Kp wewe ni noma sana watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲
@johnsimiyu97522 ай бұрын
KP thanks for your creativity,well done, hakika wewe huwezi shindwa.
@SadaJkitanda11 ай бұрын
Kp na zebuu hongereni kwa Kaz nzur Kwani mna elimisha jamii.
@Angel-oe7pz7 ай бұрын
Nawependa sana kp na zébu mimi niko Congo démocratique
@HazinaSaid-ze8lk11 ай бұрын
Kabla sijamaliza kuangalia hio movie najua tu Kp ni ujanja wake hana cha safari wala kazi.bali ywataka ndoa ipite rahisi😂😂😂😂Kama wanikubali wekelea kitu apoo❤❤❤❤
@user-flavian11 ай бұрын
Namimi pia najua ni ujanjatu ano ufanya kp
@user-flavian11 ай бұрын
Jaman ahsante saana kwa kutupenda kiasi hikoo
@Mariam-er8nn11 ай бұрын
Kp una akili nyingi kupitiliza. Huma Cha KAZI Wala safari ni ujanja tu huo
@agnesmasoud95011 ай бұрын
Kabisa hakuna cha safari apo
@AishaAthumani-l1g11 ай бұрын
Kp ww mjanja sana
@NevilleOpinya3 ай бұрын
Nampenda sana Sheila na mbona Ako so underated Kwa movie 🇰🇪🇰🇪
@AminaNgeni11 ай бұрын
KP boss wangu ww unaakili sana natamani kujiunga game nanyie je mnaniruhusu kweli ❔
@khadija211311 ай бұрын
😂😂😂😂😂uwiiììiiiiiii kp na ZEBUU MTANIFANYA NISILALE MM
@RehemaMoshi-nj7gu7 ай бұрын
Kp ninoma Tena mjanja duuu apewe mauwa yake🎉🎉🎉🎉 kp nazebu mungu awabariki sana kwakazi yenu zuri mnajua kutufuraisha watanzania
@AbdillahAli-xs1wo11 ай бұрын
Mzee likoma unajuwa san uwachiwe ❤❤❤❤
@halima23824 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 kp utanilipa mbavu zangu mm aki from kenya zebuu pole sana
@AshaHamisi-tf3kk11 ай бұрын
Baba mkwe mpe kofia mkweo❤❤🎉
@EmanuelMwankenja5 ай бұрын
Kp nimekukubali bnge Moja la movie
@JasmineQute-bs2zh11 ай бұрын
Nimewahi kidogo Leo jmn hata like tano t😂
@OrnellaNdabarushimana11 ай бұрын
Aki nyiye munachekesha sana 😂😂😂kp na zebu mutafika mbali allah Awa nanyi🎉🎉🎉🎉🎉
@HusseinNshimirimana-in1si11 ай бұрын
Tunawapenda from Burundi
@Zubeda-zx7wt5 ай бұрын
Na mimi mpenzi wao jamaniiii from🇧🇮🇧🇮
@habyamberemoses673411 ай бұрын
Ongera sana kp n'a zebu samaani n'a itaji title ya ile mwimbo ya jipe moyo vumiliya Mungu awabariki
@matanoathman11 ай бұрын
Kp yani leo mume nivunja mbavu kweli kweli, mungu awazidishie kwa kazi yenu nzuri na mufike mbali sn, na awajalie upendo mulio nao team nzima mupendane
@ImmaculateKutto11 ай бұрын
Tafadhali kila ndoa iko na changa moto 🔥ni lazima kuvumiliana kwa sababu kila kitu kuna mwisho wake. Mwenyezi Mungu Awajalie katika ndoa zenu 🙏🙏💙💙💙
@ManDennoWamalwa11 ай бұрын
Am watching from KENYA, good job Mr and Zebu, nice job keep it up my friend
@MONICAJOVIN-l7f11 ай бұрын
nawapenda sana kwaupendo mlio nao
@alfredtebeka249711 ай бұрын
From congo 🇨🇩 kabla sijafikisha mwisho ku tizama, najua hapa hakuna cha kazi ao cha safari kp ni mtu moja fulani mwenye akili hajawaiii ku shindwa kwenye mambo yake❤😂😂😂
@Benntiach13 ай бұрын
Aliona mbele kuliko Miaka yake
@nundertv25511 ай бұрын
Wewe kp noma sana tuna namba nikuwekee hera ya soda kwa kazi nzur uliyo ifanya
@ridhaashauri11 ай бұрын
Sheikh ameshikilia kanzu jamani😊😊😊 nakupenda Dpoz ❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
