Komando Wa Yesu _Sababu Ya Wengine_(Official Music Video)

  Рет қаралды 128,922

KOMANDO WA YESU

KOMANDO WA YESU

Күн бұрын

Artist: Komando Wa Yesu
Song: SABABU YA WENGINE
Audio By Komando Music
Video By ED Media
Director Elijah D
Contact #255679772248

Пікірлер: 346
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Twende kazi sasa naomba like hapa kama umeguswa na huu wimbo 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮🇺🇲🇺🇸🇺🇬🇺🇬🇻🇮🇻🇮🇰🇿🇮🇱🇮🇱........
@NathalieMwamba-tu6yc
@NathalieMwamba-tu6yc 4 ай бұрын
❤😢❤😢❤
@sellynechepkemoi4432
@sellynechepkemoi4432 4 ай бұрын
Since I was in Kenya , I have listening to your songs , it has really blessed my heart , and now I'm in Chile 🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱, may God expand your minstry.
@neemaxmamaneemaman8871
@neemaxmamaneemaman8871 4 ай бұрын
Sanaaa❤❤❤❤
@neemaxmamaneemaman8871
@neemaxmamaneemaman8871 4 ай бұрын
Ombi yangu niishi kwakusaidiya wengine
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@neemaxmamaneemaman8871 Amen
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Shallom habarini ndugu zangu. Kwa mara nyingine tena nawaletea wimbo huu unaitwa Sababu ya wengine. Ni maombi maalumu kwa ajili ya Mungu kutulinda na adui zetu kwa neema ya Mungu kama tutaondoka katika dunia hii basi iwe kwa mapenzi yake tu nasi kwa ajili ya watesi wetu Amen.
@lumierejason5019
@lumierejason5019 4 ай бұрын
Amen Amen, Mungu atulinde. nimeliya sana nahuu wimbo, Mke wakaka yangu alifariki kisha kuzaha, aliuwawa kiuchawi tu kahacha baby na watoto 4 chini ya mika kumi😢
@ChristianMlelwa-uw4sq
@ChristianMlelwa-uw4sq 4 ай бұрын
Kaka ninatamani siku moja nikutane na wewe. Unisaidie mm naimba lkn wew ni modo kwangu najifunza sana kutoka kwako.
@KizaMmunga-i4p
@KizaMmunga-i4p 4 ай бұрын
Tunahisubiria kwa hamu sana hivi tunakesha KZbin ,nafatilia nyimbo zako nikiwa 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 yaani ni mungu tu napenda nyimbi zako sana
@davidseraphe3864
@davidseraphe3864 4 ай бұрын
❤❤❤
@JeremiahNurbeth-bk8kk
@JeremiahNurbeth-bk8kk 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka mkubwa...IMANA IHA UWULIHO SOWAWE
@AmaniNasoni
@AmaniNasoni 4 ай бұрын
Nmesikiliza mpaka mwisho nimejikuta nalia kwa uchungu kama umetoa machozi kwa hu wimbo tujuane hap kwa like ❤❤
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 2 ай бұрын
Eeeeh MUNGU usiruusuuuuu,TUJALIE TUPATE KUISHI SABABU YA WENGINE😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 OOOOOH YESU
@susanaseyonyundo9689
@susanaseyonyundo9689 4 ай бұрын
Kila nikisikiza huu wimbo napata machozi yakinitoka 😢😢😢😢😢😢😢nikiomba mungu atupe maisha marefu tulee watoto wetu na familia zetu nasikiza huu wimbo more than 5 in aday
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@susanaseyonyundo9689 wahooo Mungu akubariki
@Saudath-r4i
@Saudath-r4i 3 ай бұрын
mungu tupiganie tuishi kwa ajili ya familia zetu, nimelia sana, kama nikifa sasaiv nan atalea wanangu wakati mi ndo mama na ndo baba pia. mungu nijalie niishi miaka mingi kwa sababu ya wanangu😢😢😭😭🙏
@andreamandari7089
@andreamandari7089 4 ай бұрын
Eee Mungu kama kuna namna iliyofanyika kuondoa furaha yangu kipindi kile machozi yangu ukayalipizie kwao maana nimeumia na Sina wa kunitetea Mimi
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Mungu yupo nawewe
@MwendaLuhungoMululo-in4jw
@MwendaLuhungoMululo-in4jw 4 ай бұрын
Tunaousubilia kwa hamu huu wimbo gonga like apa tujuane🇹🇿🇹🇿
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@MwendaLuhungoMululo-in4jw Barikiwa sana
