KORONA(COVID) KARANTINI PART 1- MKOJANI/TIN WHITE/NAGWA

  Рет қаралды 273,173

Oso online tv

Oso online tv

Күн бұрын

#osoonlinetv #sendTip through MPESA #0743000099
Donate Go Fund me
gofund.me/dc21...

Пікірлер: 279
@salehestambul5535
@salehestambul5535 4 жыл бұрын
Uyo Dada (mke Wa mkojani) ametulia anahitaji kuendelezwa zaidi ,namuona mbali sana.
@gilbertjeshimsauzi.1149
@gilbertjeshimsauzi.1149 4 жыл бұрын
Eti kumi na nani zangu 😂😂😂 bro mkojani ananiachaga hoi aisee 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nionyesheni upendo wenu basi kwakunigongea hizo naniliuu😊😊
@aboumassoud4659
@aboumassoud4659 4 жыл бұрын
Huyu jmaa acha tuuh
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 subscribe kuri channel yanjye plz
@abelsiyame7863
@abelsiyame7863 3 жыл бұрын
Mkojani noma
@ridhiwanially6609
@ridhiwanially6609 4 жыл бұрын
Mkojani we Ni king majuto wa pili
@chiyhbestmasudi7946
@chiyhbestmasudi7946 3 жыл бұрын
Kabisa kaka
@iddinassoropatuka8656
@iddinassoropatuka8656 4 жыл бұрын
Nchii ya Kwanzaa kuwaa na madaktrii wengii dunianii😂😂😂😂😂😂😂😂👈👈
@yakobosengasu8073
@yakobosengasu8073 4 жыл бұрын
Nakubali sn mkojani🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdulkarimkisukari6120
@abdulkarimkisukari6120 4 жыл бұрын
Mko vzuri crew yenu kila siku movie zenye mafunzo kabsaa... Mungu azid kuwasimamia na muione faida ya kazi zenu ktk kipato na familia zenu
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Thanx
@dalrinmbonde2809
@dalrinmbonde2809 4 жыл бұрын
Kazi nzuri yani mi Tin a.k.a Maritini kama anavyomuita Ringo ananikosha saaaaana
@januajeyjanuajey592
@januajeyjanuajey592 4 жыл бұрын
Mkojaniii Utajiri wa mwanangu ni ELIMU
@fraterinimrema7328
@fraterinimrema7328 4 жыл бұрын
Aliyeona teacher kavaa tai vibaya gonga like
@ramadhansuleiman2616
@ramadhansuleiman2616 4 жыл бұрын
Thaat is comedy
@abuusalha1636
@abuusalha1636 4 жыл бұрын
Hajui kuifunga
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@shukurumalinda6741
@shukurumalinda6741 4 жыл бұрын
Watu mnamacho duh!
@salminjaku9955
@salminjaku9955 4 жыл бұрын
Tin apo kanimaliza bonge LA chafya
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 4 жыл бұрын
😂😂😂😂mkojani we mjinga Sana eti mwanangu tusijuane tena mpaka D.A.N 😂😂mnanipa raha nyie watu hasa we mkojani hujawahi niangusha toka kipindi cha mcharo kawa mtamu mungu awabariki sana
@rukiaramadhani4651
@rukiaramadhani4651 4 жыл бұрын
Mchukue mtoto muingize darasani mfundishe 😂😂😂😂😂😂
@khamisjuma5609
@khamisjuma5609 3 жыл бұрын
Mkojani hakuna kama ww good job umeelimisha umefundisha umefurahisha
@rashidjuma144
@rashidjuma144 4 жыл бұрын
Mkojani huyo mtoto anafanana na huyu bint je ni kweli ni mtoto wake🌻🌻🌻🐝🐝
@mariamismail5508
@mariamismail5508 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkojaaaniiii Bla mabusu Wala hawez
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 4 жыл бұрын
Hadukure ryakura rya supermaket na hadupande ndege 😁😁😁😁😁 mukojani nagupenda bure🇧🇮🇧🇮
@kiswaswadu2132
@kiswaswadu2132 2 жыл бұрын
Doctari naomba mkono.... ee mkojani noma sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 3 жыл бұрын
Muungu awabariki ktik kazi yenu mkojani juu
@naomyluwiko5332
@naomyluwiko5332 4 жыл бұрын
Huyu jamaa mkojan akicheka lazma nawewe ucheke
@missmwanaidichalamira3865
@missmwanaidichalamira3865 4 жыл бұрын
Yani mkojani mi hoiii anavyoisema hapanaaaaaaa. 😂😂😂😘😘😘😘
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 4 жыл бұрын
