 жыл бұрын
Masha Allah
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahumma Aammeen
@osamaalharthy41503 жыл бұрын
Mashallah
@isaamzungu7113 жыл бұрын
@@osamaalharthy4150 Asalam alaikum tunakuja burundi mwezi wasita
@Official836403 жыл бұрын
Maashallah hd machozi yamenitoka kwa raha anazozitoa huyo mtoto Allah azidi kumpa kipaji Inshaallah Shekhe mchukue huyu mtoto umlee Allah atakulipa kumbe yupo hapo tu Kiluvya jaman sio mbali sana
@AmisOmary Жыл бұрын
Mashaallah vzr
@user-fp1zk2zp2z2 ай бұрын
Mashaallah allah akujaz na elimu ndg yng daw yk nzr san
@hasanrashid12443 жыл бұрын
Allah tunakuomba muongoze mtoto huyu .asibadilike .na kua muovu .mjaalie aendelee iviivi .kaz anayofanya ni nzuli sana walai ..mjaalie akulie katika dini na afaliki akiwa katika kulingania dini yako
@muhamedsaid41773 жыл бұрын
Maashaa allha tabaraka llhah
@rahmaawadh45273 жыл бұрын
Amin
@leonardofaruk10774 ай бұрын
Ameen
@hajjmohd36023 жыл бұрын
Maasha Allah, kwa mtazamo wang huyu mtot anaskiliza sana mawaidhwa ya sheikh OTHMAN MAALIM nivyema angalimchkuwa na kumfndsha elim ya din
@zeitunkassim93523 жыл бұрын
Mashallah😘Tabaraqallah😘luck words to say😭😭😭...may😘😘😘 Allah guide this little boy (swiratul mustaqiim)In Sha Allah🙏
@rabiawaziri25252 жыл бұрын
Mashallah😘😘🤲🤲🤲
@chikuadinanisaidi Жыл бұрын
Marshall's tabataqallal
@khadijanasur1598 Жыл бұрын
Masha Allah may Allah protect this young boy my tears cant stop while watching this hadith.😢😢. I love❤
Naam shehk tunataan hata watot wetu wawe hivyo jaazaakaallah
@abdihakimadan42793 жыл бұрын
Mansha Allah
@shreffaahmed53 жыл бұрын
@@abdihakimadan4279 mashallah allah azidi kukupa kiaj
@abdulazizabdallah62973 жыл бұрын
Kwel watoto hawa c rahisi upate sai
@mariamhamisi5983 жыл бұрын
Mashaallah mtoto huyu allah tunamuomba amzidishie elimu yake na Allah ampe umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia mtoto huyu nimependa San kwa kipaji chake nataman agekuwa wa kwangu mtoto Ramadhan mzazi wa huyu mtoto mungu amuongeze kumfundisha: amin
@user-jw7dv8wp2w3 жыл бұрын
Mashallah.
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Mashaallah
@mobeshtahmayah45233 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah
@halimaramadhan29753 жыл бұрын
Amiin yaa Rabb
@allyjumaallyjuma6923 жыл бұрын
آمییییین
@asiakimolo56163 жыл бұрын
Masha Allah, shekhe unavomuona kwa jicho la furaha Masha Allah mwanangu Allah akuongeze kipaji chako
@kaysemadadaal59383 жыл бұрын
masha Allah may Allah bless with anyone who take part the knowledge of this young shiekh....God bless you all both teachers and parents.masha Allah kwelii
@jumahamis2273 жыл бұрын
Mashallah Mungu amuongoze, vitu vyote anatoa kichwani, bahati iliyoje kuwa na mtoto wa namna hii.
