No video

KIUMBE MAPENZI FULL SONGS PROFESSOR MK LIVE TAMTAM BAND

  Рет қаралды 134,850

TAM TAM BAND

TAM TAM BAND

Жыл бұрын

Пікірлер: 88
@user-ml8bg7su2b
@user-ml8bg7su2b 6 күн бұрын
Mapenzi ya kweli watu wenye hazi zao wanaadhirika hupoteza Mali huwacha na kazi zao zika haribika. Pendo halijali kama wewe wateska. ❤❤❤Hakuna hodari wa mpenzi nawambiwa wala mwenye siri awezae kujizuwia na kama yupo simkweli pendo halija mwingia❤❤❤❤❤ Mr Nassir Nakukubali vzr sana
@saadasm6756
@saadasm6756 2 күн бұрын
Kijogoo achana na mauzinde humuwezi yule sio type yk kabisa, umuonelee huruma baba yako huko aliko kwenye chama chao
@siahkazimiry2948
@siahkazimiry2948 Жыл бұрын
Nakupenda Sana kama hujaowa naomba niwe mkeo kama umeowa niwe mke wa pili❤️
@fadhilmzee1092
@fadhilmzee1092 Жыл бұрын
Hujambo
@fadhilmzee1092
@fadhilmzee1092 Жыл бұрын
Ww hijaolewa
@AsuuVideo05
@AsuuVideo05 6 ай бұрын
Hahahah jee waja nayo sasa ata MK hajaona hii?😂😂😂
@TahiyaAziz
@TahiyaAziz Ай бұрын
❤❤❤❤mashaAllah
@fatihiyaabdurahman802
@fatihiyaabdurahman802 Жыл бұрын
Iv huwa mnapiga live km vile lango la jiji kwa hapa dar mnakuwa mnapiga lin na wapi maan napenda sna ulavyoimba wallahi ❤❤❤
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Sisi tunapiga Zanzibar sio dar
@ffsss3367
@ffsss3367 Жыл бұрын
Njoo tanga ww sio dar
@NuratyAbubakary-ri5wm
@NuratyAbubakary-ri5wm Ай бұрын
Nakubar kipenzi❤❤❤❤❤❤❤😂
@omaniph1235
@omaniph1235 Жыл бұрын
Tujuani tulioacha nawapenzi weto
@JacobScouss
@JacobScouss 2 ай бұрын
Hatoiri sana🇰🇲
@sophiamwinyi7711
@sophiamwinyi7711 Жыл бұрын
Kutwa kucha unalia yani huu ni ujumbe sahihi na yanakuaga yanatokeaga...umetugusa wengii sana tunaojuwa mahabaa wallahi hadi raha tena.nimerudia huu wimbo mpaka nimeurudia tenaa.....pongezi upewa wallahi
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante sana
@MozaMtepa-vq4kt
@MozaMtepa-vq4kt 11 ай бұрын
Ni kweli kabisaa
@masikasaidi8805
@masikasaidi8805 9 ай бұрын
Hongera hongeraa safi sanaaa
@tamtamband
@tamtamband 9 ай бұрын
Asante
@AsuuVideo05
@AsuuVideo05 6 ай бұрын
Msalimie huyo mrembo kavalia dress ya chui chui mwambie ani DM ❤
@NuiyaKondo
@NuiyaKondo 11 ай бұрын
mie pale tu kiumbe mapenzi jomon wazimu wallah
@user-eq5mv6cd3t
@user-eq5mv6cd3t Жыл бұрын
Powasanaaa😮😮😮baba utatiza ndotozakoo jikazeeee
@user-we5rs9ry2t
@user-we5rs9ry2t 11 ай бұрын
Nakubali.kwahili.asilimia.hata.mm.kwasasa.nikoivo❤😂
@Amina-rr8ve
@Amina-rr8ve 10 ай бұрын
Pendo halijali kama wewe wateseka😭
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
Uko vizuri kwa kweli cjawahi kukupinga 🥰😍😍😍😍
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 11 ай бұрын
Kwa sasa wakubali wakatae ww ni king wa haya majambo
@tamtamband
@tamtamband 11 ай бұрын
Asante
@user-um8gw9rp4s
@user-um8gw9rp4s 10 ай бұрын
Sw
@nassorzahranhemed5915