Nafasi ya mwanamke inakwenda kwa mke wa mkojani nimependa ni advance sana
@hassanmradi153
@hassanmradi153 4 жыл бұрын
Mi mwenyewe mwalimu pia, "mwalimu gani"? Mwalimu wa maisha yangu😂😂😂
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 4 жыл бұрын
😂😂😂
@jumaaallyand1580
@jumaaallyand1580 3 жыл бұрын
Hohohoo eti nisipate mabusu kisa korona
@lydiarichardson8866
@lydiarichardson8866 4 жыл бұрын
Like za tini jamani 😂😂😂
@mikidadmikidadmasaninga9256
@mikidadmikidadmasaninga9256 2 жыл бұрын
Mkojan nawapenda San San daah
@anwarally1106
@anwarally1106 4 жыл бұрын
Wasilete habari za ufiroso 🤣🤣🤣 aloo kipupwe vituko
@sosterntulian491
@sosterntulian491 4 жыл бұрын
Hahahaha mungu katujalia wachekeshaji wakali kuwai kutokea tamzania majuto joti mpoki tin kipupwe na ringo ni hatali 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
@aishakayanda9731
@aishakayanda9731 4 жыл бұрын
Kipupwe baba lao
@sosterntulian491
@sosterntulian491 4 жыл бұрын
@@aishakayanda9731 kipupwe kwasasa hashikiki 🤣🤣
@saxannjo6173
@saxannjo6173 4 жыл бұрын
The BEST in MKOJANI
@OffcialKp
@OffcialKp 4 жыл бұрын
Wangap wanataman Ringo angekuwemo umuuuuuu?
@danielboniface9868
@danielboniface9868 4 жыл бұрын
Mimi nimmoja wao
@jumayahaya549
@jumayahaya549 4 жыл бұрын
@@danielboniface9868 Ahahah
@danielboniface9868
@danielboniface9868 4 жыл бұрын
Ingependeza san
@jlove6097
@jlove6097 4 жыл бұрын
Hahahahaha Mr Mkojan Ni mwalimu Wa Life Yake Saf sana
@jaffaryaliy1663
@jaffaryaliy1663 3 жыл бұрын
Mie bila mabusu ntaweza kweli ah ah ah mkojani
@simonanthonykayombo6913
@simonanthonykayombo6913 4 жыл бұрын
kwenye swala la barakoa msingezungumzia chochote maana nchi zilizosisitiza uvaaji wa mask zimefanikiwa kuzibiti kuenea kwa korona kuliko waliopuuza.
@abuubakarkichimbo9957
@abuubakarkichimbo9957 4 жыл бұрын
Nimemkuta mwalimu mmoja anachokizungumza anakijua mwenyewe....
@isayamasele7590
@isayamasele7590 4 жыл бұрын
Daaaaaa...! Mkojani bhana ndooo mana hakusomaa et....
@mumynyika6689
@mumynyika6689 4 жыл бұрын
Mie bila mabusu nitaweza kweli .mkojani ni noooma saana@@@
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 4 жыл бұрын
Kafa baba wa taifa darasa la nne walipumzika kidogo wakaendelea na masomo. Corona kitu gani?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@maidevrasumbura1880
@maidevrasumbura1880 4 жыл бұрын
😂😂😂
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Kwa mbinde baada ya matangazo telee
@britishadam1896
@britishadam1896 3 жыл бұрын
Hhhh hawa jamaa wanifurahixha kwely mkojon noma kwely
@joslayabumba8463
@joslayabumba8463 4 жыл бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu
@nyaruboy5835
@nyaruboy5835 4 жыл бұрын
Nawashukuru San kwa kutoa elimu juu ya corona mwenyez mungu awabarik San tusichukulie powa corona inaua
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Ameen
@vinaah3437
@vinaah3437 3 жыл бұрын
😂😂😂mwalimu wa maisha yko ndio maan una akili n'gombe weweeee😂😂😂😂
@HadijaHadijakondo
@HadijaHadijakondo 4 жыл бұрын
Utajir wa mwanangu elimuuuu
@rashidjuma144
@rashidjuma144 4 жыл бұрын
Mkojani ni noma sanaaa🍾🍷🍓
@fourteen_kiid
@fourteen_kiid 4 жыл бұрын
28:36 " Ama kweli mtu mzima unaweza ukalala ndani peke yako unaogopa lakini ukipewa katoto kadogo tu ukalala nako ukasema eeh nna mtu, ndo kilichotokea leo..." Tiny White😂
@OmarOmar-ew9zs
@OmarOmar-ew9zs 3 жыл бұрын
Mkojani kinachomsaidia anaongea sanaaa haishiwi maneno naana kipaji yuko vzuri Sana mkojani nipesa nimadini.
