Kisima_Nzuki_Official Video_2022

  Рет қаралды 4,447,816

Kisima Majabala

Kisima Majabala

Күн бұрын

Пікірлер: 757
@MariaRobert-e1l
@MariaRobert-e1l 2 күн бұрын
Mimi ni msukuma napenda sana nyimbo za kaka yangu kisima
@zayumar2955
@zayumar2955 8 ай бұрын
Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤
@victorsospeter1231
@victorsospeter1231 3 ай бұрын
Jmn nkuj
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
@@victorsospeter1231 sawa 🫶
@barikimagesa
@barikimagesa 3 ай бұрын
​@z 8:00 ayumar2955
@JumanneJohn-se6jx
@JumanneJohn-se6jx 6 күн бұрын
Wimbo safii❤❤❤❤❤
@luhendesoloshija9502
@luhendesoloshija9502 2 жыл бұрын
Great song, and creative, hello sukuma Land mwanza, shinyanga simiyu geita na tabora mikono juu tuko vizuri sana
@sophiaHamimu
@sophiaHamimu 7 күн бұрын
7/12/2024 nasikiliza nkiwa dar kutoka maswa masanwa nzuki moja🎉🎉umanile babaa
@neemajumapili
@neemajumapili 8 ай бұрын
Kisima napenda nyimbo zako bigup
@jumastephano2688
@jumastephano2688 4 ай бұрын
Kisima majabala, mm nipo dar es salaam nazisikilza nyimbo zako ,wazalamo wananiuliza maan ya huu wimbo nawaelewesha ,piga Kaz msanii unaejua kupangilia mistar saf San 👍👍👍 Hakuna wimbo wa asili uliofika views 3.9M hii imevunja recod mm nitaendelea kuiangalia kila siku ili ifike 4M views nitafurahi sana kisima
@rahmarahmaramadhani
@rahmarahmaramadhani 4 ай бұрын
❤❤naishafika
@victorsospeter1231
@victorsospeter1231 3 ай бұрын
😂😂rahim wew​@@rahmarahmaramadhani
@emariusrush7704
@emariusrush7704 Ай бұрын
Naandika mashairi kwa kupangilia safi sana.
@kenethtirop1323
@kenethtirop1323 6 ай бұрын
Give credit where it belongs....from Kenya only from our on soil our motherland Africa big salute friend..
@sondabuzukankindo655
@sondabuzukankindo655 2 жыл бұрын
yaani ngoma Hii imebamba sana hapa Mbarali mkoani Mbeya.kwakwel hongera sana bro pamoja sana
@paschalsaid-tn3sg
@paschalsaid-tn3sg Жыл бұрын
Huku kwetu SIMIYU meatu mbunge wa ccm nimwanamke jusi walikua na chaguzi akapigwa chini. matokeo yalipo toka meshindwa DJ aliachia hiyo ngoma. nayeye huyo mama yuto. Yani mkutano ulipoisha tu. DJ tukaskia yupo sero aisee tulishangaa Sana 🤣🤣🤣
@HamisiShekhematipu
@HamisiShekhematipu 2 ай бұрын
Mm cyo msukuma Ila nakupenda kisukuma na nimejitahid nikijuwe mpaka nimekijua namshukulu Sana mashimba Jeremiah bundara kwakunifuza kisukuma fanta apa
@msomezsaid
@msomezsaid 4 ай бұрын
jikotale e nzoke, sema wew kisima unajuaa sana unapangliia vina na mizan🌎🇹🇿🔥🔥🔥
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Njoo na mkoa wa kigoma wilayani kasulu hakika huta jutia hayo maokoto itakayo pata 👏👏😃😀
@HamisiShekhematipu
@HamisiShekhematipu 2 ай бұрын
Napenda Sana kisukuma nanyimbo zake ingawa mm c msukuma
@peterpetter1311
@peterpetter1311 2 жыл бұрын
Nice nice kisima from kampala
@neemaebeneza7494
@neemaebeneza7494 8 ай бұрын
