JIONEE MWANZO MWISHO SHEIKH KISHK ALIVYOTIMIZA AHADI YAKE KWA PIERRE LIQUID BAADA YA KUSILIMU

  Рет қаралды 23,757

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 206
@MaiyyahSaidi
@MaiyyahSaidi 3 күн бұрын
Kaumaliza mwisho wa mwaka na neema mashaallah Allah akuongoze
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Mashallah allah amuongoze ktk swiratull huda
@salimmpimbi3194
@salimmpimbi3194 Күн бұрын
❤0l00​@@PrincessMaryam-c1r
@salimmpimbi3194
@salimmpimbi3194 Күн бұрын
0
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
MashaAllah
@allythabiti8150
@allythabiti8150 3 күн бұрын
Kweli usimkatie mtu tamaa Wala usimdhanie, Allah ndo anajua mwisho wetu. Mashaallah
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 3 күн бұрын
Mashallah Mashallah Allah akuthibitishe Ndug yangu Ufe haliyakuwa Muislam karib sana katika dinin yetu takatifu nadhwifu takbiiiiiiiiir 😢❤
@issiket
@issiket 3 күн бұрын
Allah humuongoza amtakaye. Hapo umekuwa sawa na mtoto mchanga aliyezaliwa leo. Alhamdulillah
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Swadakta ndugu
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 3 күн бұрын
MashaAllah TabarakaAllah Kapendeza mno🥰🙌❤️ ALLAH azidi kumuongoza🤲🤲
@fat-hiyarashid4605
@fat-hiyarashid4605 3 күн бұрын
Sikumjua bwana piere kapendeza mashallah kanzu haimtupi mtu wallah uislam raha
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Күн бұрын
Ko uislam ni kanzu et raha
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 3 күн бұрын
Allah azindi kukufanyia wepesi allihamdulilah niko 🇬🇧 nakutakiya kila la kheri ❤❤❤ Allah akupe mwisho mwema
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Ammina ya rabball Allahuma amin kwa sote
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 күн бұрын
Maasha'llaah maasha'llaah maasha'llaah. Karibu sana ndugu yetu ktk dini ya haki ya uislamu. Mungu akupe nguvu ktk kujifunza dini hii na akuepushe na kila fitna.
@AmriSabiti
@AmriSabiti 2 күн бұрын
Masha'allah Karibu kwenye Dini ya haki ndugu yetu Salum Tuna kupenda Sana, Pia sheikh Kishki Allah akulipe Kila la Kheri insha'allah 🤲🤲😭
@omargargaar5611
@omargargaar5611 3 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi Salimu Allah amuhifadhi sheikh Nurdini Kishki
@masoudmohamedrashid8124
@masoudmohamedrashid8124 3 күн бұрын
MashaAllah Allah amuongoze na ampe subra kwenye kipindi chote cha kuingia kwenye uislam. Na hii inatupa faraja kwetu waumin tusikate tamaa na rehma za Allah. Allah ni mkarimu na mwenye huruma kwa waja wake.
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Swadakta ndugu
@zuberikwambiana3574
@zuberikwambiana3574 13 сағат бұрын
Mashaallah ALLAH akuongoze ndugu yetu katika iiman SALUM.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 күн бұрын
Alhamdulilah wallah kishki nimtu wapekee tanzania hii allah akujalie kheri shekhe wangu
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 күн бұрын
Allaah akujaalie mwisho mwema kaka salum
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 3 күн бұрын
Kama Namuona PIERE SALUM LIQUID (PSL) tunavyokwenda HIJJAH pamoja .. ❤🎉 In Shaa Allah.