@MwendaLuhungoMululo-in4jw
@MwendaLuhungoMululo-in4jw 4 ай бұрын
@@komandowayesu3642 Amina Mungu azidi kukuonyesha njia bora
@MercyJebet-e8x
@MercyJebet-e8x 4 ай бұрын
My mum left us at a very tender age,,and let me tell you living with relatives is hell,,we suffered so much with my siblings,,may God grant me long life so I can be there for my kids whenever they need me ,,,in Jesus name Amen🙏,,nice song brother 🥰🙏
@jacklinealex2259
@jacklinealex2259 4 ай бұрын
Nakumbuka nilikua kila😂nikipitia magumu naenda kwenye kabiri la babaangu nalia weeeh uchungu ukiisha naenda zangu shule nikirudi nyumbani ugali nanyimwa na walezi wangu natoka njee nalia uchungu ukiisha naingia ndan kulala 😢 yoyote anaesoma comment hii na anaishi na mtoto ambae si wake basi aishi nae kama mtoto wake maana huwezi jua kesho atakua nani na atakua na msaada gani kwako 🙏🙏kila atakae soma comment hii Mungu ampe hikima ya kufanya mambo kwaajili ya wengine ❤❤❤#sababuya wengine❤🎉
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@jacklinealex2259 Amen 🥲🥲🥲
@estermwainuse2579
@estermwainuse2579 4 ай бұрын
Tunakuwaga wabarikiwa baadae wanaanza kuona Aib
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@estermwainuse2579 hakika 💪
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 4 ай бұрын
Pole sana
@RosemaryWanjala
@RosemaryWanjala 4 ай бұрын
Ni kweli hauwezi juu ya kesho mungu atusamehe sana
@NeemaMasoka
@NeemaMasoka 4 ай бұрын
Kweli kabisa😢mungu tuu haendelee kutupa uzima😢sababu yawengine 🙏🙏🫂
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen 🙏
@MargaretAsiko-h2y
@MargaretAsiko-h2y 4 ай бұрын
Mungu nipiganie na unilinde nilee watoto wangu katika jina la yesu amen ubarikiwe sana bro
@jannethmuinde6743
@jannethmuinde6743 4 ай бұрын
Naomba niwe baraka Kwa wengine.....husiruhusu adui kutuonea mungu🙏🙏🙏🥰🥰🥰wimbo unao upako🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Barikiwa sana 🙏
@jannethmuinde6743
@jannethmuinde6743 4 ай бұрын
@@komandowayesu3642 asantee..neema ya Bwana ikutoshe 🙏
@NiceCharles-vs8wn
@NiceCharles-vs8wn 4 ай бұрын
Nimejikuta nalia japo wazazi wangu bado ni wazima ewe mwenyezi mungu watazame mayatima pamoja na wajane, ubarikiwe sana❤
@josemero_daily
@josemero_daily 4 ай бұрын
Nimeutazama huu wimbo mara 10, na bado cjatosheka...👍
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@josemero_daily Barikiwa sana
@CYLUSMOTEMA
@CYLUSMOTEMA 4 ай бұрын
Ni kweli vizuri havidumu.Ila Mungu asiruhusu adui kutuonea na atujalie na kutupa maisha zaidi tuishi kwa sababu ya wengine.😢😢😢
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen
@GT3000-c1p
@GT3000-c1p 4 ай бұрын
Mwaka uhu umekua ni mwaka wa majonzi kwa watu wengi 😢, Ee Mungu tuepushe na pepo ya umauti 🙏🙏😭
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@GT3000-c1p Amen
@PatrickWolfo-iy2rr
@PatrickWolfo-iy2rr 4 ай бұрын
Wimbo mazuri sana nimeona kipande tiktok ❤❤
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Barikiwa sana
@PatrickWolfo-iy2rr
@PatrickWolfo-iy2rr 3 ай бұрын
Amina​@@komandowayesu3642
@DanielMgani
@DanielMgani 4 ай бұрын
Nyimbo Nzuri sana nimebarikiwa mtumishi🔥🔥🔥
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen 🙏
@perezokeyo4083
@perezokeyo4083 4 ай бұрын
I have played this song for about 50 times...eh Mungu mwenyeza sikia hili ombi.Let me live for the sake of my 10 yr old son who depends on me..❤ from Kenya
@Hyline-g6u
@Hyline-g6u 4 ай бұрын
Mungu wangu sisi tu wasafiri wa humu dunia since i remember marco joseph😢😢😢😢.Thanks my brother komando for remembering them may the Lord give you wisdom and courage like solomon to spread his ministry,,,,much love from Riyadh city
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen 🙏
@HedaNdahimana
@HedaNdahimana 4 ай бұрын
Amen 🙌 God bless you nice song Mungu aendeleye kutulinda kabisa
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen
@DanielMgani
@DanielMgani 4 ай бұрын
Jaman mbn jioni imefika bado si uwoni
@PatrickWolfo-iy2rr
@PatrickWolfo-iy2rr 4 ай бұрын
Kesho
@perezokeyo4083
@perezokeyo4083 4 ай бұрын
Marco jamani siamini wallahi😢
@JeaninePelesi
@JeaninePelesi 4 ай бұрын
😢😢 kweli kabisa mungu aendelee kutulinda sababu ya wengine ❤
@marthawanjiru6675
@marthawanjiru6675 4 ай бұрын
Tujalie tupate kuishi kwasababu ya wengine❤❤🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officesayoscar2155
@officesayoscar2155 4 ай бұрын
Imegusa Sanaa mtumishi
@KizaMmunga-i4p
@KizaMmunga-i4p 4 ай бұрын
Naupenda sana huu wimbo nakumbuka wazazi wangu mungu azidi kukuwekea mkono wake wa baraka juu yako from 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@KizaMmunga-i4p barikiwa sana 🙏
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen 🙏
@hildashanzu2526
@hildashanzu2526 4 ай бұрын
From TikTok 😊😊May God give us long life,Some of us are the breadwinner,Wazazi na wadogo zetu wanatutegemea😢Eeh Mungu tujalie maisha marefu 🙏Tutenge mbali na maadaui zetu Amen 🙏 Komando thank you for this 🙏 much love from kenya 🇰🇪 ❤️ 💖 😊
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@hildashanzu2526
@hildashanzu2526 4 ай бұрын
@@komandowayesu3642 🙏🙏
@idnewtoneglobalofficial
@idnewtoneglobalofficial 4 ай бұрын
Tujalie tupate kuishi sababu ya wengine Mungu Baba❤❤❤
@Regnard999
@Regnard999 4 ай бұрын
Very emotional masterpiece😢😢,, kama unatazama ukiwa Kigoma twende kaz hapa❤❤
@jacklinemaingi8385
@jacklinemaingi8385 4 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪Dear lord for the sake of those who depend on us, Have mercy on us 🙏
@PaulKiza-t2o
@PaulKiza-t2o 4 ай бұрын
Wapo wanao tutegemea usiruhusu adui kutuonea tujalie tupate kuishi sababu ya wengine 😢❤❤
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@PaulKiza-t2o Amen 🙏
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@PaulKiza-t2o Barikiwa sana
@kewashone3437
@kewashone3437 4 ай бұрын
Kila mda naurudia maana sija tosheka🙏🏻🔥
@B.M.JMusic-pf1dn
@B.M.JMusic-pf1dn 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana tunausubiri kwahamu
@kewashone3437
@kewashone3437 4 ай бұрын
Wenzangu wa 🇹🇿 Kenya isituzidi challenge Kama umekubali comenti yangu lik apo chini❤🇹🇿🇹🇿
@PauloMollel-j9t
@PauloMollel-j9t 3 ай бұрын
Dah wimbo huu umeniguza San kweli mung azid kukupa kibalo
@ElishaKasekwa-vo2eg
@ElishaKasekwa-vo2eg 4 ай бұрын
Ni ombi langu kwako mungu nifanye niwe baraka kwa familia yangu😢😢🙏🙏
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Pokea kwa jina la Yesu
@davidmbayaprincedavie5401
@davidmbayaprincedavie5401 4 ай бұрын
Huu wimbo umenifurahisha sana . more grace man of God.am David mbaya mwimbaji wa nyimbo za injili from meru Kenya
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Barikiwa sana
@DoreenKamtupe
@DoreenKamtupe 4 ай бұрын
Ubarikiwe Sanaaa Mtumishi wa Mungu Kaka Komando wa yesu Ni kweri vizuri havidumu Mungu Atusaidie
@NewSoundOfGospelMusic
@NewSoundOfGospelMusic 4 ай бұрын
Uyo mtoto ametisha sana kk Ramady seen
@KewaAsukulu
@KewaAsukulu 4 ай бұрын
Song 🎵 Of The Year 🙌🙌🙌🙏💞💯
@yonasshechonge4549
@yonasshechonge4549 4 ай бұрын
Hii nyimbo ni yangu kabisa ❤
@celinaallipio8476
@celinaallipio8476 4 ай бұрын
Inapendeza mbele za Mungu. Mungu akubariki.
