Nimefurahi sana kuona hili unaweza usielewe ila it's very powerful to players and Team management. Mungu azidi kuwatunza mzidishe upendo huu huu
@AlmachNestory19 күн бұрын
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@iddrisanyange817519 күн бұрын
Amini
@kolosii435119 күн бұрын
Tuzidi kumwombea Mungu amlinde na kumjaza hekima na maalifa tele katika kuitenda vema kazi yake.
@dengahmediatz311319 күн бұрын
Kikubwa mashabiki tuwe na subra mambo mazuri yanakuja
@cchuwa698019 күн бұрын
Hii furaha inayojengeka hapo kuna fala tutampga nyingi asiamini 💛🧡💚
@hggvg980919 күн бұрын
Baba na wanaweeeee🎉🎉🎉 GUSA💚ACHIA💛TWENDE KWAOOO💛💚MUNGU AZIDI kuapa furaha na upendo na Amani télé hivi mulisha wahi kuone zingin timu zikifanya hivi🎉🎉🎉🎉🎉YANGA RAHA💚💛💚💛💚💛
@mgobanyapazi773819 күн бұрын
Kuna amani na furaha sana aisee Kila la kheri wananchi Daima mbele nyuma mwiko 💚💛
@Yassin-z6o19 күн бұрын
Kwa mbaaaali!! Naanza kumsahau mwalimu Nabi. Sead Ramovich ni mwalimu, sio kocha. 😊😊😊
Mungu aifanyie wepesi musitumize jmn from zanzibar ❤
@AnnaMzava-o2j19 күн бұрын
Ni furahaaaaa ty na vichekoooo mungu ni mwema
@marthamjandwa432519 күн бұрын
Hakika mungu atatenda kazi furaha imelejea💚💛💚💛💚
@HECHYBOY19 күн бұрын
Ahaaaaa raha bhana kuona mambo yanarejea mdogo mdogo
@tawsi-yc3nk18 күн бұрын
Sanaa tu tunatamba na timu yetu
@mbarakasijaona763819 күн бұрын
Mungu ibariki young africans daima mbele nyuma mwiko
@saidikomba312019 күн бұрын
Mungu atufanyie wepesi wake
@bulaasiywez701419 күн бұрын
Kocha ana urafiki na wachezaji wake hii ni nzur sana
@SaidAkili19 күн бұрын
Inshallah KHER Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah
@5googleuuu72719 күн бұрын
Dua tu kila hatua kwa timu yangu pendwa 💚💛💚💛💚💛
@claratango926217 күн бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@HabibaKhamisi-xo8tz19 күн бұрын
Wakati anatambulishwa German machine nilimuona kama yupo serious yasaa nilikuwa simuelew nikawa najiuliza vp kwa wachezaji watakuwa na furaha kweli maan mukiwa nafuraha nakila mnacho kifanya bas mnafanya vizuri zaid lkn ivi sasa ndo anaanza kumuelewa kumbe ule ulikuwa upya tu lkn ivi sasa furaha kama yote inshaallah daima timu yetu ushindi yanga bingwa 🏆💚💚🙏
Kazi nzuri sana, gamondi alikuwa hawezi hata kupiga mpira
@AminaTapwale-e5t18 күн бұрын
Jamani😂😂😂😂amewezaje kuwa kocha
@SalumMusa-f5l17 күн бұрын
Mmh sa tusimtoe kasolo gamond kwaajili ya huyu mpya maana siku Moja anaweza rejea tukakosa lakusema
@JosephDololo17 күн бұрын
@SalumMusa-f5l sisi hatujali hilo
@SalumMusa-f5l17 күн бұрын
@@JosephDololo hakuna mbaya hasie na mazuri huyo gamond binadamu tu alifanya kwa nafasi yake akatupa furaha katupatia makombe ya league ngao ya isani katupeleka robo club bingwa katupa kombe la Azam fadelection kafanya yanga ikawa tishio timu inayoogopeka na isiemuogopa yeyote ndo kocha wakwanza kwa miaka ya ivi karibuni kuifuna Simba mechi nne na husisaau kipigo kikali alichowapa Cha Gori Tano ndugu tujue kutunza nakuweka akiba ya maneno