@patyisaya42176 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wow
@MuzzamilAli-zn9le11 ай бұрын
Tunaowakubali kp na zebuuu gonga like
@EsterHit5 ай бұрын
🎉
@EsterHit5 ай бұрын
Sana
@MariamFadhiri2 ай бұрын
Haaaaaaa ilov u kp na zebuu mwanichekesh san
@LatifaLigome7 ай бұрын
Kwan hiyo ya sonaa haiendelei Tena maana mhuuu ni mzuri sana
@DeborahMulyaseya2 ай бұрын
Jamani kp na zebuu tuna wa hitaji kwetu Congo hata kwa maramoja
@HappyKawelengaАй бұрын
❤❤❤san
@nasorsaid-gf1jn11 ай бұрын
Mambo ni moto mwenyezi mungu hawatie nguvu
@RahmanNgozi11 ай бұрын
Yaaani laha mnazonipa mpaka nais kuumwa munguangu maana mnanifurahisha mpaka fulaha inazid viwango mtaniua jamaniiiiii
@Halima-fn6xt11 ай бұрын
😂😂😂😂 jaman nimecheka yangu yote..... nampenda bure kp na zebuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂zebu umeingia chakike ama chakiumee🏃♀️🏃♀️🏃♀️💃💃🏃♀️🏃♀️💃💃🏃♀️🏃♀️school bila vitabu
@irenepeter939711 ай бұрын
I love the way Likoma huwa ana act
@jeanclaudenzinganamusomwa512411 ай бұрын
from south Africa 🇿🇦 we are together ❤️
@ZoazinaJohn11 ай бұрын
😅😅😅 am watching from TMK-DAR YOMBO KILAKALA POLICE POST ✍️😅😅😅😂❤❤❤😍😍😍
@JustineAloyce-g2k11 ай бұрын
Kp ndo anaongoza kwa mbinu nyingi kwenye comediani
@nabahyaombeni-ic4ft11 ай бұрын
Wakwsanza naomba like please time kp strong kama Una wapenda hawa gonga like tuone ❤❤❤❤
@amarnam501611 ай бұрын
😂😂😂
@JamilahuseniRamadhani4 ай бұрын
Kp mjanja sana
@chadiaofficial11 ай бұрын
Love from Chadia Official to🇧🇮
@mareiaMerry10 ай бұрын
Good job ❤
@ClementineMbula-vl4en11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 tajiua mimi watching from kenya
@JAMESMBUVU11 ай бұрын
Watching from Kenya good job my guys
@roseavith43511 ай бұрын
Cku nikifa tim kp wote wafungwe mbavu zangu mtalipa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@josephinembena931011 ай бұрын
😲😆😆😆😆😆😆😆😆😆zebuu bado hujasema hizo ndo mbinu za kp much love kp nq zebuu❤❤
@rosemarrygodfrey-co7zy10 ай бұрын
Daaah co siriii hii movie naipendaa mno ni mara ya kumi sasa nailudia kuangaliaa nacheka😂tu mwenywe bro Kp and sister zebu kazi nzuriii kwa kweliii nainjoy sana kuangalia kazi zenu jmniii 👍👍
@sifajulienne11 ай бұрын
Much love from USA munanifurahisha saaana
@winnymbula11 ай бұрын
Umasikini ushidwe kabisa watching live from US
@FatemahFatemah-b3h11 ай бұрын
Good job from Kenya 🇰🇪
@Phoebenafula11 ай бұрын
Much love from Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@RumbeZainab11 ай бұрын
Yaani nyny mnanifurahisha jaman❤😂 likoma unanivunja mbavu
@gracemwingwa-jx7yy11 ай бұрын
Kweli kp umetumia triki 😂😂😂😂❤❤❤
@Damacline400411 ай бұрын
Kp mwongo jamani 😂😂😂 mtajuta 🤣🤣 enyway much love from kenya kp na team yako mpo vizuri ❤❤❤🎉
@roshni-t5f3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka sana
@NaomiDaniel-w5l11 ай бұрын
Nimeipenda mno dred yako Sheila ❤️😘
@elizajackson797911 ай бұрын
Jaman mbavu zangu.😂😂😂😂😂😂😂
@NaomiDaniel-w5l11 ай бұрын
😜😜😜😜
@ZainabShaban-zm8iv11 ай бұрын
😂😂😂😂mbavu zangu mm.weeh mko juu tu sna penda sna nyinyi❤❤❤❤