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Mashallah
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 3 күн бұрын
Mashaallah Allah akujalie kher kwa. Aamuzi uliyofanya na Allaha akulipe kher shekh Nurdiin
@AishaIddy-bt3rl
@AishaIddy-bt3rl 3 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah Allah Akuongoze Ndugu Yetu Karibu Ktk Dini Ya HAQ
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j 3 күн бұрын
Mashaaa llah karibu katika wislam dini ya haki allah akuzidishie akuongoze akuzidishie kila unalohitaji salim 🤲🏻🤲🏻
@hajathhajiselemani3019
@hajathhajiselemani3019 3 күн бұрын
Mashallah kaka angu Salum , karibu katika dini ya haki , Allah akuongezee na ufe Hali ya kuwa muisalam
@JahidaRashid
@JahidaRashid 3 күн бұрын
Mashaallha baba yetu kalibu kwenye dini ya haki❤❤
@mtelewalindi374
@mtelewalindi374 3 күн бұрын
Ostadhi Salum liquid upo juu mawinguni mungu akupe maisha marefu inshallah 🙏
@tabutabu8900
@tabutabu8900 3 күн бұрын
MASHA ALLAH ALLAH humuongoza kila mja amtakaye❤❤takbr ❤❤
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 2 күн бұрын
Allhu akbar
@aminahahlubayt7399
@aminahahlubayt7399 2 күн бұрын
Turudi kwa allah wetu mpole mwenye huruma mwingi wa kusamehe ❤
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 Күн бұрын
Amin yaarabbi
@Ibrahim-d3q
@Ibrahim-d3q 3 күн бұрын
Mashallah mungu amthibitishe kwenye dini
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps 3 күн бұрын
Mashaa Allah , Allah atujaalie khery na mwisho mema! Amin
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 3 күн бұрын
Masha Allah Allah akbar takibiriii mungu umuongoa amtakae alhamdulillah mungu akuweke zaidi shekhe nurdin kishki
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad 3 күн бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Күн бұрын
Ma sha Allah Allah akujaalie mwisho mwema na ss pia mungu atujaaliewisho mwema
@HERISALAMA
@HERISALAMA Күн бұрын
Hongera kaka Salumu mungu akufanyie wepesi asumaniiiiiii
@khamisroro4589
@khamisroro4589 3 күн бұрын
Mashallah Allah akujaalie uwe Mwenye kuifanyia kazi dini ya Allah
@MohdMohd-fv1my
@MohdMohd-fv1my 2 күн бұрын
Mashallah.....Elimu sasa ni jukumu lako na wanaokuzunguka kukusomesha dini ya kiislamu
@chande2k250
@chande2k250 3 күн бұрын
Mabrouk allah akuongoze ktk njia ya KHERI karibu ktk DINI ya HAKI
@asiahamis7893
@asiahamis7893 2 күн бұрын
Masha Allah Allah bless you sheikh Nurdin kishki mm ombi lang kwako naomba msaada wako nisome Qur'an nataman san nijue Qur'an please nakuomba san Allah ndio atakae kulipa sheikh please
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 күн бұрын
Usimuhuku mtu kabla hajaondoka duniani kila jambo na muda wake hongrea piere maashaallah
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 күн бұрын
Masha allah allah amuongoze na sisi pia tujiue na kuisoma dini ya kiislam
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Күн бұрын
Ma sha Allah Amependeza na vazi la kiislam Mungu akubariki na akuhifadhi Mungu humeiongoza amtakaye
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 күн бұрын
ahahaha maa shaa LLAH JAZAAKUMU LLAHU KHAYRAN
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 күн бұрын
Masha'allah Allah akufishe ukiwa kwenye Uislam
@zainabudotto
@zainabudotto 3 күн бұрын
Mashaallah mashaallah kalib sheikh salumu katika dini yenye Raha na amani
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 3 күн бұрын
Masha Allah welcome Mr salum Allah give you shifaa and good end ishallah
@narishally716
@narishally716 2 күн бұрын
Hakika sheikh Kishki Mwenyezi Mungu akujaalie kila la kheri Pia tujifunze kitu kutoka kwa kaka Salum kuwa turudi kwa Mollah wetu tukiwa na pumzi ili tuweze kupata mwisho mwema Insha_Allah 🙏
@nouhamour545
@nouhamour545 3 күн бұрын
Marshallah Marshallah Allah akupe mwisho mwema Bwana Salum
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 3 күн бұрын
Mashaallah Allah akulinde kakaangu duh hii dunia
@IbraFareed
@IbraFareed 3 күн бұрын
Allah amuongoze sisi na yeye ❤ AMIN
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 16 сағат бұрын
ALLAH MPE THIBAAT NA MWISHO MWEMA MFUNDUSHE KATKA HEKMA NA UMNYANYULIE DARJA YAKE
@captainlii2351
@captainlii2351 2 күн бұрын
Allah amuongoze inshallah amdumishe katika uislam
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 күн бұрын
Mashallah tabarakaallah Allah kareem wallah tuchukumiane hatujui mwisho wetu Allah amjalie kati ya wtu wema alhamdulilai amiin yarrab 🤲⚘️
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev Күн бұрын
Masha Allah karibu kwenye dini ya haki na yaukweli
@allynalieni2898
@allynalieni2898 3 күн бұрын
Mashaallah Allah akuongeze hakika
@Sadaj3118
@Sadaj3118 2 күн бұрын
Masha Allah. Kweli mungu humuongoa amtakae. Allah atujaalie mwisho ulio mwema
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 күн бұрын
SHEIKH KISHKI FANYA KAZI YA ALLAH .WAISLAM TUNAJUA NANI NI NANI? NA ANAFANYA NINI?!