@MhabeshiMaluja19 күн бұрын
مشاءلله يغو افركانزى.اسءل لله ان يعينكم جميعآ
@fatmaomar833519 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💚💚💛
@ShauwaliAbdulrazak19 күн бұрын
Nmefurai kuonawa chezaji na kocha walivyo chnga mkaa ivi gusa achia twende kwao paka kwenye mechi nifuratu mpaka kwa mashabiki mungu atawalishe furaih
@Mathamayaka19 күн бұрын
Awa wachezaji sasaivi wanafurahi Sana na kocha wao
@zaidihussein431119 күн бұрын
Mungu ibariki yanga yetu tufunge mwaka tukiwa kileleni
@Rukaka_jr19 күн бұрын
Kama anakuja nabi afu anakataa, tutainjoi lkn ile yanga ya nabi ilikuwa brilliant 👏
@AndrewKagete-o6t19 күн бұрын
Cheers Dar young Africa
@UshindiGwivaha-y5y19 күн бұрын
Dodoma Jiji poleni 😅😅😅Sanaaaaaaaaa
@Ba6382819 күн бұрын
This is really encouraging they're back see their blissful faces
@SaidOmar-sd2yo18 күн бұрын
Allah aibariki Tim yetu ipate ushindi Kesho amiin
@dullamuwise480218 күн бұрын
My Allah awep afya y mwili n akili n pia awape nguvu mzd kupambania nembo ya team kubwa baran Afrika Yanga bingwa 24/30🔰🇹🇿
@givenlawi417118 күн бұрын
Hadii rahaaa 💚💛💛💚
@fadboe77219 күн бұрын
We love you forever our team 🔰 Allah will bless you 🙏
@AbasMohammed-s1o19 күн бұрын
Team of citizens 💪
@Ibrahim-vo1sn19 күн бұрын
Uyu kocha ni akili akili nyingi kipita kiasi Kuna kitu anakijenga kwa wachezaji wampende kwanza technical coach wakiwa kwenye mech awatakubali kuupoteza iyo furaha Wala kumuuzunisha coach wao
@vincentkatonga698518 күн бұрын
yanga raha nyie❤❤❤❤
@wanaarakati19 күн бұрын
Kwa furaha hii na upendo huu kuna tim zitakua zinalia sana
@AbasiChobo-n1z19 күн бұрын
Family life that is good❤
@Ngereza-gq4jv18 күн бұрын
Tunaimani na timu yetu jamani❤
@issahpaul451019 күн бұрын
Confidence inarudi Sasa 🔥
@GibusoniBoniphasi-cy4gd18 күн бұрын
kilalaheli chamalangu mungu yupopamoja nasisi
@magrethshishwa548119 күн бұрын
Yangu yangu Mimi jmn💚💛💚💛💚
@ArnoldMwambaya18 күн бұрын
Kiukweli saiz team yetu imeludi bora engineer alishtuka mapema
@mwanahamisihatibu59019 күн бұрын
Hii ni nzuri itadumisha upendo baina ya wachezaji na benchi la ufundi
@MohamedyMkozi19 күн бұрын
Hadi Raha tunahitaj makocha kama hawa❤❤
@AhazyStanley18 күн бұрын
Aucho anaonekana anamuweza sana Ramovic😹
@saidikomba312019 күн бұрын
Asante yanga yangu
@onekisstv841219 күн бұрын
Upendo utawale ❤❤
@BenezethEmily19 күн бұрын
Hii Familia inabalaa
@AtuMiyombe19 күн бұрын
Safi sana najiikia furaha kuona wachezaji wanafurahia mazoezi
@KelvinAlvin-t2m19 күн бұрын
Ila wazungu bhana hv wanatoneje kejer nyng sna
@sabrinafadhil883519 күн бұрын
Young africa high moral
@BurtonElias19 күн бұрын
🔥🔥🔥💛💛💛💛💛💚💚🙌💪 saf sanaaa