@EmmanuelKunzugala
@EmmanuelKunzugala 4 ай бұрын
very touching song,elimu ya kutosha,i feel to cry 😓😓😩😓 @komandowaYesu
@SarahPeter-n8b
@SarahPeter-n8b 3 ай бұрын
Ameen mtumish barikiwa
@SiliverySixbeth
@SiliverySixbeth 3 ай бұрын
😭😭😭Pumzika kwa Amani Mama yangu kipenzi nakukumbuka Sana My mom
@moureenondisa6814
@moureenondisa6814 4 ай бұрын
T b Joshua wherever your soul is may you continue shining as per the word of God in you. I salute the man in the synagogue
@FudidohwcbOfficial
@FudidohwcbOfficial 4 ай бұрын
Mungu asituache amém 🇲🇿 Mozambique
@AnnaAnney-pc4ui
@AnnaAnney-pc4ui 4 ай бұрын
😅😅😅 nlivyokuj mbio jmn af bado 😢😢
@HedaNdahimana
@HedaNdahimana 4 ай бұрын
Tuishi kwa kupenda wengine sababu sisi sote ni wapitaji duniani
@Inzirayawetv
@Inzirayawetv 4 ай бұрын
Amen nyimbo nzuli sana barikiwa Mungu azidi kukupa ufunuo kwanyimbo zengine. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@Inzirayawetv Amen
@AnnaNorbeth
@AnnaNorbeth 4 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu 🙌
@entujaelmsangi
@entujaelmsangi 4 ай бұрын
Mungu tupe kuishi sababu ya wengine 😢🙌
@Migapogospel678
@Migapogospel678 4 ай бұрын
Mimi badoo naipendagaa ile nyimbo ya yamebadilikaa kuna kitu ndani yangu roho mtakatifuu ananiambia tuwaombee wale wasioo jiwezaaa _@hata weww pia mtumishi uzidiii kung"ara katka roho ya kweliii ndani ya kristo
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 3 ай бұрын
Amen 🙏
@Wangoii_mercy
@Wangoii_mercy 4 ай бұрын
team kenya🇰🇪
@yvetteirankunda520
@yvetteirankunda520 3 ай бұрын
Mungu tusaisiye tuishi, asante mtumishi in wa Jehovah kwa ufunuo huyu, Mungu azidi kuzungumza nawe.