@nassorzahranhemed5915 Жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha umeumeundea haki wimbo mzur❤️
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante sana
@sofisofi2427
@sofisofi2427 Жыл бұрын
Hongera bosi wangu namie twende kazi hatumwi mtoto chezea tam tam ww
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@dazuuseif1888
@dazuuseif1888 Жыл бұрын
Yaan hii nyimbo roho kitu inapenda mzur hongera kaka
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@SophiaKilimo-gx7xh
@SophiaKilimo-gx7xh 7 ай бұрын
Hongera kaka
@harounsheikh4323
@harounsheikh4323 Жыл бұрын
Kusikiliza mara moja kweli haitoshi..nyimbo safi...unaimba kwa Ari in action.
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante sana
@mozaally7447
@mozaally7447 Жыл бұрын
Nyimbo km hz ..zataka ukae uskilize na mtu mwenye akili timam!!! Yaan hubby anaejielewa wallah...daah mapenz khatar sana
@devothatarazius3432
@devothatarazius3432 Жыл бұрын
Naipenda sanaa
@dazuuseif1888
@dazuuseif1888 Жыл бұрын
Hongera nyimbo nzur huwez kuskiliza mara 1 km hujarudia tena
@alikhatibshehe4764
@alikhatibshehe4764 Жыл бұрын
Nawako mpenz humuon kakiimbia mk professor
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Naam naam
@AaronNewmar
@AaronNewmar Жыл бұрын
Naenjoy sana na na hii Ngoma nikiwa kenya
@AZIZALIMOSSI
@AZIZALIMOSSI 3 ай бұрын
Good
@azizasaid5255
@azizasaid5255 Жыл бұрын
Umenikumbusha Egption taarbu. Umeutendea haki.
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@jumajuma9860
@jumajuma9860 Жыл бұрын
Ww mkali bhanaaa❤❤❤❤❤
@kingjaymal3349
@kingjaymal3349 6 ай бұрын
My favorite song🔥🔥🔥 huna baya MK🎉
@husseinkhojahusseinkhoja2046
@husseinkhojahusseinkhoja2046 Жыл бұрын
Mashaalla mungu akuweke muimbaji❤❤❤
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Amin kwasote
@extramusanif32
@extramusanif32 Жыл бұрын
Nakuona BROTHER. Safi sana
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@bakarimwabua1663
@bakarimwabua1663 9 ай бұрын
We Kaka apa najiona mm
@amitantar-lu3gp
@amitantar-lu3gp Жыл бұрын
Nice music...ujumbe adhwiim
@ashylab23
@ashylab23 Жыл бұрын
Mashairi ya uhakika kabisaa... Ukipenda kweli daah, umetishaa profesaa 💞💞🙌
@hamdanashrazy887
@hamdanashrazy887 Жыл бұрын
Yan unajuaaa had unakeraa 😘😘😘😘😘😘😙😙😘😘😘😘
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@ismailhassan193
@ismailhassan193 Жыл бұрын
Prof MK is the best in modern taarabh
@NdoroNgovi
@NdoroNgovi Жыл бұрын
Tuko mbele pamoja
@AuntMwaa-us9in
@AuntMwaa-us9in 3 ай бұрын
Pamba sanaaa mwaa
@mushimadege
@mushimadege 11 ай бұрын
Professsor MK mbona hii kwenye digital platforms haipo.
@user-pg2cc3sk4y
@user-pg2cc3sk4y 11 ай бұрын
Hatwari sana
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Jamani mwenyenayo naiitaji
@alihamadsalum5291
@alihamadsalum5291 11 ай бұрын
Kaka nakukubal sana unajua
@mofuliza-tq5yw
@mofuliza-tq5yw Жыл бұрын
