Nimo maradhani ...🙏💔💔💔maradhi nilonayo ni ya majaliwa..ohhh...uzito moyoni ..sili ..mutwa kulia...ahhh jamani umenimaliza boss ....wabajuniii hoyeeeeee
@mombasaraha12524 жыл бұрын
Hamutuwezi wa bajuni kwa mahaba chuna nyota hio
@swallumyspoiler98674 жыл бұрын
Santaa kizaree
@munyemohamed47793 жыл бұрын
@@swallumyspoiler9867 j
@Kapunyu4 жыл бұрын
Nduyangu Kizare,Nimezipenda nyimbo zako wallah,ningependekeza jambo dogo, nyimbo zako ziko katika mfumo na mpigo wa lelemama,sio vibaya ni utamaduni wetu,ingekuwa pia baadhi ya nyimbo zengine ziwe katika mahadhi mbali mbali pia zingefana zaidi na zaidi,(ni pendekezo langu tu) usinitukulie vibaya.ama sauti na mashairi na vyombo vya muziki viko hali ya juu sana.Asanta sana, na tuko pamoja usijali.
@kizare14 жыл бұрын
One love
@MasbabmayMay4 жыл бұрын
Mashaallah ndugu kizare Mohamed uko superb.nimependa nyimbo zako zote.zina mahadhi mazuri .nina ombi moja kwako ,naomba unitungie wimbo wa kumsifu mwali wangu
@MasbabmayMay4 жыл бұрын
*mwalimu
@nazihalimadi74654 жыл бұрын
Weeeeeeeee
@timasaid2284 жыл бұрын
Yo mame mwenechu. Santa sana. Hapo Hapo. Shikili. Usiate. ❤️❤️❤️❤️
@somoekassim75164 жыл бұрын
Wenye mahaba kama mm tujuane hapa na likes tumuinue ndugu yetu kwa ku subscribe na ku like na comments jamani 🔥❣️one love bajuni records 👌
@dijaseif93574 жыл бұрын
Kwisha mm..studio haidhanywi...umegonga ndipo
@asmarashid17833 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuongoze kwa kila hatuwa
@officialnabeel77664 жыл бұрын
Mungu akuze kipaji chako #kizare Mohammed
@FatwimahAweyssssss24 жыл бұрын
Yeeeeeees uko juu jomba😘😘😘😘😘😘
@0scarnaizaoscar4804 жыл бұрын
Weweeeeeee umetisha #kuimba usiache 😂 ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️ WATU HAO SEATTLE
@kizare14 жыл бұрын
TUME DUNDA NGWAAA
@kautharaboubakar5784 жыл бұрын
Aaah tanivuaa Bro keep going 💕 Lots of from Lamu
@umaraboud4 жыл бұрын
Yoooh! Mame Javo, Maradhi ya Mahaba hatari n'no
@samhamohamed33904 жыл бұрын
Kizare you really the best wallah
@mombasaraha12524 жыл бұрын
Swadakta mapenzi huvuwa siyali imi kwa huba nayo niya majaliwa nchume mame nayo noya majaliwa yooo.mamee
@batulmuhammd86034 жыл бұрын
Jamaniiiiiii kwishaaaa royo yangu mie
@nurumahsein86454 жыл бұрын
Jamani roho yngu hunivavaa🍫
@aslamjuwed45144 жыл бұрын
Kizare nimbo zako huchukumbusa mbalii . nasii pia huugua mahaba