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 жыл бұрын
Corona na vijiji wapi na wapi.. Corona magojwa ya kwenye ndege uko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nasraiddy9678
@nasraiddy9678 3 жыл бұрын
Na nawa mikono nikitaka kula 😁😁😁😁😁nimecheka jamaniiii mkojani ni balaa lingine
@evalunajohannes469
@evalunajohannes469 4 жыл бұрын
Sisi hatupandi ndege,hatuna mapicnick😂😂😂
@nikyhassan7829
@nikyhassan7829 4 жыл бұрын
Filamu bora yenye mafunzo lukuki juu ya janga hili la CORONA....
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Thanx
@sarhasarhasalum4263
@sarhasarhasalum4263 4 жыл бұрын
Yani sijamaliza kuangalia yani uyu mkojani😆😆😆😆sijuw kabila gani uyuu mbishi jamaniii
@teddykalume4639
@teddykalume4639 3 жыл бұрын
Mkojani bwana. Hapana hapanaaaa
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 жыл бұрын
Kipupwe ww ni mbishi sana 😂😂😂😂😂
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 3 жыл бұрын
Mkojan mbishi etimuingize darasn😂😂😂😂😂
@daudimishambwe9084
@daudimishambwe9084 4 жыл бұрын
Waoooh Mr tin welcome and karantin
@kiondobotto672
@kiondobotto672 4 жыл бұрын
Hapanaaaaaaaaa hapanaaaaa hapaanaaaaa maisha yetu yavijijin tunamaishaa gani yakupat kolonaa
@igomambeyamatukiotv6536
@igomambeyamatukiotv6536 4 жыл бұрын
Naomba nikushike mkono bwana kama umecheka hapo like twende sawa
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣imenivunja mbavu naomba nikushike mkono bwana
@sabrahmashema842
@sabrahmashema842 4 жыл бұрын
Hii movie imeanza vizuri sanaaa nimependa kwakweli
@mrchick-dz8ug
@mrchick-dz8ug 4 жыл бұрын
Kama unamkubali mkojani gonga like apa
@talibhamadi2365
@talibhamadi2365 4 жыл бұрын
Movie ipo vzr endeleeni na mwendo huo2
@TalkhubPodcast
@TalkhubPodcast 4 жыл бұрын
Sio kwaubishi huo😂😂😂
@marwa2862
@marwa2862 4 жыл бұрын
Aliye muona Tin white akitembeya kama mzimu gonga like
@msafirimsafiri9452
@msafirimsafiri9452 4 жыл бұрын
Tin mbavu zangu atazivunja
@white_beast1kennel_tz573
@white_beast1kennel_tz573 4 жыл бұрын
Mkojanii unanifurahishagaa sanaa
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Mkojani bila mabusu ataweza 😂😂😂😂😂
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
mkojani umeiweza vyema nafasi ya mzee majuto
@ngatungaerneus6968
@ngatungaerneus6968 4 жыл бұрын
Nimekubali mafundi wa comedy
@johnyusuph2884
@johnyusuph2884 3 жыл бұрын
Mkojan ni hatar hapanaaaaaaaaaaa
@halimaomari7589
@halimaomari7589 4 жыл бұрын
Mimi shabiki wenu mkubwa sana kutoka kenya, mkojani na tinwhite kwa kweli mnaweza sana tena sana, hakuna kubahatisha katika kazi zenu
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Asante sana plz share channel yetu kwa wengine
@halimaomari7589
@halimaomari7589 4 жыл бұрын
@@OSOONLINETV In Sha Allah
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Tutakuja Kenya after KARANTEEN tutakutafuta
@halimaomari7589
@halimaomari7589 4 жыл бұрын
In Sha Allah, hamna neno
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@halimaomari7589 kenya sehem gani?