Daa, jiandae mwezi wasita ujee tanga upije shoo
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Ok nitakuja
@moudmgomo5742
@moudmgomo5742 Жыл бұрын
nimeinjoy kuipata yote full. unajua mpk unakera
@fatmamohd8647
@fatmamohd8647 Жыл бұрын
Nikweli 👍
@asha5181
@asha5181 6 ай бұрын
Ma shaallah
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 Жыл бұрын
nikifika bongo lazima nitafute hii😂
@harounsheikh4323
@harounsheikh4323 Жыл бұрын
Safi sana bro...
@sophiamwinyi7711
@sophiamwinyi7711 Жыл бұрын
Mtunzi bora .....PK.....
@fatmakhamis-mb3wb
@fatmakhamis-mb3wb 8 ай бұрын
pambeee natk cd
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 Жыл бұрын
Nzuri sanaaa ❤
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Asante
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Tamu
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 Жыл бұрын
Broo unajua hadi unakeraa voo
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Hahahaha Asante
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 Жыл бұрын
Endeleea kutoa vitu vizuri kaka yaani broo vibao vyako vinafanya stress ziishe kabisaaaaa broo
@ramlaayub
@ramlaayub Жыл бұрын
Sijui lini huyu kaka atatufikia mji wa malindi Kenya wallah tunapenda sana nyimbo zake
@ramlaayub
@ramlaayub Жыл бұрын
Sijui lini huyu kaka atatufikia mji wa malindi Kenya wallah tunapenda sana nyimbo zake
@yegedegede3003
@yegedegede3003 11 ай бұрын
Sauti mubashalaa
@zahraosman4407
@zahraosman4407 Жыл бұрын
❤❤❤
@rashidrashidali4714
@rashidrashidali4714 Жыл бұрын
Jaman pambe🥰💞
@saudaahmadi6623
@saudaahmadi6623 10 ай бұрын
😍😍
@arlymalundi9365
@arlymalundi9365 Жыл бұрын
😍😍❤️❤️❤️
@judywanyama
@judywanyama Жыл бұрын
Judy😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 Жыл бұрын
ipo wapi hii band?
@tamtamband
@tamtamband Жыл бұрын
Zanzibar mitaa ya kibanda mait
NILAUMU MACHO PROFESSOR MK
8:48
TAM TAM BAND
Рет қаралды 723 М.
MOMBASA LIVE PROFESSOR MK NIPENDE AZIZI
6:06
TAM TAM BAND
Рет қаралды 97 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 39 МЛН
NIDHIBITI - SAADA NASSOR
15:21
Bin Seif
Рет қаралды 622 М.
HUJAHITIMU KUSOMA LIVE TANGA PROFESSOR MK JIONEE
7:23
TAM TAM BAND
Рет қаралды 20 М.
NIPENI NAFASI NIMSIFU MPENZI WANGU -  SADIQ TAARAB
7:18
Bin Seif
Рет қаралды 556 М.
Albert Shehi   Lete raha ya pendo
8:19
ALBERT SHEHI Coastal Bango music Ke.
Рет қаралды 384 М.
Furaha Na Nyimbo
13:51
TAM TAM BAND
Рет қаралды 68 М.
Asokasoro Hakuna -Fatma Issa, Culture Music Club
13:16
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 516 М.
UBAYA HAUNA KWAO FULL PROFESSOR MK LIVE SHOO ZNZ
6:21
TAM TAM BAND
Рет қаралды 132 М.
Kakukataa Bayana professor mk live awapagawisha holin
11:25
TAM TAM BAND
Рет қаралды 41 М.
Badi Star - Nampenda Kwa Ishara Taarab Official Audio Mp3
9:40
Dj Las1
Рет қаралды 1,5 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН