Karibu kutazama dakika 30 za KMK MAKUBURI kwenye kilele cha kongamano la Ekaristi Takatifu kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2024
Пікірлер: 75
@m.mmarckus629814 күн бұрын
💃💃hii raha ninayoiskia hapa mpk mwili unasisimka.Nitoke niende wapi niache hizi raha wafaidi wengine pekeyao😂❤🎉
@kwayabikiramariamamawashau244810 күн бұрын
Hongereni Sana...... Nyie ni nyie tuu Mungu azidi kuwainua sifa na ukuu kwake milele🎉🎉🎉
@havefun4free61517 күн бұрын
Mchungwa huzaa mchungwa.. na huo ndo ,mchungwa wa mzee wetu Bernard Mukasa🙌🙌🙌🙌🙏
@Raychoirmaster12 күн бұрын
I always dream of kuwa apo❤ I really love your efforts
@LiberiaMunishi17 күн бұрын
Jamani mnajua mpaka mnajua tena mpaka mwisho, nimependa wimbo wa Ekaristi takatifu Yesu yupo mzima mzima, wimbo umebeba ujumbe mzuri sana mnoo, kongole kwa Mtunzi
@catholicvibemusic315116 күн бұрын
Hakika wimbo mzuri wau record kwakweli
@aloycemlwaty6616 күн бұрын
Kila wimbo ni mzuri na unabariki lakini wakiimba kmkmakuburi unakuwa ❤🔥❤🔥
@freedolinemao716816 күн бұрын
Baba na mwana mnautendea haki mziki Mtakatifu hongereni sana Wana KMK
@BelinaRwebugisa17 күн бұрын
Mungu ni mwema.nawatakia utume mwema,Niliwaona live taifa nilifurahi Sana 😍😍🙏🙏🙏
@stephanoziba85968 күн бұрын
You guys are just dope!! You MUST come to Malawi..
@scholasticaosir17 күн бұрын
This is one choir that I never get tired of listening to. Long live St Kizito Makuburi, Baraka tele.
@Timosaimonidanieri4 күн бұрын
mungu wabaliki hawawaimbaji
@sarahlyimo590115 күн бұрын
Kwa kweli hii kwaya Mungu awalinde sana. Mko vizuri mno
@HeniryKifikilo17 күн бұрын
One in all respect to you mkasaa father
@gracesenya609617 күн бұрын
Makuburi never disappoint 🙌🙌❤️❤️
@utukufukwamungu15317 күн бұрын
What a nice performance
@FainesKitinusa17 күн бұрын
Mungu azidi kuwainua mnanibariki sana❤
@lazarobaynit918613 күн бұрын
Kmk mungu aendelee ktk utume wenu mzuri nawakuigwa kwa kwaya zetu za katoliki
@FATUMAKilave14 күн бұрын
Mungu akutunze mukasa na kwaya ya kmk mbarikiwe sana kwa uinjilishaji
@catholicvibemusic315117 күн бұрын
Nabarikiwa na hii performance, naon roho Mtakatifu 😭🙏🙏
@salomeshongola169715 күн бұрын
Mubarikiwe sana,Mmenibariki katika yesu wa ekarsti.🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
@BonifaceMunyao17 күн бұрын
Moto sana KMK hongereni sana
@mathiassamhenda506617 күн бұрын
What a performance 🔥
@collinsmusyoki949217 күн бұрын
Its such a wow! Performance. Bravo! Guys.❤
@carolinekener476912 күн бұрын
My favorite choir ❤ be blessed
@francisdeus806217 күн бұрын
Great respect to you KMK
@janemwangi60517 күн бұрын
CONGRATULATIONS MY FAVORITE CHOIR MAY OUR GOOD LORD GIVES YOU THE STRENGTH TO SERVE HIM ALL THE DAYS OF YOUR LIFE AMEN AND AMEN ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@donathathobias681913 күн бұрын
Hamjawahi kosea, nabarikiwa sana.❤be blessed too KMK😅
@NestoryMnangwi-vs1jl17 күн бұрын
Kmk🔥🔥
@Mr.Rweikiza199116 күн бұрын
Woooww, nice and vibrant performance...mbarikiwe
@jamestitho889913 күн бұрын
Ni mkweli hii kwaya Naipenda mpka napitiliza aiseee ❤❤
@KiruiKPeter17 күн бұрын
Hongera KMK👏
@brandytania434017 күн бұрын
Beautiful people with beautiful voices. God bless you❤❤❤
@kipchumbakelvin1217 күн бұрын
God bless you st kizito makuburi choir 🎉
@thomasnduva966217 күн бұрын
This is why I love you serious
@TheodathaBurchard16 күн бұрын
Yaani Huwa nawapenda sana makuburi hongereni sana Kwa uinjilishaji uliotukuka
@m.mmarckus629814 күн бұрын
Wewe ndomm mpk raha🎉❤
@RobertCharleskadonya17 күн бұрын
Amina sana 🙏🙏
@deodathadaniel369717 күн бұрын
Be blessed
@kilangiih17 күн бұрын
🔥🔥🔥🙌🏽
@fridoliusrushunju909317 күн бұрын
Big up sana, Yesu nyamugonzibwa mwana wa maria byona ebyo twinabyo nitubikusimila🙏💪
@SylvesterKameo17 күн бұрын
Byona ebyotwinabyo ntukubyehongera!
@lilylillie249517 күн бұрын
Beautiful!
@janenyabamba536816 күн бұрын
Anae conduct ananibariki sana
@aloycemlwaty6616 күн бұрын
Kmkmakuburi❤❤
@revocatusdarius449915 күн бұрын
Sema conductor anajua sana
@annamosha96817 күн бұрын
Motrooo haswaaaa🙏🙏🙏
@JosephJoseph-sm2be17 күн бұрын
@kmk the is soul I own
@IvanNangoli17 күн бұрын
Nice performance kmk
@imaculatadominic700517 күн бұрын
international catholic choir
@BernaStan17 күн бұрын
Safi Familia yangu❤
@happymerry867517 күн бұрын
Duh wameperform watu wameshatoka uwanjani next time wapi nafasi ya kuimba kabla ya baraka za mwisho uimbaji ni ibaada pia
@TheophilRomward-FBAttorneys17 күн бұрын
Imagine! Sijui hawaoni umuhimu wa kwaya kwenye uinjilishaji
@ibel4lf17 күн бұрын
Hii Kwaya naipa maua yake💐
@elizabethndunguru388216 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@salomemahembega942010 күн бұрын
🎉🎉❤❤🥰😘🙏😍😍😍
@NeemaAlfred-j1i17 күн бұрын
Bernard mukasa ni mmoja tu
@m.mmarckus629814 күн бұрын
Mwingine copy😂😂 atupishe kabisa
@JansonRweyemam17 күн бұрын
Aisee nimependa apo mlipoimba kihaya dah mmenikosha san
@AaroniDavid17 күн бұрын
❤🎧❤
@joeljoseph78517 күн бұрын
#👏👏👏
@VictoireKalombo-p7m17 күн бұрын
🥰🥰🥰🥰
@eugenekeragori17 күн бұрын
Jameni ipo siku nitajumuika nanyi kabla niende zangu kwa heri...mwatubariki sana nyie wanamakuburi..hakuna kama nyie afrika mzima kabisa