Anayekubali huu msitari unasema kwamba Binadamu anaweza kupa madhibabu n'a alafu kwenye dua zangu anasema usipone Nipe like kumi tu
@kutunzaabdalla83896 ай бұрын
Me ni kama maji ukighairi kuninywa lazima utaniogaaa.❤❤❤❤❤
@Kinoge-j9k6 ай бұрын
🔥
@mnyamwezitv3826 ай бұрын
Konde unajua kuimba kuliko wasanii wote Tanzania
@AndrewMwijumbe4 ай бұрын
HAINA KUPINGWA
@BennyJvumba3 ай бұрын
best one harmo 🎉
@SamsungA03core-tz7szАй бұрын
Sure❤
@mashabikiwaharmonize6 ай бұрын
Kama unaamini huu ndio mwaka wa KONTAWA kuchukua tuzo za TMA kupitia hii collabo nipe LIKE
@FredOdemba-rw1us6 ай бұрын
Like zinakusaidia nn mwanangu
@Kinoge-j9k6 ай бұрын
🙌🙌
@ShaniBihoiki-lx9jl6 ай бұрын
😢😢❤❤
@KichungukaJotham6 ай бұрын
ila harmonize
@mohammedkidody56185 ай бұрын
😂😂😂
@MolgahEmpire6 ай бұрын
Harmonie baba wewe ni tchombo kwa ajili ya kutangaza upendo na umoja katika dunia na ya kwamba unagusa mioyo za watu kupitia maneno ya nyimbo zako. Endelea baba god bless you a nother
@CelestinKabembe-ic5ek6 ай бұрын
Congo wana tamani uyi nyimbo na harmonize anafanya vizuri saana tunaanda ajefanya tamasha Kinshasa munipe likes zenu kama harmonize anauwezo wakufanya tamasha Kinshasa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Kinoge-j9k6 ай бұрын
🔥🙌
@mohammedkidody56185 ай бұрын
🔥🔥🔥
@AnoldiMachinda6 ай бұрын
Oya wale wadau wa harmonize tujuane kwa like😅
@djb2kzer06 ай бұрын
Usi nletee uchawi me mwenyew illuminate Kontawa kaweka wazi 👌🏾
@BennyJvumba3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@StephenNjenga-li5wq6 ай бұрын
Nayooo hiii tunaiepesha mpaka top tennnn
@MosesKyaviro6 ай бұрын
Mimi wa kwanza toka Congo DRC 🇨🇩 nipeni like zanguu ❤❤
@KakaSide-fd6ch6 ай бұрын
Oyaaaaaa nimechelewa Leo ila wote wanao mkubali Harmonize tujuane kwa like ❤
@nderahaji8786 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TelespholKimazi3 ай бұрын
❤
@mbogomedia43736 ай бұрын
Hivi mnajuwa NITAKUWA wa kwanza kuitazama hii nyimbo kati ya mamilioni ya watu kama na we nimmoja wapo gonga hapa❤
hivi umuhimu wa likes kwenye comments ni nini? kama kuna mafao mnapata share with us
@kaizerabilahi59586 ай бұрын
Wewe za Nini hizo like 🙄
@ibraa11576 ай бұрын
Wa kwanza n maarifa pekee wewe labda wa pili
@IsaacLameck-nz8yr6 ай бұрын
Toa wimbo wako
@johndemunga29036 ай бұрын
Congratulations kwake mais ajitaidi ku changamka kama msani aussi atumike sana sauti all in all congratulations
@JeanLunda-nv5fd6 ай бұрын
Nawa kubali sana kutokea Congo contawa Ana che gaga tu FT tembo Conde boy jeshi
@JaxonDoxa4 ай бұрын
Ukiniletea ubigy ❤❤❤❤❤ nakuletea upack usinitishie uchawi me mwenyewe ruminati binadam wanambo ya kiwaki unaweza ukang,oka meno wakakuretea muswak
@labanmalanga6 ай бұрын
My favorite song 2024 ❤ much love from 🇲🇼 malawi
@NumbiMilton5 ай бұрын
Konde boy,ft kontawa,nawapenda sana,muzidi sana na na marioo
@decatto88426 ай бұрын
Watapoteza muda kawa waliomtahiri shoga😂😂🙌
@YoungPastor-g8k4 ай бұрын
Maadui kuwa wengi na vita vya hapa na hapa kumuandama harmonize Ndo vinampa hasira ya kuendelea kufanya vizuri.
