Ya Rabb Mlinde sheikh Nurdeen kishk na kila baya na mashekh wote kwa ujumla, Aamiin
@mealiipafu-wg7dx6 ай бұрын
Aamin 🤲
@mwanatumuswaleh15296 ай бұрын
Amiin Yarabby
@abdillahmachemba55976 ай бұрын
Allahumma Aaameen
@MealiiPafuАй бұрын
Aamin 🤲❤
@jamila-t7b5 ай бұрын
Nakupenda sana Sheikh kwa ajili ya Allah na wakenya twakupenda sana.. Jamani Allah akujalie umri uliyo mrefu🙏🙏🙏🙏
@MealiiPafuАй бұрын
Aamin 🤲
@MuhammedKapombeАй бұрын
Ya Rabb muhifadhi sheikh Nurdeen kishki na uniajalie nwe n wenye kukutananae ana Kwa ane kabla ya mauti yanifike insha'Allah Allah takbal dua
@mussakatawila94085 ай бұрын
Allah tujaalie tuwe na mazingatio na tupe moyo wa utiifu Wa kutekeleza swala za Sunna hizi baada ya kuwa tunatekeleza faradhi ili utujengee nyumba peponi Kwa idhini Yako.
@FatnaAlly-go7yt5 ай бұрын
Allah atujaalie tuwe nimiongoni mwao
@UkhtyAsiyaah6 ай бұрын
Allah atujaalie na atupe taufiq tuweze kuziswali 🤲🏻
@FatnaAlly-go7yt6 ай бұрын
Oooh allah tusamehe na utuhifadhi kwa Yale tusoyajua nacuwajaalievwenye kujua kama kishki watuelimishe
@machetebogota42186 ай бұрын
Tunakuelewa shaikh watu lakin usiombe kukosa hiyo nyumba wazee wetu wanakosa utulivu 😢 leo yuko hapa kesho hapa Wanakosa utuliv hata ibada haiwi tuliv kwao tena bora mama zetu kuliko wababa Mungu atusaidie tupate hio saada fil dunia Amiin
@ahmedhamisi-jc2hs5 ай бұрын
Masha Allah shekh wangu shukuran Sana kwa funzo muimu Sana in shaallah mwenyezi mungu akulinde na kila Baya
@Saudaboshori-ie7en3 ай бұрын
❤
@didambarouk5 ай бұрын
Jibu ni idul_aladhha
@Sophia-zc7cp6 ай бұрын
Allah atupe taufiq tuzifanye ibada zetu kwa ufasaha
@اشورامحمد-م6طАй бұрын
Mashara mungu akupe afya 9:55
@اشورامحمد-م6طАй бұрын
Mashara mungu akupe afya
@mariamndikumana-nn9ly6 ай бұрын
Siyo wazazi wote sheikh
@fanni-ck6do6 ай бұрын
MASHAALLAH TABARAK LLAH
@MohamedMeja6 ай бұрын
Mashallah
@SuleimanKhdija6 ай бұрын
Mashallah tabaraka llah ❤❤❤
@SaeedaBahrainАй бұрын
Mashaallh
@IrakozeHusnayat6 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah nakupend kwa ajil ya Allah
@FatnaAlly-go7yt5 ай бұрын
Allah atusamehe pale tulip kufuru yarabi
@HadjiSeif6 ай бұрын
Masha Allah 🙏🏽
@MochammdHadija-pn7nn6 ай бұрын
Allah akuhifadhi ❤❤
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Allah akubarik
@AishaHamis-r7x6 ай бұрын
آللهم آمين يارب العالمين
@SaumJuma-ng4vj5 ай бұрын
Asalam aleikum naomba kuuliza hizi rakaa mbili kabla ya dhuhur ndio yaitwa dhuha am ni yengine
@مريم-س8و3ذ5 ай бұрын
Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh Zipo raka 2 za dhuha ...na kuna raka 4.. kabla ya dhuhuri
@MaryamShabani-n2u6 ай бұрын
Allah atujalie ndimi zetu ziwe zenye kusema uwongo