Mashallah mtoto mzur hakika Allah amekuleta kwa sababu Allah akujaalie kila lenye kheri inshaallah
@abdulwaxdcade50443 жыл бұрын
M.a
@tumajunior60803 жыл бұрын
Mashaallah Allah awalinde nyote wawili kwa kila la shari awafunike na malaika wake wema na sisi miongoni mwetu tupate watoto kama huyu ameen 🤲🤲🤲
@majaliwafadhil3983 жыл бұрын
Allahumma amiin🤲🤲🤲
@zulbbylukina58333 жыл бұрын
Allah akulinde mbali na hasad na vijicho InshaAllah Amiin
@nooroman25353 жыл бұрын
Mungu hamjarie mtoto na wazazi wake hazidi kutoa dawa
@khadijaali36883 жыл бұрын
Ameen
@tareqhilal67503 жыл бұрын
امين
@zuhurazuh5163 жыл бұрын
Maashaallah Yaan Hadi nasisimkwa na Mwili Maashaallah Yaan katoto kadogo Maashaallah Sichoki kumsikiliza mm huyu mtoto Anaongea Vzur yaan kiarabu Fasaha Kama Washashi Maashaallah
@zuwinaalamri38343 жыл бұрын
Yani Adi unatamani Ukaibe Wallah natamani kawe Kanangu😍💕 Ilove Mtoto wangu Mie niko na Binti wa Miaka 12 Nataka uje kuwa Mkwe wangu😂😂 Wallah
@matanochimwemwe69683 жыл бұрын
🤲
@othmanali74083 жыл бұрын
mashaAllah Allah akuongoze mwanangu ktk haqi .amin
@mkituissa23873 жыл бұрын
Maashaallh Allah anyie wepesi wa kila jmbo
@husseinissa27393 жыл бұрын
Allah akongezeye ilimu🤲🤲🙏
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah machozi yananimwaika ila ni ya furaha namuomba allah amfungulie zaidi elimu na atuhifadhi na hasad na awajaliye watoto wetu wote tumtizamani mtoto wetu huyu hata misaada ili aendelee zaidi inshaallah
@eastafrica68583 жыл бұрын
Kweli
@tvdawuurobarawe78463 жыл бұрын
Alhamdulilah mungu akutilie kheiri na baraka katika daawa yako mtoto Ramadan akuzidishie ilimu ameen
@sheikhnambilili42693 жыл бұрын
Asalam Aleykum sheikhe kishki waja wa Allah awo anaitaj khelim kabisa ndugu uyo ili 2pate faida wangap wanasema asaidie na #shekh_kishik. Weka #like na #comments Kama umesoma #comment hii BAADA YA APO NASI KAMA WAZAZI AU WAZAZI WATALAJIWA TUJIFUNZE KUPIA MZAZI WA MTOTO UYO TUNAYO NJIA YA KUONA UMUIMU WA KUWASIMAMIA WATOTO #napo #like na #comment. Kwa #umoja #kabisa
@emmy85sweetie993 жыл бұрын
Shekh kishiki kama baba yake ataridhi tafadhal mchukue umuweke katika familia yako na inshaalah Allah atakulipa kheri kwa kumuendeleza mtoto huyo
@fhnchjk51953 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah ❤️ Allah amuhifadhi
@zuhurajuma58393 жыл бұрын
Amchukue sheikh ampatie elmu Allah atamlipa kwa hilo
@mishibomba.inaallahmaseabi82353 жыл бұрын
Mashaallah 🙏🙏🙏 Allah amzidishiee 🙏🙏🌙
@leylayusuf4353 жыл бұрын
Waminshari hassid idha hassad yani kila nimuonapo huyu mtoto humuombea hadi wazazi wake wazidishe juudi juu yake hua nasikia raha sana nakutamani aww mwanangu ila Allah awajalie nawetu wawe kama huyu In shaa Allah Amin
@othmanali74083 жыл бұрын
amin amin amin
@aishamumy65043 жыл бұрын
Maasha Allah tabaaraqarahman... Wallah machozi yanitoka kwa furaha.. Allah azidi kumuongoza na akikuze kipaji chake na amuepushe na husdaa awe mfano mwema kwa watoto wengine in sha Allah.... Jazaakumu Allahu khairan... 🙏
@ashakasiki15402 жыл бұрын
Maashaallaah!... Allah amzdishie Ilmu na Wepes huyu mtoto Maashaallaah ; Allah amuhifadh na amjaalie mwsho Mwema Pamoj na Shekh Kishk jaman Nmefurah Saana kuwaona #Aamin
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Mash Allah tabarakallah mtoto ramadhani tunakuombea umri mrefu Ili uje kulingania watu ktk Mambo ya kheri
@naheemjaffar45813 жыл бұрын
MY GOD!!!! I LOVE THIS KID......MORE AND MORE LIFE!