@SUNNY-ij9to6 ай бұрын
ivi hz like uwa mnazifanyia nn maan kil mtu anatak like😂
@MilajiBaton-cw2vt6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ety nami na shangaaa
@masterngao55386 ай бұрын
Tayari samelike comment yako vip umepata nin
@fahadfeisal88032 ай бұрын
2 OF THE BES T STORY TELLERS IN AFRICA, in one song, from KE , hust stumbled on this gem of a record....... fayaaaa mbayaaa....
@Zezeta-yr3hy6 ай бұрын
Kama unawatch ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂 #RejectFinanceBill2024☠️🇰🇪
@AnthonyMarwa-j1l6 ай бұрын
A
@FAVELAFARA0052 ай бұрын
Gachagua is impeached mazeee kwani kenya kwaendaje??😅
@JavasonZion6 ай бұрын
Umeona Hermonise ni masta of writing and singing...damn Konde for life🥰🥰🥰🥰🥰
@matalo05516 ай бұрын
Namba moja hapa, wakigoma tujuane hapa
@Wordwideexposure7776 ай бұрын
Kiukweli hii Ngoma nawakubaki sana mmetisha sipendi mapenz. Tu hii imetujenga sanaa wanangu One love
@paulzacharia58976 ай бұрын
sijawahi kupata hata like 10;kwa kontawa ngoja nione na leo
@charleskibiki2176 ай бұрын
Maana ya neno comment, kukielezea au kuelezea maudhui uliyo yatazama iwe kusifu au kutoa maoni kwa kazi iliyo fanyika nzuri au mbaya ndo tu comment ,,,,,,,, Sasa mijitu inataka like .Sasa sijui hizo likes inalipwa wakat😂😂😂 hata mia haipat " Mimi wakwanza Leo naomba like zenu" kwani umelazimisha kuangalia maudhui 😂 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮?
@paulzacharia58976 ай бұрын
@@charleskibiki217 🤣🤣🤣
@Jamobaasamusic5 ай бұрын
Ni mafunzo ndio mengi kuliko wimbo,,, keep shinning Konde Boy ❤️🐐🐐🐐🐐
@shadrackbrastus16 ай бұрын
Unyama mwingi from mbeya Tanzania like zangu hapa❤❤❤❤
@stephenwanja79426 ай бұрын
Big big big big up Tembo #jeshi wa majeshi #mwanaume shukrani kumpigia dogoo kipawa mbele zidi kutustua pindi to tuamkapo jeshi aitwe jeshii alaaa 🚨🚨🚨🚨🚨
@Romeomanchez6 ай бұрын
Mimi Romeo Huwa sipewi likes naomba likes Tano pekee🙏🙏
@rodneymunene33312 ай бұрын
Like 👍 ndo hyo ata ingine.....
@KesVirihiJRАй бұрын
I am Congolese but really this song of courage really konde boy you are the best if Tanzania and agree with me give me love🇨🇩🇨🇩
@MusibaOfficial6 ай бұрын
Mimi naitwa Erick, Wimbo hii mpya wa Binadamu inakuhusu mungu amenisaidia tu isiyo dhuluma
Ila binadamu wanahujuma Sana hi Ngoma NI Kwa ajili yangu mazima nategemewa mie ila kuna watu dah mungu awape uelewa wanvyo nfanyia dah tuoneane hurumah basi
@judithpendo99856 ай бұрын
Team konde gang umetisha saaana tembo ila apo kwa kutishiwa uchawi na ww mwenywe n laminate konte😢😢love from 🇰🇪🇸🇦♥️
@dsouzamaguno70066 ай бұрын
Muziki sehemu sahihi,Muziki kwa Watu sahihi,Muziki wakati sahihi kwa Watu sahihi 💪🏼
@Bizzbeats15 ай бұрын
Team konde boy JAMAA HAJAWAHI KUJIRUDUA KWA CONTENT I mean hakuna vitu ati baikoko mara sijui zombie, harmonize is an international artist wacha mbwa Koko wakulazimiza sanaa,music is spiritua,ansestors talks only in music and night dreams😂😂😂😂😂 bomboglad
@gaspercollins55196 ай бұрын
Nadhan katika ngoma kali ya mwaka hutoacha kuitaja hii apa all the best kontawa ila mmakonde🙆🏼♂️ hawezekan