@JonathanKibwana-f9t2 ай бұрын
Nimependa kweki kp unapana fundisho nzuri kwa kina wa dada
@saidaaahgg80285 ай бұрын
Nawapenda nyote kwa kazi ynu😊
@Happy-hm9sz7 ай бұрын
Kp n'a zebuu nawapenda sana mungu Awa linde asante sana 🎉
@Sayd-pi5lq11 ай бұрын
Hahahhahaha ume ua kp 😂😂😂 ww ni ng'ombe
@MercyKahindi-go2nr11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 like zake mzee likomaaa😂 ampige mimba chapuchapuuuuu😂😂😂❤❤❤❤❤
@SafiMmunga-p4r5 ай бұрын
Namm kbla sijamaliza nahona iyo sura kp ni mjaja sana nakukubali sana kp
@AyshaAysha-q6j11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yarabi mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂 hadi raha mmetutoa stress ki ukweli ❤❤❤maashaallah
@NajlaaAlly-zm6uc11 ай бұрын
😅😅😅😂😂
@SarahWanyonyi-dz6hq11 ай бұрын
Aky nawapenda bure kila siku mnafanya siku yangu inaenda weeee nawapenda toka Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ndikumanajean-ym6xd11 ай бұрын
Waoooo kp. Nilidhani Wemwongo
@user-yr5tg3hr8k3 ай бұрын
Dah aisee zebuu hivi kunawatu wa namnahii wapo
@Angel-oe7pz7 ай бұрын
KP na zébu from Congo nawape sana
@nouraalharthy550911 ай бұрын
From oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲good job
@kura.the.boy-11 ай бұрын
Nakubali San team to 🎉🎉🎉
@Elizakilisipinilikolika199611 ай бұрын
Jaman kp na zebuuuu mnanivunja mbavu zangu plz nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SakinaHassani-xm7ti11 ай бұрын
Kazi nzur 🔥 zebuu kula chuma ikoo 😂😂😂
@ZuwenarashidiLukanga2 ай бұрын
Ila zebuu umetisha unajua kuigiza walah
@aishaomar22876 ай бұрын
Likomaaa😂😂😂 wanaume waso hela kwa kutia mimba! 🙌 😊...maajabu😅
@MaureenNyaboke-o6mАй бұрын
Aki mungu awabaliki sana
@glorymhanga871811 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kuuuumbe umetikana eeeeeeee, pole polesana😂😂😂😂😂😂 pole zebuuuuuu
@MarcIlunga-k4q8 ай бұрын
U mzé jamani😂 ikiwezekana mpige mimba paka APA🤣🤣🤣
@kiudaofficial11 ай бұрын
Much love from tz big up guys
@KamimiSafari10 ай бұрын
Kamimi 😊😊
@KamimiSafari10 ай бұрын
Kamimi
@BenardCharles-w8p9 ай бұрын
Hongera Sana kp na zeb mmenifundisha ❤
@MercyKinyenyi2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zebu na Sheila mwambie huyo kisai Acha ujinga😂😂
@AminaaAgnes11 ай бұрын
Much love from Saudi Arabia ❤❤❤❤❤
@alisaida408011 ай бұрын
❤❤Watching you from Kenya...nice job keep up
@sofiasofi28844 ай бұрын
KP acha kutucheza bana hakuna cha kazi wala kusafiri hapo nimekutii😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@AyishaAyisha-k9r11 ай бұрын
Yan nyinyi mnachekesha san 😂😂😂😂 NaWapenda sana🎉🎉🎉
@DarlingNatasha11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,kp na zebuu you like making my day
@Christine-t7r11 ай бұрын
Tunawapenda sana toka tranzoia
@saumosoro979911 ай бұрын
Sheikh manuba dibozi mwenyewee
@HasaniHasani-t2y5 ай бұрын
Shey nimependa tabasam lak
@MwakurichwaMohammed9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 walizwa na nini zebuu nyamazaaa utamuacha kp nae alieee
@RashdaKhamis5 ай бұрын
Aisee hii nimeipenda kpnkajifanya mjanja Co poa 😂😂😂😂