@IsawoMnyenye
@IsawoMnyenye 4 ай бұрын
Upo vzr mno, MUNGU azidi kukuinua
@KabulaMasanja-o4s
@KabulaMasanja-o4s 3 ай бұрын
Ni wimbo mzuri kahika
@nancyachieng3692
@nancyachieng3692 4 ай бұрын
Kwa kweli wimbo enyewe linanigusa sababu hilo ni ombi langu kwa Mwenyesi Mungu❤❤
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
Barikiwa sana 🙏
@FurahaMupenda
@FurahaMupenda 3 ай бұрын
Wimbo huu umenitowa machozi😢
@JustineOuma-zn3hg
@JustineOuma-zn3hg 4 ай бұрын
😢😢may God protect us,this song aki among the best 😢😢
@FurahaMupenda
@FurahaMupenda 3 ай бұрын
Kila nisikiapo roho inalia sana😢😢😢
@princesstinah
@princesstinah 4 ай бұрын
Tuishi kwa kupendana maisha mafupi😢
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana,ila nakuombea ucje jiinua km shetani 🙏
@school_life254
@school_life254 4 ай бұрын
Im here waitimg for the song to play
@binti-albert
@binti-albert 4 ай бұрын
Huu wimbo umenitoa machozi 🥹may the Lord bless you and keep you safe always ❤much love from🇦🇺💖
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@binti-albert Barikiwa
@joshuakipyego5572
@joshuakipyego5572 4 ай бұрын
Amina nice message
@AsumtaAmos
@AsumtaAmos 3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@NaomNtabo
@NaomNtabo 4 ай бұрын
Rip Marco Joseph 😢😢😢😢we loved you brl God loved you more..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@andrewhaule1285
@andrewhaule1285 4 ай бұрын
Ona ngombe hii from kenya
@NaomNtabo
@NaomNtabo 4 ай бұрын
@@andrewhaule1285 confirm something before you reply...sasa ww ndio gunia hata si ngombe...idiot
@wacirairene7307
@wacirairene7307 4 ай бұрын
May every opharn passing through this kind of situations or even worse, you God who is their father visit their situations in the mighty name of our Lord Jesus 💖🙏🙏
@oddiriakasema657
@oddiriakasema657 4 ай бұрын
Mungu nipiganie pamoja na my hubby tuishi kwa ajili ya wengine kama ilivyo kwenye nafsi yangu
@lovielovieejoyce6313
@lovielovieejoyce6313 4 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kutuelimisha
@hilahpeters2823
@hilahpeters2823 4 ай бұрын
Napenda kazi yako sana. Mungu azidishe hichi kipaji chako uendelee kutubariki ❤❤❤
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 4 ай бұрын
Naandika kwa machozi,,,,Nasiku ya pili ya maombi babaangu mdgo yuko kitandani ni nguvu za giza...Yeyote mwenye kuona hii comment kwa moyo wakuguswa atamke neno la uponyaji kwa babaangu ninapokea🙌😢😢😢😢
@hudson2005
@hudson2005 4 ай бұрын
Natangaza uponyaji dhidi yake katika jina lenye nguvu la Yesu Kristo Amen. Usikate tamaa Mungu yupo
@nynyarugusumatukio255
@nynyarugusumatukio255 4 ай бұрын
Kwa jina la mwokozi wetu YESU KRISTO apokee uponyaji kama lilivyohitaji lako
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@EDITHACHINGUILE kama Mungu aishivyo awe mzima kwasababu ya wengine 🙏
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 4 ай бұрын
@@hudson2005 Amen 🙏
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 4 ай бұрын
@@nynyarugusumatukio255 Amen 🙏
@Pombaa_Wa_Yesu
@Pombaa_Wa_Yesu 2 ай бұрын
WIMBO MZURI SANA ASANTE SANA KUSAH KWA KUSAPOTI KIJANA MUNGU AKUBARIKI🎉🎉🎉❤❤❤
@allenshoo1164
@allenshoo1164 4 ай бұрын
Nice song be blessed 🙏
@Gloria-williams-r2
@Gloria-williams-r2 4 ай бұрын
From TikTok to here si you are a blessing 😉 ❤❤
@lawrenceniga9368
@lawrenceniga9368 4 ай бұрын
Nyimbo inatufanya tuzidi kuomba sana
@MEREHANNA
@MEREHANNA 2 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha mbali sanaaaa nimemkumbuka baba Yang kweli 😢😢😢
@puritymisoi5714
@puritymisoi5714 Ай бұрын
Mungu akubariki sana ndugu....nimefarijika sana na huu wimbo.....ili ni ombi la Moyo wangu kila mara
@munaberyl
@munaberyl 4 ай бұрын
Straight from tiktok
@kaitasicoster-jl6hi
@kaitasicoster-jl6hi 4 ай бұрын
Kama kupitia wimbo huu nawewe umekuwa Komando kama Yesu like zako kwangu na kwa Komando wa Yesu
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@kaitasicoster-jl6hi barikiwa sana
@shukuruebalo8562
@shukuruebalo8562 22 күн бұрын
Ubarikiwe mtoto wetu KOMANDO WA YESU
@judykeyah4651
@judykeyah4651 4 ай бұрын
More grace U are blessings to many😇😇😇🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TheopistaAloyce-ht8kr
@TheopistaAloyce-ht8kr 2 ай бұрын
Amina.MUNGU akubariki kwa wimbo mzr umenigusa sana.
