Kivuko cha Mv Kilindoni kinatarajikupelekwa matengenezo ili kiweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi
Пікірлер: 4
@Sanjar-y3c11 сағат бұрын
MV songosongo vip
@Sanjar-y3c11 сағат бұрын
Diwan mmoja Tu wamiburan ndio mwenye kujitoa
@FatimaAli-of4gh11 сағат бұрын
Bora isinamishwe week moja ipelekwe matengenezo kuliko ku rizki haiongei hiyo kama itasema nimechoka leo tusipate hasara bure tukaja kulia kinga is better than tiba
@OusumanYewa13 сағат бұрын
Yn mafia aliewaroga naona ameshakufa,unawezaje kusimamisha shughuri za usafiri Kwa muda WA wiki mzima, yn suala la usafiri mumelizalau sana half ni jambo la msingi sana hususani ktk sekta ya uchumi, yn mtu anaongea kiwepesi wepesi to,