@ashaomary5558 Жыл бұрын
Mashaallsh 😘💓
@shabanisaid23103 жыл бұрын
Mashaallah natamani ningefikia hata hapo alipo fikia mtoto huyu Ila ndio hivyo tatizo Mimi nimzito kwenye kuifazi yarbi nijalie mjawako niweze kufika huku 🤲🤲
@fauzimohamed57573 жыл бұрын
Kama nia unayo basi amini utaweza tu
@zaharamsafiri8253 жыл бұрын
Kwa uwezo wa M.Mungu ukiwa na nia Allah s.w anakufanyia wepesi Kwan yy Allah s.w humuongoza na humuongoa mwenye kutaka kuongoka na kuongozwa inshaAllah tunamuomba Allah s.w atuwezeshe
@halimaabdillah68973 жыл бұрын
Macha Allah Macha Allah Yarrabbi protège cet enfant et tous les enfants du monde entier inchallah guide nous tous inchallah
@fatmata99163 жыл бұрын
Mashallah allah yongeze iman mtoto wet inshallah😘🇧🇮🇴🇲
@wahidaswaibu68213 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullh wabarakatu ndugu yangu Katika Iman au shekhe wangu kwanza tu mshukuru Allah (s. w) kwa kutufikisha salama tukiwa na afya na kusikilizana Tena tuseme alhamdulillah mimi nampenda kusema huyo MTOTO anakipaji nakuomba mumsaidie ili aje awe taifa LA badae hapa Dunia na Allah atamlipa malipo yake huko akhera wabillataufiq
@nasraiddy32523 жыл бұрын
Mashallah Allah amlinde na amuongoze kijana huyu katika kheri yakuijuia dini yake kwa ukubwaa ...tunakuomba sheikhe wetu kishik umchukue huyu kijana na amini hushindwii kabisaa katika hilo ....aallah amlipe malipo mema mwalimu wake wamdrasa pamoja na wazazi wake ameen
@happynesskimt62493 жыл бұрын
Mashaallah inapendeza, shekhe kishki tafadhali kuwa bega kwa bega na mzazi Wa huyo mtoto mumsimamie ktk kipaji alicho nacho,.
@asyaasya37663 жыл бұрын
Ma shaa Allah tabaraka'Allah ma sheikh wetu sheikh mkubwa na sheikh mtoto nime enjoy kuwaona, Allah awape umri mrefu
@mozasaid38693 жыл бұрын
Mashaallah, Tabaraka Rahmaan, Allah amuongoze mtoto huyu! Mpaka machozi yamenitoka!
@leilahsaidina99203 жыл бұрын
Menywew yananitokaa
@sashasaah5263 жыл бұрын
Man shaa Allah !may Allah bless you all.love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
MashAllah 😍 👌may Allah bless and guide him... Ameen 🤲
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
ما شاءالله تبارك الله Alf alf mabrook Baba wa mtt huyu ni zawad kubwa kitoka kwa Allaah Allah amhifadh yarab na amzidishie kipaj amjaalie ahifadh Qur'an yaarab yakarib yamannan ya dhaljalal wal'ikram😙 Ammin ammin ammin
@leonardofaruk10774 ай бұрын
Ameen
@faizanassor63363 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukupa daraja kubwa mwangu Allah akulinde na hasada zote inshaallah
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin Amiin yaa Rabb
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Amiin
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Jana nilipokua namskiza nikajisemea mbona kishik asimuite mashallah
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@saidabdala49803 жыл бұрын
Amin
@rahmaally51283 жыл бұрын
Masha Allaaaah huyu kijana yuanahamasisha yianaliza kwa furah , Allah azid mjaza kheri na barka na life ndefu na ilmu kubwa atakay ieneza kwa watu
@ashallytv10903 жыл бұрын
Mashaa Allah wallah natokwa na Machozi jili ya huyu mtoto kipaji hico ni barka kubwa kutoka kwa Allah
@sakinat25273 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah. Kila nnapo msikiza huyu mtoto Wallah nahisi raha, Allah amlinde na amkinge na hasad na Shari za watu na majini Amiin
@aishakinia49573 жыл бұрын
Amiiin thumma Amiiin
@sakinat25273 жыл бұрын
@@aishakinia4957 Allahumma Amiin
@asiahussenn5763 жыл бұрын
😊hichi kitoto kinasauti mzuri mashallah halafu kama sio kibongo kinatamka r na l vizuri sana 😍
@bahiyaseleman58383 жыл бұрын
Saana saana allah amjaze hekma
@majaliwafadhil3983 жыл бұрын
Tena anazijua kwa ufasaha R na L kuliko wakubwa
@nasratanzania22373 жыл бұрын
MashaAllah mungu azidi kukuongoza Wallahi adi machozi yananitoka 😭 kwa furaha jmn mungu akulinde
@aminaabdiabdi71123 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah subhannallah 😭 Allah amzidishie elim amkinge na hasad waislam wafaidike na elim ya Allah Inshaallah
@khadejarajab80073 жыл бұрын
Mashaallah kipenz cha watu natamani mtoto hata uwe karibu na mtot wangu mashaallah kishk hapo raha tupu
@emmy85sweetie993 жыл бұрын
Maashalah Allah akulipe mwanangu kwa helimu hiyo nasi atuongozee watoto wetu wasimame katika dini.
@senetamtangazaji29013 жыл бұрын
Kwa kitendo cha kuwa hajafunga na Kusema ukweli kujijua kuwa umri wake bado nikipimo kikubwa kuwa huyu Kijana Nimkweli wala hafanyi maigizo. Allah amuhifadhi Huyu Kijana na atuongoze nasi nafamilia zetu.
@bijumafundi17373 жыл бұрын
Mashallah!! mashallah!! mashallah👌 Allah azidi kumuongoza uyu mtoto na Allah atujaalie vizazi vilivyoongoka 🤲🤲
@user-fb3er2pi8r4 ай бұрын
Amiina inshallah
@sophiamusa44353 жыл бұрын
MASHALLAH SHEIKH WANGU KUHUSU KUKAA MBALI SI TATIZO SHEIKH KAMA UMEJITOLEA KUMSAIDIA BAS TUOMBE MUNGU AFANYE WEPES HATA KUKUBALIANA NA WAZEE WAKE UKA MUWEKA WW HAPO BODINGI YA KUR' AAN BAS INSHAALLAH ALLAH ATA TIA NGUVU KWA KUMPOKEA HUYO MTOTO KUA KARIBU NAWE NA KUMFUNDISHA YANAYO MPENDEZA ALLAH PLEASE NI MTIZAMO WANGU MM TU SJUI NA NYIE WENYEWE MNA SEMAJE MTOE HUKO KIBAMBA KUA NAE KARIBU UMFUNDISHE🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
Kabisa mtizamo wako nikama wakwangu🤝 Nami ninapendekeza hivyo huyu mtoto anaonekana anakipaji kikubwa na anaweza Leta manufaa makubwa ktk jamii ya kiisilamu duniani
@pandungozi10723 жыл бұрын
swadaktaah maneno yakomazima tena yana mashiko madhubuti kabisaa👍
@kassodasilva51983 жыл бұрын
Masha Allah mungu amuhifadhi na amlinde na amjaliye maisha marefu In Shaa Allah... 😇❤️❤️❤️❤️
@123ummAmina3 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaarakAllah, Allahumma baarik wa zid. All he needs is a proper Quran school, in shaa Allah he's gonna be a great Daai.
@jabirihalifaonlinetv45113 жыл бұрын
Mashaalah mtoto ana kipaji sana mungu amjalie maisha marefu👏👏👏👏
@abdulbogoyo12433 жыл бұрын
😪😪 WALLAH MTOTO KAONGEA MANENO MAZITTO HADI MWILI UNASISIMKA: TUNAMUOMBEA KWA ALLAH AMUEPUSHE NA HASAD: NA MWENYE KUSEMA AMIIN👏
@shairaseremani-zo4pq Жыл бұрын
My inshallah tabalak llah
@fuadaladawi1255 Жыл бұрын
Allah ibarik.mola azidi kumkuza mwana huyu kwa tarbiya islamiya
@mwanakombojuma90293 жыл бұрын
Inshallah alallah atamuongoza katika njia yenye kheri....amuepushie na shari zadunia🤲🤲❤
@binthamoudshariff54923 жыл бұрын
Mashaallah tabarak rahman Allah amjaalie afya amuhifadhi pamoja na wazee wake na sie m.mungu awaongoze wtt wetu in Sha Allah Alhamdulillah daima wabaada
@fatimafumo43003 жыл бұрын
Mashallah naskia faraja sana kumskiza huyu mtoto mwenyezmngu amuepushe na hassad waminsharil hasidin iza hassad 😘
@mohamedmwazewe21563 жыл бұрын
Kwauwezo wa Allah huyu mtoto hio tarehe 25 InshaAllah atakuwa mshindi kwamaana ako makini sana MashaAllah tabarakallah
@zainabomar91393 жыл бұрын
Mashallah allah amhifadh na amzidishie kipaji atujaalie nasi watto mfano wahuyu mwana inshaAllah
@saidemfalume89092 жыл бұрын
Masha allah masha allah. mungu amrinde. amjalie afya njema amzidishie eelimu kubwa ajekuwa kama shekhe nurdin kishki
@sabitinaeastafrica58223 жыл бұрын
May Allah give him good health and safety life Amreen
@maulidiisihaqa84463 жыл бұрын
Masha Allah ingekua vyema awepo jumaapili apewe hata nusu saa atuusie kidogo in sha allah
@zayanaduduna1405 Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH ALLAH AKUONGOZE KATIKA NJIA ILIONYOKA 🤲🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️
@happyjanicki28683 жыл бұрын
MashaAllah Tabarakallah, Allah awaepushe na kila lenye shari nanyi na awajaalie kila kenye kheri nanyi, awakinge na awaepushe na hasad, awapandishe daraja na atujaalie nasi vizazi vyema kama nyie venye neema na barka ndani yake na vitakavyo peleka gurudumu la dini yetu mbele Ameen Ameen yarabil alamin
@kassimmaabad15323 жыл бұрын
mashaAllah. Allah mhifadhi mja wako huyu na mzidishie elimu 🤲♥️
@rahmaawadh45273 жыл бұрын
Amin Yarabi
@zakiamsafiri123zakiamsafir73 жыл бұрын
MashaAllah namuona mbali Sana mtoto nzur ukuwe Ktk muongozo ulionao mpaka ukubwani
@zainabyussuf7383 жыл бұрын
I'm so proud of u mtt mzr Masha Allah....nampenda sana huyu mtt jamaan....Allah azid kumuongoza Aamin
@hussenimbwana325 Жыл бұрын
Shekhe yule mtoto mwenyekipaji aliekuombea dua 2021 yuko wapi nakuombea sana shekhe kishki kwakuupaza wiislam nakuwashika mkono pale unapoona vijana wanajikongoja nawoote wanaofikisha ujumbe wa mungu awafanyie wepesi
@gadaaluco61063 жыл бұрын
Masha Allah tabarakallah, may bless this little boy ameen ya Kareem
@adensir6303 жыл бұрын
Masha Allah tabaaraka Allah...sheikh kishik anafuraaahi Masha Allah...Ni raha Sana wallahi
@shuaibmohamed8343 жыл бұрын
baraka allah feek ya akhi ramadhan wa el sheikh keshk fi jm3km el mbark o zadnkm wi iyana mn fadhlh alhamdulilah ameen
@nadyahamisi47653 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka laa wallah namuomba Allah nami anijaalie nipate mtoto km hy
@nazirseifali64473 жыл бұрын
This boy is a Legend. MashaAllah MashaAllah
@Derevamkongwe68643 жыл бұрын
Mashallah, sheikh kishki tuletee huyo kijana kwenye mashindano ya quran in sha allah
@prettyh75093 жыл бұрын
Mashindano lini jaman
@zuchuu66593 жыл бұрын
@@prettyh7509 jumaa pil taree25
@shakifumsanga65913 жыл бұрын
@@prettyh7509 IH
@salimaabeid41203 жыл бұрын
Hapa namuona Shekhe Othuman maalim..Mashallah Allah akuhifadhi..