@maombivicent8781
@maombivicent8781 4 жыл бұрын
M B zangu sizijutii. Nawakubari xaana
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Thanx
@bijadimj7079
@bijadimj7079 4 жыл бұрын
Mkojani kuza ndevu ziwenyingi. Utahonekana poa sana
@hkfreeboy9533
@hkfreeboy9533 4 жыл бұрын
Daktari naomba nkushike mkono bhn😄 meneja wa diamond itakuaaa🤣🤣🤣🤣
@johnbernad6806
@johnbernad6806 4 жыл бұрын
Mwalim wa maisha yangu🤣🤣🤣🤣🤣
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hakiamungu Tini Umejua kuniuwa mbavuuu yani iyo chafywa ndo umeamua kuipigia kichochoroni ulipo onaa Akuna msaada wowote 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tini umeniuwaaa mbavu haki kabisaaaa😂😂😂😂😂
@lillywilliam1424
@lillywilliam1424 4 жыл бұрын
Mkojan chaubish
@rehemambonea4972
@rehemambonea4972 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂doctor eti sindano ya ganz daah 😂😂
@sulleysabri9126
@sulleysabri9126 4 жыл бұрын
Episodi ya pili tasafali😄😄😄😄
@iankulecho7120
@iankulecho7120 4 жыл бұрын
Nmeipenda
@jesminjes5804
@jesminjes5804 3 жыл бұрын
😃😃😃😃🤣🤣🤣Jmn 🤣 🤣 huwiiii
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 4 жыл бұрын
Me mwalim wa mahisha yngu
@jackart3739
@jackart3739 4 жыл бұрын
Hqpanaaa hqpanaaaaa 😆😆😆😅😅
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Tunasubiria muendelezo kamanda from 974
@mtvmusic8507
@mtvmusic8507 4 жыл бұрын
Ivi ile movie ambayo ringo na tini with wanagombania mali ya kaka yao wakiwa kama mkubwa na mdogo na kipupwe na masantula wakiwa ni mkubwa na mdogo inaitwaje
@aliykibabe9033
@aliykibabe9033 4 жыл бұрын
Hawa jamaaa wapo frexh xns
@RamadhanSalekh-ip7dg
@RamadhanSalekh-ip7dg Жыл бұрын
Mm ndo wakwaza naomba like zenu
@alhajbau9987
@alhajbau9987 4 жыл бұрын
Hahahahaha mkojani kipupweee unachkesha sana n ukaidi wako..
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 4 жыл бұрын
Mwendelezo jamani
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 4 жыл бұрын
😂😂😂shangazi noma
@fatumallove9552
@fatumallove9552 4 жыл бұрын
hahahaha atari
@salamaali2576
@salamaali2576 4 жыл бұрын
Heeeee😂😂😂😂 ss lazima kumpa mkono mpak mufukuzane
@asiaseif7229
@asiaseif7229 3 жыл бұрын
Shangaa jmn😀😀
@ymcboy288
@ymcboy288 4 жыл бұрын
Weka like kama ww ni mtz
@OmarOmar-ew9zs
@OmarOmar-ew9zs 3 жыл бұрын
Mkojani ni- m-bishi kiila pahala sio apo kijijini tu.
@husnahassan4771
@husnahassan4771 4 жыл бұрын
Et serikali inatak kutenganish ndoa za watu😂😂😂😂
@mussasaidi4889
@mussasaidi4889 4 жыл бұрын
Mkojani nimeamini ww mbishi 🤣🤣🤣
@ernestseiya7409
@ernestseiya7409 4 жыл бұрын
Mkojani funga kazi kabisa.
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Rasuli mwanangu😂
@capitainrogers4990
@capitainrogers4990 4 жыл бұрын
Mamb Ya Kweny Radio Ni Kiki🤣😂
@talalmuaini7241
@talalmuaini7241 4 жыл бұрын
Tini mbavu zangu mie🤣🤣🤣
@andreajohn5589
@andreajohn5589 4 жыл бұрын
Jamaniiiii uwiiii
@ramadhanimkuwele3332
@ramadhanimkuwele3332 4 жыл бұрын
Nakubali kazi nzuli
@angelnoble5063
@angelnoble5063 4 жыл бұрын
Awesome 👏👏👏party 2 jamani mtuwaishie
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 жыл бұрын
Tayari
@angelnoble5063
@angelnoble5063 4 жыл бұрын
Shem mkojani jamani huruma mbavu zangu jamani
@hamzarajab9888
@hamzarajab9888 3 жыл бұрын
Natubali
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Nzur Sana vp kipupwe Ile govinda part 2 bad ujaituma 😒
KORONA (COVID) KARANTINI PART 2 FAINAL - MKOJANI/TIN WHITE /NAGWA
41:31
ANKO KINATE  MKOJANI/TIN WHITE/NAGWA
23:37
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 234 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 19 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 21 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 91 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
BabaJoan
Рет қаралды 76 М.
NGUVU YA KISOMO"Movie Part1 /TINWHITE/MKOJANI/KILANGASO/OLANDA
23:33
SHEM SHEM | 1 | MKOJANI,NAGWA,MTANGA,
9:36
MKOJANI GANG
Рет қаралды 139 М.
MAOKOTO - SEHEMU YA KWANZA | STARLING MKOJANI
17:09
Byams Films
Рет қаралды 256 М.
NARUDI JELA PART 1 STARING MKOJANI KIRANGASO TINY WHITE MK
19:35
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 268 М.
BIASHARA FULL MOVIE | SENGO MK
1:04:54
SENGO MK
Рет қаралды 57 М.
CHURA WETU
19:29
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 406 М.
MSITU WA ZAMANI  -- SESSION 1
31:29
WAZAWA MEDIA
Рет қаралды 120 М.