@aronmvembezi4375
@aronmvembezi4375 4 ай бұрын
Mungu amekupa wimbo wenyewe kabisa kaka yangu. Hongera sana Kwa kuwa tayari kutumiwa na Mungu ❤❤❤
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@aronmvembezi4375 Amen 🙏
@jonasikigodi7345
@jonasikigodi7345 4 ай бұрын
Amina 🙏🙏 MUNGU akubariki sana na aendelee kukuinua na kukutunza ili uendelee kuishi kwaajili ya wengine
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@jonasikigodi7345 Amen 🙏
@DamaclineKemunto-dc7de
@DamaclineKemunto-dc7de 2 ай бұрын
As a first born please God let me be alive because of my Family 🙏
@BarakaGabrielMusic
@BarakaGabrielMusic 4 ай бұрын
I just felt like crying after hearing this. Be blessed MOG...
@JylineJemeli-wg7zk
@JylineJemeli-wg7zk 4 ай бұрын
What a blessing this morning,amen may God preserve us for the sake of those who depend on us 🙏🙏🙏💯
@PaulRichard-w6q
@PaulRichard-w6q Ай бұрын
Balikiwa sana huu wimbo nimeniliza sana nawaza mbali sana adui anapanga nisifike kwa jina la Yesu washidwe by fredy bavuna
@zulfakibwana2330
@zulfakibwana2330 2 ай бұрын
Kwani mpaka utaje kina la diamond na watoto wake.koma
@NeemayaMungu-x8c
@NeemayaMungu-x8c 4 ай бұрын
Amen 😊I can’t wait kwahiyi song 🥰🙏
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@NellyBahati-y3l
@NellyBahati-y3l 3 ай бұрын
Sinauendetu hyonyimbo Naipenda sana🙏🙏🙏♥️♥️
@AnnaAnney-pc4ui
@AnnaAnney-pc4ui 4 ай бұрын
MUNGU azidi kukuinua wimbo mzur san 🎉🎉
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 4 ай бұрын
@@AnnaAnney-pc4ui Amen
@JackrinaAbel
@JackrinaAbel 4 ай бұрын
😢sisi niwapotaji katika dunia hii, ahsante kaka yangu
@Trace_beiber2729
@Trace_beiber2729 4 ай бұрын
nyimbo adi inanitoa machozi
@winfredkisilu1754
@winfredkisilu1754 4 ай бұрын
First to watch❤❤❤ wapi like za 🇰🇪 hoyeee
@SALAMULAVIE
@SALAMULAVIE 4 ай бұрын
Ni kweli mungu atujaliye ❤❤❤
The Best of Komando wa Yesu 2024
1:29:50
KOMANDO WA YESU
Рет қаралды 199 М.
Komando Wa Yesu ft Solomon Mkubwa - WIMBO HUU (Official Music Video)
5:38
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 8 МЛН
EUNICE NJERI visits Tuesday worship Moments // Dr. Sarah K
20:32
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 137 М.
NI HERI KUONA NDUGU - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 174
8:08
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 5 МЛН
Komando Wa Yesu -SINA UENDE (official vide-)Skiza 6980422 to 811
5:51
KOMANDO WA YESU
Рет қаралды 1,1 МЛН
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI  WORSHIP SONGS NONSTOP MIX 2024
34:01
DrN DJ Master
Рет қаралды 775 М.
Elshamah Washira - NIPE NEEMA (Official Music Video)
5:47
Elshamah Washira
Рет қаралды 2,3 МЛН