Kwaiy hiyo pale mlishangaa wale wanawake mlishasahau kuwa mna uadui😅😅😅
@user-zq2cc3to9o3 ай бұрын
Wajinga kweri ani😂😂😂😂
@NatureMw1554 ай бұрын
Wakwaza leo
@user-zq2cc3to9o3 ай бұрын
Ringo ww ayaa bana ananowa meno😂😂😂😂❤❤❤
@ByboyOndebit3 ай бұрын
Ringo ni King 👑👑👑
@salimdeluxe15433 ай бұрын
Bro utanufelisha UE😅 Mitihani imefika af nd umetoa series kali kinoma hii😅😅
@Hiari-rh8xv4 ай бұрын
Man Ringo makofi kwake
@ByronMwangi3 ай бұрын
Ringo una bonge la sana asante kwa kazi yako ❤❤❤
@SofiaManyama3 ай бұрын
wamewuwa kabisa
@SpecioMovies4 ай бұрын
Hii imeenda boss wngu
@jumamajuu61854 ай бұрын
Ringo,masantula,mkojani ,mau fundi, white ....wakiungana watauza sana .....wacheshi sana .......from kanairo
@ringosabufa4 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@hamzantawinyaga26544 ай бұрын
Bro bufa usiishiye hapo tunataka muendelezo tunakuw hatuna sapoti yoyote zaid ya views na like kaka but big up Jitaidi tupate muendelezo hadi mwishoooo Bro Sabufa
@bamkalidollar7774 ай бұрын
Best comedian
@Moranilesoile4 ай бұрын
Masantula Hana akili kabisaa anacheza mziki wa honi😂😂😂😂
@user-pp3vo8rw5j4 ай бұрын
❤❤ Ringo nakukubali sana
@suleimannationy-ln1wu4 ай бұрын
Unga ume shuka 😂
@chusseboywcb28084 ай бұрын
Jmn inatoka lini? make nzuri
@MaryamShabani-n2u4 ай бұрын
Bwana harusi mtalajiwa lingo km lingo
@FRANK_FUNS4 ай бұрын
Mtazame na matangazo jaman
@THAMARFILMS4 ай бұрын
Ringo huo msuli wa kanga ungeuvaa chukuchuku bila nguo nyingine ndani😂
@ringosabufa4 ай бұрын
😂😂😂
@HamicKauno2553 ай бұрын
Hivi hawa makolo wanaotajwa ni hawahawa makolo yaani Simba au
@Azkingogkaka4 ай бұрын
Jitahidi utupe namba mbili brother
@ringosabufa4 ай бұрын
Usijali
@noahchepe80364 ай бұрын
😂😂😂ringo sabufa
@AlifaHamis3 ай бұрын
Alala
@user-ym8ph3vj4u4 ай бұрын
Baba wa hovyo😂😂 Ati "wameweka za utupu " 😂
@BensonMpomo3 ай бұрын
nakubali ila tunaomba muongezeni na zimwi bonge la comedy
@Twahamwela-ch5lz4 ай бұрын
Ha ha ha ha sembe kilo 300?
@ringosabufa4 ай бұрын
😂
@InnocentArmadillo-do9vm3 ай бұрын
Ringo 😅😅😅😅.
@USDisdoomed4 ай бұрын
Ringo staafu sai
@hamzantawinyaga26544 ай бұрын
Yaani sapoti yako nikumvunja moyo a stafu Mpe sapoti ila sio kumvunja moyo mwenzio
@USDisdoomed4 ай бұрын
@@hamzantawinyaga2654 tumemsapoti sana ila hakuna upgrade kula cku mambo hyo kwa hayo wanafaa wajiongeze ama uchekeshaji hailipi
@graphitenumz4 ай бұрын
Kaka Kwan Shida nn mbona Ukipost kazi Siku hizi haziendi
@DavidSilvanus-tp7gu4 ай бұрын
Kwel bhana vyota hana ila kaz zake nzur
@duncanmulwa37044 ай бұрын
Hii mmeiona aje kama haijaenda
@marwagabrielmwita49474 ай бұрын
Ziende wapi 😂😂😂
@graphitenumz4 ай бұрын
@@duncanmulwa3704 Jiongeze Boss Kuwa mwelewa
@jacksonseleman31604 ай бұрын
Ni md wa watoto kwasasaa tunatak mabadiliko tatizo habadilik kaa wenzie anapit na zile zilee za enz iz