@mwaiphamkuruto63343 жыл бұрын
Allah Jalaali amlinde mtoto Ramadhan na husda za waja na akulinde na wewe Sheikh Kishki
@rahmaawadh45273 жыл бұрын
Amin Yarabi
@FatmaAliy-ld4dg4 ай бұрын
Amiin yarabal alamiin
@mzalendomzalendo25673 жыл бұрын
MashaAllah, Mie niko tayari kumsomesha huyo mtto naomba mawasiliano.
@ramadhanbarakaonlinetv6772 жыл бұрын
Shekh ramadhan baraka
@eugene3661 Жыл бұрын
Allah amzidishie elimu ya dini na daa'wa yake isambae kote na ikubalike na Allah na kila mtuu.Insh'allah
@abdallahsalem8499 Жыл бұрын
Yaret Sheikh ungemtafutiya hali ukamsimamiya na kumsomesha kwa mahad yako itakuwa bora na kama kuma msaada wowote utuarifu tuweze kumsaidiya awe karibu na mahad yako, shukran
@user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын
Mashaalh mungu amuhifadhi amlinde na azidi kumpa yote mazuri alie kuahahid
@user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын
Alhamdulilahi
@user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын
Amina yarabi😭
@firdowsali13272 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الرحمن حفظه الله من كل شر و سوء
@zabanikamalenjoe68363 жыл бұрын
Mashaaalah Mungu amhafidi mtoto Aliye na umuhimu wa Dini , Kwa umri wake mdogo
@AliMohamed-ht1uj3 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH amuzidishie n awafanye wazazi wake wakuwe ni Watu wa PEPONI BIIDHINILLAH AMEEN
@African2TheWorld3 жыл бұрын
MashaAllah, mungu akuongoze na akulinde kijana.
@majaliwafadhil3983 жыл бұрын
Amiina yaarabby🤲🤲
@gracenyambura97533 жыл бұрын
Wow...congrats Ramadan keep it up baby boy my Allah be with you
@bakariabrahaman8183 жыл бұрын
Duuuh mungu akujalie kheri @shekhe.kishk pamoja na mtoto Huyo mungu ampe kheri zaid
@legrandmsangi84053 жыл бұрын
Mashaallah.. Allah akbar. Mwenyez Mungu amjaalie kheri kijana wetu, ndugu yetu ktk imaan.
@munirashughuli72243 жыл бұрын
Mashaa Allah Napenda huyu mtto mola akuzidishie naomba nmm mola anijaalieَ mtto wakiume akuige ww in shaa Allah
@mwanahawaomarimashaka1973 жыл бұрын
Amiin
@iddshechambo78663 жыл бұрын
Amiiin Amiiin ya rabiii takbar duwaa
@abrahamagbeko12562 жыл бұрын
May Allah bless him and grant good in this world and hereafter Ameen
@ummfasam76563 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah..Allah azidi kukuongoza Ramadhan na akujaalie uzidi kutoa daawa.Ameen.
@eliakundapallangyo2033 жыл бұрын
Ameen
@SaifKhan-zi6xt3 жыл бұрын
MashaAllah TabarakAllah Shekh Msaidie Apate Elimu Katika Shule Yako Apate Elimu Ya Dunia Na Akhera InshaAllah
@majaliwafadhil3983 жыл бұрын
Allahumma amiin🤲🤲🤲🤲
@sofiaahmad19263 жыл бұрын
Sheikh kishk nakuomba kwa Baraka za Allah mchukue huyu mtoto, simamia majukumu yake ya elmu, wallahi utakapa faida kubwa mbele ya Allah.
@abdikadirabdirizak68333 жыл бұрын
MashaAllah may Allah protect him and may Allah increase his knowledge of diin.