Mama utamwaga fedha nyingi, lakini shule zitajengwa kwa kiwango cha chini sana . Wezi na mafisadi watakupigia makofi, ukichunguza fedha zitaishia fedha kwa mafisadi. Muangalie mkurugenzi afya yake utajuwa tu fedha za watanzania zinaenda wapi. Utapigiwa makofi, utatetewa na kusifiwa uwongo. Rais una nia nzima ri lakini Watanzania wana kuibia huku wanakupigia nakofi.
@kondoatown87653 жыл бұрын
Watu hawajaelewa shule Ina madarasa mengi . Ila wameshauliwa nguvu ya kujenga madarasa yote kwa muda wa mpk January 17 ni mdogo kwa hiyo waelekeze nguvu kwa madarasa ma3 kwanza yaanze kutumiwa baada yke pesa itakayo baki toka kwny bilioni moja iendeleze kwny hayo mengine . Uelewaaa
@mannabu93333 жыл бұрын
Kwaiyo B1 madarasa matatu tu Pumbavu
@musason16803 жыл бұрын
Jaman Kwan shule saiz kila darasa n more than 100m 🙌
@ojasoojaso94793 жыл бұрын
Nyumba zijengwe kwa vigezo na ubora unaotakiwa kitaalamu Kusema tarehe 17 nyumba ziwe zimekamilika ni wiki mbili tu zijazo. Je msingi na jamvi lake na linta pamoja na paa zitakamiliaka ndani ya wiki 2 na ubora wa majengo hayo ukapatkana? Wataalamu mkiwa sikia wanasiasa nakusahau ubora utakula kwenu.
@reubenkissinga58023 жыл бұрын
Wacha waseme,,,nasema hivi Mama endelea kuupiga mwingi ikiwezekana wapige na Goli kama La Fiston Mayele dhidi ya biashara ili uwapoteze kabsa,,,Mafiii yao