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 күн бұрын
Sasa Masanga kwisha Pierre usome na uswali . Allah atuongoze wote Amiin
@SakinaSakinat-qd9rs
@SakinaSakinat-qd9rs 3 күн бұрын
Amiin
@IddNgakonda
@IddNgakonda 3 күн бұрын
Allah ambariki na amlinde, Inshaallah!
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 3 күн бұрын
Maasaha Allah ALLAH AKUONGOZE NDUGU YANGU
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 3 күн бұрын
Mashallah abuu yemen nakukubalii
@omarmwabege
@omarmwabege 3 күн бұрын
ماشاء الله ،ثبت الله قلبك
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 күн бұрын
Salum kaja sehemu sahihi maashaallah
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 3 күн бұрын
Alhamdulillah Mashallah bwana Salum ni neema hiyo endelea nayo.
@BenoBeno-c4l
@BenoBeno-c4l 2 күн бұрын
Karibu sana kwenye dini ya haki ndug salum mungu akubarik..
@FghgRyy
@FghgRyy 2 күн бұрын
Maa shaa Allah hakuna Kukata Tamaa na Rahma zake Allah hakuna ajuaye kesho yake maana kila qadar ya mja ipo Mikononi Mwa Allah Alhamdulillah ndugu yetu Salumu karibu sana katika dini ya haki Namuomba Allah akuongoze wewe pamoja na sisi kunako Kheri zaidi allahumma Aamiyn
@ikram-x3m
@ikram-x3m 3 күн бұрын
Allah akujaalie
@faizanassor6336
@faizanassor6336 3 күн бұрын
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH
@azizajuma1633
@azizajuma1633 2 күн бұрын
maashaalla alla azidi kukuhifadhi takbir allahuakbar
@Dalaman10
@Dalaman10 3 күн бұрын
Mashaallah. Karibu ktk dini ya haqi
@bravovlogs9870
@bravovlogs9870 Күн бұрын
Mashaallah hapo ni golden kanzu msikiti wa mtoro
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 күн бұрын
ALHAMD LILLAH Kubwa Umeingia Kwenye Dini Yahaki. Hivyo Niwako Nawajibu Wangu Kusimamia Misingu Yakidini. ILLAH KARIM Atuongoze.