Kaka nimetoka Dar sijawahi kanyaga Mwanza Ila toka nimekuja huku huyu jamaa anabalaa sielewi kinachoimbwa ila ngoma zina mzuka sana hizi 😅😅😂
@rahmarahmaramadhani
@rahmarahmaramadhani 4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ShavuDodo
@ShavuDodo 2 ай бұрын
Anakwambia nyuki waporini ukimchokoza lazma akutafune sawasa na ww umetulia mtu anakuzingua
@gideonkiprotich8029
@gideonkiprotich8029 2 жыл бұрын
Mimi ni kalenjin lkni wimbo imwesa good work Boss,high level of dancing,
@JohnSitta-x4t
@JohnSitta-x4t 2 ай бұрын
Mungu akifanyie wepesi ktk kazi zako.pesa sina ningekuita hapa dar uje utoe show mlimani city
@fellisianholle9431
@fellisianholle9431 16 күн бұрын
Kwa kweli huu wimbo naupenda sana japokuwa unamlenga mshindani wake lakini unaujumbe mzuri sana Hongera sana Kisima hakika unaweza
@AgnessJoseph-yw4tx
@AgnessJoseph-yw4tx Жыл бұрын
mapenda sana nyimbo za huyu kaka anajua na anajua tena mungu ampe maisha mrefuu❤
@isabujoisabujo1214
@isabujoisabujo1214 Жыл бұрын
Hapa ulipiga jamaa. Biti tyu yenyewe ni shidaa brother. Najivunia kuwa msukuma
@msomezsaid
@msomezsaid 3 ай бұрын
Baba mwana nkanda bagohayaga bogota boteho 😂😂😂😂umetishaaa sanaaaa💯💯
@Wakaso2024
@Wakaso2024 2 жыл бұрын
Uyu mudada wa brown namupenda sana she look like angel ,munisaidiye jina lake
@Yusudav
@Yusudav Ай бұрын
Nipo Congo Lubumbashi kikazi, natokea Kakola kahama, Leo 27/10/2024 nimekuja kusikiliza tena🙌🙌
@jacobomakoye1101
@jacobomakoye1101 3 ай бұрын
Leo tarehe 06 - 09 - 2024 nasikiliza Nzuki nipo Geita, namkubali sana KISIMA ni mbunifu sana anawazidi wasanii wenzake wa kisukuma... Content inaendana na matukio na setting ❤🫶
@NdelemaYamlinga-r4c
@NdelemaYamlinga-r4c Ай бұрын
SaWawa.nimbara
@deusdedithkanonosha9205
@deusdedithkanonosha9205 2 жыл бұрын
Tunaomba uongezee bidii,kwa kweli unatufurahi kwa nyimbo zako na ujumbe mzuri unaota kwa jamii
@neemamashauri1043
@neemamashauri1043 2 жыл бұрын
Nipo hapa mwenz wa kumi 2022 video ya kwanza ya nyimbo za kisukuma kufikiaha watazamaji million Moja na lak Tano,, waooooo Wasukuma oyeeeeeee
@CharlesChangwe-uf8rz
@CharlesChangwe-uf8rz Жыл бұрын
Auna mpinzani kamanda uko vyema kabisa mpaka mda mwingine huwa nataman nami niungane nawe kweny kuonesha style maan napenda San nyimbo zako kaka one love
@michaellutobeka912
@michaellutobeka912 Жыл бұрын
Fantastic Sukuma tribe song Hongera Saana unavyopambna Kisima
@DeoHabi-bi8ch
@DeoHabi-bi8ch Жыл бұрын
Kijana big up sana msalimie juma kasuka hapo mwendakulima budushi
@Yohanalugwisha
@Yohanalugwisha Ай бұрын
Heshima sana kwa kisima sjaona msanii wa kisukuma mwenye kipaji hiki
@ShavuDodo
@ShavuDodo 2 ай бұрын
Naipenda kabila langù❤❤❤ asante kisim
@kautharkayu6326
@kautharkayu6326 Жыл бұрын
Hongela sana Kaka angu kwazi nzuli mwenyezi mungu akupe umlimrefu yenye furaha ❤️💪💪najivua Kuwa msukuma jmn
@GoodluckKijumbe-hy8ml
@GoodluckKijumbe-hy8ml Жыл бұрын
Kaka big up Sana,Mungu akusaidie Sana by Mongo toka Kinamweli Ngudu Mwanza TZ.
