Рет қаралды 21
BWANA YESU ASIFIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU?
1. WAEBRANIA 13:1-2 TUNAKUKARIBISHA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWENYE SHULE YA "UFALME WA MBINGUNI UMEKARIBIA TANZANIA [OLENJOLAIM]" ILI UJIFUNZE NENO LA MUNGU KWA MFUMO WA SEMINA ZA MAFUNDISHO NA MAKONGAMANO YA MAOMBI KWA NJIA YA MTANDAO WA INTERNET.
2. ISAYA 54:1-4+ HOSEA 4:6 KWA SASA TUNTUMIA MFUMO WA KZbin KWA AJILI KUSAMBAZA NENO LA MUNGU DUNIA NZIMA. KZbin CHANNEL YETU INAITWA "UFALME W MBINGUNI UMEKARIBIA TANZANIA [OLENJOLAIM]". TUNAWEKA VIDEO NYINGI SANA ZA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU KWENYE UKURASA HUU WA CHANNEL YA KZbin.
ILI UWEZE KUPATA TAARIFA KUTOKA KZbin USA PUNDE TUU TUNAP[OONGEZA VIDEO MPYA, TUNAOMBA UFANYE YAFUATAYO KWA UNYEKEKEVU KWA MUNGU WETU;
2.1 BONYEZA KITUFE CHA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII KWA KUTUMIA E-MAIL YAKO HALALI NA BONJEZA KITUFE CHA KENGELE KISHA CHAGUA "ALL"
3. PIA UNAWEZA UKAJIFUNZA KWENYE CHANNEL [VITUO] VYETU VINGINE KWENYE KZbin KWA KUTUMIA VIUNGANISHI [LINKS] ZIFUATAVYO:
1. / @tanzaniaonlineo-level...
2. / @tanzaniaonlinefulltec...
3. / @ufalmewambinguniumeka...
4. / @tanzaniaonlineinstitu...
5. / @tanzaniaonlinea-level...
6. / @kingdomofheavencomesi...
4. 1 WATHETHOLONIKE 1:8-10 WASHIRIKISHE VITUO&VIDEO [CHANNELS&VIDEO] HIZI WATU WENGINE KAMA WANAFUNZI, WALIMU, KAKA, DADA, SHANGAZI, MJOMBA, JIRANI, MARAFIKI N.K. ILI WANUFAIKE NA CHAKULA HIKI CHA KIROHO NA NAFSI ZETU.
5. 2 WAKORINTHO 9: 6-10+ KUTOKA 25:1-9+35:4-29 UKITAKA KUMTOLEA MUNGU WETU SADAKA YA KIWANGO CHOCHOTE& AINA YEYOTE YA SADAKA KWA MOYO WA KUPENDA, UKIONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KUMTOLEA KWENYE HUDUMA HII.
KARIBU UFANYE HIVYO KWA KUTUMIA MTANDAO WA SIMU AU BENKI ZIFUATAZO;
MTANDAO WA SIMU: M-PESA +255 759 745 331, JINA: OLENJOLAI TAYAI
MTANDAO WA BENKI: NMB JINA: OLENJOLAI MOCKO TAYAI, NAMBA YA AKAUNTI: 22110055104.
SADAKA YAKO ITAPOKELEWA NA MUNGU MBINGUNI& SISI MAKUHANI WAKE TUTAITUMIA KULIPIA GHARAMA ZA KAZI YA MUNGU KATIKA HUDUMA/SHULE KWENYE MSIMU HUU MPYA.
6. MAOMBI: WAFILIPI 4: 6-7+ WAFILIPI 1:3-10 KAMA UNA MAHITAJI YASIYO YA SIRI, ANDIKA KWENYE UKURASA WA "COMMENT" UTAOMBEWA.
KAMA UNA MAHITAJI BINAFSI (SIRI) TUTUMIE KWENYE E-MAIL HII olenjolaimocko@rocketmail.com.
WAKO KATIKA UJENZI WA UFALME WA MBINGUNI;
OLENJOLAI MOCKO TAYAI LOSINGO