Though ni cartoon but I really enjoyed watching this.....vinyweleo vya kwapani ni malaika😂😂😂😂😂 gonga like apaa
@TaiPlus4 жыл бұрын
Tunafurahi kuona unaenjoy. Please share
@ibrahimmaxmillan14303 жыл бұрын
Hhaha kwa kweli..et malaika
@modestmsoffe21333 жыл бұрын
Natamani na mimi nijue hii kitu duhhhh
@galgaloshama85475 ай бұрын
@@modestmsoffe2133😮😂🎉77
@ReginaLomona-v3u3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@jamesobedy39402 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@zaharamapira20114 жыл бұрын
Chuma
@SUHODEFOUNDATION-zt2kl4 ай бұрын
Vizuri sana
@creativefamily38804 жыл бұрын
Mlipofika ni pazuri, katika ujumbe kuufikisha, burudani kuitoa. Mpuuze maoni yakatishayo hari, dhumuni lisonge mbele. Subscriber mmoja mmefanikisha kumuongeza, nilindeni katika update nzuri zaidi ya hizi. Kila la kheri katika mapambano yenu katika tasnia hii, tuko pamoja.
@TaiPlus4 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufuatilia, kupenda tunachokifanya na kutupa sifa lukuki . Pia asante kwa ku-subscribe! Tunafanyia kazi ushauri na maoni yako. Karibu sana TaiPlus