@HalimaZawadi-l2y
@HalimaZawadi-l2y Жыл бұрын
Kisima majabala hiingoma inanikumbusha mbali hongera kwa u unifu👏👏👏
@odettechuna7602
@odettechuna7602 3 ай бұрын
Mimi niko kigali rwanda nazisikilizaga sana nyimbo zako kisima
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 3 ай бұрын
Pamoja ndugu
@GeorgeJuma-o4k
@GeorgeJuma-o4k 10 күн бұрын
kisim na❤ kukubar san pamban
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 2 жыл бұрын
Hongera Sana nzuki jitahidi kabisaa kutembea mikoani kufanya show maana umejua kutuvuruga haswa haswa 👏👏👏👏👏💪💪💪💪😄
@silaskazimily7415
@silaskazimily7415 2 жыл бұрын
Uandushi mzuri Melody kupanga vina na uimbaji mzuri hongera bro ku2wakilisha wasukuma msanii wakwanza msomi kuimba nyimbo za kisukuma
@JaneAuma-m5f
@JaneAuma-m5f Жыл бұрын
Am from Kenya and i really love this song
@SaïdMoctar-d9s
@SaïdMoctar-d9s 4 ай бұрын
Tu chantes tres bien, tous mes encouragements depuis Niamey au Niger
@AminaTanzania
@AminaTanzania 11 күн бұрын
Mimi nipo nchi za nje mimi musukuma wa mwanza misungwi kisima nimkwirima wa kwetu shemu bwangu upo vizuri sana mme wa kundi wa mwamoto missungwi mwanza
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana.Wasukuma mko vizuri.👏👏👏
@jilamamaduka267
@jilamamaduka267 2 жыл бұрын
Karibu tukuhudumie
@paulkidula1663
@paulkidula1663 Жыл бұрын
Isipokuwa aunt Zumaridi anatuponza🤣🤣🤣
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
@@paulkidula1663 🤣🤣🤣🙌
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
@@jilamamaduka267 😂😂😂
@STAN_MACOMPUTER
@STAN_MACOMPUTER 2 жыл бұрын
Big up bro unatuwakilisha vyema Sana kwenye asili mungu akutunze
@EnockAmos-p8s
@EnockAmos-p8s Жыл бұрын
Wimbo mzri Sana ujumbe Bora hakika unaweza home boy
@neemamasalu9344
@neemamasalu9344 2 жыл бұрын
Yaan hadi laha kwa kwr m mwenye natamn niwe nacheza hongela sana mungu kakupa kipaji so wale wanao imba matuc wale wanajiita nyanda masome
@clayton5281
@clayton5281 2 жыл бұрын
J uh t do go O
@japhethlyamba232
@japhethlyamba232 Жыл бұрын
Nyimbo nzur nyanda majabala ..nani uyo osambije enzuki maana kalugano akene 😊
@masomesayi5446
@masomesayi5446 Жыл бұрын
Yabatale nzuki yene ihambage ubhone kisimaaaaaaaa!!!
@SaïdMoctar-d9s
@SaïdMoctar-d9s 3 ай бұрын
Je me distraire chaque fois en suivant ce morceau non seulement parceque tu chantes bien mais aussi parce que la scène décrite semble etre une histoire amusant. Peux tu m'expliquer la scène, même si c'est en anglais
@ibrahimlucas96
@ibrahimlucas96 Жыл бұрын
Wimbo mzuri uliotulia sana "nzuki" hongera sana unajua kufikisha ujumbe kaka
@SamsonSally-l9x
@SamsonSally-l9x Жыл бұрын
Honger kijan wetu unatuletea ngoma za kuelimisha jamii
@ntjindebele2328
@ntjindebele2328 2 жыл бұрын
Short of words indeed empressive video from eastern Africa
@charleskaponya6063
@charleskaponya6063 Жыл бұрын
Nyimbo zake ujumbe, zina vina, yaani mashairi anafuata vina.
