Karibu kufuatilia matangazo mubashara ya Tamasha la KMK EXECUTIVE GALA 2024
Пікірлер: 69
@odilialazaro200Ай бұрын
Glory to GOD🙌🙌🙌🙌 HONGERENI SANA HII NI BABU kubwa haijawi kutokea UBORA WA HALI YA JUU KIASI HII, Yan Kuna namna Mungu ameamua kujitwalia utukufu juu ya utumishi wenu HAKIKA IMEKONGA MIOYO YETU IMEKUWA NI KITU CHA KITOFAUTI SANA END VERY AMAZING SANA, KWAAJIR HII NAONA NAMNA MUNGU ANAWAZIDI KUWAPELEKA MBALI SANA KIUTUMISHI MUNGU AWABARIKI SANA WOTE WALIOSHIRIKI KILA MMOJA KWA NAMNA YAKE KTK NAFASI YAKE. GLORY TO JESUS NAJUA HAIKUWA RAHISI BUT YEYE ALIYETAKA MUMUINULIE IBADA HII KWA NAMNA HII AMEWAFANIKISHA.
@paulmuturi6585Ай бұрын
Tamasha hili limenoga kweli..Nawahongereni sana.Kazi njema ya utume wenu huu,ubarikiwe..... PAUL MUTURI, Nairobi Kenya
@deniswolfganglyimoАй бұрын
Dah,maisha ya mbinguni kabisa🙌❤️❤️
@jklm-x3gАй бұрын
Hicho kikundi cha wacheza vinanda daah!!!🔥🔥🔥 kazi kuntu wadau👏👏👏👏
@Simba_ONESАй бұрын
I love this... You really set the bar high enough. Mbarikiwe sana
@AlexKisia-g7pАй бұрын
Big up guys,, good vibes indeed,krisimasi tamu kweli,,❤ all the way from kakamega county Kenya
@VeronicaAngumbwisye-jj2bqАй бұрын
KMK salute 🌷💞🌹 Mungu aongezee karama híi daimaa........❤
@NaburisichweeАй бұрын
Napenda hii kwaya sana mukasa God bless
@PiethaPhilbert-x7yАй бұрын
I like the voices Hongereni sanaa KMK
@waromokelloАй бұрын
Thank you wonderful choirs for great voices. Now in Christmas mood❤❤🎉🎉🎉
@kenskizaАй бұрын
This is so amazing.. Can feel the beauty of sweet music
@dominicnyabuto8218Ай бұрын
Proudly to be a catholic 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@BrightonMfugaleАй бұрын
Hongereni sana. Na karibuni sana Jimbo katoliki njombe parokia ya mt. Joseph kanisa kuu la Jimbo ❤🎉
@VeronicaFidelis-u2dАй бұрын
Mungu anatukuzwa mno hongereni KMK
@mariaregulla5215Ай бұрын
Hongera sana kwa uinjilishaji mzuri 🎉🎉🎉❤❤❤
@eliasnganira7661Ай бұрын
Awesome, Mungu aendelee kuwabariki
@kwayabikiramariamamawashau2448Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Nice ooooh!💖💖
@vicentpatrick5923Ай бұрын
Nyie ni next level
@francismwendo9532Ай бұрын
May the good Lord grant you favor to continue serving him
@emilianpeter243Ай бұрын
Mungu awabariki sana…Mbegu njema imepandwa
@emmanuelsilungu446Ай бұрын
Safi sana endeleeni kuboresha sound, kwa maana ya quality kelele ni nyingi sana, maneno hayasikiki
@anithasimon2830Ай бұрын
Kazi nzuri mbarikiwe 🙏
@andersonmwandiki6849Ай бұрын
One day am gonna record with this choir 🙏
@Wencelaus-k4iАй бұрын
God bless you so much,wishing you best of 2025 as well.merry christmas to you all and happy new year🎉🎉🎉
@florahkallanga5945Ай бұрын
Nice Sana kazi Zuri
@InnocentDokotalaАй бұрын
This is so amazing. Great performance
@mediusmwangi9231Ай бұрын
Glory to the lord .
@mariawandiba6736Ай бұрын
Hongereni sana❤❤❤❤
@revocatusalex934Ай бұрын
Nice 👍👍
@JosephCalist-f7pАй бұрын
Hatari.......❤❤❤
@revocatusdarius4499Ай бұрын
Mko vizuri❤
@communicationsstaustins7937Ай бұрын
Woow
@eliudkamwaro2062Ай бұрын
The Church Anthem well rendered 🎉
@faustinelucas7478Ай бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@CharlesKatabi-oe6enАй бұрын
nice ❤❤❤❤❤
@PriscusKimathАй бұрын
🙌🙌
@vickynash372Ай бұрын
Great🎉🎉🎉🎉
@aderickchristian4985Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@freedolinemao7168Ай бұрын
Freedoline mushobozi yuko wapi
@jacobPeter-c7bАй бұрын
❤❤❤❤❤❤
@rwelamiraАй бұрын
Congratulations
@TheophilRomward-FBAttorneysАй бұрын
15:30
@alineumutoniwase9667Ай бұрын
❤
@mumyhendry2919Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JosephcheseroАй бұрын
Jaman mungu kwanza
@manyinsahesbon1214Ай бұрын
Wimbo unaoimba 3:15:07-3:19:06 unaitwaje? Kindly help me
@KULWAKINGIАй бұрын
Naomba MAKUBURI TUFANYE MIAKA IJAYO KUWA NA SYMPHONY ORCHESTRA yan itakuwa nzuri kupita zote nawahakikishieni
@KULWAKINGIАй бұрын
Yani kukiwa na brass, woodwind, string instruments like violin viola contrabass, na piano ikiwa accompanied na electric keyboards yan itakuwa imefana sana
@KULWAKINGIАй бұрын
Cello pia
@eliasnganira7661Ай бұрын
Muhamasishe na maeneo mengine
@JiresKishambaАй бұрын
kuna wimbo hapo wa kwanza mlioimba kwaya master alikuwa mke wa mukasa... kauze shamba naupataje mtandaoni nimeukosa msaada please niupate silali
@antony6843Ай бұрын
Unaitwa familia ni lulu
@williammaloda4530Ай бұрын
Nipe email au namba ya whatsapp nikutumie
@Dicksonalphonce-m4rАй бұрын
Yani nyie basi tuu
@alineumutoniwase9667Ай бұрын
Nimependa uyo dada anaye toza pesa ila watu tulio inje tutatuma sadaka tutapitiya wapi
@andersonmwandiki6849Ай бұрын
Tumia nambari ambazo zinapita hapa chini ya video
@Nineteene19Ай бұрын
Eng Mushobozi aliendaga wapi
@kmkmakuburiАй бұрын
Yuko safarini kikazi
@Nineteene19Ай бұрын
@kmkmakuburi Amina
@MelkiorYustinoАй бұрын
@@kmkmakuburiAmina maana tunaenda Radha yake katika kinanda