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 3 күн бұрын
Allah akupe ithibat
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 күн бұрын
Maashaallah tabarakallah
@fatmakhamis5044
@fatmakhamis5044 2 күн бұрын
Allah akuongoze inshaallah na ss pia inshaallah
@ashahassan2120
@ashahassan2120 3 күн бұрын
Karibu kaka kwenye dini yahaki tunakupenda kwa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 күн бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Takibir
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ màashallah màashallah màashallah 🥰
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 күн бұрын
MaashaaAllah alhamdulillah
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 күн бұрын
Maashaallah karibu
@SafiaOmar
@SafiaOmar 2 күн бұрын
MashaAllah kapendeza
@HawaaMkubwa
@HawaaMkubwa 3 күн бұрын
Alhamdhulillah Allah Akbar
@zeharaz4116
@zeharaz4116 3 күн бұрын
Mashaa Allah Tabarak Rahman
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 күн бұрын
Inshaallah asomeshwe ikiwezekana
@issamushi6389
@issamushi6389 Күн бұрын
Mm namshauri kama ujumbe huu utaweza kumfikia ajitahidi apate mwanamke msomi wa dini
@mrafm7285
@mrafm7285 2 күн бұрын
Mashallah Sasa jitahidi swala Tano
@AliDulla
@AliDulla 3 күн бұрын
Welcome brother
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 сағат бұрын
Mashallah tabaraka llah 🎉🎉🎉
@salmanassor8732
@salmanassor8732 3 күн бұрын
Mashallah tabaraka Rakhman
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 3 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
@TatuMkeso
@TatuMkeso 2 күн бұрын
Mashallah Allah akuifadh
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 3 күн бұрын
MaashaAllah
@SuleimanSwidiq-fj5px
@SuleimanSwidiq-fj5px 2 күн бұрын
ماشاءالله تبارك الله
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 күн бұрын
Takbir Takbir Takbir
@AnnathNjohole
@AnnathNjohole 2 күн бұрын
Allah amsimamie zaid hakika amefanya jambo kubwa ambalo atauona ukubwa wake pale atakapoipata elimu ya dini hii kwa usahihi, barakallahu minna waminkum
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 күн бұрын
Alhamdulillahi yaa rabbi
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 3 күн бұрын
Mtangazaji BADO,hujataka kuacha kutumia jina la zamani
@bentybenty2343
@bentybenty2343 3 күн бұрын
Masha ALLAH ❤ ❤ 🎉🎉🎉
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 2 күн бұрын
Mashaallah Masha Allah ❤❤❤
@Aminedanisman76799
@Aminedanisman76799 3 күн бұрын
MashaAllah tabarakallah
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 3 күн бұрын
😂😂 .. Naomba afanye PROMO ya MASHINDANO ya QUR’AN yajayo mapemaaaaaaa... Kanifurahisha hapo aliposema; "Kishkiiiii, upo juu mbinguuuuuni" 😂😂😂😂
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 3 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣avoipiga Kishkiiiiiiiiiiiiiiiii
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 3 күн бұрын
Anataka na mwari mpya kabisa
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 3 күн бұрын
@BuiKishkOnlineTv 😃😀 ... Itabidi ujisogeze hapo 🇰🇼 urudi na Mmanga mmoja tumeozeshe.
@azaniasaidi93
@azaniasaidi93 2 күн бұрын
😂😂😂
@YusuphShaban-t5g
@YusuphShaban-t5g 3 күн бұрын
Mashaa allah tabaarak
@mussaissa6796
@mussaissa6796 3 күн бұрын
ALLAH HUMUONGOZA AMTAKAYE SI UNAONA MZEE WA KIMIMINIKA AMEKUWA SALIM SASA!!
@nailaomar4810
@nailaomar4810 3 күн бұрын
Masha Allah alhamdulilah
@Nasur-y2y
@Nasur-y2y Күн бұрын
Machalh karib dungu yetu kadini hi islam do dini ya keli
@NickyKaznugu
@NickyKaznugu 2 күн бұрын
Mashaallah tabarak allah ❤❤❤
HIVI NDIVYO SHEIKH KISHK ALIVYOMSILIMISHA PIERRE LIQUID
16:52
Kishki Online TV
Рет қаралды 10 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 30 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 94 МЛН
JUX AFUNGUKA VITU AMBAVYO PRISCILLA AMEWAZIDI MA-EX WAKE
4:05
Wasafi Media
Рет қаралды 23 М.
YATIMA AMLIZA SHEIKH KISHK/AMWAGA CHOZI HADHARANI/ASHINDWA KUONGEA
6:51
Kishki Online TV
Рет қаралды 220 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 30 МЛН