@joshuamelle660
@joshuamelle660 2 жыл бұрын
Hapo kaka umetisha ilembaya leka shikutwange nzuki ngwana bhunala 👏👏👏
@JaneAuma-m5f
@JaneAuma-m5f Жыл бұрын
Am from Kenya and i I really love the song
@BoscalVunda-er5vg
@BoscalVunda-er5vg Жыл бұрын
What a good music young man keep on and take Africa higher not music playing and making ladies feel nice all the time never this music of yours is good congratulations.
@silasyshopinvestment4252
@silasyshopinvestment4252 Жыл бұрын
An ducatate one than all traditional singer this made him to trend any where much love from mwanza my close bro
@justinmndagele
@justinmndagele 7 ай бұрын
Pamoja sana bwana mdogo vitu vyako viko Safi nipo ngelengele Moro nasikiliza
@mbesseonlinetv5389
@mbesseonlinetv5389 2 жыл бұрын
Kaka naitwa mbesse online TV SUBCRIBED ✅ nipo USA 🇹🇿 naomba sapot yenu wasukuma wenzagu
@luhendesoloshija9502
@luhendesoloshija9502 2 жыл бұрын
Unamishe gani uko
@eliudkamwambi7152
@eliudkamwambi7152 2 жыл бұрын
Wimbo wa kisukuma kuwa na views 1.6 million sio jambo dogo lakini pia amepangilia mashairi vizuri sana yuko vizuri
@luhendesoloshija9502
@luhendesoloshija9502 2 жыл бұрын
@@eliudkamwambi7152 ni kweli inatakiwa tupushi Sanaa zetu ili zijulikane kimataifa ziwe famous kama nyimbo za kizulu na kadhalika
@emmanuelmkinakashele3884
@emmanuelmkinakashele3884 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa ngoma hii shushu nipo morogoro ila nimeipata vyema pamoja sana enz hzo kabila magu kama unakumbka
@adeoyethomas5938
@adeoyethomas5938 Жыл бұрын
I am a Nigerian. Kisima songs always made me proud of Africa .
@victorsospeter1231
@victorsospeter1231 Жыл бұрын
Thanks
@simeramandela
@simeramandela Жыл бұрын
Iko vizuri xana nanungu ambaliki kipaji kiwe endelevu
@gasperrochi8164
@gasperrochi8164 Жыл бұрын
Nyimbo hii naikubali inaujumbe sana pamoja naya kundi huwa zinanikosha naweza nikasikiliza siku nzima. hongela kisima endelea kuleta chuma zingine.
@Everythingisok360
@Everythingisok360 Жыл бұрын
Nigerian ya wapi wewe😂😂
@iddyjamali5531
@iddyjamali5531 11 ай бұрын
🎉😅🎉😂
@zachariahmajora
@zachariahmajora Жыл бұрын
safi sana kisima nakupata vyema nikiwa bukoba umeshoot vizur
@wilfredsanya7791
@wilfredsanya7791 Жыл бұрын
True African beat fully of joy and the African heritage.A ugandan and i have indeed enjoyed videos packaging despite not knowing the language.
@piliezekiel7892
@piliezekiel7892 Жыл бұрын
it is a nice song from my tribal kisima big up brother
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 2 жыл бұрын
nimefurahi sana video hii kuwa na watamazaji wengi 1.1milion kwa miezi minne tu nijambo la kujivuniia sana najivunia kabila langu na pia kumbe baada ya miaka mitatu mbele tutajulikana zaidi hongera sana bro kisima. hakuna msani yoyote te wa nyimbo za kisukuma aliye fikisha watazamaji wengi kukuzidi ww bro hongera sana tena sana n
@moseskyaman9323
@moseskyaman9323 2 жыл бұрын
Hii nyimbo iko vzr hata kama mm sio msukuma ila ikipigwa kwenye sherehe za usukuman unaona watu wengi wanalipuka kwa sherehe za shangwe
@mikailmasham2602
@mikailmasham2602 2 жыл бұрын
Hii hatali nzuki umetisha hongera maixha malefu mwana MTC
@andrealoveness2875
@andrealoveness2875 Жыл бұрын
Nimetokea kupenda nyimbo zako kisima endelea kututolea zaidi
@elieebchibuye9593
@elieebchibuye9593 2 жыл бұрын
Great song from my brother from East Africa....I don't understand it but I love it...much love ❤️
@philipogervas3608
@philipogervas3608 Жыл бұрын
Call him kisima majabala
@ntjindebele2328
@ntjindebele2328 2 жыл бұрын
Pure African let's stamp authority v western I don't understand language but empresses by uniqueness of the sounds
@yohanamathias6326
@yohanamathias6326 2 жыл бұрын
Asante sana kisima kwa wimbo mzuri
@innocentsarya1689
@innocentsarya1689 Жыл бұрын
Kwenye harusi ang inatakiwa uje kwa Hal hiii
@nevermgawe2802
@nevermgawe2802 2 жыл бұрын
Safi Sana hii nyimbo Kila siku naisikiliza jaman 🍷
@amadoubarry9816
@amadoubarry9816 Жыл бұрын
Très belle musique Longue vie bonne santé beaucoup de bonheurs et réussite totale dans la vie.Vive l'Afrique.