@Sumaiyafisoo19 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉
@triceyanga19 күн бұрын
Aliekua kocha wa kmc anaenjoy😂😂😂😂
@moherai912019 күн бұрын
Akituvusha club bingwa kutoka kwenye makundi nampa zawadi yangu
@Sumaiyafisoo19 күн бұрын
Aziiiiiiiiik 10 anewaka
@BbasuleBasule19 күн бұрын
Wachezaji Wote Wako Happy But Sijamuona Max
@AminaTanzania19 күн бұрын
Yanga raha sana
@MuslihiShafii19 күн бұрын
Mandarizi mema kikosi chetu nice
@joshuakaswahili179318 күн бұрын
Kuna huyo mwamba aliekimbia kmc bwana Amorin anafuraha ambayo hajawahi kuipata toka atue Tz
@mabindastudios573919 күн бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🎉🎉🎉✍️
@AlhabibJ19 күн бұрын
The beauty of teamwork
@FelixKabuka-u2o19 күн бұрын
Nzuri hii
@nacetsiringa133418 күн бұрын
Ameanza kucheka na wowote 😂😂
@Sumaiyafisoo19 күн бұрын
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉
@rachelcheyo-p5z18 күн бұрын
All the best yanga
@KapeLoBoY18 күн бұрын
hii ndo raha ya kuajili makocha vijana yani hadi rahaaaa
@rosemaryluhwago19 күн бұрын
Mungu ibariki YANGA Africa
@naimasbuguza239519 күн бұрын
Huyu kocha atatu surprise, hii session yake inaonyesha namna gani yko smart kwenye psycho_activeness ya wachezaji na social active
@imraannassor179919 күн бұрын
I love young Africa FC
@DoryGeorge18 күн бұрын
Aise bg up
@gabapentin807019 күн бұрын
😂😂😂 waleteeeeeee
@Sum-sq7vm19 күн бұрын
Yani yanga ni raha nhingi sanaaaaaa
@saeedmagoda965119 күн бұрын
Bas tu ila wenzetu wana enjoy sana yaan hapa hata ukikosa nguo za sikukuu mbona shega tu
@KingMsauzi19 күн бұрын
Hadi raha watu wana enjoy
@vualemakame136219 күн бұрын
Inatia hamasa kwa kweli❤
@RehemaRehema-un7wh18 күн бұрын
Mwenyezi mungu hatufanyie wepesi wabaya waadhirike
@Sum-sq7vm19 күн бұрын
Wawo amezingi
@zakiakondo284919 күн бұрын
Nimecheka 😂😂😂😂
@abdallahkambangwa721519 күн бұрын
kwakweli yanga wanainjoi sana
@MuuAlly-l3h19 күн бұрын
Ukion unaon kama wanafany ujinga ila hiyo nimoja ya fitness
@paulmasunga175419 күн бұрын
Unaweza ukachukulia poa kumbe kuna kitu kinatafutwa
@Kuminamoja199518 күн бұрын
Ubaya ubwela yanga Bingwa
@NemaMsungu19 күн бұрын
Tunard kwenye ubora wetu naiona aman ndani clab
@mbarakashabani357418 күн бұрын
Yanga iyooooo
@SelestinBihume19 күн бұрын
On 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Kijavaa_jr19 күн бұрын
Team work
@johnsteven83819 күн бұрын
Sema wafupi ni wabishi balaa, 😀😀😀😀
@mkudesekulu988019 күн бұрын
Kwa furaha hii hakuna muda mrefu wazee wa upande wa pili watanza vikao vyao
@innocentmmandago302918 күн бұрын
Good luck
@fredymwakikono157519 күн бұрын
Katika kitu kinachonifurahusha kwa huyu kocha ni namna anavyoweza kutumia wachezaji wake wote, bado Bakeke tu, kila mchezaji anajiona ni sehemu ya timu, pia sub zinafanywa mapema, ni kocha wa aina yake kwa kweli