@AlexSababu-x4t
@AlexSababu-x4t 3 ай бұрын
Balikiwa sana mtumishi wa MUNGU Kwaujumbe mzur MUNGU azidi kukuinua
@ZainabLameckKidalu-o4t
@ZainabLameckKidalu-o4t 15 күн бұрын
Hii Ngoma ni balaa 🔥🔥🔥🔥 Leo 01/12/2024 bado naiskiliza
@labanpeter1165
@labanpeter1165 Жыл бұрын
Great of Africa! Kisima ameupiga mwingi
@Anaziethamathayo-g7m
@Anaziethamathayo-g7m Жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbusha kwenye sherehe ya brother angu tulicheza sana sukuma culture conflation
@NyamiNyanjwa
@NyamiNyanjwa 6 ай бұрын
Kisima ongeza new song Kama ya nyuki keep it up brooo❤🎉
@jescakasiano7523
@jescakasiano7523 2 жыл бұрын
Awuuuuuu hongera sanaa kaka wimbo mzuri
@olupotraymond1066
@olupotraymond1066 Жыл бұрын
Love from uganda Hey great music brother
@yackobokiswaga280
@yackobokiswaga280 2 жыл бұрын
Juuuu mkito wa koras mheshimiwa utabomoa sipika za watu. Imekaa kiasiri Zaid af Tam. Hongera san
@jilamamaduka267
@jilamamaduka267 2 жыл бұрын
Proudly sukuma.....leka jigutale nzuki ulijisambya ng'wenekhele....
@yohanapendo9566
@yohanapendo9566 Жыл бұрын
Kisima your talent proves beyond no doubt that you are capable,my God uplift you to the height that you never dreamed.
@Magreth-u1y
@Magreth-u1y 9 ай бұрын
naitwa magiret fulaha nipo kagongwa hapakahama kisma nazielrewa sana nyimbo zako kazabuti kijana
@AlexMakunga-r2b
@AlexMakunga-r2b Ай бұрын
Me soon msukuma lakin nakubali sana broo,
@Costantinejustine
@Costantinejustine 5 ай бұрын
Aloo kira napogusa nyimbo zake nakosa ipi nianze kusikiliza na ipi naishia zote natamani nizipige wakati mmja hatar kisimaa ❤
@mawazokazungu8619
@mawazokazungu8619 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa wimbo wa mafundisho big up
@juliusnindwa9576
@juliusnindwa9576 Жыл бұрын
Kwa kweli KISIMA hapo umeupiga mwingi kaka, ujumbe mzito na mzuri kwa jamii, na kweli tueshimiane, tusizarauliane, tuishi vizuri na jamii, ndugu na marafiki, kwa sababu unaemzarau huwezi kujua huko nyuma yake au mbele yake kuna akina nani wanamtegemea au wana mlinda, kwahiyo ukimchokoza ndo hivyo NYUKI zitakushambulia kwa maana ya ndugu au marafiki zake watakushughulikia. BIG UP SANA KAKA.
@moussasisse
@moussasisse Жыл бұрын
X
@bonephacebarnaba1422
@bonephacebarnaba1422 Жыл бұрын
Uko vizuri ndugu, Mungu azidi kkuinua zaidi
@StaubiMataka
@StaubiMataka Жыл бұрын
Am amalawi.kissima songs is make me proud
@HappyCheyo
@HappyCheyo 6 ай бұрын
Had mda huu nasikiliza nyimbo zetu wasukuma oyeee❤❤❤
@johnmagambo9231
@johnmagambo9231 2 жыл бұрын
Ingawa mimi sielewi kisukuma,ila huu wimbo nimeupenda sana. Jana nilipita kwenye pombe za kienyeji maeneo ya Runzewe nikasikia wanaupiga.ikabidi niende kuuliza jina la msanii. Yaani biti lake lina swaga flani hivi kama za makilikili.
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante sana
@josephinekahangwa2992
@josephinekahangwa2992 2 жыл бұрын
Mamilimo nyanda
@josephinekahangwa2992
@josephinekahangwa2992 2 жыл бұрын
Kelele=Kuyoganya
@thaucemalimi5894
@thaucemalimi5894 2 жыл бұрын
Jmni kak ngoma tunakusubir kwa furaha Kama zote.🙏🙏🙏🙏
@elizabethkapina6616
@elizabethkapina6616 2 жыл бұрын
Wow jamon nmesikiliza ad machoz ya furaha
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 2 жыл бұрын
Nyimbo nzur sana hongera kisima
@ManotiMabanza
@ManotiMabanza 9 ай бұрын
Kuna mjinga kaji changanya. Hapa. Hafu. Mzinga wa nyuki upo karibu
@kubaebo6930
@kubaebo6930 2 жыл бұрын
Concord of sweet music. Excellent 👌
@jonathanjacob945
@jonathanjacob945 2 жыл бұрын
Nzuki Dah wimbo nao upenda xan one big kaka mkubwa acha nienjoy mimi na nzuki
@FurahaMathiasy-q5b
@FurahaMathiasy-q5b 7 күн бұрын
Nawapapolesana wasiopenda asir Yao kiukwer tunainjoy wasukuma
@lazarojr8923
@lazarojr8923 2 жыл бұрын
really good work, congratulations Kisima nimekuelewa kutoka moshi
@yohanamathias6326
@yohanamathias6326 2 жыл бұрын
Mimi binafsi nimekuelewa sana niko geita
@emmanuelmbesi2184
@emmanuelmbesi2184 2 жыл бұрын
Fresh boy nimeipata mziki
@philipkitur6150
@philipkitur6150 2 жыл бұрын
Thanks you Artist kisima for making evening happy in my home KERICHO COUNTY my fellow AFRIKA am so Proud watching your Virtues n Values AND derive maximum satisfactions Kongoi missing.
@isahabubakar7789
@isahabubakar7789 2 жыл бұрын
Good cultural dances
@dismaskabalo5675
@dismaskabalo5675 Жыл бұрын
Fundi wa music ✋ kwangu we ni no1
@emmanuelmayunga8053
@emmanuelmayunga8053 4 ай бұрын
Nipe kampani nafuraha sana aisee 🎶🎹🎺🎸🪕🎧
@gasparykabobo1515
@gasparykabobo1515 2 жыл бұрын
Dilagawiza ba baba na ba mayu. Nwanitogisha gete gete.
KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K
15:24
Kisima Majabala
Рет қаралды 557 М.
Kisima_ Bhuhabhi _Official Video
16:05
Kisima Majabala
Рет қаралды 425 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 29 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 525 М.
Siasa - Historia Ya Kuya (Official Video)
20:57
IDDY STUDIO
Рет қаралды 229
Kisima_Selina-Officail Video 2022
15:18
Kisima Majabala
Рет қаралды 597 М.
Kisima_YAGUBHUTALE_Official Video_2022
11:27
Kisima Majabala
Рет қаралды 358 М.
Ykee Benda - Obangaina (Re do) [Official Video]
5:29
Ykee Benda
Рет қаралды 10 МЛН
Sedimonthole
4:47
CHARMA GAL
Рет қаралды 16 М.
Bahati Bugalama - Shida |Official video
13:51
Makula Studios
Рет қаралды 594 М.
Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k
15:52
Kisima Majabala
Рет қаралды 358 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 29 МЛН